TOP 10 YA WASANII WENYE MAGARI YA KIFAHARI NA BEI KALI TANZANIA 🇹🇿

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 เม.ย. 2023
  • Mdau wetu Hii ni orodha inayojuimuisha mastaa wa Bongo Fleva Pekee sio kiwanda chote cha mastaa ikiwemo wale wa Bongo Movie hapo ni muziki tu.
    Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.
    #diamondplatnumz #alikiba #tanzania #live #simbasc #yangasc #harmonize #wasaniiwenyemagarimakalibongo #wasaniiwenyenyumbakalitanzania #mastaawenyemagarimakalitanzania #wasaniimatajiritanzania
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 164

  • @benjaminaltilalila6144
    @benjaminaltilalila6144 3 หลายเดือนก่อน +2

    Siku ambayo diamond atakufa mtamkumbuka mengi sana

  • @user-pj1is6lw8m
    @user-pj1is6lw8m 8 หลายเดือนก่อน +4

    Namuona harmonize mbali sanaaa few years to come ndo atakua namna moja Tanzania kwa kumiliki pesa,magari na nyumba Kali zaidi.

  • @user-vj5ph8zm7x
    @user-vj5ph8zm7x 7 หลายเดือนก่อน +4

    Tunawapa hongera kwani watakufa wayaache kwanza diamondi aache ubinafsi hayo ndo yangu bhana sinameng from 🇰🇪

  • @user-py3iq4kg9m
    @user-py3iq4kg9m 8 หลายเดือนก่อน +5

    Harmoniz baba

  • @user-kx6no6vw8n
    @user-kx6no6vw8n 9 หลายเดือนก่อน +6

    Namkubali. Kingi. Kiba. Mnyama

  • @saumusulaiman4742
    @saumusulaiman4742 5 หลายเดือนก่อน +2

    Team kiba gongeni like hapa ❤🎉🎉🎉

  • @zazalareine257
    @zazalareine257 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nakubali tjr simbaaa

  • @user-jn6tc4ux4p
    @user-jn6tc4ux4p 9 หลายเดือนก่อน +3

    Big up

  • @Saidi-ti8vk
    @Saidi-ti8vk 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nakubali smba

  • @user-lf1xb9ls6g
    @user-lf1xb9ls6g 4 หลายเดือนก่อน +1

    King namber one

  • @wizzjeifo
    @wizzjeifo 6 หลายเดือนก่อน +2

    Alikiba nimtu mkubwa sana bha

  • @Babyrichmondking
    @Babyrichmondking 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hizo gari naskia sijui 80 million 40 milllion my friend ukikuja kenya hizo range Rover ni 3 million kuendelea alafu hapo kwa rolls Royce rank na watanzania wenzako usijumulishe East Africa wasanii wako na ma Lamborghini huku Kenya na hawajisho up

    • @joshuakosovo5525
      @joshuakosovo5525 2 หลายเดือนก่อน

      Rolls Royce ni gari ya 40m hadi 70m pesa ya kenya but ka ni Lamborghini pia ni 40m hadi hapo

  • @WilliamArila-qt6bj
    @WilliamArila-qt6bj 29 วันที่ผ่านมา

    Kweli pongezi kwenyu wasanii wetu

  • @user-ei7yd8gq5f
    @user-ei7yd8gq5f 3 หลายเดือนก่อน

    Konde gang ni chama cha masupasta na nimeipenda sana sana sana

  • @user-hp1sm2xs4z
    @user-hp1sm2xs4z 9 หลายเดือนก่อน +4

    Konde gang ndo habar ya mjini

  • @mpawenimanagerard9177
    @mpawenimanagerard9177 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubal san

  • @AnthonyKuchaba
    @AnthonyKuchaba 7 หลายเดือนก่อน +1

    😮 tembo kikohozi mwamba simiyu ndani

  • @widebrainclassic
    @widebrainclassic หลายเดือนก่อน

    Range rover kenya 🇰🇪 zimezagaa kila mahali . Ni gari ya kawaida sana

  • @FreditambweAndre
    @FreditambweAndre 27 วันที่ผ่านมา

    King

  • @celtawakwila
    @celtawakwila 9 หลายเดือนก่อน +4

    Simba number 1

  • @user-uz9hp3wr2e
    @user-uz9hp3wr2e 9 หลายเดือนก่อน +4

    kumiliki range si rahisi Kama unavyo fikiria

  • @user-ll4rv1nw5l
    @user-ll4rv1nw5l 9 หลายเดือนก่อน +6

    Wabongo acheni unafkii kiba Ako top na sio nambar saba

  • @rosemarynyahiri9192
    @rosemarynyahiri9192 7 หลายเดือนก่อน +1

    Diamond bebe

  • @SylvanneFanny-ci6rp
    @SylvanneFanny-ci6rp ปีที่แล้ว +3

    Diamondi mukari

  • @user-be3ez8xv5t
    @user-be3ez8xv5t 8 หลายเดือนก่อน +2

    Konde boy ndiye ataivunja hio record

  • @RepdcObama
    @RepdcObama 7 หลายเดือนก่อน

    Big up sana kwa Diamond

  • @raisphdtz
    @raisphdtz 10 วันที่ผ่านมา

    Wee jamaangu muongo sana du

  • @GikaroCharles
    @GikaroCharles 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera mond

  • @NaaMakanu
    @NaaMakanu 2 หลายเดือนก่อน

    Saw vzl

  • @SaidiMussa-zk8tp
    @SaidiMussa-zk8tp 7 หลายเดือนก่อน +1

    Saruti kwakondee

  • @user-dm1jv7xn9m
    @user-dm1jv7xn9m 7 หลายเดือนก่อน +1

    Iyo nimeikubali

  • @SammySlaves
    @SammySlaves หลายเดือนก่อน

    Jeshii atamyoa

  • @user-fd5ol8kl3o
    @user-fd5ol8kl3o 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna zaidi ya alikiba😅😅😅😅

  • @carlosroomd
    @carlosroomd 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nakubali sana babu

  • @justinemasuke
    @justinemasuke หลายเดือนก่อน

    Wasaidie wasojiweza

  • @AnordChengula
    @AnordChengula หลายเดือนก่อน

    Nawakubalii xaxa mm nataka kaziii

  • @user-jn7vt9ph9r
    @user-jn7vt9ph9r 7 หลายเดือนก่อน

    mimi navyoona ni simba🦁🦁🦁🦁

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr 7 หลายเดือนก่อน

    Big up❤❤

  • @user-uz3hk3et6x
    @user-uz3hk3et6x 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kiba oyeee

  • @jofreymata5343
    @jofreymata5343 9 หลายเดือนก่อน +3

    Fid q anamiliki jeep naye tunamuweka wapi?

  • @PiusSpiridion
    @PiusSpiridion 13 วันที่ผ่านมา

    Konde ndo bas tena

  • @user-kk7wv2ce2f
    @user-kk7wv2ce2f 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kiba number one

  • @user-hk8lv8kh6q
    @user-hk8lv8kh6q 7 หลายเดือนก่อน +1

    Akuna zaidi kond boy 1
    Namukubali sana
    From burundi

  • @user-ly9rz5mq7x
    @user-ly9rz5mq7x 3 หลายเดือนก่อน

    nyey kweli hamuna vichwa sawa

  • @emmanuelsanga-ow4zz
    @emmanuelsanga-ow4zz 26 วันที่ผ่านมา

    Harmonize amaeza kulipa hyoo

  • @WilsonLuvinga
    @WilsonLuvinga หลายเดือนก่อน

    Kaka njoo chunya kaka

  • @AbdillahissaRamadhni
    @AbdillahissaRamadhni หลายเดือนก่อน

    Namkubali juma jux

  • @RamadhaniallyAlly-ht6ey
    @RamadhaniallyAlly-ht6ey 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ajapangilia

  • @pauloegbert515
    @pauloegbert515 9 หลายเดือนก่อน +2

    Wakigua wanataka wasaidiwe

  • @NeemaMkwemba-ws9du
    @NeemaMkwemba-ws9du 19 วันที่ผ่านมา

    Tunataka wanunue ndege sasa

  • @DJAJAX-bs1xi
    @DJAJAX-bs1xi 10 หลายเดือนก่อน +3

    Uyo sasa ndo the giant from africa

  • @AbdillahissaRamadhni
    @AbdillahissaRamadhni หลายเดือนก่อน

    Rayvanny kumbe yupo na yeye at

  • @Jaybruce254
    @Jaybruce254 หลายเดือนก่อน

    konde boy una kali😀😀😀

    • @lazarjustin9
      @lazarjustin9 หลายเดือนก่อน

      Na vp kuhuxu wasanii wa 254?

  • @johnolimiri778
    @johnolimiri778 8 หลายเดือนก่อน +1

    na wewe mwenyewe

  • @AdmiringDriftwood-dl6cx
    @AdmiringDriftwood-dl6cx หลายเดือนก่อน

    Mtu wa kwanz ni harmonize

  • @user-qf1lk5kz8i
    @user-qf1lk5kz8i 4 หลายเดือนก่อน +1

    King kiba

  • @elizakiwory1311
    @elizakiwory1311 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tumechoka range

  • @user-sx9ij8ki8c
    @user-sx9ij8ki8c 3 หลายเดือนก่อน

    Ntawaomba kaz

  • @MARIAMUNJOJO-fk1yo
    @MARIAMUNJOJO-fk1yo 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna Zaid ya simba

  • @sinasudisaid4613
    @sinasudisaid4613 11 หลายเดือนก่อน +2

    Simba mkali

  • @user-vb2zr2ur5u
    @user-vb2zr2ur5u 4 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅 apo kwa simba sas

  • @ImerdaMtalemwa-by4uw
    @ImerdaMtalemwa-by4uw 9 หลายเดือนก่อน +4

    Harmonize akijibanabana anaweza akamfikia , ila mpaka yesu arudi duniani

    • @Alex-fy7zi
      @Alex-fy7zi 9 หลายเดือนก่อน

      Diamond 2:31

    • @Alex-fy7zi
      @Alex-fy7zi 9 หลายเดือนก่อน

      Diamondi

  • @arnoldmatee883
    @arnoldmatee883 7 หลายเดือนก่อน

    You are most being on wasafi side

  • @frankmahenge5943
    @frankmahenge5943 8 หลายเดือนก่อน +1

    Cha ajabu masanja mkandamizaji hayupo

  • @PetroMghamba
    @PetroMghamba หลายเดือนก่อน

    Wew muongosana kadanganye washamba

  • @justinemasuke
    @justinemasuke หลายเดือนก่อน

    Me simba damudamu

  • @eddytabenkiponda4287
    @eddytabenkiponda4287 9 หลายเดือนก่อน +12

    Kiukweli napenda sana tanzania.lkn kuna shida moja ambayo hawawezi kuachana nayo nayo ni uninafsi.mana maisha ya alikiba .ni makubwa kuliko ya harmonize na van boy.lkn hapa amewekwa mbali kabisa..yani wataka kumfananisha alikiba na mbosso. Pamoja na zuchu kweli.huu ni unafki....lkn kiukweli wa maisha alikiba yuko juu kisha sana
    .wala sio mtu wakutaja vitu visivyo kuwa vyake..ile siku mtabadilika na kuwa wa kweli bac tz itakuwa na nguvu nzuri sana.kwa hawa wasanii
    Mana hakuna msanii aliye wahi kuhesabu pesa zake mbele ya waandishi wa habari.hivi haya yote muliyatoa wapi kama sio kuhongwa uli mumwage sifa za kiongo..

    • @jumaalexis6020
      @jumaalexis6020 7 หลายเดือนก่อน

      😂amesema ma gari Wala sio maisha

  • @ElisantePaulo
    @ElisantePaulo 7 หลายเดือนก่อน

    Mario ndo Baba lao lakn kiba anakwama kuingia katika timu ya makolor TABU LELE ⁵ nakupendaa mario unakuja vizuri 😂😂😂 kibaa unakwama

  • @user-ih5zd1qp2w
    @user-ih5zd1qp2w 4 หลายเดือนก่อน

    Dharau zitawaponza

  • @mfaumelikongwa9947
    @mfaumelikongwa9947 9 หลายเดือนก่อน +4

    Nikweri kabisa uku tz msanii nasie msanii akimiliki gali izi anaonekana tajiri mkubwa sana, uko kenya 🇰🇪 mjomba angu godlack ana endea shambani kuchukua chakula ya nguluwe 🤫🤫🤫🤫

    • @zaynd5366
      @zaynd5366 9 หลายเดือนก่อน

      😁😁KRG THE DON wa wap

    • @user-hr9xq1jm7t
      @user-hr9xq1jm7t 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ndy mjomb wako ww unay nakam unay njoo tz tukuon tajir🤒

  • @user-pt7bw9ux8t
    @user-pt7bw9ux8t 5 หลายเดือนก่อน

    Aliye pewa amepewa mungu kawapa tusubirie na sis zamu zetu mungu akipenda atatupa t tuache wivu wa kijinga pia wamejituma sana washikaji wee endelea kukaa kijiweni na kisubiria upewe jitume Mzee mungu sio boya akupe wewe mwenye majungu kama yote

  • @user-qt3gq2xh9l
    @user-qt3gq2xh9l 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nihukokwenu kenya

  • @dennismucilla
    @dennismucilla 6 หลายเดือนก่อน

    I never knew Tz don’t have an R in their alphabets sounds funny kusema Langelover😂😂😂 inasound kimeru any Kenyans in the house 🇰🇪 🇰🇪

  • @EdghaMoses-js8lj
    @EdghaMoses-js8lj 7 หลายเดือนก่อน

    Kumbe kumiliki range kibongo bongo unakuwa umetoboa.

  • @mgfr783
    @mgfr783 10 หลายเดือนก่อน +3

    Labda hajazaliwa atakaye mpindua

  • @user-sw7jt9ry3x
    @user-sw7jt9ry3x 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mond hakuna wakumkuta

  • @AbdillahissaRamadhni
    @AbdillahissaRamadhni หลายเดือนก่อน

    Mondi mnyama

  • @brucemsusi20
    @brucemsusi20 7 หลายเดือนก่อน

    Na cardillac escerade ya konde

  • @user-hr9xq1jm7t
    @user-hr9xq1jm7t 7 หลายเดือนก่อน

    Unapotez muda wako kutangaz vya wezak na ww tafut watu wakucfu usiishy kuwapandsha watu tu

  • @Shaban-ro9of
    @Shaban-ro9of 9 หลายเดือนก่อน +1

    Rema kafunika

  • @MulwaDavid
    @MulwaDavid 7 หลายเดือนก่อน

    Marange rover tu?😂😂😂

  • @edinahinju617
    @edinahinju617 11 หลายเดือนก่อน +1

    Atamkuta hamonize

  • @user-ih5zd1qp2w
    @user-ih5zd1qp2w 4 หลายเดือนก่อน

    Hatukatai

  • @user-wl2ho4gp9k
    @user-wl2ho4gp9k 2 หลายเดือนก่อน

    Unapotaja
    mali cheza na kikokotoo hiki Muda x mtaji
    Miaka

  • @IddyNgessa-oz3xy
    @IddyNgessa-oz3xy 7 หลายเดือนก่อน

    Acheni unafkiii haina maana iyoo yakushush hadhi ya maanii flani kila mmoja mafanikio yake ni sir yake yeye mwenyew😮

  • @abdulazackabdul1894
    @abdulazackabdul1894 6 หลายเดือนก่อน

    Ok

  • @TheRealErick29
    @TheRealErick29 4 หลายเดือนก่อน

    Mondo km mondi

  • @user-jo4yu4cx1x
    @user-jo4yu4cx1x 9 หลายเดือนก่อน

    Akuna hatake tokeatene

  • @user-hr9xq1jm7t
    @user-hr9xq1jm7t 7 หลายเดือนก่อน

    Ndy lakin kwenu nazani hamunay zai ya baskeli hahahaha

  • @wizzjeifo
    @wizzjeifo 6 หลายเดือนก่อน

    Bongo umeshamili ubinafsi kwakweli duu

  • @djdugwaymaster6729
    @djdugwaymaster6729 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa n muongo..

  • @benjaminaltilalila6144
    @benjaminaltilalila6144 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tanzania range Rover mnaona niya kifahari😂uku Kenya range tunakatia manyasi ya ng'ombe

    • @user-xn3uu5el7l
      @user-xn3uu5el7l 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 27 วันที่ผ่านมา

      Erick Omond alikuwa anaandamana juu ya nini?? Njaa zinawaua Majirani acheni ubinafsi saidieni majirani na ndugu zenu mnatupa tabu huku Sirali hasa mkija kwenye misiba ya ndugu zenu mnabeba kila kitu kha

    • @IddyPrince
      @IddyPrince 17 วันที่ผ่านมา

      Achakuongopa ww😂😂

    • @luckyluchano1
      @luckyluchano1 14 วันที่ผ่านมา +1

      Ongeza volume kidogo mzee ni kama hawajaskia vizuri😂

    • @user-qx2ei7bc9e
      @user-qx2ei7bc9e 3 วันที่ผ่านมา

      Hahahahaaa...! Ongeza sauti wakuckie😅😅

  • @user-jo4yu4cx1x
    @user-jo4yu4cx1x 9 หลายเดือนก่อน

    Akuna take tokeatene

  • @hassanwere2861
    @hassanwere2861 11 หลายเดือนก่อน +30

    Wasanii wabongo kumiliki range Rover wanakua tajiri uku Kenya range Rover Niya Mama mboga

    • @kulthummohamed101
      @kulthummohamed101 9 หลายเดือนก่อน +2

      Je ww unamilik nn

    • @user-dy1is8bx2g
      @user-dy1is8bx2g 9 หลายเดือนก่อน +2

      Tuonyeshee gari ako ambay unalotumia unao waxem w Tz

    • @Kenzokhan316
      @Kenzokhan316 9 หลายเดือนก่อน

      Hujaambiwa tajir bali ni gari kali

    • @Charles-uo2hw
      @Charles-uo2hw 9 หลายเดือนก่อน

      Nyokooooo

    • @newloverboyofficial17
      @newloverboyofficial17 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @user-rg5sg1xz8p
    @user-rg5sg1xz8p 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona ww una shangaza gari za mondi unataja bei ya kiwandani alafu kama izo ranger unataja bei ya mtumba hahahahahahahaha sport mpya 70 hahahahahahahahaha

  • @HassanmrishoMrisho
    @HassanmrishoMrisho 7 หลายเดือนก่อน

    Kwahuk zenji gari Kama hizo tuna bebea abiria kama bodaboda tu nashangaa uko bongo ndiyo wana post nayo mitandaon nakuji onesha waonekane wafalme wa mbugan au

  • @user-ci8cy4gp3y
    @user-ci8cy4gp3y 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna wengine Wana magari makali zaidi ila hawazi post au kuzishobkokea,acheni ushamba TZ

  • @mrrevolutiontz
    @mrrevolutiontz หลายเดือนก่อน

    Kookoo

  • @safianamani1375
    @safianamani1375 ปีที่แล้ว +2

    Paka ya nyumbani yazıdı arası ya jirani shika. Jembe tukalime. İzi nizakwawo. We da wewe ukapata. Piya.

  • @user-mr2bj5nb9v
    @user-mr2bj5nb9v 8 หลายเดือนก่อน

    Nn yako. Tuone