JESUS IS MINE cover by Spirit of Praise YAHWE UHIMIDIWE and UNABAKIA MUNGU Praise Atmosphere

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 45

  • @CongoVisionTV
    @CongoVisionTV ปีที่แล้ว +1

    God bless you brother , I'm in USA and tonight you bless my night at work well you're singing I feel protected and safe under the power of my God 🙏🙏🙏

  • @JonasKaingo
    @JonasKaingo 7 หลายเดือนก่อน

    Mubarikiwe Sana watoto wa Mungu.❤

  • @EstherMungei-hs2bj
    @EstherMungei-hs2bj ปีที่แล้ว +1

    Wau,baraka tele

  • @terriansasala5442
    @terriansasala5442 ปีที่แล้ว

    Wow....youre truly anointed
    More grace in youre ministry
    i have been blessed 🙏

  • @ruthnafuna3423
    @ruthnafuna3423 ปีที่แล้ว

    My GOD coutinue liffting yuo up🙏🙏🙏🙏🙏 ilove your songs ....much blessings🙏

  • @tumusimeesau4807
    @tumusimeesau4807 ปีที่แล้ว

    Asentisana bwana yesu

  • @janemurimi4486
    @janemurimi4486 ปีที่แล้ว

    God bless you you're going far

  • @perusalice8967
    @perusalice8967 ปีที่แล้ว +1

    God bless us

  • @gentrinemukosero-zk6wc
    @gentrinemukosero-zk6wc ปีที่แล้ว

    💃💃💃💃💃💃💃 Amen

  • @HaggaiWamalwa-mw9pu
    @HaggaiWamalwa-mw9pu ปีที่แล้ว +1

    Much blessed,mungu awabariki sana team Danny, Jesus is mine indeed.

  • @helleninzeyi
    @helleninzeyi ปีที่แล้ว +1

    Nice compilation💃💃🕺💃🕺🕺 halleluyah... God is great🙏

  • @johanesfrolence7368
    @johanesfrolence7368 ปีที่แล้ว

    Wow good job GOD blessed you servant of GOD🙏🙏🙏

  • @kiliswatv9150
    @kiliswatv9150 ปีที่แล้ว

    More fireeeeeeeeee🔥🔥🔥🔥

  • @johanesfrolence7368
    @johanesfrolence7368 ปีที่แล้ว

    Sifa ndio hii Sasa mpaka unajisikia kutetemeka kazi yako ninjema sana MUNGU azidi kukufanikisha kwasababu tulikosa vitu kama ivi muda mrefu🙏🙏🙏🇮🇱🇮🇱🇮🇱

  • @ogagonabukhaki5629
    @ogagonabukhaki5629 ปีที่แล้ว

    Jesus is mine all times team Danny bless may God continue to bless you ❤

  • @IRENEIrene-t3m
    @IRENEIrene-t3m ปีที่แล้ว

    Hakika nimeona kwa macho.barkiwa sana .

  • @ruthmwangi3807
    @ruthmwangi3807 ปีที่แล้ว

    Kazi poa mtumishi 👏👏👏👏may God keep you to continue blessing us with such wonderful voices

  • @Noel-f9v
    @Noel-f9v ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana 🙏🙏🙏

  • @janemukami-gr6br
    @janemukami-gr6br ปีที่แล้ว

    God bless you and your team

  • @mercynafula-ob3jn
    @mercynafula-ob3jn ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @lucygathure
    @lucygathure ปีที่แล้ว

    Wow hallelujah thank you

  • @ElizabethMkare
    @ElizabethMkare ปีที่แล้ว

    Na ona niko kanisani nasikia kubarikiwa

  • @billkangi1359
    @billkangi1359 ปีที่แล้ว

    Great Work let Gods name be lifted higher for Jesus is mine Amen

  • @khwatengemichael2107
    @khwatengemichael2107 ปีที่แล้ว

    Be blessed minister of God.Great praise.

  • @YESUNIBWANA84
    @YESUNIBWANA84 ปีที่แล้ว +2

    Much love ❤️ 😍 kwa wanakwaya ila ambia hao madada zangu MUNGU ansema mapambo sio yangu ama unless kuna MUNGU mwingine munamuimbia bt not Jehovah GOD mwenye aliumba mbingu na nchi aliye toa aibu kwa Annah alipodharauliwa na penina aliye weka tabasamu kwa Sarah kwa kumpa mtoto kwa ile umri na kama ni the same GOD tell them to change ama kama mnadhani nadanganya waambie wasome kitabu cha 1 Timothy 2:9-10 ama 1 peter 3:3-5 mtapata jibu ama 1 corinthians 11 yote mtapata jibu Amen 🙏 muwe kama paulo alivyosema nisije nikahubiria watu nami nikabaki siku za mwisho sasa hao wanadada wanabariki watu nao wako na vitu za yezebeli surely 😢😢😢😢 please 🙏 people's of God let's change

    • @raelatemi8717
      @raelatemi8717 ปีที่แล้ว

      True sister

    • @ABANTUFIERCE
      @ABANTUFIERCE ปีที่แล้ว +3

      Wewe unajua mapambo kweli? Hapo hakuna mapambo. Anyway Dan kwa TH-cam avoid negative comments

    • @YESUNIBWANA84
      @YESUNIBWANA84 ปีที่แล้ว

      @@ABANTUFIERCE soma izo vitabu nimepeana hapo ndo ujue kile MUNGU anachukia wacha kujibu kitu ujui wewe ndo unacomment negative acheni kupoteza injili Kusuka nywele na kuvaa earing na vitu kama izo nambie mahali pameandikwa kwa Bible ata kama wana wa Israel walikatazwa wazitoe ndo waingie kwa ile nchi ya ahadi so wewe ni nani unakosoa chenye MUNGU hataki

    • @Minister_Silver
      @Minister_Silver ปีที่แล้ว +3

      ​@@YESUNIBWANA84 Tunasoma maandiko lakini kuielewa kiroho ndio shida, acha kuelewa maandiko kimwili. Urembo wa mwanamke ni muhimu. Elewa maandiko kiroho na hautapata tatizo hata kidogo. Then a true christian does'nt correct someone in public. Mathayo 18:15-18 15 “Kama ndugu yako akikukosea, nenda ukamwambie kosa lake mkiwa ninyi wawili peke yenu. Akikusikiliza, utakuwa umempata tena ndugu yako. 16 Kama hatakusikiliza, nenda na mtu mwingine mmoja au wawili kusudi wawepo mashahidi wawili au watatu wa kuthi bitisha jambo hilo. 17 Akikataa kuwasikiliza, liambie kanisa. Kama akikataa kulisikiliza kanisa, basi mhesabu yeye kama ni mpa gani au mtoza ushuru.
      18 “Nawaambieni kweli, lo lote mtakalokataza duniani lita kuwa limekatazwa mbinguni. Na lo lote mtakaloruhusu duniani litaruhusiwa mbinguni.

    • @YESUNIBWANA84
      @YESUNIBWANA84 ปีที่แล้ว +1

      @@Minister_Silver ok nimekuelewa vile unasema bt bora mimi nimsema na ni amri kutoka kwa MUNGU yeye mwenyewe ndo alinituma niambie makanisa bora tu damu ya mtu haitakua kwenye mkono wangu kwa maana niliambiwa nisiposema nitadaiwa damu ya kola mtu mwenye nimeona na sijasema infuct ata mimi sio perfect bt I'm trying mapambo c ya BWANA WA MAJESHI alisema angetaka kukuumba ma nywele ndufu kama wazungu angetuumba lakini anasema nikama tunamwambia akuutumba vizuri ndo maana tunmuonyesha vile alifaa kutuumba na kama nimekwaza mtu kwa kusema ukweli I'm so sorry bora tu mimi nimefikisha ujumbe mapambo c ya MUNGU please 🙏 mnielewe

  • @kiliswatv9150
    @kiliswatv9150 ปีที่แล้ว

    A powerful song❤

  • @benardkaisha914
    @benardkaisha914 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤

  • @victorwafula1021
    @victorwafula1021 ปีที่แล้ว

    plz may i let me know where is this ministry found?