MTANZANIA ALIYEFIKA BAHARI YA SHETANI AFUNGUKA, KANUSURIKA KULIWA NA PAPA "NILIOKOA WATU MV SPICE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Leo nakukutanisha na Kijana wa Kitanzania Moses Ntilema ambaye ni mtaalamu wa mambo ya uokoaji baharini huku akiwa amekumbana na matukio mengi ya kutisha.
    Moses amenusurika kuliwa na PAPA lakini pia amewahi kumuokoa mtu asiliwe na Papa, pia ameshiriki Kufanya uokoaji katika ajali mbalimbali za meli ikiwemo Mv Spice iliyotokea Septemba 10, 2011 Zanzibar.
    Pia Moses amefika katika Bahari ya Shetani 'Devil Sea ama Bermunda" ambapo ni jambo la kawaida kusikia Ndege, Meli zimepotea.

ความคิดเห็น • 71