Hukumu ya Mwenye kuacha Sala 1/2 - Sheikh Nassor Bachu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 36

  • @shomarigongo4894
    @shomarigongo4894 6 หลายเดือนก่อน +1

    Allah ninakuomba lijalie kaburi lake liwe miongoni mwa viwanja peponi,muondolee adhabu ya kaburi,msamehe pale alipokosea,na siku ya kiyama umpe kitabu kitabu chake kwa mkono wa kulia na umuingize katika pepo ya firdaus kwa Rehema zako.Amiina

  • @nadiabakari2589
    @nadiabakari2589 2 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah Allah amrehemu Maalim wetu na watu wengine kwa ujumla Ameen Ameen na sie tuliobaki Allah atusamehe madhambi yetu na atujaalie mwisho mwema inshaallah Ameen😣🙏

  • @Ramadhanseif-hv4et
    @Ramadhanseif-hv4et 6 หลายเดือนก่อน

    Allah akurehemu sheikh

  • @haji352
    @haji352 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah amrehemu Sheikh Nassor Bacho

  • @rahmahty7026
    @rahmahty7026 2 ปีที่แล้ว +4

    Allah atuvike ucha Mungu Yaa Rabb. Amiin

  • @yusuphkichere7840
    @yusuphkichere7840 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah umrehemu mjawako na umjalie ktk kundi lawajawako waliokua wema aamin

  • @anirytihani4106
    @anirytihani4106 3 ปีที่แล้ว +4

    Allah amrehemu shehe wetu na ampunguzie adhabu za kabri kwa mawaidha mazuri anayotupa amiiin

  • @arafakinyuma376
    @arafakinyuma376 ปีที่แล้ว

    Allah akurehemu shekh wetu

  • @electronicsseller73
    @electronicsseller73 3 ปีที่แล้ว +4

    Ma Shaa Allah

  • @jumakutengeza1080
    @jumakutengeza1080 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah ampanulie Kaburini lake, liwe kiwanja miongoni mwa viwanja vya pepo

  • @abddulkadiralihaji5054
    @abddulkadiralihaji5054 2 ปีที่แล้ว

    Allah amreham sheekh jitihada zake tumetoka mbali

  • @salumsimai642
    @salumsimai642 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaaAllah

  • @hmsrashd7910
    @hmsrashd7910 2 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh bachu anafafanua VIZURI Sana

  • @abdallashabani6140
    @abdallashabani6140 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallaw

  • @nassorsuleiman6339
    @nassorsuleiman6339 3 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh Nassor aliupa haiba uislamu hapa Zanzibar

  • @safarsafari68
    @safarsafari68 6 หลายเดือนก่อน

    Huku bongo watu wanafunga lkn wengi hawaswali kabisa

  • @AmadiIssa-iw8sy
    @AmadiIssa-iw8sy 6 หลายเดือนก่อน

    Allah tunakuomba tuifadhi😂😂