Karibu kwenye ushirika wa Neno. unaweza ku subscribe ili upate taarifa za video mpya zitakazoingizwa youtube, kumbuka hizi sio video za biashara na hazina Ads yaani matangazo ya kujipatia pesa. Bali ni ushirika wa bure wa neno la Mungu kwa Wote. unaweza pia kushare, comment na ku like kadri vile upendezavyo moyoni mwako. Mungu awabariki sana Bibi-Arusi wa Kristo.
Bwana yesu akupariki sana mchungaji nabarikiwa sana unapo fudisha oooo haleluya Haleluya Amen 🙏 mm sister kutoka 🇰🇪 kenya bwana awabariki sana wapetwa amina
Aminaaah kubwaaah siwez kukusahau Mtumishi wa Mungu aliniombea nikapona nilikuwa na alage ya Maji nilikuwa nikioga najikuna mpaka nalia lakn alivyo omba namm mpaka Leo sijawah pata hiyohali!!!!!!!! Naomba mniombeeh na mm natamn kuishi neno lkn ya dunia yana nielemea but natmn
Shalom. Naitwa Leonard kutoka Burundi voice God tabernacle rakini kwa sasa niko Lusaka zambia. Niko napanga kurudi nchini nahitaji namba za muchungaji huu wa Sumbawanga wakati nikirudi nipite kusalimia kusanyiko. Shalom Mungu wa William Marion Branham awabaliki sana
Shalom Bibi harus wabwana haakika nabii alie kuja kama branam hakika amenena San kama hakuna mwenye sikio ndugu na dada hakika nime sikiliza jumbe ninzito lakin roho yangu ilishiba branam amenikaa moyon mwangu amesema kwel Sana amesema nanafs yangu nayo umekua mpya ohoo rohon mwangu nilitaman kuruka kama Tai nukamtafute roho juu hakika branam nimtumishi na nabii mwenye unyenyekevu ana ujumbe wakilindi juu yakilindi ulinikaa Sana branam alikuja kwakusudi la Bibi harus pekee yake dunia kupona itazame jumbe helatano tupo pamoja pasua bila kutazama USO WA mwanadam kama Mimi mtazame Kristo pekee nnasikiliza jumbe za branam kuliko chochote nime funguliwa Sana nannaamini Nita fika mbali Safari nifup Kwa sasa Bibi harusi atakuja kuchukuluwa swal tutaenda wote kama tulivyo Weng je,Nia nimoja kwel tafakar tusije tukabak Nia tuende wote tulio Bibi harusi Amina whatsap Nita watxt mzidi kunijenga Zaid nipate Kimo cha mtu mkamilifu Amina jumbe za branam nabii wamwisho ndani ya suti nyeusi nguzo ya Moto juya ke naaaam Bwana Niko kenya kaz makanika ni mzaliwa WA Tanzania mkoa Kilimanjaro branam alikuja kusafisha apate Bibi harusi na tupo Sisi tunaenda nayeye nna umr WA miaka 23 nampenda nabii braanam mjumbe WA Bwana siishiw sifa zake amina

Mikutano Waaminio Tz
Amina mbarikiwe na bwana
Amina
Ameeeeeeeeeeeen
Namba ya simu tunaomba ya helatano
Mungu awabariki ndugu, ninamshukuru Mungu kwa kutuleteya Nabii. Tumefunzwa mentioned kupitiya huyu nabii wetu William Marrion Branham
Mungu wa Branham ambariki sana huyu mchungaji Mimi nampenda sana
Mungu akubariki sana mpendwa wa Mungu
Mungu akubariki mch helatano
Bwana yesu akupariki sana mchungaji nabarikiwa sana unapo fudisha oooo haleluya Haleluya Amen 🙏 mm sister kutoka 🇰🇪 kenya bwana awabariki sana wapetwa amina
Shalom mchungaji heletano,nipo kambini nyarugusu,Mungu akubariki,sukuma ujumbe
amina ndg helatano ubarikiwe kwa huduma
Bwana akubariki sana nakupenda
Aminaaah kubwaaah siwez kukusahau Mtumishi wa Mungu aliniombea nikapona nilikuwa na alage ya Maji nilikuwa nikioga najikuna mpaka nalia lakn alivyo omba namm mpaka Leo sijawah pata hiyohali!!!!!!!! Naomba mniombeeh na mm natamn kuishi neno lkn ya dunia yana nielemea but natmn
Hakika ni Mungu ndani ya mtu,ubarikiwe sana mpendwa wa Mungu
Amen
God bless you precious Pastor.
Hili ni Neno halisi kutoka Kiti Cha Enzi Cha Mfalme wa Wafalme.
My precious pastor Mungu awabariki sana
Aminaaaaaaaaaa nimebarikiwa Sana, long Life pastor
Nimebarikiwa sana,Mungu awabariki
Shalom. Naitwa Leonard kutoka Burundi voice God tabernacle rakini kwa sasa niko Lusaka zambia. Niko napanga kurudi nchini nahitaji namba za muchungaji huu wa Sumbawanga wakati nikirudi nipite kusalimia kusanyiko. Shalom Mungu wa William Marion Branham awabaliki sana
Shalom ndugu. Namba za Mchungaji Helatano wa Sumbawanga ni 0758 056 997. Samahani kwa kuchelewa kukutumia ndugu.
Bwana awabaliki sana ndugu na dada
Nampenda sana huyo pastor Mungu amtunze zaidi
MUNGU akubariki Sana pastor.
Mungu akubariki Sana Mchungaji unanibariki mno Yani kwakweli Ubalikiwe sana
mungu akubariki mpendwa wa Mungu
Nashukuru kuiyi huduma
Amen
Barikiwa ndugu
Amina barikiwa sana
naomba namba za huyo ndug aliyekuwa anahudumu
0758056997
nitumie kwenye no hii 0768466621
Amen
Lord
Amina brother huyo ndie Mungu katika mtu.
Bwana yesu akubariki na akuongezee maisha marefu zaidi hakika wewe in mama mlezi Leo kuludisha mwangwi wa nabii Branham
Mnitumie kwenye WhattssApp 0754388990
Mnifafanulie mnaposema ni Mungu katika mwili
Shalom Bibi harus wabwana haakika nabii alie kuja kama branam hakika amenena San kama hakuna mwenye sikio ndugu na dada hakika nime sikiliza jumbe ninzito lakin roho yangu ilishiba branam amenikaa moyon mwangu amesema kwel Sana amesema nanafs yangu nayo umekua mpya ohoo rohon mwangu nilitaman kuruka kama Tai nukamtafute roho juu hakika branam nimtumishi na nabii mwenye unyenyekevu ana ujumbe wakilindi juu yakilindi ulinikaa Sana branam alikuja kwakusudi la Bibi harus pekee yake dunia kupona itazame jumbe helatano tupo pamoja pasua bila kutazama USO WA mwanadam kama Mimi mtazame Kristo pekee nnasikiliza jumbe za branam kuliko chochote nime funguliwa Sana nannaamini Nita fika mbali Safari nifup Kwa sasa Bibi harusi atakuja kuchukuluwa swal tutaenda wote kama tulivyo Weng je,Nia nimoja kwel tafakar tusije tukabak Nia tuende wote tulio Bibi harusi Amina whatsap Nita watxt mzidi kunijenga Zaid nipate Kimo cha mtu mkamilifu Amina jumbe za branam nabii wamwisho ndani ya suti nyeusi nguzo ya Moto juya ke naaaam Bwana Niko kenya kaz makanika ni mzaliwa WA Tanzania mkoa Kilimanjaro branam alikuja kusafisha apate Bibi harusi na tupo Sisi tunaenda nayeye nna umr WA miaka 23 nampenda nabii braanam mjumbe WA Bwana siishiw sifa zake amina
Nakubaliana na kila kitu lakini branham alikuja kutengeneza ju ya kiristo mkuu
kilasiku na furaiya mkutano huu MUNGU AWABARIKI
Tutakutana ngambo ya pili bibi harusi wa kristo
Hakika hicho ndoo chakula cha tai
Nabii Branham alikuwa nabii wa Kweli, jumbe zake zina Uvuvio mkubwa Sana, sichoki kumsikiliza.