Allah kwa uwezo wake na huruma wake akuongoze peponi unanitoa machozi midahi shehe wetu mwalimu wetu unatuelimisha na nashukuru napelewa saana Allhamdulillah 💕❤️Baba yetu Nassor bachu
Alhamdulillah hii mada ya Sh Bachu ilkuwa naitafta sana lkn ALLAH amenipatia kwa uwezo wake shukran ya Rabbi & Shukran Islamic kindnes tv jazakumullah alkhayri
Waislam naomb kuuliza swali hivi kuna makosa gan hpa mwnmme kwenda kumuekesha mtto wa kike miaka 6 kumposa kuwa atamuwa halafu akmpotzea mda wte yye akaenda kuoa mwnmke mwngine hivi hii ni dhulma ama ni nini au je kuna makosa gan hapa kw allah kw mtu aliefanya hivi naomba munijibu
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatu kwa mujibu wa suala lako kwa ujumla kucheza na hisia za mtu ni makosa makubwa, kumuacha tu pasi na sababu za kisharia ni makosa, pia unaingia katika kosa la kutotimiza ahadi . الله أعلم
@@IslamicKindness swali tata, nautoa utata je ameposwa mwanamke mwenye umri wa miaka 6 au mwanamke ameposwa kisha akaekeshwa bila ya kuolewa kwa muda wa miaka 6?
Mungu akurehemu shekhe wetu akuweke mahali pema peponi inshaallah shekhe nasoor bachu
nampenda sana shehe huyu hajuwi kupindisha anajuwa kunyosha uko vizuri sana mungu amlaze mahala pema peponi amin
Ya Raby msamehe shekh bacho na umpe heri zako hakika wewe ni mwingi wa rehema mwenye kurehem ya raby
Allah akulipe sheikh kwa daawa kubwa uliyoifanya katika umri wako. Kanda zako mashuhuri nchi ziazotuzunguka Alla akusamehe na kukurehemu.
Allah kwa uwezo wake na huruma wake akuongoze peponi unanitoa machozi midahi shehe wetu mwalimu wetu unatuelimisha na nashukuru napelewa saana Allhamdulillah 💕❤️Baba yetu Nassor bachu
asalama aleikum han
Alhamdulillah hii mada ya Sh Bachu ilkuwa naitafta sana lkn ALLAH amenipatia kwa uwezo wake shukran ya Rabbi
& Shukran Islamic kindnes tv jazakumullah alkhayri
🙏A'afwan
MOLA AKUPE PEPO YA FARAJA LA JUU INSHAALAH
Allah akuepusha na hata chembe ndogo ya adhabu ewe kipenzi changu
Amin
ALLAH akueke pema maalim
Allahumma ghfirlahu warhamhu
Aminaaaa
Allahumma ghfir lahu warhamhu wa'askinhu fill jannah...Allahumma Aameen 🤲🏾
Amen
Amin
رحمه الله تعالى
Amin 🙏🙏🙏
3
Alimhamdulillah nimefarijika sana Mwenyezi Mungu akufutue madhambi Yako yote amiin
Tuache dhuluma ata kwa utanii nakujisahaurisha Atari sanaa
Alhamndullilah rabil aalamiyn inna Lilah waina ilayh rajiun 😭🤲
Allah amsameh makosa yake na amlipe jannat firdaous
Amin
Amin
Masha Allah
Jazakallah kheir
Allahu magfir LLAHU warahamahu
Allah akulaze mahala pema peponi shehe
Allah amrehemu sheikh wetu sheikh Nassor Bachu
Kwan amekufa
Allah ampe kauli thaabit na alifanye kaburi lake kuwa moja ya viwanja vyacpeponi
Maneno magumu mazitooo sana.Allah akurehemu.
Allah akurehemu sheikh wetu
Amin
Amina
Allahumma ghfir lah warhamhu wa
Tumeiona kwako juhud alla akulipe
Mola amrehemu
Allah akurehemu sheikh wentu
Amin
Allah Akbar
InshaAlah
Waislam naomb kuuliza swali hivi kuna makosa gan hpa mwnmme kwenda kumuekesha mtto wa kike miaka 6 kumposa kuwa atamuwa halafu akmpotzea mda wte yye akaenda kuoa mwnmke mwngine hivi hii ni dhulma ama ni nini au je kuna makosa gan hapa kw allah kw mtu aliefanya hivi naomba munijibu
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatu kwa mujibu wa suala lako kwa ujumla kucheza na hisia za mtu ni makosa makubwa, kumuacha tu pasi na sababu za kisharia ni makosa, pia unaingia katika kosa la kutotimiza ahadi . الله أعلم
@@IslamicKindness swali tata, nautoa utata je ameposwa mwanamke mwenye umri wa miaka 6 au mwanamke ameposwa kisha akaekeshwa bila ya kuolewa kwa muda wa miaka 6?
Allahumma ghfir lahu warhamhu wa'askinhu fill jannah..... Allahumma Ameen🤲
Amin
@@IslamicKindness I am so lwantto learnfromyouthankyour
Amina
Digestivesystem