Kizazi hiki. Cha Nyoka kilicho laaniwa kilicho potea ,kizazi kipotovu ,LUKE 12:42 KIZAZI hiki hakitapita hata haya yote yatakapotimia 😭😭😭😭 hizi ni nyakati za mwisho wapendwa WALAWI 20:13 \WALAWI 18:22/ WALAWI 20:23\ ROMANS 1:26:27\GEN 2:24\ MAT 24:34
Am telling you momma this song need to be listened by the president and translated to his local language 🙄🙄🙄...Fenny kerubo hii wimbo nmeskiza na volume ya juu and all my neighbours wanauliza nani ameimba hiyo wimbo 🤗❣
Ubarikiwe mtumishi uimbaji huu Ni wakipindi na majira tuliyo nayo mahubiri ya kukemea dhambi mungu was mbinguni aifunike huduma yako ,kwa Sasa Ni wachache kuimba hivi 🙏🙏🙏
Amazing song 💞glory be to God hallelujah kweli ni nyakati za mwisho ee Mwenyezi-Mungu simama nasi tunakuomba utufundishe kusoma neno lako latukuka hallelujah mungu akuinue zaidi🙏🙌🙌 sister keep it up 💪💪
Kwa kweli dada fenny mungu anakutumia kutuelekeza palipo ukweli lakini kama wanadamu tumekiuka Sheria za mungu😭😭mungu akuzidishie hekima na maarifa na neema yake iwe juu yako🙏🙏
Mum fenny I pray that God may help you in your ministry and continue ministering to our generation you really inspiring as you preach through songs, this what we need to hear we youths world has really changed to worse a sign that Jesus christ is coming soon ....may God save the remnants.... Be blessed in abundance ma'am
@@jacklinemwiti1936 hi darling, don't be ignorant I quoted 2 Corinthians 4:4 Re-read it to avoid misunderstanding. Yes, I meant the god of this world/age.
I like your songs my sister. This song touches so much let pastors understand it and let them do not join meeting of politics they will not have enough time to inform us what God needs us to do. I shed tears when I listen this song.
Awww🔥🔥🔥 powerful great song with great revelation indeed neema Zaidi mtumishi wa mungu. Wimbo unaupako na umejawa na nguvu za roho mtakatifu 💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
Wimbo huu una ujumbe mzito wa hizi nyakati tulizo sasa,kupitia wimbo huu wengi wageuke na wasimame imara,Barikiwa Sana Mtumishi wa MUNGU, MUNGU azidi kukupa Neema na Kibali.
Mungu shisha Rehema Juu ya vizazi vyema ukitafakari jinsi vijana wanavyo Anza Na heri herufu LGTB Na wanamalizia Q 😭😭😭 ponya vizazi vyetu barikiwa na Huu Na ujumbe uwafukie waponywe
What a great song! Every single message in this song is very amazing and so educative. We shall all be judged according to what we have done on this earth during the judgment day. Through your musics you have managed to spread the words of God to the world.
Ooh Jehovah tusaidi sasa dunia sio baya watu ndio wabaya ndugu ujiweke tayari kwamwe alipiti beautiful song mungu awatie nguvu muendele hivyo hivyo yesu aminaa.
Kizazi hiki. Cha Nyoka kilicho laaniwa kilicho potea ,kizazi kipotovu ,LUKE 12:42 KIZAZI hiki hakitapita hata haya yote yatakapotimia 😭😭😭😭 hizi ni nyakati za mwisho wapendwa
WALAWI 20:13 \WALAWI 18:22/ WALAWI 20:23\ ROMANS 1:26:27\GEN 2:24\ MAT 24:34
Waumini tuombe bila kulala, hatutakubali laana sisi
Ni kweli kabisa muhubiri Fenny
Amen
Imebikumbusha joybilliah nirudie
Amen
In UGANDA 🇺🇬🇺🇬 we say #Webale nyo nyabo meaning #many #thanks for this great piece. Even in 2070 we shall still say #NO to same sex. #NEVER ⚔️❌❌❌
We a ugandans. We stand together to fight
Amen
I miss those days I would look at rainbow 🌈 and see beautiful colours ONLY 😢😢
God's message delivered by Fenny through this spiritual song 🙏 you are the choosen One timiza neno lienee kote duniani am blessed from Doha Qatar
Am telling you momma this song need to be listened by the president and translated to his local language 🙄🙄🙄...Fenny kerubo hii wimbo nmeskiza na volume ya juu and all my neighbours wanauliza nani ameimba hiyo wimbo 🤗❣
Israel just yesterday aBILL WAS PASSED THAT,NO PREACHING OF JESUS AGAIN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! we are so close to go home.its in TH-cam
@@graceg2464 link plz
@@janet7740 just goggles Israel news utaziona
Keep moving forward my sister ❤️🙏🙏🙏
Kama si Sasa ni Sasa hivi good job mum ❤❤ you never disappoint
LGBTQ ishindwe milele,,barikiwa dada Fenny 🙏
Mkee na mume.....hii ndio Sheria ya Mungu.Hiyo ingine tawee
Baraka mama.
Bravo!
....Fenny our own from kisii land what a song indeed 😊
How can l like this 100 times, thank you for passing this great message 🙏🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe mtumishi uimbaji huu Ni wakipindi na majira tuliyo nayo mahubiri ya kukemea dhambi mungu was mbinguni aifunike huduma yako ,kwa Sasa Ni wachache kuimba hivi 🙏🙏🙏
Dhambi iitwe dhambi, maovu yaitwe maovu. Congratulations my fellow gospel minister
Fenny can restore a weakened faith 🙏 may God protect you from evil people who works against you
Kweli ni siku za mwishoo. We should repent and worship Our Almighty fully 😭😭😭😭
Tuweke nyuso zetu wapi😭 ni wakati wa mwisho wakristo tusimame imara Mungu amekutumia inavyofaa kupitisha huu ujumbe kwa wakati unaofaa barikiwa sana
Neema ikubebe na ivunje Sheria mama yeetu🙏🙏🙏umenena ukweli🙏🙏🙏 LGBTQ ishindwe
LGBTQ ni nini aki
@@RitaPendo tabia mbovu za ushoga na usagaji😭zishindwe kwa jina la YESU 🙏🙏🙏
Mungu tusaindie
Amen
@@shedrackmakoma7697 naamini kwa uwezo wa mwenyezi MUNGU aliyetuumba hili pito ya ki pepo litapita kwa jina la YESU 🙏🙏😢
Amazing Song ❤ keep moving our sister❤❤❤❤ kweli ni nyakati za mwisho 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kweli ni za mwisho😭😭mungu atuhumie tu
Hiii ndio inabamba sasa walaaniwe watu Kaa hao
Oooh Mungu wetu tu saidia katika dunia hiyi ya saa 😢 mtumish wa Mungu may God keep blessing you more for this amazing songs 😊
Weh basi anayesimama ajiangalie hasianguke..shika sana ulichonacho..tuwe ladha inayofaa na mwangaza usiochangana na giza
Amazing song 💞glory be to God hallelujah kweli ni nyakati za mwisho ee Mwenyezi-Mungu simama nasi tunakuomba utufundishe kusoma neno lako latukuka hallelujah mungu akuinue zaidi🙏🙌🙌 sister keep it up 💪💪
A very insightful Song. With a true message.
Wambie tena na tena,tondu ma ...God save us
Kwa kweli dada fenny mungu anakutumia kutuelekeza palipo ukweli lakini kama wanadamu tumekiuka Sheria za mungu😭😭mungu akuzidishie hekima na maarifa na neema yake iwe juu yako🙏🙏
Wow I feel like born again your songs keeps me going sesenigwa❤
This message should move to the ends of the earth. Blessed Fenny💙👌
Am in love with the song my sister
th-cam.com/video/nyKzFBDaG3A/w-d-xo.html
Plz help me share this song is my new song also
Let's share this song ,every Kenyan needs to hear this song
Not only the Kenyan,but all the people in the world.
You are the choosen one to pass this message my sister🙏nice song keep going mamaa...really is End time
Mum fenny I pray that God may help you in your ministry and continue ministering to our generation you really inspiring as you preach through songs, this what we need to hear we youths world has really changed to worse a sign that Jesus christ is coming soon ....may God save the remnants.... Be blessed in abundance ma'am
Powerful messege keep up mama wetu wa injili from gusii land God bless you
She's powerful, I listened to the song & I could feel my hairs standing
I felt the same,so powerful
Me too
I too
It's power😊
Amen .....I felt it too she really saved me❤
Good message ❤❤❤my siZ.keep it up.wacha tuombee Mungu atusaidie🎉🎉🎉🎉
God bless you my darling sister more Anointing
😢😢😢God save us from all the evil things of this world. Time has come we stand and oppose all this evil acts
Keep up the good work your doing n continue preaching the gospel gal
I don't know why I am shedding tears 😭 how powerful the song is....Ujumbe umeufikisha nyakati ni za mwisho.. Mungu saidia
Good song dada unaenda far kwa neema ya bwana cku moja tutakaa chini tuandike ngomaa moja kali .
Amina sister wakati wa kuhubiri injiri kweli ni siku za mwisho.
Amen mwenye masikio na asikie na mwenye macho na aone (isiah 42:19 -20)
A wonderful song with good message, mwenye masikio na asikie🙏 congratulations Fenny you are doing a great job
Funny you have really brought the message,mwenye ako na maskio na asikie.
Thanks mum hapo uko sahii umetutia moyo bcx nyakati ix n xa mwixo ❤❤❤
Much appreciated 👏👏👏
You never disappoint sister Fenny Kerubo
Moto kama Simba mama
POWERFUL SONG, MAY GOD CONTINUE USING YOU IN A MIGHTY WAY.
Wow, u never disappoint 👏
Powerful 🙏🏽 keep soaring
fenny, you are sent by God, continue to translate into English....we love you our sister in Christ❤❤❤❤❤❤
God bless you Fenny . Sisemi kitu ingine mm
Mtumishi wa mungu ujumbe Ushafika jinsi mungu alikusudia, wacha mapenzi yake yatimie.
The message that the god of this world has blinded many not to see. Thank you Fenny for delivering it with a lot of courage
Our God not god
@@jacklinemwiti1936 hi darling, don't be ignorant I quoted 2 Corinthians 4:4
Re-read it to avoid misunderstanding. Yes, I meant the god of this world/age.
I wish this message could sink in everyone's heart
Hallelujaaah 🙌 injili kamili kutoka fenny,hongera sanaa!!tangaza wasikiee!!!🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Waw what a beautiful song🎉 Fenny your msg is clear.
Great message mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏
Mwoto kama pasi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 u never disappoint
I like your songs my sister. This song touches so much let pastors understand it and let them do not join meeting of politics they will not have enough time to inform us what God needs us to do. I shed tears when I listen this song.
Asante dada watumishi wa Mungu hubirini dhambi iitwe dhambi huo ndio ukweli
Arise everybody n pray n preach against this demon in JESUS MIGHTY NAME...
I support you fully, let's us stand for God's word, thanks a lot my sissy 🙏🙏
Goosebumps all over😢this song is powerful
Same here I feel like I am doing nothing about salvation I need to work more hard...May God bless you
Nyimbo nzurisana ubarikiwesana
Barikiwa sana dada n kweli n nyakati z mwisho .nice message congratulations to ur dancers very energetic❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe.kwaujumbe.unaoonya.wanadamu.tuache.maovu
Awww🔥🔥🔥 powerful great song with great revelation indeed neema Zaidi mtumishi wa mungu. Wimbo unaupako na umejawa na nguvu za roho mtakatifu 💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
Mzidii kumshukuru Mungu
So powerful message. Thank you
Fenny your songs are spiritual based nakupenda mummy
Nice song ,good msg haki barikiwa Kwa kusikia hili na kutukanya katika wimbo uu
Wimbo huu una ujumbe mzito wa hizi nyakati tulizo sasa,kupitia wimbo huu wengi wageuke na wasimame imara,Barikiwa Sana Mtumishi wa MUNGU, MUNGU azidi kukupa Neema na Kibali.
Soo amazing imetimia saa ya kutubu
Fenny kerubo ekiababa batebie toangame changaki chiomoerio chiakire toangame ......
Lt the Truth Set U Free Sis.
Ujumbe mzuri kweli👍.
Keep up Fenny may God guide and uplift you 🙏🙏🙏
Wimbo sawa sana, challenge kwa wote
Message delivered .you have ears hear what lord says.
Mungu tufungue macho ya ndani tunaosema tumeokoka, Mam barikiwa sana Kwa kutufungua macho
Aki tunaitaji kufunguka macho ya koiroo
Seasoned song.john the baptism of day.keep up
Mungu akuinue kiwango cha njuu, nyimbo zako unibariki sana.
Kwani nilizaliwa kufanya assignment gani kama siezi ombea nchi yangu na dunia mzima
Uimbaji wako ni wa tofauti,hii ndo real gospel,Mungu azidi kukubariki mtumishi
Powerful message ubarikiwe sana dada 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Bwana Yesu akubariki sana dada kwa utumishi wako! Please keep it up. Bwana akutunze daima. From Tz.
Mungu shisha Rehema Juu ya vizazi vyema ukitafakari jinsi vijana wanavyo Anza Na heri herufu LGTB Na wanamalizia Q 😭😭😭 ponya vizazi vyetu barikiwa na Huu Na ujumbe uwafukie waponywe
Very powerful my sister na by the way nilifurahi Sana kukuona ukiminister live hii wknd imeisha huku Embulbul God bless you
What a great song! Every single message in this song is very amazing and so educative. We shall all be judged according to what we have done on this earth during the judgment day. Through your musics you have managed to spread the words of God to the world.
Keep going ni nyakati za mwisho kweli
Congratulations 👏 nice song 👌🥰🥰💃💃💃 🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 keep praising God dada nice song 😘😘
So amazing my sister cherubo,so powerful 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏
Plz kerubo do collaborate na rose muando bigger songs ,,,you that talent dance
Ni nyakati za mwisho kweli.....more grace mummy ❤❤
Habari njema keep it up sister
Ooh Jehovah tusaidi sasa dunia sio baya watu ndio wabaya ndugu ujiweke tayari kwamwe alipiti beautiful song mungu awatie nguvu muendele hivyo hivyo yesu aminaa.
Nice song n powerful message my the lord bless you dear sister
Mungu alikupa ufunuo mapema Mum🙏🙏🙏
I love you my beloved sister neema ya mungu ikubebe kazi nzuri
Ujumbe kamili Kwa wakati unaofaa!!be blessed so much may the grace of God be with you servant of God 🙏🙏🙏🙏
Ndio watumishi wa Mungu simameni Kwa nafasi zenu na Mungu atawatia nguvu....
Hard working God bless you Funny Amen
Amen Amen for l really want you to connect me with this studio
God all above everything
Massage delivered, God protect our young generation
Amazing song kweli sai n nyakati za mwisho God have mercy on us 🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲
Have come to realise this lady is the dimension of truth
More grace and remain and maintain the truth
Wauuu powerful song, God bless you so much Fenny.