GWAJIMA BILA KUFICHA ACHAMBUA MFUMUKO WA BEI, "ONDOA MACHINGA MJINI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 162

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 ปีที่แล้ว +2

    Umesema vizuri sana Bishop Gwajima, kazi yako nzuri unafuatilia kila kitu na kujali watu, Utatuzi wa tatizo.🙏🏻🙏🏻

  • @hakizimanantawundi9369
    @hakizimanantawundi9369 ปีที่แล้ว

    Asante sana. Mimi nikisema nikatukanwa. Ila ukweli utabaki ukweli tu. Kupanda kwa bei za vyakula kwetu sisi ni fulsa. Wakulalamika waendelee kulalamikia. Ila mimi natoa pongezi nyingi kwa mama Raisi mpendwa Samia Suluhu Hasani kwa kuruhu mkulima auze mazao ya kilimo kwa mtu yeyote. Hapa acha tu kazi iendelee.

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 ปีที่แล้ว

    Mama samia ametoa mbolea tupambane watanzania amesema kazi iendelee Tuangalie na upande wa Mungu watanzania tujitahidi kumheshimu Mungu anaestawisha mazao

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +3

    ukigusa chakula umegusa uhai wa taifa.
    bahati nzuri taifa hili lina ardhi kubwa mno na yenye rutuba nzuri kwa kilimo...
    na mguvu kazi ipo
    Ni mikakati tu inatakiwa.

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว +3

    nani kama samia ? hakuna !!! kwa mifumuko ya bei , ugumu wa maisha na kuwanyanyasa wamachinga 🤣🤣🤣🤣

  • @wonderfuljohn5008
    @wonderfuljohn5008 ปีที่แล้ว +3

    Akili kibwa saba🙌🙌

  • @danieltungira
    @danieltungira ปีที่แล้ว +1

    KATIBAAA, katiba yetu inamuelemea mtu mmoja, akiwa mzembe huyo basi wa chini watafanya wanavyo taka na kisiwepo cha kuwasulubu wanasiasa wanamaneno matam sana si upinzan au utawala lakin wisho wa siku wanainch wanabaki dynamal RIP JPM

  • @kibwamoko8767
    @kibwamoko8767 ปีที่แล้ว +3

    Kwanza hapa nina njaa hata sikuelewi, nimepiga pasi ndefu leo.

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 ปีที่แล้ว +9

    Kilimo na ufugaji vifundishwe Mashuleni Kuanzia darasa la kwanza.

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no ปีที่แล้ว +1

      Shida sio kusomea shida ni kwamba serekali iatakiwa kuongeza zaidi nguvu Kwa kilimo

    • @didasseveline9013
      @didasseveline9013 ปีที่แล้ว +1

      Upo sahihi! Na tutakuwa tumepiga ndege wawili Kwa jiwe Moja!!

    • @saulbichwa
      @saulbichwa ปีที่แล้ว

      Kulima kwenyewe tutalima kwenye ardhi ipi washajimilikisha?

  • @Noricssa
    @Noricssa ปีที่แล้ว +2

    Ni matunda ya serikali isiyokuwa na mpango mpaka maafa yatokee
    Mungu atuhurumie tu wanasiasa si rafiki kwa Watu masikini😭

  • @victorishengoma4599
    @victorishengoma4599 ปีที่แล้ว +14

    Bishop Kulazimisha uongo uwe ukweli..Kazi kweli kweli Anyway Hakuna mwanasiasa mkweli...

    • @abedinegoraphael4774
      @abedinegoraphael4774 ปีที่แล้ว +2

      unataka ukweli upi sasa

    • @abdulhakeem959
      @abdulhakeem959 ปีที่แล้ว

      Bkb tupeni jimbo letu la mjini tafadhali maana hawa wanazingua mno

    • @abdulhakeem959
      @abdulhakeem959 ปีที่แล้ว

      Shida kila mtu hapa anawaza uchaguzi so chawa na kunguni watakuwa wengi na viroboto pia na huku wa tz wapuga kura waki hustle life.

    • @abdulhakeem959
      @abdulhakeem959 ปีที่แล้ว +1

      Ukifatilia kwa ukaribu na umakini hata hotuba zao hazina mashiko na na hazitoi mwelekeo sahihi wa maisha halisi ya wa tz.UCHAWA TU HBR NA MADA KUU KWAO.

    • @didasseveline9013
      @didasseveline9013 ปีที่แล้ว +1

      Kwa kweli umeongea ukweli mtupu! Tatizo chadema wanaacha kuwaambia ufumbuzi wa matzo Yao wananchi! Wanakalia katiba mpya! Watanzania tubadirishe fikra zetu tuache kuwa kama vifaranga vya kuku!

  • @saidijuma5843
    @saidijuma5843 ปีที่แล้ว +1

    Kwaupande wangu huyu nimwalim wa maisha, namkubali sana huyu mzee

  • @alisonimpaji615
    @alisonimpaji615 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mweshimiwa

  • @stellah3844
    @stellah3844 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mbunge hajielewi bado Wakulima wamenunua vitendea kazi kwa mfumuko wa bei sasa watafurahi nini kupanda kwa bei ilihali wamenunua vitendea kaz kwa bei kubwa? hajui hata anaongea nini,,,,,,,Mfumko wa bei ni janga la Taifa nzima awe mkulima au mfanyakaz

  • @aishaaisharagp9381
    @aishaaisharagp9381 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali mkuu chapa kazi

  • @simonlulenga7062
    @simonlulenga7062 ปีที่แล้ว

    Yaondoe magari yako ya mchanga mto Tegeta unatusababishia maporomoko ya maneo yetu bwana gwajima.

  • @adamoman4966
    @adamoman4966 ปีที่แล้ว +1

    Sema baba👌💪

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว

    HAHAHA ikikichwa kinamadini siyopoa ngwajima oyeeeeee

  • @antonykahwage6156
    @antonykahwage6156 ปีที่แล้ว

    Kweli,huwezi tumikia mabwana wawili,siasa na Mungu,mmhhhh,

  • @revocatus4389
    @revocatus4389 ปีที่แล้ว

    Nakubali mzee

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 ปีที่แล้ว +1

    Safi mheshimiwa tubadilike kimawazo kumalizika kwa matatizo kila penye ugumu pana njia mbadala

  • @charzykazimilymajahasy703
    @charzykazimilymajahasy703 ปีที่แล้ว

    Namuamini Dr Bashiru Ally, ni mkweli, wengine ni wote ni pumbavu tu.

  • @barakazakalia7055
    @barakazakalia7055 ปีที่แล้ว

    Mweshimiwa mbagala mali zetu wamebeba sana na kupigwa juu

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 ปีที่แล้ว +1

    Asante gwajima

  • @angelpetro6122
    @angelpetro6122 ปีที่แล้ว

    Mkuu unazingumziaje wakati ujao na wakati hii leo watu hawaelewi wafanye nini aisee

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 ปีที่แล้ว +1

    Gwajima inyooshe nchi Kwa ujumla wetu serikali na wananchi ndicho nachoelewa unachomaanisha.

  • @shaugentwaha356
    @shaugentwaha356 ปีที่แล้ว

    GWAJIMA nakuelewaaa sanaaa baba yangu

  • @Chelevanstambuli
    @Chelevanstambuli ปีที่แล้ว +1

    Gwajima jielewe, mchele umepanda kutokana na ubebaji kutoka vijijini, beiya mafuta imepandasana ndio maana chakula kimepanda bei, sio kule mashambani

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 ปีที่แล้ว

    Ndo shida ya wanasiasa ...
    Mpina... Angalau... Gwajima..umepoteza mvuto
    Mchele upande na vitu vingine vipande halafu afurahi mkulima...

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 ปีที่แล้ว +1

    Wewe kamalizie kanisa lako uite midukule watanzania tupo wengi ambao sio misukule

  • @aloycesilwela3485
    @aloycesilwela3485 ปีที่แล้ว

    JPM alikuwa na akili kubwa sana,kama angeweka lockdown hao Kenya, Uganda na nchi nyingine wangepata wapi chakula? naamini angekuwepo leo watanzania wangeshiba chakula,lkn kwa sasa gharama za maisha zinatufanya kula mlo mmoja, asante Mungu kwa sababu umeruhusu haya yatupate

  • @EMMAMEDIA-h1c
    @EMMAMEDIA-h1c ปีที่แล้ว +1

    Tatizo watauza mpaka wanajikuta na wao wanaanza kulia njaaa

  • @benjaminmiselya2622
    @benjaminmiselya2622 ปีที่แล้ว

    Mmmh mbio za Uraisi 2025 zimeanza haya yetu macho😎😎😎😎😄😄😄😁🙏

  • @official_wjb_tz1589
    @official_wjb_tz1589 ปีที่แล้ว

    Dah! Natamani huyu Mwambah angekua President

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 ปีที่แล้ว

    Zamani mtu akiwa NA laki moja wanamwita tajiri shingi tano unakula wali NA kuku hotelini sumuni unakunywa chai NA mandazi mshara ilikuwa shilingi mia 400 tu lakini unakula mwenzi mzima NA inazidi ccm mbovu sana

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 ปีที่แล้ว

    Umeanza vzr kisha ukazingua gwajima

  • @fintanmkesha1077
    @fintanmkesha1077 ปีที่แล้ว +1

    Pambana cmnt zingine za kkutasha tamaa zipuzie hongera sana kwa nena ukwel naiman maneno yako yatatuvusha mm cna hof na ww bishop gwaji

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +2

    kwenye maji ya ziwa hapo nakuunga mkono kwamba yatumike kwa kilimo ....si maneno matupu bali tuone vitende. Sisi tunataka chakula, tunataka kulima, tunataka pembejeo zenye ubora na kwa bei nafuu.

  • @masantula4057
    @masantula4057 ปีที่แล้ว

    Mzee aliupiga mwingiii saana. Wewe ndio aina kiongozi tunayekuhitaji Tanzania. Unaona tatizo unakubali tatizo na kukiri hadharani na kulitolea ufumbuzi.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +4

    kweli wamachinga wanatakiwa kupangwa na siyo kufukuzwa hovyo kama wakimbizi kwenye nchi yao

  • @mustaphatibaijuka6995
    @mustaphatibaijuka6995 ปีที่แล้ว +1

    Nimemuelewa saana huyu mbunge

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 ปีที่แล้ว

    Acheni siasa baba yangu
    Hapo Mimi kwa kitetea ccm eti haikuwafukuza wamachinga ninani aliyetoa agizo na wakat wanafukuzwa aliyetoa agizo mbona hakusimama kukemea acha acha acha. Ujue na Mimi Nina masikio na Mwelewa ktk kusikiliza na kuchambua hoja

  • @abdulsinga2464
    @abdulsinga2464 ปีที่แล้ว

    Hizi hoja hazina msingi kabisa..Kwa watanzania wasasa hawatakuelewa kabisa..

  • @DrNick-hg6il
    @DrNick-hg6il ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa anaongea vitu alivyo vifanyia utafiti na ni vya uhakika.. haropoki✅

  • @michaelmrema5233
    @michaelmrema5233 ปีที่แล้ว +2

    Ongea ukweli wakimaind rud church

  • @deniskilumile612
    @deniskilumile612 ปีที่แล้ว

    Ndugu zangu kikubwa ni kuthibiti utokaji wa chakula nje,,,then inabidi kusimamia nidhamu ya matumizi ya fedha,,hivo,,hela itapanda thamani ,kiasi kwamba hata ukifunga mipaka mwananchi atakuwa na hela yenye thamani,,ila sio kufungua mipaka huku hela yake unatumia kidogo imeisha na pembejeo ghari hakuna ukombozi wa kweli

  • @aloycesilwela3485
    @aloycesilwela3485 ปีที่แล้ว

    Ccm ni hatari sana

  • @possiepondie6538
    @possiepondie6538 ปีที่แล้ว +6

    Umeanza kwa kiki, nikahic una points!!!! Nilipe bando langu

  • @hanifaalbalushi2483
    @hanifaalbalushi2483 ปีที่แล้ว

    We sema tu unataka urais😅😅😅

  • @owagatonny6558
    @owagatonny6558 ปีที่แล้ว

    Hakika selikali hii inazingua sanaaaaa

  • @rosemayunga4021
    @rosemayunga4021 ปีที่แล้ว

    Nyie mnashibisha wake Nya na waganda wanini ujanja wa JPM haunufaishi wanaichi

  • @KUTOKA-ep2fk
    @KUTOKA-ep2fk ปีที่แล้ว

    Yaani sijasikiliza hadi mwisho ila huyu nani keshakunywa maji........

  • @MerereJr
    @MerereJr ปีที่แล้ว

    Askofu Gwajima ajengewe sanamu pale mwanza akili kubwa sana hii na hazina kubwa ya taifa

  • @speriussimba6717
    @speriussimba6717 ปีที่แล้ว +2

    We ni mjinga sana wakulima hawana mchele tena walishauza na wafanya biashara kutoka nje walisomba moja kwa moja

  • @zaburi2386
    @zaburi2386 ปีที่แล้ว +1

    Namiliki herkopta binafs 🔥🔥😂

    • @robertusrugangila2271
      @robertusrugangila2271 ปีที่แล้ว

      Mbwa koko wewe uliyejaa wivu na hira,ulitaka amiriki fisi
      Fanya kazi kuma wewe

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 ปีที่แล้ว

    huyu jamaa ana akili kweli

  • @nashirkamugisha9425
    @nashirkamugisha9425 ปีที่แล้ว

    Mch.Ngwajima
    Ana akili sanaa

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 ปีที่แล้ว

    Kwnz njaa inaum 😢

  • @allymagambo1798
    @allymagambo1798 ปีที่แล้ว +3

    Msiuze chakula nje

    • @didasseveline9013
      @didasseveline9013 ปีที่แล้ว

      Kwani wanauza Cha kwako? Kalime Cha kwako ndo usiuze nje

  • @muhammedsuleyman6501
    @muhammedsuleyman6501 ปีที่แล้ว +3

    Mipaka ipo wazi, fungeni mipaka mchele usitoke nje ya Tz.

    • @malikkb6444
      @malikkb6444 ปีที่แล้ว

      Unaongea kama mkulima ama mlaji. Biashara ya chakula inatengeneza fursa kwa watanzania walio wengi kunyanyua maisha yao na kutajirika kwa kilimo . Kufunga mipaka sio solution. Vijana tufanye kazi tulime kwa bidii

  • @alexbig8838
    @alexbig8838 ปีที่แล้ว

    Kwamba Kwamba sijaelewa mkuu

  • @theresiamhina9714
    @theresiamhina9714 ปีที่แล้ว

    👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @praisesamson8298
    @praisesamson8298 ปีที่แล้ว

    Mkulima hivi ndiye hujipangia bei ya kuuza mazao kweli?.Ivi mkulima kuuza nje chakula c fulsa kwa serikari why isiwezeshe watu na kupunguza pembejea pamoja na kupunguza maushuru(mageti)aaah!Basi niishie hapa tu ila c powa,Ccm mmeiharibu nchi na mnaendelea kuiaribu

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 ปีที่แล้ว

    Ndio

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 ปีที่แล้ว

    Sasa mweheshimiwa samia alipo sikia wamachiga wananyayaswa alitia neno sikanyamaza usimtetee samia ndio chazo machinga kunyayasika mnaona chaguzi karibu mnadagaya mh

  • @abdulhakeem959
    @abdulhakeem959 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna kitu hapo porojo tu

    • @didasseveline9013
      @didasseveline9013 ปีที่แล้ว

      WWE subiri icho kitu unachokisubili utakipata!!!

  • @msomaliwilliam
    @msomaliwilliam ปีที่แล้ว

    Swali langu Kama wananchi wasipo hiuzia serikali wakaamua kuuza nje ya nchi mtawa walazimicha. Serikari imekurupuka Sana Kwa uamuzi huo wa kufungua mipaka. Ilibidi ijipange Kwanza ktk kilimo cha umwagiliaji na kuanzisha kilimo kwakua wataalamu inayo. Ndio ingeweza kuzibiti bei ya chakila. Bashe amexhukua uhamuzi huo kisiasa Sana. Kwakua yeye Hana njaaa. Jaribuni kuwajari watanzania

  • @aloycesilwela3485
    @aloycesilwela3485 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo mipaka hamfungi?

  • @muhammedsuleyman6501
    @muhammedsuleyman6501 ปีที่แล้ว +2

    Hapa raisi ni mzee wa ubwabwa hashim rungwe, tungekuwa tunakula ubwabwa bure sasa hv

    • @nasonchisota6241
      @nasonchisota6241 ปีที่แล้ว

      🤣🤣tungekuwa tunajilia zetu ubwabwa tu😀😀

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 ปีที่แล้ว +1

    Nmh watu mbona kama hawapo hata kukohoa au kipande icho hawakuelewi

    • @ibrahimgwasma1223
      @ibrahimgwasma1223 ปีที่แล้ว

      Kwani Nani anapenda kufanya KAZI tuanze na wew

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +2

    yooooote tisa mheshimiwa lakini mwananchi mwenye njaa hakuna somo linaloeleweka zaidi ya chakula kwanza.
    Kula utakalosema watasema nyie mnakula mnashiba na kuwa mwenye shibe hamjui mwenye njaa

    • @abdulhakeem959
      @abdulhakeem959 ปีที่แล้ว

      Sasa cjui anampiga sound nani maana karopoka sana cjaona point

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +1

      @@abdulhakeem959 atasoma tu ataelewa au ataambiwa na watu wake.

  • @malikkb6444
    @malikkb6444 ปีที่แล้ว

    Umesema ukweli . Watu wakalime ela ziko njenje wengi hawaelewi.

  • @rahma6189
    @rahma6189 ปีที่แล้ว

    Kosa kwanini wanapo fanyiwa ukatili h hawachukui hatua

  • @songombingo108
    @songombingo108 ปีที่แล้ว

    Huyu si ndo alituambia amenunua treni yake? Yaani bado mnamuamini?

  • @tinolutonja8932
    @tinolutonja8932 ปีที่แล้ว

    Hiii

  • @simonmachaka1208
    @simonmachaka1208 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo tuendelee kuumia Hadi mjenge magala baada uongelee Leo yajayo hapo hamna ukweli ni unafiki mtupu

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 ปีที่แล้ว

    JPM alikuwa na vision na aliyaona haya yatatokea!

  • @neemamatiko3745
    @neemamatiko3745 ปีที่แล้ว

    Tundulisu ameanza kuwaonyesha njia mtatueleza tu

  • @walternaiso
    @walternaiso 10 หลายเดือนก่อน

    Unaongea misuri ikikutoka kama point chizi gwajima

  • @darkplatnum9006
    @darkplatnum9006 ปีที่แล้ว

    kwey umachinga hapo tuna jambo let 2025 nyie bwatuken tu liko moyoni

  • @castorygeorge9395
    @castorygeorge9395 ปีที่แล้ว

    Swala linaanzia kwenye mbolea jmn kwenye swala la mbolea ndo tatizo

  • @MultiMbongo
    @MultiMbongo ปีที่แล้ว +3

    Vipi Ile safari yetu sisi wakazi wa kawe kwenda Birmingham marekani?

    • @MtuSafi
      @MtuSafi ปีที่แล้ว

      😀😀😀

    • @lightnesselirehema1464
      @lightnesselirehema1464 ปีที่แล้ว +1

      Kama uliambiwa unaenda Birmingham Marekani walikudanganya

    • @abdulhakeem959
      @abdulhakeem959 ปีที่แล้ว

      Kuhusu safari hiyo nichagueni tena 2025 mtafurahi wenyewe tutaanzia santiago

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania ปีที่แล้ว

      @@abdulhakeem959 😂😂

    • @abdulhakeem959
      @abdulhakeem959 ปีที่แล้ว

      @@Kijana-wa-Tanzania tatizo la wanasiasa wetu wanawaona wananchi kama mazuzu hivi.hiv kweli mtu anaahidi kupeleka Birmingham.na kibaya zaid majitu yanachekelea.

  • @efraimumwakibibi4303
    @efraimumwakibibi4303 ปีที่แล้ว

    Nakupongeza mbunge wa jimbo la kawe kwa kuongea ukweli watu walishazoea kuisingizia serikali kwa kila kitu

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🙌

  • @ibrahimgabriel4828
    @ibrahimgabriel4828 ปีที่แล้ว

    Kwa mkutano huo ni jibu tosha hamna chenu, points za gwajima hazieleweki

  • @ibramassawe2260
    @ibramassawe2260 ปีที่แล้ว

    Siasa isiyo na tija, chakula kikiisha ndani ya nchi, atakaeteseka ni mwananchi na wala sio mwanasiasa

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    💪

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 ปีที่แล้ว

    mmeanza kuwakmbumbuka wapiga kura machinga mnatumia saikoloji kwamba mliamiwa muwapange kumbe mliambiwa muwakimbizee hilo haingii akilini mtajua kwamba machinga nimtuuu gani ngoja jampeni zianzeee

  • @gh7naa
    @gh7naa ปีที่แล้ว +1

    Na bado vitapanda vyakula mafuta. sasa wakulima wako mjini serekali ilime wawajiri watu wachukue wachina wawaonyeshe vp wao wanalima tanzania ina rutuba sema wakulima ndio tabu

  • @ramadhanijuma2632
    @ramadhanijuma2632 ปีที่แล้ว +2

    Ccm mmeisha 2025 tuna taka chadema

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 ปีที่แล้ว

    Serikali haina mipango, wewe ongea,sifia sana upokee pesa za ubunge urudi jimboni kuahidi lakini ufumbuzi hakuna miaka yote. Pambania Katiba mpya tu

  • @seluyangogo3965
    @seluyangogo3965 ปีที่แล้ว

    Hamna kitu apo ni chenga tupu

  • @weramunisi7490
    @weramunisi7490 ปีที่แล้ว

    Mazuzu

  • @tostaufelix9939
    @tostaufelix9939 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wa Mungu aliyeramba asali gwajiboy

  • @shaugentwaha356
    @shaugentwaha356 ปีที่แล้ว

    Ninazipenda hoja zako waambie

  • @gosbertgideon6843
    @gosbertgideon6843 ปีที่แล้ว

    Akasema mtu hawez kutumikia MUNGU wawili
    Gwajima umeumaliza mwendo kwa tamaa zako

    • @godjoshua1903
      @godjoshua1903 ปีที่แล้ว

      Suleimani......daudi......esta......mathayo

  • @sebastianmichael4031
    @sebastianmichael4031 ปีที่แล้ว

    Siasa mchezo furani wa uongo uongo tu.

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว

    rushwa ndio anasababisha mfumuko wa bei , semeni ulweli , samia kuingia madarakani tuu kila kitu kikaanza kupanda pei , hakijui hata kimoja akifanyacho.

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 ปีที่แล้ว

      Hiyo ndo point
      Shida ni mifumo ya serikali mibaya sana mana kila kiongozi anaingia madarakani na njaa na uchu wa kuiba. Jiulize kodi zinaendaga wapi? Mana Kila sekika ni mbaya! Hata ikitokea njaa serikali haiwezi kutoa hela kwa kila Familia kama sisi huku wakati wa covid kila Familia ilikua inapewa check kulingana na idadi ya watu kwenye nyumba kama mko 7 zinakuja check 7.
      Alafu miundo mbino ni mizuri ukiumwa we piga 911 wanakuja haraka kukukimbiza hospital bila kujari kama una hela au huna hayo yote ni badae cha mhimu unatiwa.
      Ndo mana ya human rights comes first

  • @Kijana-wa-Tanzania
    @Kijana-wa-Tanzania ปีที่แล้ว

    Nilidhani ataongea jambo la maana nikasahau ni ccm na ukishakuwa ccm ubongo unahamia tumboni alafu tumbo linahamia kichwani.

  • @noahtumakemollel
    @noahtumakemollel ปีที่แล้ว

    Hapo ni uongo mtupu