AMPLIFAYA: MILLARD NA MKASA WA ALIYETUPA GANDA LA NDIZI, JAIVAH KWENYE AROBAINI YA MTOTO WA MARIOO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 37

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 หลายเดือนก่อน +2

    Millard you have postive mind i like you bro

  • @user-vq3vj4ih6x
    @user-vq3vj4ih6x หลายเดือนก่อน +1

    @tjn tech ni bora sana kwenye technology

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing หลายเดือนก่อน +3

    Millard Ayo Uwaga Nawakubali Xana Alafu Amplifaya Ndo Kipind Changu Pendwa

  • @sophieburcham3399
    @sophieburcham3399 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani hiyo kutafuna kama ng’ombe hadi wasanii kwenye interviews 😢

  • @AnatolliaDesderius
    @AnatolliaDesderius หลายเดือนก่อน

    Page one nouma sana❤ stori mnazoshare time ya page one Millard , Vido na Frida zinanogesha kipindi 😍nawakubali sana

  • @Igauf3
    @Igauf3 หลายเดือนก่อน +1

    Add on that list; picking nose, then they want to shake hands.

  • @12345678938129
    @12345678938129 หลายเดือนก่อน +1

    Hekima na maarifa ya Millard ni zaidi ya helimu ya university ya Dodoma na Dar

  • @hawasaid5286
    @hawasaid5286 หลายเดือนก่อน

    yes ni UK binti aliwashitaki wazazi wake kwa kuweka picha zake tangu akiwa mtoto, mamlaka ilifungua kesi hiyo ili huyo binti aweze kupewa ruhusa ya kufutwa picha zake.. sio kila mtu anapenda kutangazwa. respect,...........

  • @AnatolliaDesderius
    @AnatolliaDesderius หลายเดือนก่อน

    Millard mstaarab sana jamani🔥🔥🔥

  • @RynoFiree
    @RynoFiree หลายเดือนก่อน +1

    Huwa nipo exited Sana na hii timu yenu Yan huwa nafurahia sana

  • @realswahilicultural8140
    @realswahilicultural8140 หลายเดือนก่อน +1

    Hiloni somo kabisa ambalo linatakiwa lifundishwe mashuleni ..ulaya hapa Mimi ni mwalimu na kunasomo linaitwa formation..nimependa Sana Sana topic

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 หลายเดือนก่อน

    Nipo Europe Umeongea true🔥🔥🔥🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥🇧🇪🇧🇪🇧🇪🇧🇪

  • @GLORIARESPICIUS-xl4gr
    @GLORIARESPICIUS-xl4gr หลายเดือนก่อน +1

    I love you all ❣️

  • @NginaBaruty
    @NginaBaruty หลายเดือนก่อน

    Watu tu wenyewe sio wastaarabu,mm nilibahatika kwenda Oman nikatembelea salala ,salala ni kama Arusha mji wakitalii,Yaani kwanza barabarani mnakuta vyoo na maji yapo Yani Kuna matanki yanajazwa maji na vyoo havilipiwi serekali ndo huwalipa wafanyakazi,mnapenda sehemu za uwazi Kwa mfano kama sehemu za shamba Yani panauwazi ,mnakula uvhafu unatia kwenye mifuko ,baadae gari linapita kutoa uchafu, nimejifunza kitu Wallah kutembea ni kuzuri

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 หลายเดือนก่อน

    Ila ulaya pia wanatema mate ovyoo mnoo harafu hakuna mchanga Kama bongo bora kwetu bongo mtu akitema mate anafukia huku wachafu kwa mateee na makohozi ni nomaaaa

  • @Wigoz_puppy
    @Wigoz_puppy หลายเดือนก่อน +4

    FRIDA AMANI ANAFUJO SANA 😂 ANAMFOSI MILLARD ATOE POINT KWENY JAMBO AMBALO MILLARD ANALIKWEPAA 😂😂😂😂😂😂ET KW UPANDE WAKO UNAONAJE😂
    Millard: Sikumbuki😂

  • @lenoxbuhanza4926
    @lenoxbuhanza4926 หลายเดือนก่อน

    We acha masihara unazunguka na train gani/tram/kwa Euro €3 kwa miezi sita?no way Germany?no way

  • @AnatolliaDesderius
    @AnatolliaDesderius หลายเดือนก่อน

    Ila watu wanaotafuna chakula bila kufumba mdomo huwa wananikwaza mno😂 kama mfugo😢

  • @AnatolliaDesderius
    @AnatolliaDesderius หลายเดือนก่อน

    Vido sasa unamfanyia interview Millard juu ya stori za Germany 😂sio kwa maswali hayo

  • @SalmaNinga
    @SalmaNinga หลายเดือนก่อน

    Yaan Kuna watu tu wapo rafu

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 หลายเดือนก่อน +7

    Mtoto wa nje ya ndoa haifai kumfanyia arobaini sababu nimtoto wazinaa hao hawajui kitu nahuyo nimtoto wa mwanamke hana baba sema tu shida kutojuwa dini na shelia zake

    • @RynoFiree
      @RynoFiree หลายเดือนก่อน +3

      We dada wewe Mungu anakuona usipende kujihesabia haki ukadhani umekamilika Sana kuliko wengne

    • @salhawaziri1668
      @salhawaziri1668 หลายเดือนก่อน +3

      Pia katika sunnah hakuna 40 , kuna hakika ambayo hufanywa siku 7 baada ya mtoto kuzaliwa na kukatwa nywele
      Na hakika unaweza fanya wakat mwingine unapopata uwezo Ila 40 ni uswahili Wala sio katika dini pia hakuna 40

    • @PendoPeter-rr4jk
      @PendoPeter-rr4jk หลายเดือนก่อน +1

      Acha makasiriko ,hata ww cyo mkamilifu, kasome bibulia vzr,tukio ndo dhambi lakin mtt ni baraka mungu ndo mtowaji shetani hajawai kuumba

    • @mustafamsati9599
      @mustafamsati9599 หลายเดือนก่อน +2

      Nikweli ni mambo ya mjini tu pia zinaa ni dhambi kwa sis waialam tu wasio kua waislam ukikosoa au kulaimu juu kuihalalisha zinaa bas wanakushambulia wao wanakaaga tu wanaish na wachumba myaka kibao et wanawaita mume au mke yan uzungu mwingi

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 หลายเดือนก่อน

      @@salhawaziri1668 kweli kabsaa

  • @hanifaa1487
    @hanifaa1487 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅

  • @GLORIARESPICIUS-xl4gr
    @GLORIARESPICIUS-xl4gr หลายเดือนก่อน +1

    I love you all ❣️

  • @12345678938129
    @12345678938129 หลายเดือนก่อน

    Hekima na maarifa ya Millard ni zaidi ya helimu ya university ya Dodoma na Dar