Amani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @brownchurchill1548
    @brownchurchill1548 ปีที่แล้ว +1

    Yesu ndiye amani kamili...na rejesho lake la pili ndio kielelezo cha amani na kuisha kwa vita humu duniani.

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 3 ปีที่แล้ว +3

    Huu wimbo ni moja ya nyimbo zilizoniongoa mwaka 2002 nikisoma shybush nilibahatika kuwaona live jangwani ikiwa ni kwaya niliyoipenda Sana Mungu awasimamie

  • @mokayamdwesley7441
    @mokayamdwesley7441 3 ปีที่แล้ว

    wa!wa!nilizikiza wimbo hii nikiwa kijana wa miaka 10. '90s nikabarikiwa sasa ni mtu mzima sikuwai jua ni nyinyi mliimba.mungu awabariki zaidi.

  • @petermanyasi2855
    @petermanyasi2855 3 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe, wekeni nyimbo zenu zote. Nilizitafuta sana.

  • @TheOby76
    @TheOby76 4 ปีที่แล้ว +3

    Sauti ya Jangwani mnanibariki sana mfike mbali, jaribuni kutuwekea na Nyimbo zile za zamani zina vionjo visivyo vya kawaida, mbarikiwe sana

  • @annaabel9639
    @annaabel9639 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri ni kweli amani haipo

  • @user-jr7ye5nh6l
    @user-jr7ye5nh6l ปีที่แล้ว

    Nilikuwa mdogo Sana, hakika jangwani walikuwa Bora sana

  • @manyeshamaria2712
    @manyeshamaria2712 4 ปีที่แล้ว

    Amani we ukowap watu wanataka aman ,naupenda sana huu wimbo mbarikiwe sana

  • @JamesJackson-or7gc
    @JamesJackson-or7gc 3 ปีที่แล้ว +1

    Amani yuko wp jaaman anakuja Amina bwana nimwema

  • @bethcharles1794
    @bethcharles1794 2 ปีที่แล้ว

    Mmebalikiwa sana jangwan

  • @iddisillas4522
    @iddisillas4522 4 ปีที่แล้ว

    May God bless this Exceedingly

  • @sophiakabaka4492
    @sophiakabaka4492 3 ปีที่แล้ว

    Jaman inapendeza kuwatazama watu hawa

  • @ruthlugata1769
    @ruthlugata1769 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @paulmboje2677
    @paulmboje2677 3 ปีที่แล้ว

    Uko api we amani dunia inahangaika vita haziishi

  • @priscadeogratius1497
    @priscadeogratius1497 4 ปีที่แล้ว

    Saf mbarikiwe

  • @augustinomayunga492
    @augustinomayunga492 4 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa na upigaji gitaa wenu, naomba mtuwekee na za zamani vionjo vyake havichujiki.

  • @effortmfubusa582
    @effortmfubusa582 4 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako ya simu ubarikiwe sana

  • @samsonmsangula1198
    @samsonmsangula1198 3 ปีที่แล้ว

    Jangwani naomba muweke na namba zenu za simu ili tupate kuwapigia na kutoa maoni yetu

  • @samwelkulwa2067
    @samwelkulwa2067 4 ปีที่แล้ว

    Ndio