Baba.mungu akubariki maombi yanafungua vifungo vyote mungu alinipa maombi ya siku sita nikiwa na mimba ya miezi nane maombi makavu nilifunga na mungu alijitukuza sana kwangu
@@moisugar_tz Tuliokoka Upendo kwetu ni jadi yetu Yesu Kristo alituagiza tupendane, mtandao huu unatuunganisha kufahamiana pia na wapendwa wenzetu wa sehemu tofauti tofauti Duniani kote, siyo vibaya kuuliza kanisa haya ni madhehebu tu tuliyonayo kwa muda ila lengo kuu ni kwenda Mbinguni.
NINAPOZUNGUMZIA VAZI LA UTAKATIFU NAMANISHA MCH. MAGEMBE ASIRUHUSU HAPO MAWIGI, RAST, N.K 0:10 HUU MISINGI ATANGAZE MAPEMA. TUONE WASHIRIKI WANAOTII NENO LA MUNGU WAPO WANGAPI
Ubalikiwe. Sana. Mumishi.. WA mungu. Naelewa sana. Ni fredy. Natokea.. hapa USA.... Baba. Natamani. Cku nikiludi... Tanzania... Nikuone .❤
Baba nakuelewa sana hii injili niliisikia miaka msingi.Yesu nakupenda kwa kunipa huyu Baba yangu magembe
Hiki ni chuo kamili wachungaji huyu Baba magembe Mungu ametupa tumwombee.asante sana TAG.kwa kutokumuelewa ili sisi tufaidi mafundisho haya
Baba.mungu akubariki maombi yanafungua vifungo vyote mungu alinipa maombi ya siku sita nikiwa na mimba ya miezi nane maombi makavu nilifunga na mungu alijitukuza sana kwangu
Aiseee, hongera sanaa mtumishi,
Baba mch magembe nampenda sana.yaani injili yako haijaghoshiwa uko safi sana
Mungu akubariki sana Mtumishi, injiri imejaa neema.
❤❤❤ubarikiwe magembe nakufata nikiwa Congo lubumbashi
Barikiwa sana mtumishi, huko Kongo upo kanisa gani mtumishi
@@mhelezijoackim-kl9vb kanisa lake la nin?
@@moisugar_tz Tuliokoka Upendo kwetu ni jadi yetu Yesu Kristo alituagiza tupendane, mtandao huu unatuunganisha kufahamiana pia na wapendwa wenzetu wa sehemu tofauti tofauti Duniani kote, siyo vibaya kuuliza kanisa haya ni madhehebu tu tuliyonayo kwa muda ila lengo kuu ni kwenda Mbinguni.
Mungu akubariki baba
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu natamani sana nifate nyayo zako.
MUNGU akubaliki mtumishi wa MUNGU naitwa Harry Mbale mzaliwa wa Malawi ila natamani siku Moja nikuone baba maana kunamengi naitaji kujifunza kwako
BWANA YESU akubariki baba tuko pamoja by Filemon Sulley toka Manyara
Injili ni uweza wa mungu uletao wokovu. Asante YESU kwa injili ya namna hii. Ni adimu kuipata siku hizi
Nimebarikiwa na mahubiri haya ya nguvu za Mungu
Pia wimbo huu ulioimba wakati wakumalizia naomb msaada niupate nimeupenda Sana
Barikiwa sana baba neno zuri
Amen amen amen
INJILI SAFI HONGERA PASTOR .
Baba Mungu akubariki Sana na kukutunza baba yangu
Amen
Barikiwa Sana mtumishi
Hallelujah 🙌
Nabarikiwa sana
Amen ubarikiwe sana
MUHUBIRI WA NYAKATI ZA MWISHO YES .
Be blessed
NINAPOZUNGUMZIA VAZI LA UTAKATIFU NAMANISHA MCH. MAGEMBE ASIRUHUSU HAPO MAWIGI, RAST, N.K 0:10 HUU MISINGI ATANGAZE MAPEMA. TUONE WASHIRIKI WANAOTII NENO LA MUNGU WAPO WANGAPI
Hiiii ndioo injuili iliyonyooka
Huu ndio ujumbe unaotakiwa wakati huu wa mwisho.
kitu ninacho jifunza ni kuishi tu kwenye viwango vya kiroho ..bila kupunguza chochote.
Huyu NDIO Mtumishi
Kanisa liko wap , niende kuokoka jamani
Liko Kinyerezi
Kinyerezi sehemu ngani
Liko kituo cha mwembeni opposite na shell ya ATN- au jirani na office za Asgard security
Lipo kinyerez kituo mwemben jirani na kituo Cha mafuta Cha ATN(Sheri)
Ok
Redio ninataman ianzishwe
Ujenzi waedelea au
Hakika ninakupata
MAGEMBE PENTECOSTAL SCHOOL (MPS)
HAPA NAUSHAURI MZEE AWAHI KUWEKA MISINGI WA UTAKATIFU WA MAVAZI MAPEMA. KABLA MAKANDO KANDO HAYAJAJAA HATA MPAKA SASA KACHELEWA.
Posts zako zina mlengo wa kukosoa sana brother ....umeona mavazi yapi mabaya hapo?! Au wewe mwenzetu umeona video tofauti na hii?!
Dismas wewe ndie umechelewa, hapo umeona wenye hayo mavazi mabaya au hayo mapambo unayoongelea.? Chunguza kabla ya kucomment usizidi kujiabisha ndugu