ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
WANYABI CYPHER | New Year Chapter
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2020
- Wanyabi Cypher Featuring Boshoo with Gang (Oka, Carpoza, Cat P & T Sigwa) We do for the love of MUSIC.
Created by Oka Martin
Assistant Mwalimu Carpoza
DIRECTED BY
DR. Khalmandro
PRODUCE & MIXING
Cat P (Mabrich)
WRITTEN BY
Oka Martin
Carpoza
Cat P
T Sigwa
Boshoo
FOLLOW US INSTAGRAM
/ oka_martin
/ officialcarpoza
/ iamcatp
/ tsigwa
#WanyabiCypher2021 #OkaMartin
Tegemea Cypher nyingi sana huu mwaka 😊
Mumefungua mwaka kibabe sana, salute wanyabi more love from 254
Hatariiiii blooood 🌏😘ifike mbali
Tunazsubil xn
Mistari ya pastor imenichekesha mno
NAWAKUBALI SANA WANYABI 2021 NAAMINI NTAWAONA LIVE LABDA MWAKA UISHE KESHO 😰😰🙏🙏
"Kwenye dhambi ya udhinifu nakili mimi mkosefu amelinilinda maana nacheza peku"😂😂😂 hii verse inaukwel 2020 ilikua balaaa
"Kwenye hii cat P umeuwa sana✊"
Sikuping kwenye hii
Big mablich atari
🤣🤣🤣🤣fire
Wanangu mmekosa KIKI tu kuitawala hii tanzania kwenye burudan
Wanajua bhan
Kama umeirudia hii ngoma gonga like
Nyieeee, njoeniiiiiiiii hukuuuuuuui WANYABI Leo tuna sala yetu 🙏🙏🙏
Yaanii nyiee❤🔥najikuta na like kabla ata sjaview
Daaah carpoza umeuwaaa
Oka umeua, naomba like za oka martin
Wanangu wa faida ndo wananitiaga HASARA🔥🔥BOSHOO
Kali 🔥🔥
Kuna sababu nyingi za hii cypher kupewa jina NEW year.....bigup masters
Wow wow nimewakubali nilikua sijagundua kipaji hichi cha mziki banaee ninyi wakali kweli👑💥🔥✍🎤💣
Sijui niandike nini ila siamin ninacho kisikia mmeua saaaaana
carpoza like ming ming umeua bro
Tusiseme uongo cat p anagonga beat kali
Hatarii saana mmeuwa
The beat,the swag,the flow ✌🏽 it's a work of an art
... Ila wadau Hawa jamaa ni bora sana kuliko baadhi ya wasanii waliokua serious na kazi zao za Hiphop. multitalented 🔥🔥🔥
👍
👆👉👍
Kalijua jiji kamekua ka gwiji kanaomba zigi kanatoa Bangi😃😃🔥✊🏼
Ive never seen this coming but Wanyabi mmetisha sana...✊✊👊👊
Nawakubali sanaa mna weza sanaaa
like it👊👊
Wanangu wnyabi nawakubali mia mia nyinyi mnaimba sio wasanii maaruf naona wnazingua asa hv wnangu mnaimba nawakubali sna nyinyi nawashindanisha na roma na ney p1 sna🔥🔥🔥🔥
Ukiona Cypher kila MC ana smile juwa imeuwa hiyo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥.
Korogo finest ❤️❤️
#+254
Dhaa boshoo ninjaa💪💪💪
Hii dunia kuna watu wanaroho mbaya mjue hata kwenye hii kuna people zimedi like 🤔🤔
Wanangu munapagawisha kinoma muko juu
Daaaah mmenifanya nainjoi Sana uwepo huuu good music wakimbizeni tu waliolala mungu atasimama na anaejituma kwa lolote
Beat by cat P,nakubali san nyie wadau mola atazidi kuwapa nguvu katika vipaji vyenu 🙏🙏🙏 blessed
Dah mmeuwa kinoma wanangu 🔥🇹🇿 big up kwa wote.
Haki secondary oyeee
Mi shabik enu joh ntapataj3 iz ngoma
Verified from kenya keep going martin ...nairobi kenya
Wooote mmeua kila mtu na flavour yake kazi nzuriiiii wana 👏👏👏👏👏
Hawa jamaa wakisema watulie kwenye mziki ni bora kuliko hawa tunowasifia kwa sasa ambao wanabebwa na beat #oka ameuwa sana,sijui kama unajua
Oka martin all the wayyyy
You guys deserve something big in music .. u really are blessed 😎
Skuizi gwaji boy kawa mwana sias Kama uchanji huezi elewa👊
bosho ninjaaaaaaaaaaaaaa noma nanusu.
Nimeona mtu kapost status nikasema nakwama wap mm jamn.....ila carpoza kumbe unaweza kuwa serious😂 m nikikuona tu nacheka. You guys deserve the best😍 mmeua kinyama yan big up to you kila mtu amitendea haki nafasi yake. Hats off
Kapooooooozaaaa ⚡⚡⚡ Kenya 🇰🇪 am watching
Thank you for supporting upcoming 🙏🙏🙏🍯
THIS CYPHER IS 🔥🔥🔥 i like dat
Wakwanza
😢ameen🤲🔥🔥🔥🔥big may brothers 💞
Mwanangu cat p....unajua ktengeneza beat kaliii....mmeua wanyabiiii
Kaka nawakubali Kwa Sana mpo vizuri .kutoka Kenya Mombasa nawapata Kwa Sana.
Korogwe finest...
Kama umerudia hii ngoma kama mimi gonga like hapo chini🙏🙏🙌
💣💣💣💣😂😂😂🔥🔥🔥mungu wapeakili modem wanao jiita pisi kaliii👌
Ingekua vip Mm Bila wew😀😀
Kipaji wanyabi mnacho waongea na omar kutoka Denmark nawafatilia sana keep it up wanyabi
Oka wee fundi broo
Ukiskia hit ya all times ndo hii WANYABI
Capoza ndo naona umeuwa hapa bila kupinga🔥🔥🔥💥💯
Unganamammi kamaumeliamin gomaa
Mnajua mpk mnaboa sasa...... Sema safi amjawai kubaatisha💯
Mabrichi nomaa😁😁😁
Duuuh !!! Ni noma
Fact.... and this is 🔥 on the 🔥
carpoza umeuwa kaka nakubalii sema wote wakalii
Duuuuuuuu!!!!!!!!!!wanangu mnajua mpaka mnakeraaaaaaa ndio maaana kinananiii wanawabaniaaaa!!! Ila jueni kuwa nyinyi mnajua mziki unahitaji nini na sisi washabiki tunataka nini!!!toka nimewajua sijawahi kujutia kuwafahammm!!!mmetisha sana pokeeea salam zangi👏👏👏👏👏👏👏👏👏
😅😅😅 et "......wape akili na mabint wanaojiita pis kali....."😂😂😂
Boshoo 🔥 kawabeba
Sawa wanyabii
Carpoza umemalizaaaa flooooowing broudahh
Aah wanyabii😍😘😘
Kam unazero ukipamban inakua mia aaaíiiiseee dah
>>>Carpoza🔥🔥
mmetisha sana wanyabi hiili ndio ngomaaa sasa
WANYABI mwaeza shinda WCB endeleeni hvo 2....Aki munaeza...FROM KENYA ✌️💯💯💯💯💯💯💯
*Boshooooooo Ninja* 🔥🔥🔥
Sema CatP kaua kinyamaaaaa
Cat p sharauti sharauti ✌
Boshoo kauwaaaa nipen Like zake apa nmpelekee
Oka umetisha sanaaa 👊 una style za Kama Zaidi Wa kikosi Kazi
Kama umekubal ngoma gonga like na coment za kutosha #WANYABIWATUWABAYAAAAAA#
Wanyabi watu hatariiii mmetisha my brothers
Wote wakali..fanyeni mziki komedi unawachelewesha,tupa kule
Mnahataria Sana kumbe Hadi klap noma hiviii 👏👏👏👏👏
Cypher iliopita aliua mswiga ya leo ameua mablichi😍😍😍😍
Nyabi on fire, you kill it bros keep it up before the end of 2021 subscribers 1M expect so,!
Duuuhhh kumbe hawa jamaa noma kwenye mziki😄😄
Cat P nakukubali mwanangu Sana
Sisi tunatafuta ela wao wantafuta baby care
Yes it's good hit
Unafiki mbaya CAT P ndo man of the game humu kaua.....
Wanyabi hili goma la kufungulia mwaka kbsa
Nimekaa chini nimetafakari..nimechukua kipande changu kwa rapper wa pili...naenda kutendea kazi..maana muosha maiti nae huoshwa bhana🤗🤗
Oya weeeeee humundani metisha sema the best cat p amefanya serious na swigwa pia amesumbua mic
Ni tam kinomaaaa
Boshoo kaua sana humu
Angekwepo orbit makavel hapo mngetisha sana
Carpoza kauaaaaaaaa
asee mnajua sna nawakubali
Kwa mara ya kwanz carpoza kafunika kinooooooooooma
Shoutout wanyabi👏👏👏👏👏
Mko vizuri kwa kihii ngoma🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wanyabi....✊✊✊
Now this is my favourite wanyabi cypher..big up boshoo..leteni viziwi sasa.. MUCH LOVE AND BLESSINGS FROM KENYA 💯
Kali sana hivi ndo vitu napendaga me binafs
Kapooooooozaaaa ⚡⚡⚡⚡⚡⚡
Wanyabi Msimuache Mabrichi Talent Uy Baria
Big up sana @Wanyabi no one like u 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Gonga like kama unawakubali hawa jamaa👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽