Mama Mungu anakuona Kussu Mmomonyoko wa waadili wew Mwenyewe kwa kinywa chako ulisema kuusu ushoga Fanyeni nyinyi wakubwa Msitualibie watto na unapozungumzia kuusu Ndowa kuachana Unapose Lijitu limejikulia tu litajua elimu ya ndoa kwa miezi mi3 unayatupa san maneno mama kiasikwamba wew Malaika hao nao watto wamezaliwa kama wew ulivyozaa wanao punguza kdg ukali wa Maneno Mama
THIS IS ONE OF THE BEST SPEECH Tusiishie kusikiliza tu bali tuiishi hii Natamani tuwe na somo la uongozi na maadili at a certain stage kwenye elimu yetu tunayowapa watoto wetu
Wananchi tuwe makini siasa mchezo mchafu. Siasa zilivyo za ajabu unaweza kushangaa siku moja mmoja akahamia kwa mwenzie na akakaribishwa kwa kusema tu nimerudi nyumbani kumenoga.😅😂😢😅
Mama lazima uwe imara. Watu badala ya kuwa wamoja kuijenga nchi watu wengine wanaleta kebehi mno. Dharau kibao. Mama kawapatia watu uhuru wa kuongea, wao wanatukana. Mfano.. tunaposema huyu ni mama yetu... ni ishara tosha ya kulinda utamaduni wetu. Huwa tunasema baba wa Taifa etc. Hiyo ni sifa zetu za pekee. No need kudharau wengine tunaposema mama yetu ama baba yetu. Lazima kuilinda nchi na kudumisha umoja as Tanzanian ❤. Uhuru tuliorithi lazima kuisimamia. No need kumtukana Mama etc. Tanzania yataka moyo kuongoza. Watu hawana shukurani. Sasa Rais wetu anasimamia miradi na inaenda vizuri kabisa. Mlipiga kelele mara ndege, mara bwawa halitaisha etc. Sasa Mama kasimamia kazi inaenda na tutafika salama salimini na tutawashinda hata beberu waliopo ndani na nje ya nchi. Mungu ibariki Tanzania. Kazi iendelee 🎉
Cha kugeuza topic mnauwa watu mnatesa watu . Sheria mnapanga zinazo wakandamiza wenzenu. Mnatumia vyombo vya usalama kubaki madarakani . Lete tumehuru unaongopa nn ww unchagua kilakitu mdomo tuu
Wanasheria wasio na ajira,, waalimu,,, wasio na ajira,,,,,, na wasomi wengine,,,,,, katka nyanja mbali mbali.... watumike,,, kutoa elimu ya katiba,,, ili kuto kuathiri,,, kazi za waaaajiwa za kila siku
Huyu Lisu nikimpenda sana, lakini baada ya kumuona anamtukana Raisi wetu Mungwana, Mstarabu nimemuona hana maana huwezi kumvujia heshma kiongozi wa nchi
Mama sema. Nakupenda sana Madam President wangu hao wanaokutukana na kukuzulia majambo ya hovyo achana nao Akili ndogo. Piga kazi Mama, niko Mvomero mimi ni Mkulima huku bado Mifugo inasumbua bado sana hivi tunalima mashamba yetu Lkn Mifugo especially Ngombe wako nyuma ndani ya Mashamba yetu hii inachosha ni bado matatizo bado.Wakulima tunalima kwa garama kubwa sana Ekari moja Trekta ni 60,000/= au 70,000/= wanakuja ngombe wanatembezwa ndani ya mashamba yetu yaliyokwisha Limwa kwa garama kwato za ngombe zinakandamiza Ardhi mfugaji hajali kbs anaona sawa tuu.Hii kweli sawa ukisema ukweli baadhi ya viongozi wanasema unafanya kampeni this is not wright.Kwa kweli sisi wakulima Mvomero tumechoka na siasa za upendeleo wa upande mmoja tuu. Naomba Mama hili lichukue ulifanyie kazi.I'm proud to be a CCM member ni chama Bomba - Baba Lao.
Mama mtangulize sana m/mungu ktk utekerezaji wako wakuwatendea haki ao viumbe ote apo Tz, kwani utakapo rejea kwa m/mungu utajailizwa kuhusu utawala wako ulitenda haki ,? Zikataa sifa unazopewa na haoo watu , m/mungu ukupe afia njema nauweze tenda haki,
Ni kweli mama,,,, Elimu juu ya katba n muhimu.... Nashauri Somo la katba,,,, liwe la lazima kuanzia form one hadi vyuo vikuu kuanzia January 2025... ili mchakato wakutoa elimu ya katba uwe wa haraka na ufanisi... Watu wazima waelimishwe,,, kupitia,,, sim zao,,, na mtandao ya kijamii,,,, hamasa,,,, mbali mbali,,,, mfano mabango,,,, mitaaani
Samia acha majungu we piga kazi, tunahitaji maendeleo, majungu weka pembeni, kama umekataa kuipitisha katiba bas tufanyie maendeleo haswa kwa sisi wa hali ya chini. Maana nyie wa huko juu tayari mnamaendeleo.
Mama jitahidi kabla huastaafu urahisi wape watanzania katiba mpya.ile ambayo wewe ulikuwa mwenyekiti bungeni.mama wewe ukiiacha nchi bila katiba mpya nina hakika hakuna raisi mwengine atakaefanya iyo kazi.umebakiwa wewe tu mama angu.ulisimamia wewe mwenyewe mchakato 2013.maoni kilakitu tulishafanya tusirudi nyuma mama angu tukapoteza tena pesa za kodi.
Rais wetu ukweli awali alikuwa na nia njema sana kulingana na hotuba yake,nahisi baadhi ya viongozi wa upinzani wamemkorofisha amechefuka kwa maneno yasiyo na staha,wala shukrani,mimi kwa uzoefu wangu,wapinzani wakikaa vizuri na Rais wa sasa mengi wanayotaka atatimiza,lakini ubabe dhidi ya mweye dola kamwe hakuna ushindi.Ingieni kwenye mazungumzo,maridhiano muone kama hamtafanikiwa.Watanzania hawataki vurugu,watakukataa.
Kwenda zako huko umeuza bandari zetu mbuga zetu deni la taifa kutoka tilion alobaini na tana hadi tilioni miamoja na nne na umewaua ndugu zetu akina ally kibao akina sativa akina soka harafu nashangaa kuna watu wanakusikiliza na kupiga makofu ni wa pumbavu namba moja
serikali ina wajibu wa kuandaa viongozi bila kujali itikadi za vyama. serikali ina jicho la kuwaona watekaji, wauwaji, majambazi, wala rushwa, lakini pia siyo tabia njema viongozi kujimilikisha mali za wa Tanzania wote, kuuza hifadhi za taifa kwasababu ya madini etc
TUNDU LISSU HAFAI KABISA. ACHANENI NAYE. MBOWE NI KIFARU. NI MTU MZURI, ANAFAA KUWA KIONGOZI. ,ANA BUSARA NI MAKINI. LISSU ANAFIKIRI ANAWEZA KUIBADILISHA NCHI KWA AJILI TA MANENO. HAFAI , HAFAI. CHUMA ZIMEJAA MWILINI HAWEZI KUTEMBEA ANAJICHOSHA NA SIASA.
Mleta vurugu yeyote Ile ya kisiasa ni mbinafsi, mambo yakiwaka nchini anakimbilia anakokujua kula bata na mali za nchi nchi kuliwa vizuri na marafiki zake.
Ataewaunga CCM Mkono ni yule mwenye maslai nayo tu na sio mtu mwingine Wapambe tu hao Mambumbumbu Mimi sasaiv Maombi Yangu Lissu awe Mwenyekitu tu Chadema taifa nchi itakaa sawa Kwakwel Mimi sina Chama ila naitaji san Mabadiliko kwenye nchi yangu naumia san kuona watu wachache tu wanatafuna nchi wengi wetu wanateseka na umaskini
Wanao tuteka taifa hili ni lakwawo. Wana uhalali gani kutupoteza. Tumekosa nini. Wizi wa kura hadi polisi wanashiliki kukimbia na mabox . Amani na haki kipi kitatangulia.
Lisu kasema ukweli nimesikia familia yako imewawaleta Tanganyika umewajengea kijiji Tanganyika sad unawapelekea mavyakula nk Du kwanza ulichagiliwa na nani ni hilo likakatiba la hovyo wanyonge tunashida mmh
Swala La maadili Hilo tumefeli. Misingi ikiharibika hakuna maadili tena. Jinsi baba alivyo ndivyo mtoto atakavyokuwa. Baba akiiba karatasi za kura ndivyo mtoto atakavyokuwa hivyo
Mbowe ni ccm b umeona mama kasha ungana na mbowe kumuondoa lissu ili wafanye yao hongera sana mama na mbowe dili done😊😊😊😊
Aise Rais hongera Sana kwa hotuba nzuri hao wengine ni wapotoshaji ndoo maana magufuri aliwangua hawana jipya
Uraisi ni chaguo la mungu na sisi tuna Imani na ww sana
Lisu ni haki haki . Bila haki ni kisema hakuna cha maana
Big up our president mitano ni haki yako tunakupenda hivyo hivyo na busara.zako Molla azid kukulinda
Usiwasemee watanzakia.mitano ni kwako kwetu hatufai
Usiwasemee watanzania
Mama Mungu anakuona Kussu Mmomonyoko wa waadili wew Mwenyewe kwa kinywa chako ulisema kuusu ushoga Fanyeni nyinyi wakubwa Msitualibie watto na unapozungumzia kuusu Ndowa kuachana Unapose Lijitu limejikulia tu litajua elimu ya ndoa kwa miezi mi3 unayatupa san maneno mama kiasikwamba wew Malaika hao nao watto wamezaliwa kama wew ulivyozaa wanao punguza kdg ukali wa Maneno Mama
THIS IS ONE OF THE BEST SPEECH Tusiishie kusikiliza tu bali tuiishi hii Natamani tuwe na somo la uongozi na maadili at a certain stage kwenye elimu yetu tunayowapa watoto wetu
Wananchi tuwe makini siasa mchezo mchafu. Siasa zilivyo za ajabu unaweza kushangaa siku moja mmoja akahamia kwa mwenzie na akakaribishwa kwa kusema tu nimerudi nyumbani kumenoga.😅😂😢😅
Ukweli unauma sana
Amina tunahitaji maneno ya mvuto sio matusi sisi niwatuwazima sio matusi kama wafanyavyo chadema
Mama ni kweli ulimutuma mwanao kwao?hili lijibu linakuchafua Sana japo sio musafi!😂😂😂😂
❤ exactly 💯 mama chapa kazi huyo ameisha hizoo siasa zake hazina nafasi kwatu
Mama lazima uwe imara. Watu badala ya kuwa wamoja kuijenga nchi watu wengine wanaleta kebehi mno. Dharau kibao.
Mama kawapatia watu uhuru wa kuongea, wao wanatukana. Mfano.. tunaposema huyu ni mama yetu... ni ishara tosha ya kulinda utamaduni wetu. Huwa tunasema baba wa Taifa etc. Hiyo ni sifa zetu za pekee.
No need kudharau wengine tunaposema mama yetu ama baba yetu.
Lazima kuilinda nchi na kudumisha umoja as Tanzanian ❤. Uhuru tuliorithi lazima kuisimamia. No need kumtukana Mama etc.
Tanzania yataka moyo kuongoza. Watu hawana shukurani. Sasa Rais wetu anasimamia miradi na inaenda vizuri kabisa.
Mlipiga kelele mara ndege, mara bwawa halitaisha etc. Sasa Mama kasimamia kazi inaenda na tutafika salama salimini na tutawashinda hata beberu waliopo ndani na nje ya nchi.
Mungu ibariki Tanzania. Kazi iendelee 🎉
Angevinja ukimya kipindi cha katiba mpya na ukekaji namauaji ya vijana na mikutano ni haki ya Kila chama na sio kiongozi yyte wa chama
Yapo ya kuzungumza ni mengine ninyi mnauwa watu, mnateks, mna maisha ya anasa sana wakati wengine tunaumia sana
Ngoja nicheke😅😅😅😅
Cha kugeuza topic mnauwa watu mnatesa watu . Sheria mnapanga zinazo wakandamiza wenzenu. Mnatumia vyombo vya usalama kubaki madarakani . Lete tumehuru unaongopa nn ww unchagua kilakitu mdomo tuu
Asante sana mama..
Pole Mama huo ndiyo Uongozi laana imeshawatembelea kwa matusi yao na bado watasambaratika tu Chadema Saccoss Ccm iko juu na itashika dola maisha
Wanasheria wasio na ajira,, waalimu,,, wasio na ajira,,,,,, na wasomi wengine,,,,,, katka nyanja mbali mbali.... watumike,,, kutoa elimu ya katiba,,, ili kuto kuathiri,,, kazi za waaaajiwa za kila siku
Kweli mama chadema. Lisu ataivunja itakufa
Mungu ndiye mwaamuzi wa tambo zako. Ni jambo la muda tu.
Ukweli unauma
Huyu Lisu nikimpenda sana, lakini baada ya kumuona anamtukana Raisi wetu Mungwana, Mstarabu nimemuona hana maana huwezi kumvujia heshma kiongozi wa nchi
Lisu hana adabu kabisa
Kikubwa mama wakumbuke na watumishi wa darasa la saba kuwaongeza mishahara
MAMA SAMIA MITANO 🖐️ TENA
Mama sema. Nakupenda sana Madam President wangu hao wanaokutukana na kukuzulia majambo ya hovyo achana nao Akili ndogo. Piga kazi Mama, niko Mvomero mimi ni Mkulima huku bado Mifugo inasumbua bado sana hivi tunalima mashamba yetu Lkn Mifugo especially Ngombe wako nyuma ndani ya Mashamba yetu hii inachosha ni bado matatizo bado.Wakulima tunalima kwa garama kubwa sana Ekari moja Trekta ni 60,000/= au 70,000/= wanakuja ngombe wanatembezwa ndani ya mashamba yetu yaliyokwisha Limwa kwa garama kwato za ngombe zinakandamiza Ardhi mfugaji hajali kbs anaona sawa tuu.Hii kweli sawa ukisema ukweli baadhi ya viongozi wanasema unafanya kampeni this is not wright.Kwa kweli sisi wakulima Mvomero tumechoka na siasa za upendeleo wa upande mmoja tuu. Naomba Mama hili lichukue ulifanyie kazi.I'm proud to be a CCM member ni chama Bomba - Baba Lao.
MBOWE NI MCHAGA ANA AKILI. HAKUNAGA MCHAGA FARA. MWANADHERIA MZIKA ANAMTUKANA RAISI. AENDE KIJIJINI YUYO .
TANZANIA hatujapata wapinzani bali ni wapingaji
Kiukweli wala hakuna mgogoro!
Mama mtangulize sana m/mungu ktk utekerezaji wako wakuwatendea haki ao viumbe ote apo Tz, kwani utakapo rejea kwa m/mungu utajailizwa kuhusu utawala wako ulitenda haki ,? Zikataa sifa unazopewa na haoo watu , m/mungu ukupe afia njema nauweze tenda haki,
Mh Rais huyu asikusumbue Akili unawaongoza kila aina za viumbe Mojawapo ni huyu
Lisu huna adabu kabisa na kwenye siasa umepotea jumla
Mama kuwa mkweli,huu uchaguzi mdogo na mitutu ya bunduki ulijofu kushindwa,Kama unasema kweli ruhusu katiba mpya na time huru tione ukweli wako
Ni kweli mama,,,,
Elimu juu ya katba n muhimu....
Nashauri
Somo la katba,,,, liwe la lazima kuanzia form one hadi vyuo vikuu kuanzia January 2025... ili mchakato wakutoa elimu ya katba uwe wa haraka na ufanisi...
Watu wazima waelimishwe,,, kupitia,,, sim zao,,, na mtandao ya kijamii,,,, hamasa,,,, mbali mbali,,,, mfano mabango,,,, mitaaani
Mama yetu piga sana
Samia acha majungu we piga kazi, tunahitaji maendeleo, majungu weka pembeni, kama umekataa kuipitisha katiba bas tufanyie maendeleo haswa kwa sisi wa hali ya chini. Maana nyie wa huko juu tayari mnamaendeleo.
Mama samia hapa amenifurahisha
Nimemuelewa
Ya liini iyo?Vip kuhusu wizi wa kura????
Wanakulana wenyewe kwa wenyewe wanapata maapizo ya Rais wetu Mpendwa maneno yako ndio yanawapata sasa hivi
Sawa mama
Hotuba ya mama nimeipenda sana nakatoa elimu kwa watu wote"asante mama
Talking about morals and respect Tundu isn't the type of a person who is able to meet the standards.
Ok 6:33
Nimeipsta hioo:
1) "KIPOFU KAONA JOGOOO" I LIKE IT ! ! !
2) "ALJUNUNU FUNUNU"
SHABBAAASH ! ! !
GOD BLESS YOU MUM.
AMIIINA AMIIINA AMIIINA.
Huyo lisu sio mzima waakili
Ni kweli wa kuharibu ni sisi wenyewe
Lissu mbaguzi mdini unajazba huna busara unachuki ndani ya mishiba sifa ya uongozi huna hata raisi umembaguwa lissu mshenzi
Mama jitahidi kabla huastaafu urahisi wape watanzania katiba mpya.ile ambayo wewe ulikuwa mwenyekiti bungeni.mama wewe ukiiacha nchi bila katiba mpya nina hakika hakuna raisi mwengine atakaefanya iyo kazi.umebakiwa wewe tu mama angu.ulisimamia wewe mwenyewe mchakato 2013.maoni kilakitu tulishafanya tusirudi nyuma mama angu tukapoteza tena pesa za kodi.
Waongo wakubwa mafatani wakubwa nyie yazamani hayo kuku nyie
Rais wangu kipenzi chetu watanzania 5+5 tenaa hilo jitu la hovyooooo malezi yake kuna sehem wazazi wake hawakuwa makini
Rais wetu ukweli awali alikuwa na nia njema sana kulingana na hotuba yake,nahisi baadhi ya viongozi wa upinzani wamemkorofisha amechefuka kwa maneno yasiyo na staha,wala shukrani,mimi kwa uzoefu wangu,wapinzani wakikaa vizuri na Rais wa sasa mengi wanayotaka atatimiza,lakini ubabe dhidi ya mweye dola kamwe hakuna ushindi.Ingieni kwenye mazungumzo,maridhiano muone kama hamtafanikiwa.Watanzania hawataki vurugu,watakukataa.
Shakamooo Mamaaa.
Allah awashinde na shari zao.
AMIIINA AMIIINA AMIIINA.
Kwenda zako huko umeuza bandari zetu mbuga zetu deni la taifa kutoka tilion alobaini na tana hadi tilioni miamoja na nne na umewaua ndugu zetu akina ally kibao akina sativa akina soka harafu nashangaa kuna watu wanakusikiliza na kupiga makofu ni wa pumbavu namba moja
Ya zamani hii
Sasa Mbona kila Uchaguzi mnadhulumu, wananchi hawana HAKI ya kumchagua kiongozi wanayemtaka?
Wako watu wamesoma sana na wakati wakajiona kuwa kila kitu watayosema ni kweli kila binadamu anakili wa kuchambua lipi baya na JEMA
Mama mheshimiwa nakupenda wewe waache wapambane wenyewe we hujui Kuna watu wengine vichaa midomo haina vat
Mbowe ni chawa la ccm mamliki
Hotuba hii ni ya siku nyingi sana sio ya leo
yote hayo chanzo ni serikali ya ccm the grand saccos
Kama utekaji , ni hali ya roho gani ?
serikali ina wajibu wa kuandaa viongozi bila kujali itikadi za vyama.
serikali ina jicho la kuwaona watekaji, wauwaji, majambazi, wala rushwa, lakini pia siyo tabia njema viongozi kujimilikisha mali za wa Tanzania wote, kuuza hifadhi za taifa kwasababu ya madini etc
Uongo Tu hotuba ya lini hii waongo nyie
TUNDU LISSU HAFAI KABISA. ACHANENI NAYE. MBOWE NI KIFARU. NI MTU MZURI, ANAFAA KUWA KIONGOZI. ,ANA BUSARA NI MAKINI. LISSU ANAFIKIRI ANAWEZA KUIBADILISHA NCHI KWA AJILI TA MANENO. HAFAI , HAFAI. CHUMA ZIMEJAA MWILINI HAWEZI KUTEMBEA ANAJICHOSHA NA SIASA.
Mh, hawa wanachuki za wazi juu ya visiwa na watu wake kule
UKO SAHIHI
Mleta vurugu yeyote Ile ya kisiasa ni mbinafsi, mambo yakiwaka nchini anakimbilia anakokujua kula bata na mali za nchi nchi kuliwa vizuri na marafiki zake.
Huu mwongozo ni thabiti. Unapunguza ukambale. Kwenye nyumbacyackambale baba, mama na watoto wote wana masharubu. Nchi haiwrzi kuwa hivyo
Mama uko Sahihi unaongea ukweli na unaona mbali haya ndio yanayo tokea kwenye chama fulani.Maneno yako NI MAZITO NA YA KUZINGATIA
Upuuzi hii nchi sasa nini hiki
Ataewaunga CCM Mkono ni yule mwenye maslai nayo tu na sio mtu mwingine Wapambe tu hao Mambumbumbu Mimi sasaiv Maombi Yangu Lissu awe Mwenyekitu tu Chadema taifa nchi itakaa sawa Kwakwel Mimi sina Chama ila naitaji san Mabadiliko kwenye nchi yangu naumia san kuona watu wachache tu wanatafuna nchi wengi wetu wanateseka na umaskini
Kumoto😂
Mama wambie walipopata wabunge 70 katiba ilikuwa ile ile au ilibadilika au kwa kuwa Hawana viongozi
Wewe ndo umeharibu
Wanao tuteka taifa hili ni lakwawo. Wana uhalali gani kutupoteza. Tumekosa nini. Wizi wa kura hadi polisi wanashiliki kukimbia na mabox . Amani na haki kipi kitatangulia.
You must go
Labda wewe😊😊😊😊
@Omarimakuka ndo mumeisha na kibalaka wenu
KWANI WEWE WANAKUKELA NINI WATAKUJIBU WEWE UTAHAMAKI KAMA ULIPOSEMA MWANZO UKINIZIGUWA CHAWA WANGU WAKUZINGUA WAACHE HAO WAKIZIDIWA WATAKUOMBA USHAULI
POLE MAMA NDIO UOGOZI HUO VUMILIA NA HAO WANAGONGA WENYEWE WAAGALIE TU SAWA NA WALEVI WAKIGOMBANI UKIEGILIA KUPATANISHA WATAKUPINGA NA CHUPA
Lisu kasema ukweli nimesikia familia yako imewawaleta Tanganyika umewajengea kijiji Tanganyika sad unawapelekea mavyakula nk Du kwanza ulichagiliwa na nani ni hilo likakatiba la hovyo wanyonge tunashida mmh
Swala La maadili Hilo tumefeli. Misingi ikiharibika hakuna maadili tena. Jinsi baba alivyo ndivyo mtoto atakavyokuwa. Baba akiiba karatasi za kura ndivyo mtoto atakavyokuwa hivyo
Suala la mikutano ya hadhara sio ruhusa ni haki ya msingi sio fursa nakama ikizuiliwa ni dhambi la kikatiba
Usitatangazie busara na wkt nyie wenyewe hamna busara neema za nchi yetu mnafaidika nayie tu
KUMBUKA ULIWAETA WAMEOTA MIKIA SASA WEWE WAACHE WATAKUJIBU UTAKASILIKA WEWE TUPE LAHA WAKATIWAKO HUU
Rudi kizimkazi
Mnafikuri zile risasi 16 zitamwacha mtu na kichwa timamu ?
Umeruhusu mikutano ya hadhara wewe? au katiba imeruhusu ?
Du olala
Nchi haina uongozi 😢