Kwa kweli maman Grâce anezikwa kwa heshma hilo nalo ni moja la faradja kwa kweli,wa sanii mubalikiwe pia kumshindikiza mwenzenu vizuri huo ndo upendo wa kweli kabisa ila Mungu awatiye nguvu kwa sababu sio rahisi kumpoteza mtu mlio kuwa nae ukaribu,sisi mashabiki inatuliza hivi sasa kwenu sio rahisi mungu awatiye tena nguvu na familia lake lote💔😭🇨🇩
Kuna watu mna dharau sana hapo msibani yaan wanasema tumpigie Yesu makofi unapiga kofi kwa paja ulaniwe ww kenge usiyejitambua kama hutaki kupiga makofi tuliza mikono yako au ungekaa nyumbani naona umedanganywa na hako kasuti
Poleni sana kwa mzimba pia asante kwa mahumbili ya mtume wetu mwamposa twa mkumbari sana wakenya.
Kwa kweli maman Grâce anezikwa kwa heshma hilo nalo ni moja la faradja kwa kweli,wa sanii mubalikiwe pia kumshindikiza mwenzenu vizuri huo ndo upendo wa kweli kabisa ila Mungu awatiye nguvu kwa sababu sio rahisi kumpoteza mtu mlio kuwa nae ukaribu,sisi mashabiki inatuliza hivi sasa kwenu sio rahisi mungu awatiye tena nguvu na familia lake lote💔😭🇨🇩
Pumzika kwa amani ndugu yetu. Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake libarikiwe. Ameen😢
Amina mtume buldoza kwa neno la faraja jamani barikiwa sana na mungu akutunze.
Mngehudhuria hivi kwa mzee pembe ningewasifia mmependeza na miwani zenu🎉
Pembe yealikua anahudhulia wapi grace mtu wawatu tengejeza amali yako usimuangalie FULANI
Pole san jaman mungu.awa tiye nguv
Pumzika kwa amani mama gres🙏
Nani kamuona love wa jua Kali jamani😂❤️
Black suits very well amazing
Poleni Sana mungu awatangulie
Mungu awatangulie
Polen xan jmn tumuombee mwenzetu
Mungu awatie nguvu kwa msiba
Kuna watu mna dharau sana hapo msibani yaan wanasema tumpigie Yesu makofi unapiga kofi kwa paja ulaniwe ww kenge usiyejitambua kama hutaki kupiga makofi tuliza mikono yako au ungekaa nyumbani naona umedanganywa na hako kasuti
kwel kbs
Katetemeka wapi jaman
Miwani ilikuwa nayo Ni moja ya sare?
Huyu cameraman mbona amuonexhi anayeongea
Pumzika kwa amni dada yetu 😂😂
Kilaninae muona anamiwani usoni nauliza ndotalatibu zao wasanii
Wengine hawana mbona kama Tma, Nelly
💔💔💔💔
Wanaonaga aibu wengine sura zao zinatisha zimechoka kwa mekap 😂😂
😂😂
Na kwenye msiba ndiyo utakuwa sura yake
🤣🤣🤣umenifanya nicheke mweeeh watu mna maneno nilimwona Nicole nikajikaza sikucheka ila hii comment imenifanya nicheke
We nae kama mpumbavu,huna akili wew,we mwenyew unasura imechoka km uchi wako
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mwamposa ulishindwa kumponya
7080
Ivi ukiwa msanii lazima uvae miwani kumbe
😂😂😂
@@MaryamMashakakuficha uzee na sura mbovu
@@MariamuJuma-t8z 😀😀😀😀
@@MariamuJuma-t8zkwakwel maan kweny cm wanatuongopea
Waone miwani mikubwaaaa utadhani ni watu kumbe ni mijitu tu! Jifunzeni kupitia kifo ili mpate nafasi ya kuutafuta mwisho mwema! Haya ila Mungu yupo.
😂
😮😮😮😮😮jamani umeweza nini@@tedypeter9656
Hivi kweli maombi alafu unaongea na cm wewe hapo unajisikiaje
Asaiv c kwaubaya ila nanunua mawan
😂
Wameshona na suti kabisa
Poleni Sana mungu awatangulie