Me ni mkenya Niko huku uarabuni UAE. Tukiwa na mume wangu tunabarikiwa sana na huduma na ushuhuda ya Mchungaji Helatano na tunaamini siku moja tutafika Tanzania kushiriki pamoja.
Bwana YESU asifiwe ndugu zanguni. Nimevutiwa na ushuhuda wa mutumishi huu. Naomba munisaidie namba yake. Maana ninataka kujuwa mengi kuhusu imani ya Kristo.
Ubarikiwe Sana Mchungaji wangu kwa huu ushuhuda yaan mpaka nimekumbuka nyumbani kwakweli Mungu akubariki Sana una mchango mkubwa Sana kiroho kwenye maisha yangu ninakuombea tu nguvu hii isikuache na isipungue🙏🙏🙏🙏🙏
Amen amen Hakika Bwana hujidhihirisha humtafta kondoo wake daima hufanya hvy pastor Mungu akubarikii sana napenda jinsi unavyohubiri karb singda kwa pastor Mussa uje utuhidumie
Yaa tu mashahidi wa mambo hayo enzi hizo nakumbuka ule uamsho ulioanza nao ktk huduma ulikua si mchezo jaman ilikua ni ajabu sana tulihisi muda wowote tunanyakuliwa hadi ukaenda kunibatiza kule mtoni miaka ya 90 mwishon
Me ni mkenya Niko huku uarabuni UAE. Tukiwa na mume wangu tunabarikiwa sana na huduma na ushuhuda ya Mchungaji Helatano na tunaamini siku moja tutafika Tanzania kushiriki pamoja.
Amen Ubarkiwe sana dada 🙌
@@waaminio Video iliishia katikati though
Bwana akubariki mchungaji. Naomba umuombee mwanangu anaitwa Debora anaumwa tumbo halali usiku.
Mungu akubariki sana mchungaji
Amina
Bwana Yesu asifiwe
Amen
Mungu akubariki pastor
..🙏
Bwana YESU asifiwe ndugu zanguni. Nimevutiwa na ushuhuda wa mutumishi huu. Naomba munisaidie namba yake. Maana ninataka kujuwa mengi kuhusu imani ya Kristo.
Praise God 🙏🙏🙏
Amen Amen ,brother nimebarikiwa sana, ushuhunda wako umenibariki nikiwa kenya 🇰🇪
Amina..Mungu akubariki
Amina God revealing himself in simplicity
Amen
Ubarikiwe Sana Mchungaji wangu kwa huu ushuhuda yaan mpaka nimekumbuka nyumbani kwakweli Mungu akubariki Sana una mchango mkubwa Sana kiroho kwenye maisha yangu ninakuombea tu nguvu hii isikuache na isipungue🙏🙏🙏🙏🙏
🙌Amina..
Hallelujah utukufu kwa BWANA YESU KRISTO KWA NENO LA MUNGU LILILO HAI
🙌🙏
Aaaamen ,,great testimony
Ameeeeeeeeen🙏
Amen
AMEN, NA HUO NDIO UJUMBE WENYEWE WA SAA...MUNGU AKUBARIKI MNO PASTOR HELATANO
amina
Amen hakika nimebarikiwa sanaa. MUNGU AKUBARIKI MNO Pastor.
Amina ..🥰
AMINAAAA
Amina
Amina pastor bwana yesu akubarik san ushuda wako ni kweli japo mim sikufaham wala haunijui lakin huo ni kwel
Amen ubarikiwe mpendwa 🙌 🙏
Nakupenda sana Pastor
Amen
Mungu akijidhihirisha mwenyewe 🙌. UTUKUFU KWA MUNGU.
amina
Amen. USHUDA ULIO HAI. UNANITIA MOYO KUSONGA MBELE NA UJUMBE ULIOBARIKIWA.MUNGU AKUBARIKI NDUGU
amen
Amina Mungu ni mkuu Sana,Mungu wa nabii wetu akubariki mno
🙏🙌
Amen amen Hakika Bwana hujidhihirisha humtafta kondoo wake daima hufanya hvy pastor Mungu akubarikii sana napenda jinsi unavyohubiri karb singda kwa pastor Mussa uje utuhidumie
Amina..
The testimony has really blessed me. To God be the glory.
amen🔥🙌
My all time Pastor. Nimebarikiwa
amina
Ubarikiwe pasta nakumbuka ulpokuja kanisani Kenya Mombasa ukawa wabaraka kwetu
Amen bro. SAMUEL. God richly bls u.
Amina bro samuel
Yes....
Ushuhuda mzuri sana, Mungu akubariki
🙌
Emeeeen bro! Utukufu kwa mungu.
Amina .......🔥
Mungu akubariki Sana!
Wushuhuda wako nibaraka asante.
Ndugu John Kyakonye,
Kampala Uganda.
Nawomba otuwombeye Mungu atusaidie awondowe shida ambayo tunayo kuhusu kiwanja chetu cha Kanisa.
Amen🙌be blessed so Much pastor
Amen
Pastor popote ulipo na utakapoona hizi sms zangu niombee niwe mkristo kweli kweli Amina.
🙏🙌
Amina Mungu mkuu
Amen 🙌
Wonderful testimony
🙌
Amina ubarikiwe mtumishi
Amina....Mungu akubariki🙌
Ubarikiwe pastor we love u
amen
Wooow
🙌
Asante kwa ushuhuda mzuri ..lakini inasikitisha kwenye Ujumbe bado kuna wati hawawezi kuamini shuhuda kama hizi
Amina mch wangu
Amen... This is wonderful ,,am from Kenya
amen
God bless you pastor.
amen
God bless you all bride of CHRIST 💓 Good testimonies,, pastor Helatano great
🙌amen
Nimebarikiwa sana na ushuhuda wa huyu mchungaji...
@@elijahndemi166 AMINA KWELI NDUGU YANGU ,,NATAMANI KUPATANA NA HIYO NURU
Amina
🙌 🙌
AMEN_ushuhuda wa KIUNGU
amina
Amen & Amen & Amen Pastor
Amen 🙌
God bless you,the testimony has electrocuted me.Glory to God
Amen, God bless u sister
woooow .. electrocuted😅😅😅😅
The truth is marching on!
amen
Wewe huwi mkristo kwelikweli Kwa kuombewa acha tu dhambi zote ndo kuwa mkristo kwelikweli
Amen
Amen 🙏 🙏 🙏
amen
Mungu akubariki binti yangu. Shalom
Pastor sijui niseme nini niombee niwe mkristo kweli kweli (halisi) mi ni muovu sana
...🙌
Ushuhuda mtamu. Bwana amejisazia watu
Amen 🙌
Oooh hallelujah 🙌
Ndugu tunaomba tafadhali na part 2 ya Ushuhuda wake hasa akiwa Mhudumu ,mioyo yetu inawiwa kusikia zaidi na zaidi
seen
Yaa tu mashahidi wa mambo hayo enzi hizo nakumbuka ule uamsho ulioanza nao ktk huduma ulikua si mchezo jaman ilikua ni ajabu sana tulihisi muda wowote tunanyakuliwa hadi ukaenda kunibatiza kule mtoni miaka ya 90 mwishon
Amina...
Amina, Mungu akubariki sana pastor
Amen, dada Grace Mungu akubariki sana kwa kuniamini. Shalom
@@roberthelatano1460 amina