Hakika amepumzika, na kwa neno lile la mwisho ana heri maana atakuwa amepokelewa kwenye malango aliyokuwa akiyahubiri, Mungu atujalie mwisho mwema kama Askofu Chiteto🙏🏽
SITAMSAHAU JINSI TULIVYOSHIRIKI NAYE HADUMA SEMINA YA VIJANA NA MABINTI DINARI YA MSALATO DCT ILIYOFANYIKIA PARISHINI MCHEMWA. PIA NIKIENDA KWAKE NA NILIWAKUTA NA REV. CAN. MADINDA MARA KADHAA KUVUNA MENGI YALIYONIJENGA KATIKA UWEZESHAJI SEMINNA NA MIKUTANO. APUMUZIKE KWA AMANI.
Ndg poleni sana na msiba, mkubwa huu. Ila kwenye hili wasifu wa marehemu sijaelewa, toka mwanzo wa historian yake msomaji anasema marehemu alizaliwa, marehemu alisoma, marehemu alifundisha, Naomba iwekwe sawa marehemu awezi kuwa alisoma kwa maana marehemu awezi zaliwa , awezi soma, ikimaanisha mtu huwa anaitwa marehemu mara tuu anapofariki, hivyo mtu huwa anaanza kuitwa baada ya kufariki kwa hiyo marehemu awezi kufanya jambo lolote
Mungu awape subira ktk wakati huu mgumu, Poleni wanafamilia kilichobaki ni kumuombea ili aweze kupumzika kw amani amina
Hakika amepumzika, na kwa neno lile la mwisho ana heri maana atakuwa amepokelewa kwenye malango aliyokuwa akiyahubiri, Mungu atujalie mwisho mwema kama Askofu Chiteto🙏🏽
Poleni sana ndugu zangu nilikuwa namfaham sana baba askofu kiteto roho wa Mungu azidi kuwarinda kuwatunza na kuwabariki ktk kipindi hicho kigumu
SITAMSAHAU JINSI TULIVYOSHIRIKI NAYE HADUMA SEMINA YA VIJANA NA MABINTI DINARI YA MSALATO DCT ILIYOFANYIKIA PARISHINI MCHEMWA. PIA NIKIENDA KWAKE NA NILIWAKUTA NA REV. CAN. MADINDA MARA KADHAA KUVUNA MENGI YALIYONIJENGA KATIKA UWEZESHAJI SEMINNA NA MIKUTANO. APUMUZIKE KWA AMANI.
Uupe Raha ya milele mwanga milele umwangazie.
Poreni sana
Ndg poleni sana na msiba, mkubwa huu.
Ila kwenye hili wasifu wa marehemu sijaelewa, toka mwanzo wa historian yake msomaji anasema marehemu alizaliwa, marehemu alisoma, marehemu alifundisha,
Naomba iwekwe sawa marehemu awezi kuwa alisoma kwa maana marehemu awezi zaliwa , awezi soma, ikimaanisha mtu huwa anaitwa marehemu mara tuu anapofariki, hivyo mtu huwa anaanza kuitwa baada ya kufariki kwa hiyo marehemu awezi kufanya jambo lolote