FURAHA YA KAGOMA BAADA YA MNYAMA KUMALIZA MWAKA KILELENI/"NI FURAHA KUBWA SANA/TUMEPAMBANA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 71

  • @IssaKaminyoge
    @IssaKaminyoge วันที่ผ่านมา +6

    Nashukuru Simba Kila mchezaji wa Simba nawapenda sana

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 วันที่ผ่านมา +6

    Asante sana wachezaji wetu Mungu awalinde sana

  • @RamadhanMsuya-eq3zf
    @RamadhanMsuya-eq3zf วันที่ผ่านมา +6

    Mwamba anajua 🎉🎉MUNGU akuepushe na majerahaa

  • @kisegeselokisegeselo3815
    @kisegeselokisegeselo3815 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Kagoma leo ndo mchezaji bora wangu kwenye hii game ya leo kwa 💯 %

  • @MagrethCostantine
    @MagrethCostantine 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simba yangu naipenda saaaaana kocha wetu uko vizuri na benchi lako na wachezaji wooote mungu awape afya njema

  • @careymariahhhh
    @careymariahhhh วันที่ผ่านมา +8

    Mmependeza wenyewe mmenyoa ❤️❤️❤️very smart

  • @janethjustin2041
    @janethjustin2041 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nimefurahi sana kumuona kagoma Leo akicheza❤❤❤❤

  • @YasirHabib-b6o
    @YasirHabib-b6o 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    ❤ unapambana sana bro na unajua ball endelea kuzid kufanya Kaz allah s.w atazid kukufanyia wepes

  • @Esther-v9s8n
    @Esther-v9s8n 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wachezaj wote leo mmepambana sana ahsante sana tunawapenda mlindwe na MUNGU milele ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ShabanIddy-o6x
    @ShabanIddy-o6x วันที่ผ่านมา +4

    Vizur Sana

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 วันที่ผ่านมา +5

    UBAYA UBWELAA, BIG UP KAGOMA !!

  • @IsackVedasta
    @IsackVedasta วันที่ผ่านมา +5

    MKATA UMEME❤️🔥

  • @danielelikana2615
    @danielelikana2615 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Huyu ndo mkata umeme halisi Simba!!..

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 วันที่ผ่านมา +4

    Kagoma ni habari nyingine angelikuwa anaheza mechi nyingi mfululizo angelikuwa mbali sana

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi วันที่ผ่านมา +3

    Kagoma ally yusuph💪💪💪

  • @MusaMasika-g2o
    @MusaMasika-g2o วันที่ผ่านมา +3

    🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @Innocentnyika-ml5tr
    @Innocentnyika-ml5tr 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤ndo namba sita nayoitaka hii na hapo Bado ongeza zaidi fika vunja miguu kata umeme kabisa apo kati Yan tafuta mpira Hadi uupate

  • @careymariahhhh
    @careymariahhhh วันที่ผ่านมา +3

    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @RehemaMahamudu-x4g
    @RehemaMahamudu-x4g 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kiukwer kagoma ata akimic game 4 we mpe mechi ngumu atacheza km akutoka majerui mungu amsmamie kagoma

  • @thomassengura9435
    @thomassengura9435 วันที่ผ่านมา +3

    Rodri wa simba

  • @epimackoscar25
    @epimackoscar25 วันที่ผ่านมา +3

    Kagoma ndio pittin mpya daa unaifanya Simba kuwa solid ukiwepo uwanjani chemalon anapumua

  • @EdwinKabasa
    @EdwinKabasa 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kagoma Mungu akulinde jana pale kati parituria..ubaya ubwer

  • @allymwinyi970
    @allymwinyi970 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu Kagoma ni kiungi mzuri kabisa kwenye ukabaji. Ana nishati na anafika kwenye miguu ya wapinzani. Apewe nafasi, aaminiwe na kuongezewa program maalum za mazoezi.

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi วันที่ผ่านมา +3

    Nguvu moja

  • @zawadihudson8351
    @zawadihudson8351 วันที่ผ่านมา +3

    Ahmed Ally yuko wapi?

  • @SilasJacob-z6v
    @SilasJacob-z6v วันที่ผ่านมา +4

    Mwanangu umewakata mikasi safi sana siyo mtu anapita anaenda kufunga we unamsindikiza Asante sana kagoma jamaa eti walitaka wakununue Kwa sh 30????

    • @HabibuMuhunzi
      @HabibuMuhunzi 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yaan uyu ndio puttin wetu mwngne

  • @bibibwalya
    @bibibwalya 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    dah mmejua kutuheshimisha jamani asante

  • @KhanashyAlmassi
    @KhanashyAlmassi 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kagoma atakm akipewa kadi yy alalamiki km wale walevi wa singida tuliocheza nao😂😂😂

  • @HamidAmeir
    @HamidAmeir วันที่ผ่านมา +14

    Please jamaani naomba kupata jezi yake huyu kijana nafurahia kumuona ukifanya majukumu yake katika tim niipendayo

    • @careymariahhhh
      @careymariahhhh วันที่ผ่านมา +2

      C unune jezi uandike jina na no yke

    • @BrowJulius
      @BrowJulius วันที่ผ่านมา +1

      Exactry

    • @LeonidasStephano
      @LeonidasStephano วันที่ผ่านมา +3

      Kanunue dukani print 21 Kagoma unataka jesy yake ya nn kwendaaaa

    • @AnastaziaAndrea-e2f
      @AnastaziaAndrea-e2f วันที่ผ่านมา +1

      mtangazaji alisema leo singida walikua wanapigwa viboko na kagoma maana walikua wanaugulia maumivu ya kila sehemu

    • @abdallahmbwate7134
      @abdallahmbwate7134 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mumeanza munataka kumroga Tena

  • @emmanueljohn7
    @emmanueljohn7 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Aafu Utopolo walitaka kumlipa laki 3 😂😂😂 kweli afu eti wanamshitaki jamani hata aibu hawaoni

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa วันที่ผ่านมา +4

    Utopolo wanaumia wakiona kagoma anavyo kiwasha 🔥😂😂😂

  • @edithanicodemu8690
    @edithanicodemu8690 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu awalinde wachezaji wetu

  • @lilianmlowe9154
    @lilianmlowe9154 วันที่ผ่านมา +3

    Mwamba unakata pale kati hatariii😊

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu mtoto wa Gungu kigoma ni kiungo mkatakuni kisawasawa, akiaminiwa vzr ataziba pengo la mafisango

  • @hamadbakar7091
    @hamadbakar7091 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Simba nguvu Moja ubaya ubwela

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila kagom mungu akulinde na majerah

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    My broo kgomq

  • @BeatusNzigiye
    @BeatusNzigiye 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nguvu Moja

  • @sethabeidkigodi8541
    @sethabeidkigodi8541 วันที่ผ่านมา +1

    WAPAMBANAJI WETU HATUWADAI, HATUWADAI NASEMA HIVIIIIIIII HATUWADAI
    LEO MMETUHESHIMISHA SANA MTAANI ILIKUWA SIKU NGUMU SANA KAMA TUNGEFUNGWA.

  • @malengaWetuTv2699
    @malengaWetuTv2699 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Anajua Sana boli

  • @AbdullatifAli-h5g
    @AbdullatifAli-h5g 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Difenc yampir allah aibarick kaz yak yampir yussuf

  • @SuleimanAlMughairi
    @SuleimanAlMughairi วันที่ผ่านมา +2

    Mwamba sn kagoma kakichafua sn pale kati leo

  • @barakajulius5938
    @barakajulius5938 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Majeraha tu ila huyu jamaa saizi angekuwa Bora zaidi ya hivi

  • @ARNOLDMiroshi
    @ARNOLDMiroshi 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ndo mara ya kwanza naona kagoma amecheka

  • @NashonMbwilo
    @NashonMbwilo 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwamba unajua kukichafua hapo katikati

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y วันที่ผ่านมา +1

    Hii league tunabeba❤😂

  • @OmarmakameHaji
    @OmarmakameHaji 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ubaya ubwela

  • @LaurentMagesa-iv5yt
    @LaurentMagesa-iv5yt วันที่ผ่านมา +1

    Fundi kwel kwel

  • @MarcoskoseiKisaiwa
    @MarcoskoseiKisaiwa วันที่ผ่านมา +1

    Yaan Sasa mkata umeme ,umepatikana,enzi za tadeo lwangwa , jamaa mwamba

  • @lonesomekabora5547
    @lonesomekabora5547 วันที่ผ่านมา +1

    Mkata umeme mwenye TANESCO yake

  • @festamwaibabile2190
    @festamwaibabile2190 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jembe

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka วันที่ผ่านมา +1

    Kagoma hunabaya tunakupenda

  • @YAKUZAKIMANYILIZU
    @YAKUZAKIMANYILIZU 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Chura wanataabika huko

  • @laizerJr-p8l
    @laizerJr-p8l 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    jamaaa unajua kaka

  • @AbuuAlly-fg5df
    @AbuuAlly-fg5df 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    JAMANI SEMAJI LETU LIKO WAPI TANGIA MECHI YA JKT SIJAMSIKIA TUNAOMBA RAARIFA ZA MSIMAJI WETU AHMED ALY

  • @CoploSindar
    @CoploSindar 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani ahmed ally yukwap tunatak kuwaker watu

  • @SomoeKilindo
    @SomoeKilindo 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kibu Mimi nishabiki yako nifanyie mpango wajezi yako nami nivimbe mtaani

  • @GoodluckySikaonga
    @GoodluckySikaonga 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwambah

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s วันที่ผ่านมา +1

    ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🦁🦁🦁🦁👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏

  • @HhNn-f5s
    @HhNn-f5s 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤