TMERUDI DAR ES SALAAM SALAM BAADA YA KAZI KUBWA TULIYOIFANYA MBELE YA SINGIDA BLACK STARS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 3 วันที่ผ่านมา +6

    Karibu wapambanaji wetu Mungu ni mwema tumewafunga wengii sana so singida peke yao Simba nguvu moja naipenda Simba mpaka naipenda tena ❤❤❤❤🦁🔥🦁🔥🦁🔥🦁♥️🔥

  • @KhanashyAlmassi
    @KhanashyAlmassi 3 วันที่ผ่านมา +3

    Timu kubwa ufanya Mambo makubwa yasiyotalajiwa ata km Kuna makelele Dunia nzima,Safi sana hongereni sana,SIMBA NGUVU MOJA.

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 3 วันที่ผ่านมา

    Love you Simba forever,,,inshallah mwaka ubingwa Kwa uwezo wa Allah🤲🤲

  • @SarahMathias-v1g
    @SarahMathias-v1g 3 วันที่ผ่านมา

    Love you simba milele penda sanaaaaaa

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 3 วันที่ผ่านมา

    Tunawakubari sana wapambanaji wetu Simba nguvu moja

  • @careymariahhhh
    @careymariahhhh 3 วันที่ผ่านมา +3

    Karibuni Tena singida

  • @AjaraSaidi
    @AjaraSaidi 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hongereni wapambanaji wetu mungu awape afya

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 3 วันที่ผ่านมา +2

    Kocha wa ubaya ubwela huna baya ❤❤❤❤❤

  • @DullahMsafi
    @DullahMsafi 3 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni mwema endelea kutujalia ushindi siku zote

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 3 วันที่ผ่านมา

    👏👏👏👏👏👏👏 simba bingwa 🏆👑🦁♥️♥️♥️💪💪🙏🙏

  • @ValeriaMagembe
    @ValeriaMagembe 3 วันที่ผ่านมา

    🦁🦁🦁❤️❤️❤️👏👏

  • @iddiramadhan
    @iddiramadhan 3 วันที่ผ่านมา

    Alhamdulillah Rabillah Allah miinnah 🤲

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 3 วันที่ผ่านมา +1

    ❤️BISMILLAH❤safar njema Inshallah yenye Baraka Tele 🇹🇿 🇦🇪

  • @SalmaSalmaissaissa
    @SalmaSalmaissaissa 3 วันที่ผ่านมา

    Nilale sasa nimeshamuona alodaka million 100 jana 🤪👌

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv 3 วันที่ผ่านมา

    Hongereni sana aisee leo ngoja tukaangalie bonanza maana matokeo tunayajua

  • @ShukuruMakoko
    @ShukuruMakoko 3 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 3 วันที่ผ่านมา

    Furaha kama zote vyuraaa wanaumiaaaa

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 3 วันที่ผ่านมา +1

    Sisis kama kawaida yetu hatucheki na wowote Simba nguvu moja

  • @MzeeMasseko
    @MzeeMasseko 2 วันที่ผ่านมา

    Wanasimba

  • @GeofreyJulius-o4z
    @GeofreyJulius-o4z 3 วันที่ผ่านมา +1

    Singida kafungwa 💚💚🐸🐸🐸🐸🐸kaumia

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 3 วันที่ผ่านมา +3

    Ngoma umejua kuwagonga 😂😂😂

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 3 วันที่ผ่านมา

    Jamani semaji Yuko wapi

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 3 วันที่ผ่านมา

    Viongozi wa simba nawaimba simba day mwakani mgeni Rashmi awe rais wa fifa

  • @SarahMathias-v1g
    @SarahMathias-v1g 3 วันที่ผ่านมา

    Kafungwa mbyatulu halafu anaeumia chula fc ubaya ubwelaaaaaa

  • @FatumaIbrahim-u5k
    @FatumaIbrahim-u5k 3 วันที่ผ่านมา

    Hakika kazi kubwa mmeifanya.mmefanya tumalize mwaka kwa furaha sana MUNGU azidi kuwalinda.

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 3 วันที่ผ่านมา

    Respect

  • @AshaLove-jn5ru
    @AshaLove-jn5ru 3 วันที่ผ่านมา

    Semaji mbona sijamuona jamani❤❤❤❤😊

  • @shabanimwinyikhery1174
    @shabanimwinyikhery1174 3 วันที่ผ่านมา

    Namuona Cyborge aka Zimbwa pale
    Kapten la CAf

  • @careymariahhhh
    @careymariahhhh 3 วันที่ผ่านมา

    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🦁

  • @IsmailBakari-e1g
    @IsmailBakari-e1g 3 วันที่ผ่านมา

    Tuendelee kujinga Tim yetu Jomen mana tumejikuta TU kileleni😂😂

  • @KapaamunishiJohn
    @KapaamunishiJohn 3 วันที่ผ่านมา +2

    Semaji la caf atulion

  • @FatumaIbrahim-u5k
    @FatumaIbrahim-u5k 3 วันที่ผ่านมา +1

    Semaji letu kipenzi chetu

  • @DomnHppy
    @DomnHppy 3 วันที่ผ่านมา

    Semaji la cuf kakoswa nauli ivyo hakwendaaa

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 3 วันที่ผ่านมา

    Msemaji wa dunia yuko wapi

  • @Esther-v9s8n
    @Esther-v9s8n 3 วันที่ผ่านมา

    🦁💪🌺♥️🔥🔥❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥