Alex Mahenge - Mtatuzi (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024
- #Alex Mahenge #Mtatuzi #Trending
For more booking
Phone : +255763111794
Email : mahengealexander97@gmail.com
Other videos:
• Alex Mahenge - Wanifur...
• Alex Mahenge - Siku Ng...
www.youtube.co....
Thats great kaka nimeipenda hii sanaa
Amen barikiwa sana mtumishi wa MUNGU aliye hai
Hadi leo 13thNovember 2023... listening to this song❤❤❤❤❤❤❤
God bless you Alex mahenge
Barikiwa, ujumbe mzuri wa shuklan
Naupenda huu wimbo sana ♥♥ mungu azidi kukutia nguvu katika kaz yako mtumishi
Huuu wimbo jaman huu wimbo kaka sijui MUNGU akikupa mafunuo Gani kwenye huu wimbo nashindwa kuelewa kila siku nipo hapa kusikilza nataman ningekuwa kuimba nikuombe niimbe na Mimi Kama shukran mbele Za MUNGU wangu au nifunge siku ngapi ili sauti igunguke niweze kuimba huu wimbo jaman hongera kaka ake mimi
Ahsante sana Dada P Batikiwa sana Yesu ni Mwemaaa Sana
Sana mtumishii
Hongera sana kaka wimbo mkubwa sana kwenye ujumbe unanitia moyo
Sitalia Tena coz mtatuzi yupo Asante king Alex
Ameeen Yesu akutunze daimaaa
Haleluya. Wimbo wa nyakati zote. Naupenda mno mno ubarikiwe sana kaka Alex. Yesu mtatuzi kaniponya Kansa.
Ishi maisha. Marefu na uuzima tele
Naupenda sana huu wimbo barikiwa mtumish
Aminaa Barikiwa pia na Yesu
Wimbo huu Uwe baraka kwako daima
Nimerud nikushukuru
Bariwa sana mtumishi
Hongera bro....
Hakika maono yako ni shuhuda za maisha ya watu (Mimi), Bwana akubariki
I can't stop to play this song. Always your songs are very powerful. God blessed brother Alex mahenge
Ameeeeen
Wimbo huu unanibariki sana .mungu akuinue juu zaidi kaka yangu
Ameen Jackreen Barikiwaaaa
Mungu akutunze sana kakaangu
Ameeeeeeen dadaa
Ni wimbo bora kabisa
Hongera sana jembe LA yesu
Ameen kamanda wa Bwana
@@alexmahenge3817 emen emen
Waooooo shem hakika mungu pekee ndiomtatuzi wa mambo yote
Halleluyaaa Tunamtukuza daima Mtatuzi wetu Yesu
Kakaangu 😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌
Naam Dada wafaidaaa
@@alexmahenge3817 nmebarikiwa
Nashukuru mnooo Dada angu wanguvuu
Hongera Sana my brother kazi nzuri mno
Ahsante sana Mr Kibo
Hongera Sana Kaka yangu hakika mm ni yule nilikuwa nauza kuni mabatini duh nimefika mbali Sana na huu wimbo
Nashukuru saana Dada angu Emmy
I thought the song was short but I came to realize it's 5 minutes ... Surely I'm not getting tired of watching it... Stay blessed King Alex... Waiting for an exhibition!
Ameeeeen Thanks Man of God
Hakika yesu ni mtatuzi🙏🙏
Ghafla njaa imekata, hakika naenjoy na retun tena
Hhhhhaha sntee
Hongera sana Alex! kwa hakika Yesu ni mtatuzi kwa kila kitu
Ahsante saana best angu wa power Mr DS
Nafurahi kuona nyimbo za Danny shila zinavyo pigwa upendo tv najickia Raha sana hongera kaka
hakika nimerudi nikutukuze babaangu
hii n mwanzo wa mwaka huu bado kazi zingne zinaandaliwa kaka watu waendelee kusubil
Nitajitahidi kuhakikisha mwaka huu mapema zinakamirika
Nimefurahi kuona video ya huu wimbo make nakupenda hongera Kaka angu alex
Ameeen nashumuru saaaba Prisca
Ubarikiwe sana kaka
Ameeen daaaadaangu mzr
Mwaka huu mpaka kitaeleweka, nimekuelewa ww pamoja na wimbo safiiiiii chukua baraka zako.
Ameen my Best Henry nawe Barikiwa pia
NABARIKIWA SAANA KUONA COMMENTS ZENU WAPENDWA WANGU AHSANTE KUNIPENDA MIMI ALEX NAKUIJALI HUDUMA YANGU HII NAWAOMBEA NYOOYE YESU AWATUNZE DAIMA.
Najivunia kuwa karibu na ww mkuu mtatuzi on air by #anosisye_mwakasula
Waoooo kazi yako ninjema sn my lovery broo💋💋💋😘😘😘
Ahsanteee saana Dada yangu Mzr nashukuru mnanitia Moyo saana
Mafutaaa Kaka, Mungu akutunze
Ameen Dada nashukuru mnoo
Nakukubali miaka buku kakangu. By J. Kinabo
Wooooow ahsantee mnoo dadaaa
Sojaaaaa uinulie sana rais wa wakinga
Wimbo mzuri Sana mtumishi umenibariki sana
Hahahahahajaja ameeeeen
Wimbo ule unaoimbwa fanyika ladha mahali pa huzuni unaitwaje
Atar San bonge la kaz
Nasmhukuru saaana Yesu
Naupenda huu wimbo hakika yesu Ni mtatuzi wetu
Nashukuru San kwa upendo Barikiwa zaidiii
Hongera mtumishi Hakika Hii ni ya Mwaka 2022
Nashukuru mnooo kuipokea Huduma yangu hii Yesu akutunze Daima
Amen mtumishi wa Mungu Alex
Amina Mtumishi Vumilia
Haleluya nabarikiwa na huu wimbo jamnii
Ahsanteee best angu
@@alexmahenge3817 Amen ndugu yangu
Nice song kaka mkubwa Barikiwaa sana
Ahsante saana Best barikiwa daima
HII VIDEO BABA UTAFIKIRI UMEFANYIA MBINGUNI. 🔥🔥🔥🔥🔥
Hahahahahaa ahsante kamanda wangu
amen, mimi ni yule
Hongela Sana baba nimebarikiwa Sana na wimbo huu
Ahsanteee saana rafikiangu Ayubu
Mungu ndiye mtatuzi wa maisha yetu
Hakikaaa Kamanda
Barikiwa sana kaka alexc
Ameen Ameen Nashukuru
Wow so proud of you King !
Thanks my Real friend
Wawoooo good video brother 👍👍👍
Ahsanteee saana ndugu yangu
Hongera Sana Mtumishi wa Mungu
Ahsanteee saana PST nashukuru kwa Pongezi
My favourite song
Niliipenda toka mda ila nahii video ndonimependa mazima apo adi kifo kitungenganishee nahii ngoma tena nambinguni nawaambiya nawana Praise tuimbee mbinguni maana mimi ndondakuwa naongoza sifa kule
Hahahahajja hahahaha hahhaha
Keep it up bro....and remain blessed
Ahsanteee sana rafikiangu Andrew
Barikiwa sana mtumish wa mungu
Ameen nashukuru sana ndugu yangu
Amen.amen
So blessed, more blessing upon you
Nabarikiwa kuona comment yako
Ni Mimi hapa ndiyo maana asante
Ahsanteee sana Apostle Lojaz
Mtaaramu arex mahenge nakubali sanaa kaka
Nashukuru saana Rafiki
Bro saluti
Fireeee fireeee let's do more better