Tale nakuelewa mno ila kwa la chidi kama binadamu hujapaswa kumuhukumu kwa sigara pia kumbukumbu na kumzarau kwako kote ila chidi hachoki kukutafuta ujue jamaa anajielewa sana mitihani tu ya Mungu, lakini mwisho ya yote fanya unacho kiamini but fikiria mara 2 , Mungu akubariki ww na chidi pia 🤲🤲
Kama kweli ulikua na Nia ya kumsaidia msaidie chid ulitakiwa uende nae taratibu angeacha polepole sio ghafla kumbe sigara tu bro.. usichoke msaidie Tena ,.. Kuna Leo na kesho ...
afu mkeo alimwelewa chid chid akiulizwa swali yupo makini kulijibu tena kisomi zaidi wangu msaidie na wasafi festv awepo mbona ile siku mondi anatoa misaada tandale alipafom vizuri tu
achana naye yule atatumiya drag mpaka afe na kama unataka kwakumnunuliya sawa apo mtapatana juu anauwezo kwenye music hata akivuta ganja nasigara kibaya akiwa mwizi wala kibaka.
Mobeto si alikuwa mpenzi wa diamond alafu whozu ameproduce ngoma yake kwa s2kizz na madee ni mabeshte na wasanii wa wasafi naye chege walifanya collabo na chibu
Tale wewe Una roho mbaya sana kila MTU anajua,unaongea taratibu ili ufiche ubaya wako lakini twakutambua,hakuna MTU mbaya sana kama ww katika industry ya music
Chobastian -Chobo hiyo ndio tatizo ya wa Africa wengi hawajuwi kuacha hizo dawa ni mutihani mkubwa saana wengi wanapenda kuacha ila si virahisi kweli Tale angekuwa na elimu angefahamu hivyo
Dah! Meneja aliekuwa msanii,una hekima za kutosha.......umesema ukweli mtupu......big up
Tale nakuelewa mno ila kwa la chidi kama binadamu hujapaswa kumuhukumu kwa sigara pia kumbukumbu na kumzarau kwako kote ila chidi hachoki kukutafuta ujue jamaa anajielewa sana mitihani tu ya Mungu, lakini mwisho ya yote fanya unacho kiamini but fikiria mara 2 , Mungu akubariki ww na chidi pia 🤲🤲
Msaaidie Babu
Sema kwa kumpeleka italy ndio mtakwenda kumuua na madawa coz huko sober atakutana na watumiaji madawa kweli na madawa yamezagaa kama katana.
Ww huko na roho mbaya.... Kama huko na Nia mbona usimsaidie
Msaidie brow mtu kama Huyo ni vgumu kuacha mapema vitu kama hvyo so kama kweli ulikuania yakumsaidia brow help him maisha yanachange ujue u never know
baba tale jikaze kiume bro unapo ongea
Full interview plzzzzzz
Give your number I will send it to you via WhatsApp
Kuna wengi wanastaili kusaidiwa lakini sio wavuta unga tunapitia shida nyingi lakini hatuvuti unga sasa ndo hawa wavuta unga wenyewe wamejitakia
Babu tale msamee kijana ni ubinahadam hahaha hanaponaaaa babutaleeee
Kama kweli ulikua na Nia ya kumsaidia msaidie chid ulitakiwa uende nae taratibu angeacha polepole sio ghafla kumbe sigara tu bro.. usichoke msaidie Tena ,.. Kuna Leo na kesho ...
Tale siwezi kukulaumu, naona kama Hawa wavuta madawa wawe banned tu watajirekebisha wenyewe tu, sasa huko SA ndio atakufa maana anaenda kujimaliza
afu mkeo alimwelewa chid chid akiulizwa swali yupo makini kulijibu tena kisomi zaidi wangu msaidie na wasafi festv awepo mbona ile siku mondi anatoa misaada tandale alipafom vizuri tu
Umeona ee
Nmekupenda bure naomba no zako plz
Vipi mbna nusu nusu..tupe full video ya interview ya babu tale
Mtu imara una ufala sana mzee
Ulikosea Tale kwakua yule sio rahis kuacha inatakiwa kuendanae taratibu .
Kweli. Matibabu ya kuepukana na uraibu inawachukua hadi miaka sio suala la mwezi mmoja
Huyu Babu Tale amfanana governor wa Kenya aitwae sonko
Babu msaidie Benz... Atapona
Huyu tale mbn anaongea kidemu hivi
Sauti kama ya kideeeeeeeeeee m jikaze
Msaidie bana
yan babu tale anaroho mbaya hujawah onananayo
*_Eti Shetani1 Akakuambia ACHA_*
Hii muziki iko nyuma inaudhi ....upuzi ujinga Tu kama ni mziki use mziki kama ni mahojiano si owe hiyo hiyo Tu...!!!! ...dammitt
babu tale ungemvumiloa tu sio rahisi kuacha paa msaidie tena wangu
Tale A.K.A kamati ya fitina🤣🤣🤣😂
Wee nae ukitaka kumsaidia mtu msaidie cyo mguu ndani mguu nje mashauzi tu sigala ndo nini punguza mbwembwe
Si kasema kama alifanya makosa kumpitezea na yy ni mwanadamu, unaongea hivyo kama na wewe umemsaidia vile
Hahaha chidbenz eti kawa sec.......
WEKENI FULL INTERVIEW YA BABU TALE SIO KUWEKA VICLIP VIFUPI FUPI
achana naye yule atatumiya drag mpaka afe na kama unataka kwakumnunuliya sawa apo mtapatana juu anauwezo kwenye music hata akivuta ganja nasigara kibaya akiwa mwizi wala kibaka.
Hii station ni ya kuinterview wasanii wa wasafi tu🤭🤭🤧🤧
mobeto ni wa wasafi?
Mobeto na whozu Madee MO music chege wote wasafi nao
Huna bando
Mobeto si alikuwa mpenzi wa diamond alafu whozu ameproduce ngoma yake kwa s2kizz na madee ni mabeshte na wasanii wa wasafi naye chege walifanya collabo na chibu
Mkono wa kushoto ukitoa wa kulia ucjuwe
Tale wewe Una roho mbaya sana kila MTU anajua,unaongea taratibu ili ufiche ubaya wako lakini twakutambua,hakuna MTU mbaya sana kama ww katika industry ya music
HUYU JAMAA SHOGA AMA MBONA KALEGEA LEGEA SANA👀😂😂😂
Munira Ahmed shogaaaa kumbe unaonekan at wew unafilwa ndo maan unawez kujua mapoz ya wafilwaji
Munira kweli anafilwa kabisa,na Mimi nataka nimfile huyu munira
Tu
UMEMSUSA 😁😁😁 WCB MLIONA BIASHARA HAILIPI??!! MANENO YA KIFEDHULI UKIMPATA DADA YAKO AJATULIA APEWE MIMBA......MNGEINGIA COZ YA KUJIFUNZA KUFUNGA GAVANA MIDOMONI
Hebu jaribu kuwa muelewa kilakitu kakiweka wazi
uyu jamaa anaongea kama shoga vile
Tatzo huna shule, nani alikwambia madawa huwa wanaacha gafla, mtu anaweza kufa akiaacha gafla, tatzo lenu mnafanikiwa tu kiuchumi lakini shule hamna
Chobastian -Chobo
hiyo ndio tatizo ya wa Africa wengi hawajuwi kuacha hizo dawa ni mutihani mkubwa saana wengi wanapenda kuacha ila si virahisi kweli Tale angekuwa na elimu angefahamu hivyo
Fact
Msenge we . Kuacha unga mpaka kuvuta sigara imekua ajabu? Ulikua huna nia tu mupo kuwasaidia watu kw kujipaisha tu. Fuck it stupid Tale
😂😂😂😂😂 nataman ungekuwa marekani ningekupa dolla300 haki