Waalaikumussalam Warahmatullah wabarakatuh. Allah (SWT) Akujaalie ufaulu katika mitihani yako yote ya kidacho cha nne n autape alama za juu kwa masomo yote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Insha Allah maelezo niloelezea kwenye video zangu za mada hizo, kwa uwezo wa Allah (SWT) utafaulu mitahini yako yote.
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Maana yake utaandika kwa ile sehemu ambayo haitoi wino. Itatoa adhari kidogo lakini kwa sababu haikuandikwa kwa wino maandhishi hayatadhihi karatasini.
Maneno yenyewe ni hayo: 1) تكون على وضوء وطهارة تامة 2) القراءة قبل الدخول في قاعة الإمتحانات في كل الإمتحانات 3) لا تَخَف إِنَّكَ أَنتَ الأَعلىٰ)ﱠ طه: ٦٨ ( 313 مرة ) لا زيادة ولا نقصان) 4) وقبل بداية الإمتحان تكبت هذا الإسم (لمقفنجل، ل م ق ف ن ج ل) على ظهر الورق بظهر القلم (وهذا ليس مشرطا بل يستحسن)، وهذا الاسم من أسماء الملوك الروحانية السبعة، وهو المسؤول بشؤون العلوية 5) الدوام على القراءة بعد الإمتحانات كل يوم بهذا العدد حتى إعلان النتائج
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Maelezo yake kwa lugha ya Kiswahili ni haya: 1) Kuwa na wudhuu na usafi kamili. 2) Kusoma kabla ya kuingia kwenye ukumbi wa mitihani kwa mitihani yote 3) Ayah 68 ya Surah Taha لا تَخَف إِنَّكَ أَنتَ الأَعلىٰ)ﱠ ) (mara 313) hazizidishwi wala hazipungui) 4) Kabla ya kuanza kwa mtihani, unaandika jina hili (لمقفنجل، ل م ق ف ن ج ل) nyuma ya karatasi na nyuma ya kalamu (hili sio koleo, lakini linapendekezwa). 5) Endelea kusoma nambari hii kila siku baada ya mitihani hadi matokeo yatakapotangazwa.
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Ukiwa katika hali hiyo, unaweza soma kwa nia ya Dhikr kama alivyojuzisha Sheikh Ibn Baaz. Allah (SWT) ni Mjuzi zaidi.
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatu. Bila shaka ataandika kwenye katarsi. Lakini itaonekana adhari pekee. Kwasababu haiandikwi kwa ile seheme amabayo inatoa wino. Yaani sehemu ile ambayo haitoi wino. Afwan. Allah (SWT) Amjaaliye watoto wako wote wapate alama za juu. Ameen.

Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarkatuh. Hizi siri hazitaki ujanja ili kuzitabikisha. Kuna makusudio makubwa kufanya hivyo na ni muhimu kufuata maelezo yake.
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh. Atakiwa aisome kabla ya kuingia akiwa shuleni. Yaani aisome kisha aingie sehemu ya kufanyia mtihani. Makusudie yake ni kwamba kusiwe na mazungumzo yoyote baada ya kuisoma hiyo ayah. Na hapo kuna siri kubwa na ndio kuna mafaninikio yake. Afwan.
This is not truthful at all. Hadith ipi yamtume usema kuna malaika aytweye vile? Aw ata ayah ya quran? Kama hamna basi wewe mbo ya bingu uliyajuwa vipi?
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. I'm so grateful for your question. My humble advice is that before coming to conclusion to say there in no such information from the Holy Qur'an and Hadith of the Prophet (SWT), you need to tell us that if you have done a research from at least 1000 books. you need to know that currently there are more than a million Islamic Books. have you read all these book to judge????? I want to conclude my comment by this part of the verse no. 282 Surah Al-Baqarah: وَٱتَّقُوا۟ ٱللَّهَ ۖ وَيُعَلِّمُكُمُ ٱللَّهُ ۗ وَٱللَّهُ بِكُلِّ شَىْءٍ عَلِيمٌۭ ٢٨٢ Meaning: "Be mindful of Allah, for Allah ˹is the One Who˺ teaches you. And Allah has ˹perfect˺ knowledge of all things". Barakallahu Feek. 🤲
@@mohamedalidini Your acting as pastors! when asked; where is it written jesus saying am God? Instead of pointing out abible averse, he starts running around you know, you see, you, you you....SHARE WITH US THAT QURAN VERSE, EVEN IF ITS AHADITH OF PROPHET AND THE BOOK IN WHICH IT IS WRITTEN SINCE I WANT TO GO AND READ ( and even share with my mashaykh). NOTE: I dont hate you nor anyone at all!!!!!
"Tunamuomba Allah akupandishe daraja ya juu kabisa " Amin kwa sote❤❤❤
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Nawe pia. Barakillahu Feek! 🤲🤲🤲🤲🤲
Tunaomba mungu akupandishe daraja la juu kabisa Amin
Ameen Ya Rabbal Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Hakika nimesom Dua hii nimeona maajab yak Allah akuzidishie barka shekh
Masha Allah! Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Na shukuru shekhe maana nilikuwa cjui chakufanya mungu akuhifadhi inshaalah
Ya Rabb! Nawe pia. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Mwenyezi Mungu akujarie kheri
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Asante Nina faulu mitihani
Yangu
Masha Allah! Alhamdu Lilla! Allah (SWT) Akufungulie kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Mashaallah hakika nitafaulu🙏🙏🙏🙏
Insha Allah Taala! Allah (SWT) Akujaalie ufaulu maishani mwako. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Amina shekhe Amina ❤❤❤❤❤tunakupenda kwa ajili ya ALLAA
Ya Rabbal 'Alameen! Nami pia nawapenda kwa Ajili ya Allah (SWT)! 🤲🤲🤲🤲🤲
Jazaka'Allahu Kheir💫🙏
Waiyyaak! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Aamyn 🤲 shkran shekhe
Karibu sana. Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran ya sheikh
Karibu Sana.
Shekh me naomba uniombee dua nifaulu mtihani wangu wa kidato cha pili
Namuomba Allah (SWT) kupitia kwa Majina Matukufu yake Akujaaliye ufaulu katika mitihani yako ya masomo na akupe alama za juu sana. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran jazajallah khayr
Waiyyaak! My Allah (SWT) Bless us all abundantly. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Sheeh mm ni mj
Kristo naomba uniombee nipate inshallah
Namuomba Allah (SWT) kwa Ijumaa njema hii akupe na akutimizie malengo yako yote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran jazakallahul khair
Waiyyaak! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen!!! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shekhe kwajina naitwa mwanahawa nifanyie dua shekh nifaulu kidato cha nne 2024
Waalaikumussalam Warahmatullah wabarakatuh. Allah (SWT) Akujaalie ufaulu katika mitihani yako yote ya kidacho cha nne n autape alama za juu kwa masomo yote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran jazakallahu kheyri
Waiyyaak ya Ukhtiyal Kareemah. May Allah (SWT) Bless us all abundantly. Ameen!🤲
Ameen🤲🤲 shukran shekh
Ya Rabb! Afwan. Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Ameen Yaraabi🤲
Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
naomba unifanyie dua niweze kufaulu katika mtihani wangu mana kila nikisoma hata sielewi
Namuomba Allah (SWT) Akuafiqie ufaulu katika mitihani yote ya masomo na upate alama za juu sana. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Mungu akujaze kheir
Sote Ya Rabb! Allah (SWT) Akuafiqie kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Maashallah shukran sana sheikh Allah akulipe.ndo mara ya kwanza kuona channel kama sheikh kujibu maswali pindi anapoulizwa
Waiyyaak! Bila shaka kufundishana hakomi kwa kuposti video bali kuendelea kumfahamisha kila anayetaka maelezo zaidi. Na hii ndio tabia ya Muslamu.
Thanks 🙏
You are welcome!
Jazakallahu khayra
Ameen. Nawe pia Allah (SWT) akujazi kheri zote. Ameen.
God bless you
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! All of us! 🤲🤲🤲🤲🤲
Sheikh Na omba umuombee mtoto wangu apate kufaulu Kwa mtihani wake Wa kidato cha nne
Allah (SWT) Amjaaliye afaulu na apate alama za juu sana. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Asalam alaikum sheikh asnte nilikuw cjuw nfanye nn ili nifaulu mtihani wng w mwisho mwaka ujao inshaallah
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Insha Allah maelezo niloelezea kwenye video zangu za mada hizo, kwa uwezo wa Allah (SWT) utafaulu mitahini yako yote.
Kwa jina aitwa fatma
Allah (SWT) Amjaaliye afaulu na apate alama za juu sana. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Asalami aleikum hapo bdo sijaelewa Nita andika vipi isionekane
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Maana yake utaandika kwa ile sehemu ambayo haitoi wino. Itatoa adhari kidogo lakini kwa sababu haikuandikwa kwa wino maandhishi hayatadhihi karatasini.
Amiin
Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Unaweza kumsomea lakini
Unaweza kama hawezi soma. Lakini yeye akisoma ni bora. Afwan.
Je unaweza soma kuanzia nyumbani ukielekea shuleni
Nio unaweza. Lakini hutakiwi kuongea mazungumzo yoyte baada ya kusoma mpaka uingie ndani ya chumba cha kufanyia mitihani (examination hall). Afwan.
Shukurani
Afwan Sana!
❤❤
Shukran.
Shekhe unaweza ukaisoma ukitoka nyumban au ni lazima ukasoma ukawa shuleni wapi ni bora
Ukiisoma ukiwa shukeni ni bora. Unaweza ukaisoma ukiwa nyumbani ukifuata uataratibu wake. Afwan!
Je inaruhusiw kuisom ukiw kwenye hedh
Ndio unaweza lakini utatia nia ya dhikr kwa kuwa pia Qur'an Tukufu ni Dhikr. Dini yetu ya Uislamu ni nyepesi sana!
Tuandikie sheikh maneno
Maneno yenyewe ni hayo:
1) تكون على وضوء وطهارة تامة
2) القراءة قبل الدخول في قاعة الإمتحانات في كل الإمتحانات
3) لا تَخَف إِنَّكَ أَنتَ الأَعلىٰ)ﱠ طه: ٦٨ ( 313 مرة ) لا زيادة ولا نقصان)
4) وقبل بداية الإمتحان تكبت هذا الإسم (لمقفنجل، ل م ق ف ن ج ل) على ظهر الورق بظهر القلم (وهذا ليس مشرطا بل يستحسن)، وهذا الاسم من أسماء الملوك الروحانية السبعة، وهو المسؤول بشؤون العلوية
5) الدوام على القراءة بعد الإمتحانات كل يوم بهذا العدد حتى إعلان النتائج
Na ukitaka tafsiri yake kwa lugha ya Kiswahili unaweza tumia google translation kutafsiri na Insha Allah, utafahamu maana yake.
Aslm alkm muombee mwanangu kesho anakalia mtihani wake wakidato cha nne
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Insha Allah minalfaizeen! Allah (SWT) Amjaaliye afaulu na apate alama za juu sana. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Asalam alaykm mwalim niandikie kwa kimaneno
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Maelezo yake kwa lugha ya Kiswahili ni haya:
1) Kuwa na wudhuu na usafi kamili.
2) Kusoma kabla ya kuingia kwenye ukumbi wa mitihani kwa mitihani yote
3) Ayah 68 ya Surah Taha لا تَخَف إِنَّكَ أَنتَ الأَعلىٰ)ﱠ ) (mara 313) hazizidishwi wala hazipungui)
4) Kabla ya kuanza kwa mtihani, unaandika jina hili (لمقفنجل، ل م ق ف ن ج ل) nyuma ya karatasi na nyuma ya kalamu (hili sio koleo, lakini linapendekezwa).
5) Endelea kusoma nambari hii kila siku baada ya mitihani hadi matokeo yatakapotangazwa.
Aslam alyqum shekh vp kama utakua haupo twahar labda kwny hedhi
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Ukiwa katika hali hiyo, unaweza soma kwa nia ya Dhikr kama alivyojuzisha Sheikh Ibn Baaz. Allah (SWT) ni Mjuzi zaidi.
Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuh vipi hali yako hii sehemu ya kalamu umesema aandike lamukfanjal anaandika kwa karatasi ama naomba nielezeee
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatu. Bila shaka ataandika kwenye katarsi. Lakini itaonekana adhari pekee. Kwasababu haiandikwi kwa ile seheme amabayo inatoa wino. Yaani sehemu ile ambayo haitoi wino. Afwan. Allah (SWT) Amjaaliye watoto wako wote wapate alama za juu. Ameen.
Ok
Kheiran Insha Allah.
Amina
Ya Rabbal 'Alameen. 🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Naomba uniandikie kwa maneno
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Maelezo yake kwa lugha ya Kiswahili ni haya:
1) Kuwa na wudhuu na usafi kamili.
2) Kusoma kabla ya kuingia kwenye ukumbi wa mitihani kwa mitihani yote
3) Ayah 68 ya Surah Taha لا تَخَف إِنَّكَ أَنتَ الأَعلىٰ)ﱠ ) (mara 313) hazizidishwi wala hazipungui)
4) Kabla ya kuanza kwa mtihani, unaandika jina hili (لمقفنجل، ل م ق ف ن ج ل) nyuma ya karatasi na nyuma ya kalamu (hili sio koleo, lakini linapendekezwa).
5) Endelea kusoma nambari hii kila siku baada ya mitihani hadi matokeo yatakapotangazwa.
Shukhran sana mimi ni mwanafunzi nahitaji ushirikiano
@@RazaqMsuya Waiyyaak! Allah (SWT) Akufaulishe katika masomo yako na Akupe ukubwa duniani na akhera. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Amina
@@RazaqMsuya Insha Allah. Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
AMEN
Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shekhe hilo jina la laika ukimaliza mtihani unalifuta au unakusanya hivyo hivyo.
Hilo jina ukimaliza mtihani unakusanya hivyo hivyo.
Assallam alaykum,je ukitaka kuandika alafu ukafuta yaani kwa kukoleza kwa pencil alafu ukafuta yakabaki vile alama za maneno je inakubalika?
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarkatuh. Hizi siri hazitaki ujanja ili kuzitabikisha. Kuna makusudio makubwa kufanya hivyo na ni muhimu kufuata maelezo yake.
Ostadh naomba namba zako ninashida sana kuhusiana na hilo
Assalam Alaikum warahmatullah Wabarakatuh. Namba yangu ndio hii: +254 700047708. Afwan.
Naweza kusom hata bila kujisomea
Waweza kwa nia yako.
Assalam alaykum sas utaandika kwa kirabu au kiswahili
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Bila shaka utaandika kwa kiarabu. Afwan.
Je hii aya unaweza kuisoma nyumbani au mpaka school
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh. Atakiwa aisome kabla ya kuingia akiwa shuleni. Yaani aisome kisha aingie sehemu ya kufanyia mtihani. Makusudie yake ni kwamba kusiwe na mazungumzo yoyote baada ya kuisoma hiyo ayah. Na hapo kuna siri kubwa na ndio kuna mafaninikio yake. Afwan.
Ma sha Allah Tabarakallah
@@NYIRARUKUNDOHalimah-iy6rg Shukran 🙏🙏🙏🙏🙏
Hmm sorry kuna vitu vengine sikufahamu..naweza kupata no yako ili unifahamishe zaidi
Bila shak. Namba yangu ni hii: +254 700047708. Afwan.
Twaomba namba zacm
Namba yangu ni hii: +254 700047708. Afwan.
Sc
Barakallahu Feek.
This is not truthful at all. Hadith ipi yamtume usema kuna malaika aytweye vile? Aw ata ayah ya quran? Kama hamna basi wewe mbo ya bingu uliyajuwa vipi?
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. I'm so grateful for your question. My humble advice is that before coming to conclusion to say there in no such information from the Holy Qur'an and Hadith of the Prophet (SWT), you need to tell us that if you have done a research from at least 1000 books. you need to know that currently there are more than a million Islamic Books. have you read all these book to judge????? I want to conclude my comment by this part of the verse no. 282 Surah Al-Baqarah:
وَٱتَّقُوا۟ ٱللَّهَ ۖ وَيُعَلِّمُكُمُ ٱللَّهُ ۗ وَٱللَّهُ بِكُلِّ شَىْءٍ عَلِيمٌۭ ٢٨٢
Meaning: "Be mindful of Allah, for Allah ˹is the One Who˺ teaches you. And Allah has ˹perfect˺ knowledge of all things". Barakallahu Feek. 🤲
@@mohamedalidini Your acting as pastors! when asked; where is it written jesus saying am God? Instead of pointing out abible averse, he starts running around you know, you see, you, you you....SHARE WITH US THAT QURAN VERSE, EVEN IF ITS AHADITH OF PROPHET AND THE BOOK IN WHICH IT IS WRITTEN SINCE I WANT TO GO AND READ ( and even share with my mashaykh). NOTE: I dont hate you nor anyone at all!!!!!
@@MwangaWtfm WELL NOTED. THANK YOU!
Are you Muslim first
@@Hasina2024 Kheiran Insha Allah.