NIKONA UJUMBE KWA AJILI YAKO { MWANAUME } // Pastor Ezekiel Teaching

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 167

  • @FridahKanyiri-s9m
    @FridahKanyiri-s9m วันที่ผ่านมา +1

    Naomba mpamgo wA kando aliye Na bwanangu apigwe Na radi ya nguvu za yesu, in Jesus name,Na mume wangu awakumbuke watoto wake

  • @JudithMbinya-lv4ol
    @JudithMbinya-lv4ol 12 วันที่ผ่านมา +1

    That's the reality Pastor

  • @rodemaryatieno5547
    @rodemaryatieno5547 13 วันที่ผ่านมา +2

    Exactly and absolutely right 👍 pastor umesema ukweli kabisa 👍🙏🙏

  • @evefadhili2528
    @evefadhili2528 10 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu nifungue mkono wangu wakulia

  • @CanzyCaroo
    @CanzyCaroo 11 วันที่ผ่านมา +1

    Linet upigwe na radi ya damu yesu uachane na mme wangu ,mungu naomba unipiganie nimelia ya kutosha

  • @margaretmwangi4158
    @margaretmwangi4158 14 วันที่ผ่านมา +1

    Wisdom of another Level.... Ministry of Absence❤ PASTOR SEMENI HAYA YAMEKIMYA KWA MABOMA MOB😊

  • @victoriambithe8801
    @victoriambithe8801 23 วันที่ผ่านมา +6

    I connect my exams with this higher alter in jesus name

  • @surehamlela8538
    @surehamlela8538 18 วันที่ผ่านมา +1

    Safi mtumishi wa mungu wafunguliwe wanaume wote kwa jina la yesu

  • @JudithMbinya-lv4ol
    @JudithMbinya-lv4ol 12 วันที่ผ่านมา +1

    Ata na Mimi mpanga WA kando aliye na bwanangu afahamiwe na radi ya Moto wa damu ya yesu aachane na mume wangu Kwa jina la yesu 🙏🙏

  • @harrisonmaina9451
    @harrisonmaina9451 24 วันที่ผ่านมา +2

    I Love this pastor ametumwa na Mungu 💕

  • @bensonmurage4872
    @bensonmurage4872 13 วันที่ผ่านมา +1

    This bitter truth, waambie waskie wasisikie.

  • @marthamaghala
    @marthamaghala 14 วันที่ผ่านมา +1

    Very true pastor, Mipango ya kando yote iaachilie Ndoa yangu in Jesus name, Aisha Ogol, Lucy Waithaka, Caroline, Violet, Waleghwa, wapigwe na radi ya moto wa Yesu,, na walazwe , wakose amani milele in Jesus name amen 🙏

    • @CallenMokeira-z1h
      @CallenMokeira-z1h 6 วันที่ผ่านมา

      Hao wote ghaiiii huyo mwanaume hajiheshimu😢

  • @MaryCheptoo-ec6bl
    @MaryCheptoo-ec6bl 14 วันที่ผ่านมา +1

    Amen pst,wapikwee na radii in Jesus name, rayline acha mungu a deal na wwe, nmelia yakutosha wacha mungu anipikanie.

  • @irenemwanza9280
    @irenemwanza9280 26 วันที่ผ่านมา +2

    Ukweli kabisa Amen pastor barikiwa sana Chao ni kutunza wake wa mpango wa kando na kwao kumekwama God forbid

  • @carrolinechepngenoh
    @carrolinechepngenoh 28 วันที่ผ่านมา +2

    God our men to come Kwa mpango wa kando... oooout

  • @naomichelangat-t3j
    @naomichelangat-t3j 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu toa mpango was kando kwa Mzee wangu and the spirit of for ladies.

  • @JuliethLyimo-bv8vl
    @JuliethLyimo-bv8vl 14 วันที่ผ่านมา +1

    Paster nakupendaga bure

  • @gracemuthoka2389
    @gracemuthoka2389 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hii. Madhabahu. Ikavunje na kukosesha amani kaveke na wala watoto wake wasiwai pata amani kwa jina.la yesu. Cha kwake chote kikawe laana kwa jina la yesu.

  • @EdmondEvanda
    @EdmondEvanda 27 วันที่ผ่านมา +2

    Amen Amen 🙏🙌 God bless you my pastor 👏👏👏👏👏👏

  • @EstherMutuku-q8j
    @EstherMutuku-q8j 23 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu ondoa spirit ya wake kwa baba ya watoto wangu na rundisha nyota yake.ya kazi ni Jesus name

  • @KIRUI-m8r
    @KIRUI-m8r 29 วันที่ผ่านมา +2

    mmmmmmh pastor siku hizi amenenepa..🤗

  • @cynthiamutai268
    @cynthiamutai268 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu kupitia hii madhabau unifungulie kazi yangu ya mkono watu wanitafute huu mwaka na ndo yangu uifungue in-laws wakuheshimu wewe

  • @AngelahMutua-o9w
    @AngelahMutua-o9w 29 วันที่ผ่านมา +4

    God have mercy on men

  • @dadiidelion3148
    @dadiidelion3148 29 วันที่ผ่านมา +2

    Wah hapa wanaume tumeambiwa ukweli 😮God bless you pastor

  • @kevinodhaimbo4465
    @kevinodhaimbo4465 28 วันที่ผ่านมา +2

    May God continue to use you

  • @PHILLIS-p5s
    @PHILLIS-p5s 29 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu utusaidie

  • @mableminayo
    @mableminayo 28 วันที่ผ่านมา +4

    Ameeeen pasita hiyo ulimujibu vizuri kabisa mafunzo Yako mazuri wanaume musikiye

  • @IreneKwamboka-h4k
    @IreneKwamboka-h4k 29 วันที่ผ่านมา +2

    Nifungue na mm mungu wangu nimeteseka Mika mingi in jesus neme amen

  • @albertorenge5766
    @albertorenge5766 29 วันที่ผ่านมา +3

    Mutumizi wa mungu huremiwe, God bless u

  • @euniceomaore6442
    @euniceomaore6442 28 วันที่ผ่านมา +1

    Naitaji npokee ndoa roho ya Taraka Ouuuuuuuut 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MARYVICENT-m9c
    @MARYVICENT-m9c 29 วันที่ผ่านมา +2

    Pastor Asante kwa kusema hayo ,Kuna wanaume wamekuwa na tabia mbaya Sana, wanaacha mke na watoto ,tena hata kulea watoto ameeacha ,then anataka kuoa mwanamke mwenye kazi ,Mungu tuepushe na wanaume wenye tabia

  • @joyceserem6568
    @joyceserem6568 29 วันที่ผ่านมา +3

    Very true pastor,hao mipango ya kando are after money only, honey suckers

  • @roselyneochalu9943
    @roselyneochalu9943 14 วันที่ผ่านมา +1

    Ameeeeen 👏👏👏👏

  • @jacklineingati6955
    @jacklineingati6955 11 วันที่ผ่านมา +1

    Unasema ikweli kabisa natuma hii ijumbe kwa mume wangu alibebwa na mupango wakando alinitesa kweli akachukia hata watoto aliwazaa jamami mungu si umuridishe mume wangu

  • @peternboss5561
    @peternboss5561 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ameeeeen yesu

  • @DennisNdiema
    @DennisNdiema 18 วันที่ผ่านมา +2

    Ukweli mtupu

  • @DorothyNashipei-he7ko
    @DorothyNashipei-he7ko 26 วันที่ผ่านมา +2

    Very true pst

    • @KangitaMweene
      @KangitaMweene 13 วันที่ผ่านมา

      natuma moto kwa walie na mpango wa kato kwa jina ra yesu

  • @GladysJemeli-c4g
    @GladysJemeli-c4g 28 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu toa mpango wa kando Kwa maisha ya Mume wangu Mungu tafadhali😢

  • @FaithmueniMueni
    @FaithmueniMueni 28 วันที่ผ่านมา +2

    Susan Aching, achana n Baba Marion n upingwe n moto n radi ya roho wa mungu ukufie ukooooo

  • @hylessmmbone8272
    @hylessmmbone8272 29 วันที่ผ่านมา +2

    Amen 🙏🙏🙏🙏 pastor mume wangu arudi Kwa nyumba yake tulee watoto

  • @naomichelangat-t3j
    @naomichelangat-t3j 26 วันที่ผ่านมา +2

    Mama mkwe Na shemeji ameharibu ndo yangu

  • @hylessmmbone8272
    @hylessmmbone8272 29 วันที่ผ่านมา +20

    Huyu mwanamke Dorothy imoja natuma radi ya Moto kwake , Kupitia hii madhabau mume wangu awachane na mpango wa kando in Jesus name

    • @Chrisdorah
      @Chrisdorah 28 วันที่ผ่านมา +4

      Hey hope si mimi😂😂😂😂, ju pia nilikuwa kwa mume WA watu, I was number 5 , na nilijitoa pia, naomba Mungu nirudi kwa ndoa yangu ya kwanza

    • @hylessmmbone8272
      @hylessmmbone8272 28 วันที่ผ่านมา +1

      @@Chrisdorah sio wewe Dorothy imoja

  • @DinarFils
    @DinarFils 29 วันที่ผ่านมา +1

    Wanaume wenzangu hello,,, ujumbe wa Bure huo tumakinike tusimalize vibaya.... Thanks pastor

  • @JeremiahMwangangi-v7o
    @JeremiahMwangangi-v7o 29 วันที่ผ่านมา +1

    Very powerful message man of God

  • @JanetWayua-c1r
    @JanetWayua-c1r 26 วันที่ผ่านมา +4

    Namimi naomba mume wangu achane na pombe anasaau watoto hatujali

  • @shizney.norry45
    @shizney.norry45 26 วันที่ผ่านมา +1

    Very true pastor Ezekiel

  • @VedastinaSosthenes
    @VedastinaSosthenes 12 วันที่ผ่านมา +1

    Pastor nisaidie niachane na mipango kando ktk maisha yangu

  • @PeterKoskei-w1c
    @PeterKoskei-w1c 14 วันที่ผ่านมา

    I salute your ministry pastor

  • @BonfaceMakori-ku4cp
    @BonfaceMakori-ku4cp 29 วันที่ผ่านมา +1

    Pastor nakupenda bure

  • @phylismwihaki4706
    @phylismwihaki4706 29 วันที่ผ่านมา +1

    This message is very touching for all men's

  • @carolinengeno885
    @carolinengeno885 28 วันที่ผ่านมา +1

    True! True! True!❤❤❤

  • @GetrudeNyabera
    @GetrudeNyabera 28 วันที่ผ่านมา +1

    God have mercy upon our men

  • @JavansOlang
    @JavansOlang 29 วันที่ผ่านมา +2

    May God protect me so that I may not pass in such a situation.

  • @princeazazi7128
    @princeazazi7128 26 วันที่ผ่านมา +1

    Truth must be told

  • @rehemambodze7532
    @rehemambodze7532 29 วันที่ผ่านมา

    Natuma radi ya moto wa damu ya yesu kwa madhibahu haya kwa kadzo charo kilifi kwa kuvunja ndoa za wengine in Jesus name

  • @Irine-ei9ec
    @Irine-ei9ec 26 วันที่ผ่านมา

    Mpango wa kando umekula mumè wangu Adi anakaaa kuchanganyikiw kwa jina la yesù uĺazwe

  • @dennisokioga6026
    @dennisokioga6026 20 วันที่ผ่านมา

    Hii nayo n kweli pastor mm kwanzia leo nimelekepika kwa kweli

  • @omosajosephat8054
    @omosajosephat8054 29 วันที่ผ่านมา +1

    Message well delivered pastor

  • @Nangaikalumekenge
    @Nangaikalumekenge 27 วันที่ผ่านมา

    Nabii endelea kutunasihi. Mungu akubariki na kukujaalia maisha marefu.

  • @gladysbosibori8192
    @gladysbosibori8192 29 วันที่ผ่านมา +1

    mungu saidia ndoa yangu

  • @vincentjuma758
    @vincentjuma758 26 วันที่ผ่านมา +1

    Asante kutuelimlsha

  • @BentaNduku-r2t
    @BentaNduku-r2t 27 วันที่ผ่านมา

    Nilikuwa kwa ndoa ya mpango wa kando bila kujua ,kupitia mafundisho ya pastor ezekiel nilielewa vizuri na nikatoka kwa hio ndoa leo hii nina amani nashukru asante yesu

  • @rehemambodze7532
    @rehemambodze7532 29 วันที่ผ่านมา +1

    Very true pastor

  • @JanetMichael-eb2uz
    @JanetMichael-eb2uz 29 วันที่ผ่านมา +4

    Carol mulongo mpando wa kando live my husband alone before 15th in Jesus mighty name 🙏🏿

  • @beatricemila
    @beatricemila 29 วันที่ผ่านมา +1

    Amina pastor

  • @tomcharles5111
    @tomcharles5111 29 วันที่ผ่านมา +1

    True pastor 😊😊

  • @nicholas18
    @nicholas18 29 วันที่ผ่านมา +1

    Keep up pastor

  • @shizney.norry45
    @shizney.norry45 26 วันที่ผ่านมา

    Mume wangu aajiliwe kupitia mathapau Aya yetu yatetee familia yangu 🙌

  • @joyceserem6568
    @joyceserem6568 29 วันที่ผ่านมา +1

    Very true tell them 👏👏👏👏👏

  • @Dorcas-u9m
    @Dorcas-u9m 29 วันที่ผ่านมา +1

    That's true pastor mi nilikaa kwa step mother ile mateso nilipitia wachatu ilibidi nitoroke niache shule niende kwa mama mzazi na hivyo ndvyo maisha yangu rayianza kuyumba yumba

  • @HappyElias-t9f
    @HappyElias-t9f 25 วันที่ผ่านมา

    Makusudi ya Mungu hayawezi kuzuilika✍️

  • @sikitugeorgette
    @sikitugeorgette 29 วันที่ผ่านมา +1

    Amen Amen Amen🙏🙏🙏❤🇨🇦

  • @josephobegi
    @josephobegi 27 วันที่ผ่านมา +1

    Wanamume mungu atudaidie jamani

  • @JacintaZawadi-u9m
    @JacintaZawadi-u9m 27 วันที่ผ่านมา

    MUNGU tuhurumie Sisi. Wajane akii😭😭😭

  • @beatricemila
    @beatricemila 29 วันที่ผ่านมา

    Emma kaluki naomna Mungu utume nguvu za radi kwake wakosane Maisha

  • @WinnieGift-y1k
    @WinnieGift-y1k 18 วันที่ผ่านมา

    Very true

  • @Irine-ei9ec
    @Irine-ei9ec 26 วันที่ผ่านมา

    Spinicah nyabùto ulazwe ward number 8 kwa jina la yesu

  • @SallyChem-n2j
    @SallyChem-n2j 18 วันที่ผ่านมา

    Nataka mungu arejeshe ndoa yangu kupitia hii madhebahu yangu ya new life tv

  • @NelliusN
    @NelliusN 24 วันที่ผ่านมา

    Paster mimi nandai mume wangu wa undogo wangu ,in jesus name

  • @Kam.109
    @Kam.109 28 วันที่ผ่านมา

    Cha kuniudhi Ni kupelekwa watoto wangu Kwa mpango wa kando Kellen

  • @SMl-b7p
    @SMl-b7p 19 วันที่ผ่านมา

    Amen I want my man back kutoka kwa mpango wa kando

  • @elphasimbiakha1018
    @elphasimbiakha1018 28 วันที่ผ่านมา +1

    😢😢😢 pastor 😢why are you saying the truth

  • @bijouxkabasele1212
    @bijouxkabasele1212 13 วันที่ผ่านมา

    Ameeeeeen

  • @beatriceapondi5243
    @beatriceapondi5243 29 วันที่ผ่านมา +1

    Grace Musa, waçhana na mume wangu Edwin Mutali Misiko , radi ya damu ya yesu iwatenganishe

  • @shizney.norry45
    @shizney.norry45 26 วันที่ผ่านมา

    Happy Sasa pastor 🙌

  • @IreneKwamboka-h4k
    @IreneKwamboka-h4k 29 วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @Chrisdorah
    @Chrisdorah 28 วันที่ผ่านมา +2

    Natuma radi ya moto wa damu ya Yesu kwa mpango wa kando aliye na bwanangu

  • @carolchepkemoi8579
    @carolchepkemoi8579 29 วันที่ผ่านมา

    👏👏👏👏Topoa pastor

  • @munyao-o9x
    @munyao-o9x 22 วันที่ผ่านมา +2

    nimekataa mipango ya kando kuanzia sasa

  • @JeremiahMwangangi-v7o
    @JeremiahMwangangi-v7o 29 วันที่ผ่านมา

    God have mercy upon your men😢😢

  • @Kam.109
    @Kam.109 28 วันที่ผ่านมา +1

    Martin uliachana Na Mungu ndio ushinde Kwa mpango wa kando Kellen Na kufanyanya watoto wake wako...uteseke..hakuna kupembeleza

  • @MercyNalonja-i9f
    @MercyNalonja-i9f 28 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏

  • @euniceapondi-z7g
    @euniceapondi-z7g 17 วันที่ผ่านมา

    Out ni njee,,watoke wote kwa michipuko washughulikie watoto wao na bibi zao....
    Radi ya moto ya damu ya Yesu twanga Lilian Muindi dakika hii...katika Jina la Yesu Kristo.

  • @periskoigi6088
    @periskoigi6088 29 วันที่ผ่านมา

    Surely,, hata hawa wafathee husikia vile pastor usema,

  • @NzohabonayoJivenal
    @NzohabonayoJivenal 26 วันที่ผ่านมา

    😢burundi tunaskia 😢😢😢😢😢😢😢

  • @kaingudoris3959
    @kaingudoris3959 19 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤

  • @evefadhili2528
    @evefadhili2528 10 วันที่ผ่านมา

    Roho ya kukamata finances zangu iniachilie

  • @JuliteNabwire
    @JuliteNabwire 28 วันที่ผ่านมา

    Ukweli ata ungemupea hangenda nyumbani angerudianatu nayeye ukweli past 🙏🙏🙏

  • @roselyneochalu9943
    @roselyneochalu9943 14 วันที่ผ่านมา

    👏👏👏👏👏👏

  • @JacklineDavid-m9u
    @JacklineDavid-m9u 28 วันที่ผ่านมา +1

    Maombi poster