Jinsi ya Kutoa Maneno kwenye Wimbo ibaki Beat Tupu : kwa kutumia Simu tu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 31

  • @makawan_Bway5478
    @makawan_Bway5478 11 หลายเดือนก่อน +3

    ahsante Saana kaka Mi pia naimba naomba pitieni muone kwangu

  • @funnyboy369
    @funnyboy369 ปีที่แล้ว +2

    Vinei ww ni mzuri kiukwel na unafanya vzr kazi zako ni za kweli na unaojuhudi i wish upate subscribers hata zaid ya million tano coz ur so really Vinei..shout to you😇😇

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      😀one love kaka🙏💛💛🧡

  • @daudifortunatus9576
    @daudifortunatus9576 ปีที่แล้ว +1

    Brother umeeleza vizuri sana, Asante.

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      Pamoja

  • @IbrahimwillyamprinceWillyampri
    @IbrahimwillyamprinceWillyampri 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefanikiwa kaka

  • @zamdasteven
    @zamdasteven หลายเดือนก่อน +1

    Safi

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 ปีที่แล้ว +2

    App ya kutoa sauti kwenye video yaan kumute ni ipi

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว +1

      App ya editor yoyote ya video editing ina hio section

  • @TechMoney319
    @TechMoney319 ปีที่แล้ว +1

    Nzur San kaka

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      🙏🙏

  • @ezekielbwena4590
    @ezekielbwena4590 ปีที่แล้ว +1

    App gan nzuri kama unataka kuimba kwa kutumia simu

  • @FilbertJohn-op2vo
    @FilbertJohn-op2vo 7 หลายเดือนก่อน +1

    Apu Gani ya kumix audio kupitiasim

    • @Vinei
      @Vinei  7 หลายเดือนก่อน

      Fl mobile

  • @Djhansmonstertss
    @Djhansmonstertss 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sahv play store haipo kk😢

    • @Vinei
      @Vinei  5 หลายเดือนก่อน

      ipo mbona

  • @HeritageTech-ym6nm
    @HeritageTech-ym6nm ปีที่แล้ว +1

    Vp kuhusu Jinsi Ya Kutengeneza WhatsApp bot

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      Tumia Whatsapp business

  • @Bongolist.
    @Bongolist. ปีที่แล้ว +1

    Vp kaka hivi sauti yako una edit kupitia app ipi ya simu

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      Cubasis 3

    • @Bongolist.
      @Bongolist. ปีที่แล้ว +1

      @@Vinei hiyo cubass unatumia kwenye simu

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      @TomComparison- ndio

  • @IginasMgogo
    @IginasMgogo ปีที่แล้ว +1

    Bro tunaomba utufundishe jinsi ya kutengeneza bot za WhatsApp au robot ambayo inatumika WhatsApp bro coz naona zina trend sana najuwa bro ujawah feli 🙏plz bro

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว +1

      Video kesho

    • @IginasMgogo
      @IginasMgogo ปีที่แล้ว

      @@Vinei 🙏asante bro

  • @IginasMgogo
    @IginasMgogo ปีที่แล้ว +1

    Kaka vp kuhusu startimes ya free bro

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว +1

      Telegram

  • @ejntv
    @ejntv ปีที่แล้ว +1

    Hii nzuri🫡

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      Pamoja bro