Shukrani sana sana, nilikuwa nipo kwenye mahangaiko ya kutafuta kitabu cha mwandishi wa nje kuhusiana na HISA, ila kwa somo lako la leo umenisaidia pakubwa sana🙏🙏
JATU PLC ni kampuni binafsi na siyo kampuni ya Serikali. Hiyo iwekwe kwenye rekodi isije watu wakajakuilaumu Serikali wakati mambo yataenda kombo kwa kampuni!
Kupata kitabu hiki cha HISA (Softcopy) Tafadhali wa siliana na mwandishi katika namba hii 0755848391
Asante sana brother ezden
Shukrani sana sana, nilikuwa nipo kwenye mahangaiko ya kutafuta kitabu cha mwandishi wa nje kuhusiana na HISA, ila kwa somo lako la leo umenisaidia pakubwa sana🙏🙏
Hakika ukipitia kwenye hii channel unaongeza kitu kichwan within 10 minutes bila hata wew mwenyew kujua,ahsante kaka kwa kazi nzuri
Nakupata kwa ukaribu al akhy nikiwa hapa ukonga magereza DSM
Umetisha bro
Safi sana
Asslm alykm km mtu yupo Zanzibar anawezaje kununua hisa
Pamoja
Asslm alykm kk km upo Zanzibar je unaweza kujiunga na hisa
Asante sana bwana jumaane
Nimekulewa sana kaka jumanne
Kk nawewe ingekuwa vizuri viyabu vyako viwe kwa sort copy ingekuwa PW sana
JATU PLC ni kampuni binafsi na siyo kampuni ya Serikali. Hiyo iwekwe kwenye rekodi isije watu wakajakuilaumu Serikali wakati mambo yataenda kombo kwa kampuni!
Hardcopy bado hajatowa mkuu
Hardcopy sasa hivi inapatikana kwa elfu 20