FENNY KERUBO FT ANNOINT AMANI HAPA NI SALAMA ( OFFICIAL VIDEO)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 342

  • @remyekande308
    @remyekande308 2 ปีที่แล้ว +4

    Jameni bwana asifiwe sana ,Nina onyo kwa wachezaji wetu WA kiume mukwe munajistir vizuri kwa mavazi yenu ,hizo ni nyimbo za kuokowa watu samahani kwa kuwakosowa asante sana

  • @margretmorara4193
    @margretmorara4193 หลายเดือนก่อน +1

    Here after 2yrs to listen .Kwa mungu ni salama amenitetea katika magumu .I'm thankful

  • @amanishiughaaa6345
    @amanishiughaaa6345 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana video shooting kweli salama maana kira kitu ni salama kwenye huu wimbo

  • @lizylizymoraa6798
    @lizylizymoraa6798 2 ปีที่แล้ว +13

    Ooooh my goodness 🎤🎤🎤 this song is so amazing I tell you 🙏🏾🙏🏾🙏🏾salama salama salama kwa yesu ni SALAMA 🔥🔥🔥🔥🔥#Fenny Kerubo and Annoint Amani mbarikiwe kwa kazi njema nawapenda ❤️❤️❤️

  • @richardmutekeofficiel4372
    @richardmutekeofficiel4372 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina Yesu nisalama tuna amini hiposiku mauwaji yataisha hapa Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @nellyjacobs3015
    @nellyjacobs3015 2 ปีที่แล้ว +7

    Niliteseka nilihangaika after loosing my parents 3yrs back but hapa nilipo ni salama asante Mungu 🙏🙏🙏🙏Oo I can't get enough of this song be blessed abundantly and may God expand your territories 💞💞💞💞💞blessed frm Saudi Arabia

  • @melkiaelisha3624
    @melkiaelisha3624 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani jamani Wimbo una upako hadi raha, sauti nzur video nzur Hongera Fenny Kerubo kuimba na Mfalme kutoka Tanzania kwetu nyumbani,Annoint ume tuwakirisha vyema mwanangu 💪💪👍

  • @johnmuasya6460
    @johnmuasya6460 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni salama for sure, this s great tueneze injili kwa pamoja

  • @mercygetwambu6082
    @mercygetwambu6082 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli nyimbo na video zilizoenda shule...you never let us down dear, may God bless you and your group

  • @suleshmacs1286
    @suleshmacs1286 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri,kw yesu salama kbs,mbarikiwe nyote kw ushikamano huo kukamilisha mwili wa kristo

  • @dangelk3904
    @dangelk3904 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa Yesu ni Salama

  • @StephenKasolo
    @StephenKasolo 2 ปีที่แล้ว +7

    Salama kwa Yesu ni salama. Nawapenda watumishi wenzangu.

    • @geoffreytheprincemwimbaji9343
      @geoffreytheprincemwimbaji9343 2 ปีที่แล้ว +2

      My Brother make one with FENNY tutasimamia kila kitu make arrangement and get back to God is WORK mubarikiwe wote

  • @michaelkamillion111
    @michaelkamillion111 2 ปีที่แล้ว +5

    Waaooo nimefurahi kuona Mungu mkubwa kazi yake kubwa aliyo waaanda anawatumia kwa viwango vyake kweli Ni salama Mungu awabariki sana Annoint Amani na Fenny Kerubo🙏🙏☝️

  • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
    @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 ปีที่แล้ว +3

    Good work and keep moving be blessed

  • @jumaephraim5949
    @jumaephraim5949 2 ปีที่แล้ว +2

    Mapigho Yako juuu, uuuuuwiiiii salamaaaaaa....

  • @joselynentahomvukiye7460
    @joselynentahomvukiye7460 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbalikiwe Annoint an Fenny. Inapendeza sana mgekuwa na mji.😍😘

  • @estherisendi7479
    @estherisendi7479 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika kwake yesu ni salama, am blessed

  • @afrikaone9609
    @afrikaone9609 2 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah hallelujah,Mungu yuko kazini Fenny Pepelusha bendera ya Kenya na Annoint apepelushe Bendera ya Tz weweeeeee💪💪💪💪💪

  • @anakaanaharime6363
    @anakaanaharime6363 2 ปีที่แล้ว +1

    God bless you, you are the number one . I m togolese

  • @naomycherono5540
    @naomycherono5540 2 ปีที่แล้ว +4

    Nice song hallelujah glory and honour akuna mwingine kama wewe Bwana hallelujah mungu awabariki zaidi kwa kazi nzuri 🙏🙏🙏🙇‍♂️🙇‍♂️

  • @josephwanjala7794
    @josephwanjala7794 2 ปีที่แล้ว +7

    Ninalo swali watumishi wenzanguuu,,,mbona mkawika Kule kucheza Kwa muhando,,,maanake kuna wimbo,,wa hayawehayawe kitimtim hebu angalieniiiiii,,,barikiwa

  • @tabithamogusu8715
    @tabithamogusu8715 2 ปีที่แล้ว +1

    Thanks for the song my role model fenny kerubo..Kwa yesu kweli ni salama

  • @DenorecordsstudiosAgotomo
    @DenorecordsstudiosAgotomo 2 ปีที่แล้ว +3

    Waiting.....

  • @otimpatrick4337
    @otimpatrick4337 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa wimbo tamu ya kuabudu Mungu Baba ya Mbinguni. Mungu Baba atapewa zawadi kuu kwenu kwa kazi njema/mzuri sana.

  • @deborahmwende5156
    @deborahmwende5156 2 ปีที่แล้ว +4

    What a great song wow....that follow n salama kwa yesu😘😘😘😘

  • @claireomari9001
    @claireomari9001 2 ปีที่แล้ว +2

    Nice one our blvd ones,Kudos to our beloved Sister Fenny kerubo,we are proud of you dear KISII AT LARGE,hit the button for our Superstar 💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝Indeed ni SALAMA kwako YESU🙏🙏🙏

  • @kindboyjose
    @kindboyjose 2 ปีที่แล้ว +1

    Indeed kwa Yesu ni salama. Good message omwana ominto

  • @nancyjulius2668
    @nancyjulius2668 2 ปีที่แล้ว +8

    Yeeeesssss, I like everything about this song 🎵, wacheni sisi tumchezee na tumuabudu Mungu, thank you Jesus for your redemption 🙏

  • @ytvkenya7818
    @ytvkenya7818 2 ปีที่แล้ว +1

    Dj Wyma here. This is another hit song from Nyanza!

  • @joshuamunyao7380
    @joshuamunyao7380 2 ปีที่แล้ว +3

    Song of the season kwa yesu ni salama jameni,,,am now 5yrs old in salvation ad I can give a testimony.
    Joining this ministry soon brethrens

    • @geoffreytheprincemwimbaji9343
      @geoffreytheprincemwimbaji9343 2 ปีที่แล้ว +1

      God is good. Wonderful testimony I see success in you . Keep on praying. Pray to me too

  • @gladyskanyaa
    @gladyskanyaa 2 ปีที่แล้ว +4

    I love your energy my sister fenny....Amani wewe ni wa baraka sana....Be blessed my dear ones.

  • @nabiibikemwayowele
    @nabiibikemwayowele 2 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akuinuwe zaidi mtumishi wa Mungu fenny kerubo from Kenya

  • @lizylizymoraa6798
    @lizylizymoraa6798 ปีที่แล้ว

    Dada Fenny Kerubo pongezi motomoto kutoka kwa Lizylizy msanii entertainer 😋 unaweza kwelikweli my best gospel musician ❤️❤️❤️❤️❤️this song takes me to another level...am grateful ❤️

  • @agathanaserian2773
    @agathanaserian2773 2 ปีที่แล้ว

    Mmbarikiwe jameni.....mie pia ndio naanza uduma wa uiwimbaji wa nyimbo za injili......

  • @Solanjerecho
    @Solanjerecho 2 ปีที่แล้ว +1

    Emen and emen mubarikiwe sana kwawimbo muzuri sana 🙏🏻 much love ❤ 😍

  • @sophiaonwonga9784
    @sophiaonwonga9784 2 ปีที่แล้ว

    Wooooo so amazing fenny go go my with my brother Annoint nice song th🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @vybzkalijaritoerico306
    @vybzkalijaritoerico306 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen sister, , , mungu anakupeleka kiwango kingine, , , , , iam happy for you

  • @holylostborn
    @holylostborn ปีที่แล้ว +3

    I love this song so much. Love from USA 🇺🇸

  • @mteulehumblej6820
    @mteulehumblej6820 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen.Kwa Kristo ni salama

  • @caronyanchama2567
    @caronyanchama2567 2 ปีที่แล้ว +4

    This is amazing our kisii land queen,, congratulations on this

  • @ruthmulonci994
    @ruthmulonci994 2 ปีที่แล้ว +1

    nice one guys,dancers wako fiti baya .
    be blessed

  • @firstladytrizah9657
    @firstladytrizah9657 2 ปีที่แล้ว +2

    Nice songs indeed keep the Gospel 🔥🔥🔥 our queen from gusii

  • @bundiisaac6995
    @bundiisaac6995 2 ปีที่แล้ว +3

    Amazing song my dear sister my Dear God bless you 💗💐

  • @felixtinega191
    @felixtinega191 2 ปีที่แล้ว +1

    Heeeee hii Ni Kali sana

  • @PstCalebMshindiKibokoyawachawi
    @PstCalebMshindiKibokoyawachawi 2 ปีที่แล้ว

    Wow asante Mungu huu wimbo ni mtamu sana my sister fenny be blessed with my friend from tz

  • @josphatorina5131
    @josphatorina5131 2 ปีที่แล้ว +1

    Kali Sana my fellow gospel artist 💓

  • @AdahMoraa
    @AdahMoraa 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mungu wangu kwa wokovu mkuu .....tangia kuokoka kwangu Niko tu salama🙏🙏🙏

  • @croxzfireGideonsirma
    @croxzfireGideonsirma 2 ปีที่แล้ว +1

    I like the song... following from Kenya

  • @conyfay7434
    @conyfay7434 2 ปีที่แล้ว

    Thanks for the,new cogrants ,continue improving af naeza pata kuwa dancer wenu

  • @unclenico9738
    @unclenico9738 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow kenya 🇰🇪 tuko salama

  • @vivianchebii5918
    @vivianchebii5918 2 ปีที่แล้ว +2

    Wow wow amazing mam congratulations 👏 for the good work you are doing continue blessing us mom

  • @mintonationtv5075
    @mintonationtv5075 2 ปีที่แล้ว +2

    Nice song indeed. Congratulations siz Kerubo i see ur're on another level now

  • @nettoreto9842
    @nettoreto9842 2 ปีที่แล้ว +2

    Aawwww this is awesome dear Siz fenny, annoint is always good, the colabo is extremely nice ,be blessed

  • @josephatonyamo6315
    @josephatonyamo6315 2 ปีที่แล้ว +1

    Congratulation my siz you are a blessings to many souls keep the fire burning

  • @mcsimohmutuku
    @mcsimohmutuku 2 ปีที่แล้ว

    I love it hakika kwa yesu ni salama salmini 🙏 more favour allocate you @fennykerubo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥.

  • @lidiaauma3744
    @lidiaauma3744 2 ปีที่แล้ว +2

    Wow i like your songs mama i feel so much blessed hope one day we work for God together my desire🙏

  • @NyabokeIrene84
    @NyabokeIrene84 2 ปีที่แล้ว +6

    Impressive

  • @nyanchokajanet5190
    @nyanchokajanet5190 2 ปีที่แล้ว +3

    Wouw wouw I was smiling all through, "kwa Yesu salama" am really blessed.

  • @esthernyaboke1764
    @esthernyaboke1764 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli ni salama great work siz

  • @lisa07ization
    @lisa07ization 2 ปีที่แล้ว +3

    Christian worship with an African twist to dance and attire 🪘 🥁 music 🎼 music 🎵 worth spending time on great background as I do house chores🌃👍💒🎆🙏🌠☕️

  • @lucasmachani6306
    @lucasmachani6306 2 ปีที่แล้ว +2

    Sky is the only limit for you my best friend. You deserve a crown and you were sent to fulfil a mission that you're yet to accomplish. Thanks for blessing us every other time.

  • @joysorewitindi8542
    @joysorewitindi8542 ปีที่แล้ว

    Nice song dada yaani nyimbo zako zote zampendeza hakuna ilio mbaya uko juu keep up madam

  • @hollinessmwawughanga5769
    @hollinessmwawughanga5769 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa Yesu ni Salama kabisaa 🥰🥰🥰☑️

  • @geoffreytheprincemwimbaji9343
    @geoffreytheprincemwimbaji9343 2 ปีที่แล้ว

    AMANI IS VERY CREATIVE DIRECTOR OF HIMSELF
    ANASEMA WIVU WALA CHOYO.. NIMEJIFUNZA JAMBO KUUU KWAKE

  • @FridahMawiaBBLDMwinzi
    @FridahMawiaBBLDMwinzi 2 ปีที่แล้ว +1

    So Great kwanza that dance

  • @trizah482
    @trizah482 2 ปีที่แล้ว +2

    Finally out wowwwwwww ni salama weueeee🥰🥰🥰😊😊😊😊😊😊 nice song mama Fenny mbarikiwe sana 🙏🙏♥️

  • @dorcahnyabo4713
    @dorcahnyabo4713 2 ปีที่แล้ว

    kongore sana nice song for encoraging to have faith in God every thing is possibble mungu azidi kuwatia nguvu yakutangaza njiki kupitia nyimbo

  • @abe9104
    @abe9104 2 ปีที่แล้ว +1

    nice song and nice dance ad nice voice God blessing you syster and brother amen

  • @rodgerskilia863
    @rodgerskilia863 2 ปีที่แล้ว +1

    Tumebarikiwa kweli tu salama

  • @kennedyotwori9056
    @kennedyotwori9056 2 ปีที่แล้ว

    Kajunior pia kako poa. Very nice song.

  • @lidiacheplee058
    @lidiacheplee058 ปีที่แล้ว

    Kucheza Kwa rose muhando,sauti zenu na annoint zinakaa kufanana,gud song

  • @clairenyamisa8592
    @clairenyamisa8592 2 ปีที่แล้ว +1

    Waiting,,, na be bless fenny

  • @ruthmomanyi6549
    @ruthmomanyi6549 2 ปีที่แล้ว +2

    Be blessed hakika kwa yesu ni salama 🙌

  • @luckytaruvinga7170
    @luckytaruvinga7170 2 ปีที่แล้ว

    I’m from Zimbabwe but Fenny do me the best wowww . Furaha yangu nio njila ya Yeso Mungu mzuri

  • @victoramwamumusic5609
    @victoramwamumusic5609 2 ปีที่แล้ว +2

    Who else agrees with me that this is a hit song drop likes

  • @matonorma9405
    @matonorma9405 2 ปีที่แล้ว +1

    Watching from Papua New Guinea seeing my brothers and sisters from other part of the world.
    Which country and what does the song mean.

  • @perisbeib2126
    @perisbeib2126 2 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah kwa Yesu niko Salama pamoja na familia yangu 💃💃💃💃💃💃💃💃💃Nabarikiwa sana kwa nyimbo

  • @v.k.m5475
    @v.k.m5475 2 ปีที่แล้ว +2

    Very nice. Which studio plz?

  • @diveske1388
    @diveske1388 2 ปีที่แล้ว +2

    Hapa ni salama 🤗

  • @christinenaliakailovesongg9131
    @christinenaliakailovesongg9131 ปีที่แล้ว

    Asante Sanaaa mungu kwakunitoa Mbali Sana uimitiwe Upaki kuamungu Yani hii wimbo inanitoa stress.🙏👍

  • @everlynatieno9800
    @everlynatieno9800 2 ปีที่แล้ว

    Barkiwa sana watumishi hakika ndani ya yesu nisalama

  • @margaretkadira3756
    @margaretkadira3756 2 ปีที่แล้ว +1

    I dnt understand your music but I like it 💓💓💓💓💓

  • @sylviakissamunyole764
    @sylviakissamunyole764 2 ปีที่แล้ว +1

    More Grace ❤️❤️, 🇺🇬

  • @davidrasamba2644
    @davidrasamba2644 2 ปีที่แล้ว +1

    Good song with matching costumes

  • @abrahamotieno8187
    @abrahamotieno8187 2 ปีที่แล้ว +1

    Yes brother you never disappoint

  • @shalletchepkwmoi1733
    @shalletchepkwmoi1733 ปีที่แล้ว

    Mungu asidi kuinua iyo uduma in Jesus name 🙏

  • @Terryann25
    @Terryann25 2 ปีที่แล้ว +1

    Thanks to our king 👑 Amani even ur name means Peace that u give to our soul and our Queen 👑 for great blessings that u give to our soul.

  • @CarolSandol
    @CarolSandol 3 หลายเดือนก่อน

    Nice one my dear sister keep the fire burning 🙏🙏🙏🇰🇪🇯🇲🇯🇲🇰🇪

  • @rebeccakwamboka7592
    @rebeccakwamboka7592 2 ปีที่แล้ว

    For real fenny you got it after nimewatch thank you song imebidi ni watch song zako zote you got you talent and am happy you are introducing it to your kids be blessed

  • @immaculatekasoni9444
    @immaculatekasoni9444 2 ปีที่แล้ว +1

    My favorite artist .......go go mummy ❤

  • @kipngenobett9901
    @kipngenobett9901 2 ปีที่แล้ว

    Nice song fenny and annoit be blessed and maintain the same thing,l love this song so much Imagine narudia kila saa,,,,by the way I love all songs of kerubo,she teaches me so much,,be blessed.

  • @paulinekanini3532
    @paulinekanini3532 2 ปีที่แล้ว +1

    The best from my gal fenny,

  • @langatevanskitolindet8675
    @langatevanskitolindet8675 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimesikia fsuri sana😘😘😍

  • @faithmutie9790
    @faithmutie9790 2 ปีที่แล้ว +1

    This one on another level, good one keep up!

  • @meriboni6842
    @meriboni6842 2 ปีที่แล้ว +1

    Best collabo ever

  • @florencenyamai7829
    @florencenyamai7829 2 ปีที่แล้ว

    Tamu sana....Asante yesu kwa wokovu.....more grace dears....nawapenda❤️❤️❤️

  • @opiojohnrobert4389
    @opiojohnrobert4389 2 ปีที่แล้ว +1

    Yeah may the almighty continue blessing you with the best

  • @Pareso-i4n
    @Pareso-i4n 10 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi mungu awabariki sana, muendelee kuinjilisha.

  • @pollysmall6817
    @pollysmall6817 2 ปีที่แล้ว +1

    always nlove with your music

  • @agnesmwende1104
    @agnesmwende1104 ปีที่แล้ว

    Hayawe hayawe by Rose Mohando same as this...blessings kerubo.