SINTOFAHAMU KANISA LA ANGLIKANA DAYOSISI YA MPWAPWA,BAADA YA ASKOFU KUFARIKI AKIWA ANAHUBIRI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 15

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 2 ปีที่แล้ว +2

    Ee Mungu Wewe ndiye aijuaye cku yangu, nitafariki wakati gani, nikiwa wapi au nimetoka kufanya nini!
    Nakusihi nisife ktk aibu bali ktk utukufu wa jina lako.
    Askofu apumzike kwa amani..kazi ameimaliza.

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe 🙏

  • @jescaedwardkurumela4333
    @jescaedwardkurumela4333 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu akupokee baba

  • @Mamatee7013
    @Mamatee7013 2 ปีที่แล้ว +1

    roho yake ipumzike kwa amani😔😔

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 ปีที่แล้ว +1

    Siku 7 madarakani????!!
    🤔🤔

  • @missangela6720
    @missangela6720 2 ปีที่แล้ว

    Korona imeanza tena, duh!😳😳😳😳

  • @yolandachuwa5554
    @yolandachuwa5554 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli kifo Ni fumbo

  • @jovetinangingo2142
    @jovetinangingo2142 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi ya mungu haina makosa

  • @aoman5214
    @aoman5214 2 ปีที่แล้ว +2

    Wakat wake ulikua umefika hata Baba yangu alifariki akiwa anahubir