JINA LA YESU .. Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye. Wakolosai 3:17 .. Yeye ndiye jiwe lile lililodharauliwa na ninyi waashi, nalo limewekwa kuwa jiwe kuu la pembeni. Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo. Matendo ya Mitume 4:11-12 .. Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba. Wafilipi 2:9-11 .
JESUS is the name that is ABOVE all names. At the mention of that name, every knee shall bow and every tongue confess that Jesus is LORD! (Philipians 2:9,10).
@@hassanmaulid2166 wewe unakwenda kuabudu jiwe jeusi...linaongea ???? na unaamini...kuwa unasamehewa dhambi hapo inakuwaje??jiwe lisamehe dhambi??? ukiwa hujui imani ya mwenzio uliza....aliekwambia YESU kaumbwa nani??? .. umesoma wapi??? lile jiwe halijaumbwa au sio???? wewe unaabudu usichokijua mimi naabudu ninacho kijua...nikikuuliza Allah ni nn?? utasema Mungu...sawa Ni nn??? hujui...Mimi ninajua...shirk unaifanya wewe unakwenda makaburini huioni..??? unakwenda makkah iliusamehewe dhambi...unaamijiwe ni takatifu ...hiyo ndio shirki....niliongelea Imani yangu ila kwakuwa unaushetani unakukeleketa ndani lazima utake kukosoa....huwezi kuheshimu imani ya mwingine....kuswali na majini sio shrik..Shirki umeiona kwangu...unakwenda msikitini ukimaliza kuswali unageuka kulia na kushoto unasalimia unawasalimia waislam wenzio majini...hiyo sio shirki....ila umeiona kwangu...isafishe nyumba yako kwanza na uhakikishe haina uchafu ndo uje kwenye nyumba yangu sawa eeee...
@@jesusislord9190 hehee hata kwenye bibilia jiwe lipoo upoo usituchefuwe ukitaka ushahidi nitakupaa bora ningeabudu jiwe kuliko kumuabudu binadamu anayekula na kunya
@@subiramohd1895 biblia imeandika msichonge jiwe wala msijitengenezee sanamu nakuuliza ile makkah sio sanamu na jiwe...lakini kunamtu ameshawahi kuwauliza???? Ni kwasababu wakristo tunautamaduni wa kutokulazimisha mtu kuamini tunachokiamini mie niliongelea ninachokiona...na kukiamini...muislam kama wewe akaja akanikosowa je ?? Mie nilishawahi kumkosowa mtu asemapo juu ya imani yake??? Mbona niliposema juuu ya imani yangu asie wa imani yangu aje kunikosowa???? Ninaakili ninajua ninachokifuata....wewe unaakili unajua unachokifuata kama kunakitu nataka kujua juuu ya imani yako nintakuuliza sintojifanya kujua muislam mwenzio amenikosowa juuu ya imani yangu hakutaka kuuliza mie nikamuuliza ok wewe unasema ni shirki kuamini kilichoumbwa na MUNGU je wewe makkah...lile jiwe jeusi linalowaondolea dhambi...limeumbwa au limejiumba???? Ni shriki au sio shirki....
Quran 5:47 Na wahukumu Watu wa Injili kwa yale aliyo teremsha Mwenyezi Mungu ndani yake. Na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu basi hao ndio wapotofu ... ... Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye. Wakolosai 3:17 .. .. Yeye ndiye jiwe lile lililodharauliwa na ninyi waashi, nalo limewekwa kuwa jiwe kuu la pembeni. Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo. Matendo ya Mitume 4:11-12 .. .. Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba. Wafilipi 2:9-11
@@subiramohd1895 Umesema hata dalili ya kutubia hakuna...kwani wewe ndo Allah? kiasi cha kuwa na uwezo wa kufaham kama ametubia au haja tubia? Allah anasema wahukumu Watu wa Injili kwa yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu kwenye Injili.... Una fahamu kilichopo kwao? .. Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu. Isaya 1:18
@@Deokitasa mimi si Allah lakini siioni mana wanaojutia inakuwa weshajua makosa yao wanarudi kwa mungu huyo ndo kwanzaa anaritadi dini nyengine niache napika ftari miye
@@subiramohd1895 Sio lazima uone wewe kwasababu kuona na kuhukumu hiyo sio kazi yako ni kazi ya Mwenyezi Mungu mwenyewe , Kumbuka wewe unaona kutokana na uelewa wako na ufahamu wako unapoishia chochote kilichopo nje ya uelewa wako na ufahamu wako hauwezi kukioa na kukielewa, Tatizo binadamu wengi tuna tafsiri vitu kwa jinsi tulivyo sio kwa jinsi vilivyo.
Mm nikupe pole2 ww shekhe nawenzako mlotoka kwenye dini yenu kwamambo yakipuuzi nadhania bado ulikua hujawa shekhe alotimia nashekhe alotimia kwanza hawezi kua mshirikina pole sana kaka
@@asdasd9253 huwezi kuwa na connection na majini Kisha ukawa mtu mwema hiyo ni ndoto. Ndiyo maana Kila alieshika dini Sana anakuwa mchawi. Huo ni ukweli, ukipinga hapa nafsi yako inajua ukweli.
Huyu jama ni mwongo .anasema wanachukua wenyewe. na yule mtu wa bakora alisema vizuri sana anakwenda na kibuyu anafanya ajali kisha anawapaka dawa kisha damu yao inaigia ndani ya kibuyu
Team Davistar nina ombi tuanzishe group kama wana family, ikitokea tatizo tunasaidiana., Nimeuguliwa alafu sina pesa wapenzi, mwenye chungwa ndizi embe kwajili ya mgonjwa wangu tuwasiliane.
pili huyu jama kama ni mkweli aliekuwa ni ustadh au sheikh na akaritadi bas hakuwa na ilimu ya kihisilamu .bali ni mwongo kabisa. nnakama alikuwa mwisilamu. bas yeye atakuwa ni mtu wamotoni .ndio maana alitoka kwa uisilamu.
@@mpandamohamedmsoke9722 kweli hakuwa na uislam wowote alianza kupotezwa na yule bibi alipokuwa Ana miaka 6, na alipoenda chuoni akapambana na mchawi mkubwa ndio akampotea kabisa. Yeye wapi na u sheikh wapi farq Baina ya mbingu na ardh. Na bado tu ni mchawi mkubwa
Nimefika hapa ila sina raha kabisa na akina ndugai waziri wa fedha na CAG amaa kweli shujaa wetu JPM alizungukwa na mayuda wengi sana tuiombee TZ yetu na vizazi vyetu
Yesu ni mshindi milele..
JINA LA YESU
..
Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye.
Wakolosai 3:17
..
Yeye ndiye jiwe lile lililodharauliwa na ninyi waashi, nalo limewekwa kuwa jiwe kuu la pembeni.
Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.
Matendo ya Mitume 4:11-12
..
Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Wafilipi 2:9-11
.
Yesu ni mwamba kwa kweli dunia ina mambo ya ajabu sana. Tunahitaji ulinzi wa Mungu sana
JESUS is the name that is ABOVE all names. At the mention of that name, every knee shall bow and every tongue confess that Jesus is LORD!
(Philipians 2:9,10).
Amen
Nawakumbusha mzee wa bakora ni fundi ujenz Zabron nae ni mpaka rangi nae pia ni injinia mnaojenga wwpen madili
Hawa jamaa hatari kwanza mzee wa mikakati anafaa apewe msaada wadau wasimsahau
Ni Kweli Kabisa nitamuita
Zabron anipakie
Rangi
Nyumbani kwetu
@@sapnaabdallah1084 hutaboeka yani akimix rangi anakupa story live
@@straightkonect1613 nannavompenda Teena
@@sapnaabdallah1084 😄😂👍
Davistar mr facts....watching frm kenya indeed u are the best interviewer soo far i like your programme..much love❤❤🇰🇪🇰🇪
Mie namkubali saana Mzee wa bakora za kimkakati anaelezea vizuri saana uyo anatudanganya
There is POWER IN THE NAME OF JESUS 🙏🙏🙏🙏
Amen
Sisi tunao kutana na mapambano ya wazi na shetani tunajua Ukuu wa Jina la YESU.
@@hassanmaulid2166 wewe unakwenda kuabudu jiwe jeusi...linaongea ???? na unaamini...kuwa unasamehewa dhambi hapo inakuwaje??jiwe lisamehe dhambi??? ukiwa hujui imani ya mwenzio uliza....aliekwambia YESU kaumbwa nani??? .. umesoma wapi??? lile jiwe halijaumbwa au sio???? wewe unaabudu usichokijua mimi naabudu ninacho kijua...nikikuuliza Allah ni nn?? utasema Mungu...sawa Ni nn??? hujui...Mimi ninajua...shirk unaifanya wewe unakwenda makaburini huioni..??? unakwenda makkah iliusamehewe dhambi...unaamijiwe ni takatifu ...hiyo ndio shirki....niliongelea Imani yangu ila kwakuwa unaushetani unakukeleketa ndani lazima utake kukosoa....huwezi kuheshimu imani ya mwingine....kuswali na majini sio shrik..Shirki umeiona kwangu...unakwenda msikitini ukimaliza kuswali unageuka kulia na kushoto unasalimia unawasalimia waislam wenzio majini...hiyo sio shirki....ila umeiona kwangu...isafishe nyumba yako kwanza na uhakikishe haina uchafu ndo uje kwenye nyumba yangu sawa eeee...
@@jesusislord9190 hehee hata kwenye bibilia jiwe lipoo upoo usituchefuwe ukitaka ushahidi nitakupaa bora ningeabudu jiwe kuliko kumuabudu binadamu anayekula na kunya
@@subiramohd1895 biblia imeandika msichonge jiwe wala msijitengenezee sanamu nakuuliza ile makkah sio sanamu na jiwe...lakini kunamtu ameshawahi kuwauliza???? Ni kwasababu wakristo tunautamaduni wa kutokulazimisha mtu kuamini tunachokiamini mie niliongelea ninachokiona...na kukiamini...muislam kama wewe akaja akanikosowa je ?? Mie nilishawahi kumkosowa mtu asemapo juu ya imani yake??? Mbona niliposema juuu ya imani yangu asie wa imani yangu aje kunikosowa???? Ninaakili ninajua ninachokifuata....wewe unaakili unajua unachokifuata kama kunakitu nataka kujua juuu ya imani yako nintakuuliza sintojifanya kujua muislam mwenzio amenikosowa juuu ya imani yangu hakutaka kuuliza mie nikamuuliza ok wewe unasema ni shirki kuamini kilichoumbwa na MUNGU je wewe makkah...lile jiwe jeusi linalowaondolea dhambi...limeumbwa au limejiumba???? Ni shriki au sio shirki....
Kazi nzuri davista
Bakora za kimkakati 🔥🔥,aliacha mbavu zangu hoi
Kishenzi yani
ni yupi huyo imeandikwaje jaman
hahahaaa
Yaan aisee nilicheka balaa nataman sana nimtafute ili ninunue kitabu chake 😁😁😁😁😁😁😀😀😀😀😀bakora za kimkakati
Jina la Yesu lina nguvu kupita majina yote
Wewe jinadi hapoo ila ujuwe adhabu ya mwenyezi mungu inakusubiri kabisaa
Quran 5:47
Na wahukumu Watu wa Injili kwa yale aliyo teremsha Mwenyezi Mungu ndani yake. Na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu basi hao ndio wapotofu
...
...
Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye.
Wakolosai 3:17
..
..
Yeye ndiye jiwe lile lililodharauliwa na ninyi waashi, nalo limewekwa kuwa jiwe kuu la pembeni.
Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.
Matendo ya Mitume 4:11-12
..
..
Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Wafilipi 2:9-11
@@Deokitasa ee nipishe hapo wee mtu murtadi kauwa maelfu na hana hata dalili ya kutubia amba nahukumu
@@subiramohd1895 Umesema hata
dalili ya kutubia hakuna...kwani wewe ndo Allah? kiasi cha kuwa na uwezo wa kufaham kama ametubia au haja tubia?
Allah anasema wahukumu Watu wa Injili kwa yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu kwenye Injili.... Una fahamu kilichopo kwao?
..
Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.
Isaya 1:18
@@Deokitasa mimi si Allah lakini siioni mana wanaojutia inakuwa weshajua makosa yao wanarudi kwa mungu huyo ndo kwanzaa anaritadi dini nyengine niache napika ftari miye
@@subiramohd1895 Sio lazima uone wewe kwasababu kuona na kuhukumu hiyo sio kazi yako ni kazi ya Mwenyezi Mungu mwenyewe , Kumbuka wewe unaona kutokana na uelewa wako na ufahamu wako unapoishia chochote kilichopo nje ya uelewa wako na ufahamu wako hauwezi kukioa na kukielewa, Tatizo binadamu wengi tuna tafsiri vitu kwa jinsi tulivyo sio kwa jinsi vilivyo.
Mi naona anae Kerwa na story ya Jamaa arudie story anayo elewa ....
Nice story 👏
Mm nikupe pole2 ww shekhe nawenzako mlotoka kwenye dini yenu kwamambo yakipuuzi nadhania bado ulikua hujawa shekhe alotimia nashekhe alotimia kwanza hawezi kua mshirikina pole sana kaka
Huyu hakuwa shekh alikua mchawii na hajui hata alifu kuisoma
Umeonaeee namwalimu wake pia alomfundisha hata alama yauislam hana
@@asdasd9253 huwezi kuwa na connection na majini Kisha ukawa mtu mwema hiyo ni ndoto. Ndiyo maana Kila alieshika dini Sana anakuwa mchawi. Huo ni ukweli, ukipinga hapa nafsi yako inajua ukweli.
Huu ushuhuda ni wa shehe Omary mnyesheni,nilimuona kwenye Chanel ya gwajima
Heeee ushindi ya wachawi😭😭🏃nikuhepa mbio
Wee.. MWAMBA WA miamba ni YESU.......
Huyu jama ni mwongo .anasema wanachukua wenyewe. na yule mtu wa bakora alisema vizuri sana anakwenda na kibuyu anafanya ajali kisha anawapaka dawa kisha damu yao inaigia ndani ya kibuyu
Zabron alisema walikuwa Wana kwenda na vibuyu vina mapepo ndani yake. Wao wanafanya accident na mapepo yanachukua damu.
Nazan kla mmoja na njia yake, maana hata Mussa Chessa naye alisababsha ajali lakn hakuwa na kbuyu na damu ilchukuliwaje?
Inawezekana mkuu
Mi hata sielewi anacho adisia na hiyo sauti yake imenitoa kwenye mstari kabsa
Kumbuka mussa chesa alisema kuw kila mchaw ana aina yake kwaio usisem uongo wakat ww ujui we sikiza jifunze
Neno linasema ,,,,usiseme uongo,,mmetumia picha nyingine kuelezea kwa video nyingine 😢😢watu wanafungua kulingana napicha walioiona hapo kwenyepost
Davistar Mr everything tunaomba umuulze aweke mambo wazi zaid. kwa mfano ni sura gani za quran alizofundishwa ili kuya control a nk
Jama hata c muelewi maana mm con Kama alikuwa shekh labda Kama angesema mshirikina labda ninge muelewa
@@shaibmlandula8384 huyu hakuwahi kuwa shekh alisomea uchawi tokea ana miaka sita hata madrasa hajapelekwa
@@subiramohd1895 apo nimekuelewa
Nami Pia nimewai mapema leo🙏🙏🙏🔥🇹🇿
Team Davistar nina ombi tuanzishe group kama wana family, ikitokea tatizo tunasaidiana., Nimeuguliwa alafu sina pesa wapenzi, mwenye chungwa ndizi embe kwajili ya mgonjwa wangu tuwasiliane.
Pole my
@@fatmaalrshdii7615 Ahsantee wng😘
Pole uko wapi
@@gosbertmuta5421 nipo nipoo nipoo
Duuh htr na nusu
Hakuna story iliyonifurahisha kama mzee wa bakora,nilijifunza mambo mengi sana kwa jamaa,popote ulipo kunywa pepsinakuja kulipa
Huyu ndio gwiji sasa, subri aje aanze kuelezea, wachawi wanavyo roga
Huyu ndio gwiji sasa, subri aje aanze kuelezea, wachawi wanavyo roga
pili huyu jama kama ni mkweli aliekuwa ni ustadh au sheikh na akaritadi bas hakuwa na ilimu ya kihisilamu .bali ni mwongo kabisa. nnakama alikuwa mwisilamu. bas yeye atakuwa ni mtu wamotoni .ndio maana alitoka kwa uisilamu.
Uyu anaweza akawa muongo wachawi mwenzao akifa lazima wamle nyama hawamuachi ata akizikwa lazima wamfukue wagawane
@@mpandamohamedmsoke9722 kweli hakuwa na uislam wowote alianza kupotezwa na yule bibi alipokuwa Ana miaka 6, na alipoenda chuoni akapambana na mchawi mkubwa ndio akampotea kabisa. Yeye wapi na u sheikh wapi farq Baina ya mbingu na ardh. Na bado tu ni mchawi mkubwa
Davistar Apostle kasema leo anatoa ushuhuda wake wa maisha maana mnaharibia sana😂
Kaishatoa ushuhuda wake😁
Nenda kajisikilie kwenye channel yake
@@Laila-lz4ij freshy acha nimskize
Aposto ameamua kumuiga davista maana ndio alio mtangaza akamuogezea subscribers mtu wa mungu unapangaa sadaka akafiee mbali huko mwana wa ibilisi yule
@@Laila-lz4ij nakwenda kuangalia pia
Ni yupi na mimi nikamjua....
Yaani katika waongo huyu bwege ni yeye pekee aliye shinda kwa degree classification 😂 kaka davista unapotea muelekeo wako brother 😅
Mr facts unachelewesha sana kupandisha number Alawi pia vilevile
Ndani ya nyumba wa 41 japonkinyonge sanaa 😥
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@pilimusa7770 jamniii unanicheka
Kwa nn wachaw wengi hutokea upande wa pili🤓
Bakora za kimkakati nimemiss sana broo
Jamani wewe umenishinda tabia uwiiiii
@@fatmaalrshdii7615 toka apa unaogopa wanaume
@@msalimsali6989 Sana aaa
@@fatmaalrshdii7615 na mm had nakuogpa
Wa kwanzaaa🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈
hongera😂😂😂
Hongera ❤️❤️❤️
@@moreenmbatha1147 asante.❤❤❤❤😘😘😘😘💃💃💃💃
Hongera mamy.. ❣️❣️❣️❣️
@@Teacher_01 asante kipenzi changu❤❤❤❤😘😘😘😘
Mzee wa bakora namsalimia
Wa11 ...duuh ktk mikoa ilotajwa nilizan sumbawanga utatajwa 😁😂😂😂
Nyumbani huko... 😂😂😂😂😂
Nyumbani huko... 😂😂😂😂😂
@@Teacher_01 😂😂😂itakua hamkualikwa akina omar walikua wachoyo 😂😂😂😂
sumbawanga si ndo Rukwa wametajwa apo
Bro dvst kuwa mstarabu uweunamnulia na mgeni wako kinywaji bwana sio unabugia weye tuu
Blessed🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💃💃💃💃💃💃💃💃💃
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@moreenmbatha1147 kachelewa huyooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
@@pilimusa7770 nilikuwachia uwanja kiasi siku nitaamka utalia
@@moreenmbatha1147 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu. Zangu mie uwiiiii😸. Maneno ya mchelewaji hayo.
Kwa kwel jana na leo,tupo pamoja
Hahaaaa hii story inachekesha kweli yan
Twende kazi sasa
Mimi naliona jiongo lipo lipo tuuuu chawi kubwa
Udini 🤣🤣🤣🤣
Mbona makasiriko usihukumu sio kaz yetu
Sabbu alikuwa shehe?
Duh shetani ana mbinu nyingi sana jaman looh simba tenaa?
JESUS
Jirani. Laila. Somoe. Zuu. Khulood. Kawthar. Kalssam. Shiza. Fatma. Sapna. Amina. Neema. Hamad. Kevarist. Dj. Aysha. Njooni🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎊🎊🎉🎉🎉🎈🎈🎈🎈🎊🎉🎉
Inshallah wanakuja
Nimefika hapa ila sina raha kabisa na akina ndugai waziri wa fedha na CAG amaa kweli shujaa wetu JPM alizungukwa na mayuda wengi sana tuiombee TZ yetu na vizazi vyetu
Tupo ❤️💃❤️💃
Punguza kunywa energy sio nzuri sn kiafya
@@saramichael397 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu.
Pamoja
🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Bado nipo naendelea
Asalam Aleykum😴😴🇪🇭🇪🇭
Walleko msalam kwaupande wangu nashukuru mwenyenzi mungu Mimi mzima WA afya njema kipenzi changu
@@fatmaalrshdii7615 ❤❤❤❤❤
@@fatmaalrshdii7615 Nmefurai kuxkia hivvo kipenzi❤❤❤❤❤
Walaykumu ssalaam warahmatullahi
Hii stori nishagaisikia ikisimuliwa na mwingine tena sijui inakuwaje
Hyo dawa ya kusafiria inapunguza gharama za kusafiri naenda dar mwanza na kurudi😃😃😃😃
😁😁😁😁😁
Kweli kabisa 😁😁
Nilijua tu kwamba yule jamaa wa mombasa alikiwa pale kwa lengo la kudadisi ili aokolewe tu
😶🙋♀️🙋♀️🙋♀️🙋♀️🙋♀️🤲🙏
👍👍👍
si pill musa siku hizi ataki mchezo kweli naye siku nitamua atalia
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu uwiiii
Mtu makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli nimekuja kuitika jina ticha nipo Jana na leo
huhuhuu
@@hamisimtemi3803 ulikuwa wapi wewe jamani mdau mwenzangu
@@fatmaalrshdii7615 missing you too Fatma
@@fatmaalrshdii7615 nlikua just a little busy
@@fatmaalrshdii7615 unaendeleaje lkn wew
Mbona kanono nikimuona awali alikua mwembamba kweli
💪💪💪
Nani amesikia hii ya lita saba ya dam 🤣🤣
nikamkumbuka Lwanda Magere na bakora za kimkakati
Wote tumeskia labda ww
🙄🙄🙄🇰🇪
Balaaaa
Bakora za kimkakati
Leo wa 30 hahaaaa
Hongeraa
Hongeraa
Kesho wahi kidogo😂❤❤❤❤
@@credo7837 Asante bby
@@pilimusa7770 sawa mpenz hahaaa
Mtu makin