𝗞𝗨𝗬𝗔𝗪𝗘𝗞𝗔 𝗦𝗔𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗡𝗘𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗦𝗔𝗠𝗘𝗘𝗥 𝗦𝗔𝗗𝗜𝗖𝗞 𝗠𝗨𝗗𝗜𝗬𝗥 𝗪𝗔 𝗦𝗛𝗔𝗠𝗦 𝗘𝗟 𝗠𝗔𝗔𝗥𝗜𝗙

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 61

  • @Joaongonga
    @Joaongonga 14 วันที่ผ่านมา +1

    Barakallah fik sheikh mpaka wakome!!

  • @HassanAziz-s2v
    @HassanAziz-s2v 15 วันที่ผ่านมา

    Shekhe samir mungu amuhafidh inshallah

  • @AmruhuMswaki
    @AmruhuMswaki 18 วันที่ผ่านมา +2

    Baaraka llaahu fiikum

  • @KhalfanMassoud
    @KhalfanMassoud 21 วันที่ผ่านมา +4

    Nyundo mpaka sufi wote watoweke,,,,, حفظك الله شيخنا الحبيب عبد الفضيل

    • @sabrizamilalmendhry
      @sabrizamilalmendhry  21 วันที่ผ่านมา

      آمين بارك الله فيك

    • @jumabeja956
      @jumabeja956 19 วันที่ผ่านมา

      ليس عبد الفضل بل أبو الفضل

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 19 วันที่ผ่านมา

      @@jumabeja956 ماشاءالله، جزاك الله خيرا

  • @universitylink
    @universitylink 21 วันที่ผ่านมา +4

    Sheikh Qasim hapo umeeleweka vizuri

  • @MohamedAlly-dq2rl
    @MohamedAlly-dq2rl 17 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo hana tofauti mwanamke ambaye kavaa dira aksema amejistili nyayo zinonekana shingo inonekana endelea kuwafundisha hao allah akuhifadhi

  • @rasheedmussa4934
    @rasheedmussa4934 21 วันที่ผ่านมา +2

    Jazaaka llaahu khayran Wahayyaka llaah.

  • @rasheedmussa4934
    @rasheedmussa4934 21 วันที่ผ่านมา +2

    Kuna shida na ufahamu mdogo sana juu ya elimu ya tawhiid kwa ndugu zetu masufi. Tuisome elimu ya tawhiid na tuipende ili tumjue Allah kwa uhakika ili tumuabudu yeye tu peke yake na kuepukana na ushirikina.Allah atuongoze sote kwa uongofu wake.

  • @suleimanyusufu7923
    @suleimanyusufu7923 22 วันที่ผ่านมา +4

    Sheikh Kassim Mafuta Allah akuhidhi, endelea kutoa elmu wakiikataa wao wanafunzi wao wananufaika.

  • @malickyhussein9032
    @malickyhussein9032 4 วันที่ผ่านมา

    Maneno yako mazurii sanaa shekhe kassimu..
    Sema tupe dalili kuwa ufahamu huo unaotoa ww kuwa walifahamu hivyo maswahaba au kafundisha hivyo mtume..
    Maana nyinyi sio wa kwanza kuifahamu hii tawhid bali kuna salafu waliotangulia..
    Kwa inswafu nakuomba utoe dalili ya kiwa maswahava wa mtu walifundisha hivyo

  • @AbdulkarimShosi
    @AbdulkarimShosi 16 วันที่ผ่านมา

    Sheikh kassim mafuta mashaallah mungu kakubariki kwa ilmu naomba umfanyie raddi huyu jamaa aitwae sheikh ibrahim wa alhaadiya media313 ambae anachafua maswahaba kama muawiya na mwanae yazid kwenye mitandao ya kijamii kwa kuwauwa ali radhiallahu anhu na mwanae hussein radhiallahu anhu ambao i katika vizazi vya mtume s.a.w. nakutoa ushahidi kwenye vitabu vikubwa vya ahlu sunnah wal jamaa kama al imam adhahabii al imam al alusi kwenye tafsiri yake ruhul maanii naomba hebu tupe ufafanuzi wa kina jee anayo sema huyu sheikh ibrahim ni kweli ama niporojo

  • @IbrahimuFumbwe
    @IbrahimuFumbwe 16 วันที่ผ่านมา

    TOA DALILI WW MAVI

  • @AthumaniBakari-o6r
    @AthumaniBakari-o6r 16 วันที่ผ่านมา +1

    HAPO KUNA KUCHANGANYANA TOENI AYA KWENYE QUR'AN HIVYO VITABU KATUNGA FLANI MWATUCHANGANYA JAMANI

    • @yuzzoawale2026
      @yuzzoawale2026 14 วันที่ผ่านมา

      Soma dini utaacha kuchanganyikiwa ukiwa na ujinga wa dini yako utachanganywa sana.

    • @FarahJey
      @FarahJey วันที่ผ่านมา

      Mbona maulidi hutoi aya wewe
      Wataka aya ya tawhidi,ilihali umepewa dalili

  • @IbrahimuFumbwe
    @IbrahimuFumbwe 16 วันที่ผ่านมา +1

    Weee huna ilmu kumshinda samir mnafiq mkubwa ww

  • @malickyhussein9032
    @malickyhussein9032 4 วันที่ผ่านมา

    Mpaka namaliza audio inzima sijasikia dalili uliyotoa..
    Kinachotakiwa hapo Shekhe kassimu ni kunasibisha uelewa huo kuwa ndivyo walivyoelewa maswahaba wa mtume na taabiina..
    Lakini umebakia kwa wanawazuoni wa zama hizi za hivi karibuni..
    Lakini maulidi mkiambiwa kuwa wanazuobi wameyaeleza maulidi na kuyakubali, mnataka tadilili kwa maswahaba wa mtume na taabiina
    Kuwa na inswafu shekhe yoa dalili..
    Mm nasubiri dalili

  • @AbdulrahmanAden
    @AbdulrahmanAden 22 วันที่ผ่านมา +2

    Abaa fadhwil anamaa'rifa

  • @jumabeja956
    @jumabeja956 19 วันที่ผ่านมา +1

    Halafu hii ya kusema taqsiim tawhiid ni wanaiga tu kwa kusikia makhurafi wenzao hasa wa kenya

  • @IbrahimuFumbwe
    @IbrahimuFumbwe 16 วันที่ผ่านมา

    TOA DALILI ZA TAUHID 3 WW KUTOKA KWA MTUME ACHA UJINGA

    • @saidabeid9310
      @saidabeid9310 15 วันที่ผ่านมา

      Acha maneno ya kijinga wee mjinga Acha wasomi waseme unakipi cha kusema

    • @AbdalaPelly
      @AbdalaPelly 9 วันที่ผ่านมา

      Shida elimu yao ni ya kuiga sio ya kuelewa

  • @IbrahimuFumbwe
    @IbrahimuFumbwe 16 วันที่ผ่านมา

    TOA BC HADITHI MUONGO MKUBWA TAMAA YAKO DUNIA TU

    • @AbdalaPelly
      @AbdalaPelly 9 วันที่ผ่านมา

      Suhufy tulieni acheni matusi mnataka kuwakataa hadi wanazuoni wenu wa kisufi

  • @malickyhussein9032
    @malickyhussein9032 4 วันที่ผ่านมา

    Ilimu hii ya dini wa kwanza kuifundisha ni mtume muhammadu (saw).
    Je kaifundisha hivyo tawhidi…?
    Je maswahaba walielewa hivyo..?
    Je taabiina waliifundisha hivyo..?
    Lete dalili sio kwamba ni jambo linalofaa sababu ni la elimu ya tawhidi la..!
    Ilimu ya tawhidi kaifundisha mtume..
    Mtume hakuona haja ya kuigawa tawhidi..?
    Maswahaba hawakujaaliwa ufahamu huo..?
    Nini kilimzuia mtume kuifundisha hivyo tawhid..?
    Na je ni nn kumefanya iwe yafaa kuilimisha tawhidi kwa kuigawa hivyo..?
    Majibu tafadhali
    Usirukeruke kwa ufasaha wa kuyaremba maneno bali nenda kwenye hoja moja kwa moja

  • @auroxenterprises8003
    @auroxenterprises8003 22 วันที่ผ่านมา +1

    tunaomba utujibu Kwa vitabu mkuu WA genge la majadida naona unaonge pumba NYINGI 😅😅😅

    • @AbdulhaliimAli
      @AbdulhaliimAli 22 วันที่ผ่านมา +1

      Wacha upumbav bhn

    • @auroxenterprises8003
      @auroxenterprises8003 22 วันที่ผ่านมา

      mpumbavu wewe Una mtukuza kasim😅 kaana ushamba wako WA ujadida​@@AbdulhaliimAli

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 22 วันที่ผ่านมา +1

      Ipo siku utajua na kisha ipo siku utajua

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 22 วันที่ผ่านมา +1

      Nin wasiwas wewe ni kafiri katika makafir wa kikristo so hakuna haja y kujibizana na kafiri mpingaji

    • @shaibamran5419
      @shaibamran5419 21 วันที่ผ่านมา

      unjua kitu poyoyo na wewe

  • @Hussein-h1r
    @Hussein-h1r 18 วันที่ผ่านมา +1

    Wew acha mamb meng toa hadith au Aya acha kuropokwa jadida mkubwa

  • @MshihirDguyya
    @MshihirDguyya 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kasimu mafuta ni ghawaariji

  • @MussaJangwa
    @MussaJangwa 16 วันที่ผ่านมา

    🤣🤣🤣🤣🤣
    Sheikh Qaasimu Mafuta
    Unapaswa kujibu hoja Kwa dalili
    Acha kelele Sheikh
    Kiufup Sheikh Samiir SadiiQ ni mwamba na nikielelezo cha ilmu Kwa Tanga na Tanzania Kwa ujumla
    Na ww bnafs Qaasimu Mafuta
    Unajua vzr kwamba Samiir SadiiQ ni mwana chuoni wa ni Sheikh anaye tegemewa Kwa ilmu
    Qaasimu Mafuta 🤣🤣🤣🤣
    Rudi Tamta tena ukasome
    Maana ulikimbia Kwa tamaa ya Dunia 😭😭😭😭😭

    • @AbdalaPelly
      @AbdalaPelly 9 วันที่ผ่านมา

      Inaonekana na wewe umemezeshwa sumu, sikia wachambuzi wa ki elimu wenye elimu ya tawheed akhy

  • @jamalishoo3802
    @jamalishoo3802 21 วันที่ผ่านมา +1

    Takataka za kiwahabi

    • @jumannekassimu5410
      @jumannekassimu5410 20 วันที่ผ่านมา

      Ni taka taka kivipi leta dalili

    • @AllyAhmad-zg2yp
      @AllyAhmad-zg2yp 19 วันที่ผ่านมา

      ​@@jumannekassimu5410hakki ukiiona ukajifanya hujaiona Allah anajukujua vizuri ila subiri ujinga

    • @AbdalaPelly
      @AbdalaPelly 9 วันที่ผ่านมา

      Watu hawaelewi sub hana llah kuweni na hofu na mola wenu achen matusi

  • @abdulbasitsaid7323
    @abdulbasitsaid7323 22 วันที่ผ่านมา

    Kwani mnaruhusu kusoma vitabu vya watu wengine, vipi tutatafiti

  • @ArabiMuchande
    @ArabiMuchande 21 วันที่ผ่านมา +1

    We mkuuu wa majadida yanqasimu ttauhid ila thalati aqsami wapi hadithi au aya?

    • @mahatmohamed8392
      @mahatmohamed8392 19 วันที่ผ่านมา

      Nguzo za swalah leta hadith au aya

  • @Mohamed-vv8fc
    @Mohamed-vv8fc 19 วันที่ผ่านมา +2

    Tupe dalili za tawhidi 3 wacha bla bla bla

  • @auroxenterprises8003
    @auroxenterprises8003 22 วันที่ผ่านมา

    anamaarifa ila mademu na pesa hawachiii

    • @DaarulHadiythAl-Islaamiy
      @DaarulHadiythAl-Islaamiy 21 วันที่ผ่านมา

      Unao ushahidi?! Angalia usijeangamia mbele ya Mola Wako

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 21 วันที่ผ่านมา +1

      Zuyina linnasi hubu shahawaati..... , MUNGU ndio ameumba tupende. Muhimu tufanye kwa halali tu

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 21 วันที่ผ่านมา

      Ikiwa hao mademu wameolewa ndio uwanaume huoo.

    • @Mustapha2024Kawanda
      @Mustapha2024Kawanda 19 วันที่ผ่านมา

      Wanahusikaje hapo kwenye hilo!? Dhuluma hio nautakutana na sms yako pindi hukumu ya Allah itakapo kujia