Glory to God siku zote.karibu yesu moyoni mwangu.Barikiwa sana.Am a full Zambian but the love of God makes me understand the language that i can't speak 😢🙏
Huu wimbo unaupako wa MUNGU sana na unaita roho mtakatifu Ila ningependa kumwambia dadangu hapo Kama anaingia katika uwepo wa MUNGU namna hiyo anafaa kufunga kichwa na mapambo MUNGU hataki anasema Ni vitu vya Jezebel Amen barikiweni sana
Mungu tu aliyekupatia sauti na uhai huo akutunze uzidi sana kumpeleka kwa wengi atukuzwe Mungu katika jina la Yesu. Nimeona makuu ya Mungu kupitia nyimbo hii.
This is what l call A Holy Worship unto THE LORD. PLEASE BROTHER AND MY DEAR SISTER DONT EVER EVER CHANGE THE STANDANDS OF THIS HUMBLE BEGGINING .. shikilia hapo tuu hapo tuu to the very end untill we enter the Glorious Kingdom Of GOD yAHWEH
Nakushukuru Mungu muumba mbingu na nchi kuwapa watumishi wako kipawa cha kuabudu na kukusifu kwa nyimbo katika roho na kweli Mungu akutunze mtumishi kazi zako zinatubaliki sana amen.
Shalom shalom mtumishi wa Mungu. Kwa kweli nabarikiwa Sana na huduma hii ya uimbaji unayomfanyia BWANA MUNGU WA MAJESHI. Namshukuru Mungu kwa sababu hauna mbwembwe, kuonyesha style za mavazi, n.k Bali unaimba katika ROHO na KWELI. Zidi kudumu katika MAOMBI.
May the Almighty God continue to grant you that grace bro,,, thanks for serving Him and loving Jesus...am nt good at kiswahili am always blessed by the little I pick 🙏🙏🙏
May God glad you courage to worship him.that song has touched my heart so much even i can't explain.keep that spirit and God's presence shall come upon you in jesus name
Barikiwa sana 🎉hizi nyimbo za Kiroho sinsbadilisha maisha yangu more blessings 🙌 🙏
Glory to God siku zote.karibu yesu moyoni mwangu.Barikiwa sana.Am a full Zambian but the love of God makes me understand the language that i can't speak 😢🙏
Karibu yesu moyoni mwangu siku zote
Amina🙏🙏🙏
This is the proof that God there's only one God. I don't know what the song means but I'm touched. Spread the gospel n stay blessed.💯
He mean welcome Jesus in my heart
@@eliudkapinga9799 May God bless you for this translation. ❤💯
Thanks sir welcome Tanzania mbeya
The last song means...you're worthy to be glorified,you're worthy to be glorified Jesus 🙌🏽🙌🏽🙏🏾
@@seranyambu3208 Thank you for the response. May God bless you.
Ni vyema sana kazi mnayoifanya BWANA wa majeshi MUNGU aliezifanya mbingu na nchi awainue sana maana nyimbo zenu zina nibariki sana
Huu wimbo unaupako wa MUNGU sana na unaita roho mtakatifu Ila ningependa kumwambia dadangu hapo Kama anaingia katika uwepo wa MUNGU namna hiyo anafaa kufunga kichwa na mapambo MUNGU hataki anasema Ni vitu vya Jezebel Amen barikiweni sana
Nahisi uwepo wa Mungu,kupitia nyimbo zako bro Mungu awe pamoja nawe na akupee nguvu zaidi🙏🙏
God thank for your countless blessings in my life am forever grateful 😭🙏🙏
Ameeeen Yesu karibu uniponye moyoni mwàngu 🙏🙏🙏🙏😭😭😭
Mungu akubariki mtumishi wa mungu azidi kukupea nguvu ya kufanya kazi ya mungu nyimbo zako nizakubariki na upako nazikiza nikiwa galf barikiwa sana
Mungu akubariki sana usiwahi pungukiwa katika hoduma majaribu yakupite kado mbele na nyuma wakuwache katikati uzidi kutubariki na nyimbo zako
Mwenyezi mungo akuinue viwango Vingine kupitia kwa kumtumainia yeye barikiwa zaidi nazaidi
Karibu yesu moyoni mwangu nikiwa na wewe nitakuwa salama🎉🎉
Mungu akubariki sana mchugaji na akuogezee kipaji Amen 🙏🙏🙏
Mungu tu aliyekupatia sauti na uhai huo akutunze uzidi sana kumpeleka kwa wengi atukuzwe Mungu katika jina la Yesu. Nimeona makuu ya Mungu kupitia nyimbo hii.
May God bless you na apanue mipaka yako mtumishi,the worship are so anointing.God bless you
Sijui nimwambie nn MUNGU Kwa jinsi mnavyonibariki gakika Mungu wa mbinguni awabariki.🎉🎉
Amen Amen.barikiwa Sana.
This is what l call A Holy Worship unto THE LORD.
PLEASE BROTHER AND MY DEAR SISTER DONT EVER EVER CHANGE THE STANDANDS OF THIS HUMBLE BEGGINING .. shikilia hapo tuu hapo tuu to the very end untill we enter the Glorious Kingdom Of GOD yAHWEH
I am so blessed my brother keep it
nice verry true👍👍
Nakushukuru Mungu muumba mbingu na nchi kuwapa watumishi wako kipawa cha kuabudu na kukusifu kwa nyimbo katika roho na kweli Mungu akutunze mtumishi kazi zako zinatubaliki sana amen.
Amina
Shalom shalom mtumishi wa Mungu. Kwa kweli nabarikiwa Sana na huduma hii ya uimbaji unayomfanyia BWANA MUNGU WA MAJESHI. Namshukuru Mungu kwa sababu hauna mbwembwe, kuonyesha style za mavazi, n.k Bali unaimba katika ROHO na KWELI. Zidi kudumu katika MAOMBI.
Watu wote tufurahi kwa Mungu kwasababu yeye ni Mungu WA upendo❤
God bless you very much Servant of God, may you be blessed with many hundreds of years, may you eat the blessings of God, I am touched by your song
Wacha Mungu wambinguni endelea kukuinuwa
I'm very blessed with this deep worship songs
karibu bwana Yesu.🙏🙏
Oooh yesu karibu yesu moyoni mwangu..... May God bless you abundantly continue with the spirit
Karibu yesu moyoni mwangu thanks for blessing my heart ❤️😅
Mbarikiwe sana watu wa MUNGU🙏
Amina barikiwa sana kwa wimbo mzuri umenibariki sana
Mungu wa mbinguni akubariki zaidi na zaidi
Wawo wanderfull glory to God 🙏🙏🙏🙏🙏 more blessings
feeling so much blessed,i wish your mistries to expand globally
Powerful worship mungu awabariki sana 🙌🙌🙌💃💃
Naishi kwa neema 🙌🏻🙏🏽
Amen mungu anaweza Mambo yote katk yeye atutiaye nguvu
You really blessed my soul may the Almighty God bless n expand u in Jesus name.Amen
I am blessed, may God expand you in Jesus name , shalom .
My God continue extending your ministry in Jesus name
Thanks the man of God mungu akubariki❤kwa kumuabudu kwa roho na kwel
Benjamin Dube is a master of Gospel Ministry 🎉i don't understand the words but am in love with all your native songs 💪
Amen Mungu akubaliki sana
May the Almighty God continue to grant you that grace bro,,, thanks for serving Him and loving Jesus...am nt good at kiswahili am always blessed by the little I pick 🙏🙏🙏
Asante Kwa wimbo mzuri mungu akuinue zaidi ya hapo
Powerful worship..I feel blessed by the blood of Jesus christ. viumbe vyote vitakutukuza mungu mkuu
Mungu akubariki MT nafarijika sana..........
Thanks for the wonderful worship God bless you 🙏
What a worship,,keep it up sky is the only limit,,-God is taking you far,,,
Your songs are changing my life every day , may the almighty God bless u
Ubarikiwe sana hakika unaniinua kupitia nyimbo hizi
I really like this song i feel it🙏🙏😭😭um from Zimbabwe
Am really blessed with your songs my brother 🙏🙏🙏may God bless you 🙏
Mungu wa mbinguni akuinue viwango vingine
Atsate sana kwa nyimbo hii mwenyezi amu bariki sana
Amen what a mighty worship.u made me feel humbled b4God.May almighty continue uplifting u
Alléluia aaaaaaa aaaaaaaa adoration pour Jésus christe de Nazareth l'homme de Galilée
Am really blessed with these kind of worship, Glory be to God
Glory to be God 🙏🙏
Mungu apewe sifa, vraiment minajenjwa saana
May God glad you courage to worship him.that song has touched my heart so much even i can't explain.keep that spirit and God's presence shall come upon you in jesus name
Its a true worship in you trasferred to me. Hallelluiyah!
Powerful and anointed worship
Ubarikiwe mwanangu 🎉🎊❤️
May the almighty God bless the work of your ministry and strengthen you
Nice song 👌 ni wewe bwana unaye tawala 🔥🙏🧎🏼♀️ hallelujah hallelujah 🙌🙌
Am very impressed with your song
Kweli mungu anaweza barikiwa mtumish
❤❤❤ Thanks be to God may God bless you man of God
Im soo blessed hakika mungy unastahili kuabudiwa
God blessed you ,mtumishi wa Mungu ndie, mutetesi wetu
Glory be to God I hv been looking this powerful song
Much blessings thanks so much barikiwa aki
Neema iwatoshe🙏🙏
God bless you man of God you and your team.. Roho wa Mungu ametawala. You touch my heart.
Jesus welcome to my heart I need you to heal my heart
Your songs blesses me so much praise the name of the lord
Amina amina mtumishi wa Mungu
Hakika unastahili kuabudiwa Mungu wangu🙏🙏🙏🙏
Mungu akubariki mtumishi
You Really bless my soul God bless you Danbless
Am really blessed and God bless you more
Mungu.awatunze.mzidikumtumikia.mungu
Thank you Jesus lam so blessed in name of Jesus Christ amen.
Mungu Azidi kukuinua siku Hadi siku .nabarikiwa sana na huduma yako
Amen hallelujah
Mungu Yuko tumaini mashani mwangu
Barikiwa sana kwa huduma yako
Am really blessed with these kind of worship songs
Be bless you brother with your family ❤❤❤
Amen nimebarikiwa
Ashukuriwe Mungu kwa vipawa vyenu. Hakika Mungu awabariki Sana.
Amen hallelujah
❤ Mungu awabariki sana brother na sister. Napenda nyimbo zenu sana!
Amen hallelujah
Mungu awainue zaidi ameen.
I'm blessed so much through your songs
I feel blessed ,,, moved by the Holy Spirit,, what a worship. Surely there is God in heaven
feeling saved in Jesus name
I wish your ministries to expand globally
I feel blessed ministers of Gods gospel.
Amena mungu akubariki
Waooo. This is real worshipping. God bless your latent
May God continue expanding your ministry in Jesus name
Amen hallelujah
This is deep worship !
Hakika unastahili kuabudiwa Yesuuuuu
May the almighty God bless you children of the most high