Kazi nzuri sana kaka zangu hivyo mambo kama haya yamekuwa magumu sana kwa kizazi cha leo,ila ndio hali msingi ulikuwa mzuri tu.zama zetu hizi .naskiza Aprili 2023 .
Mziki mkali na Tena mnene! Am From Machakos Kenya 🇰🇪. Ukweli husemwe, mghala muuwe na haki humpe, P Funk aka mzungu wa Bongo Records na Master J wa MJ Records put Bongo Flava on the map. P Funk and Master J aka Mchaga receive your Flowers 🌷. You are legends and pace setters of Bongo Flava, I CELEBRATE YOU LIVING LEGENDS. Am from Machakos Kenya 🇰🇪
😊😊,,karibia kuingia 2024,,the day this song waz released I was around 17yrs,,,saizi woooi,,,mungu saidia,,but it's still so new to me,,,old is gold,,,and it's doesn't rust,, qualify music
Cha kale n dhahabu Respect saaana Bro.....!!! Infact wahenga wa bongofleva u where so cooperative..... En this was meaning of true love Almost nmewackia wasaniiwote maaruf wa kitambo Like John woker, Mr ebo na wengneo weng 🙏🙏🙏
Do you Tanzanians know that this is one of the greatest hip hop songs from your land? As a Kenyan, I think so..🎉
Nakubali
Baba weeeee Hadi hii leo 2024 kama lime gongwa Jana wakati ni zaidi ya miaka 25 ilio pita ❤❤❤❤
Noma sana
Miaka 25 bongo flava ilikua bado haijafanyiwa mapinduzi, hii Ngoma ya 2003, so likely 20 years
Yeah man I was like eff off I'm not that old
Kuna Dada kavaa nguo ya red anacheza uyo💛🤣💛 naona alilala hoi Mbavu,,,NGOMA tam hiz
😀😀😀
Kwaiyo ww ndo ulichoona tu hicho 😂😂😂😂
😂
😅😅😅
Bwana misosi bado na mkubali Hadi WA 2024 I really miss those days.
P funk alikuwa anatengeneza bit hatari sana
imefanywa na Bizman siyo PFunk
Bongo records ni ya Bizman??@@SAMJIKASSIM
@@SAMJIKASSIMbeat ya Majani hiyo Bizman alihusika kwenye vinanda
@@muslihelbarca6435 vinanda(chords) ni part ya Beat, huwezi sema Beat ya Majani
Mkenya mimi napenda hizi ngoma sana.za kitambo ila nzuri sana
Izo ndo zilikuwa nyimbo
The flow, the slang, the video, the delivery, the confidence. Everything was epic. 100% Classic Bongo Hiphop. This is what O.G was talking about.
Bongo fleva original tbt 🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥 2023
Daah yan mlipaswa kupiga verse mbili mbili kwa namna mziki ulivyo mzuri. Maana verse moja moja haitoshi.
Mashabiki wako tokea enzi tupo pamoja na wewe,nilikuwa naiseach Sana bila mafanikio hii, asante sana kwa kutuletea, bado inaishi💪💪👏👏👍
Nakumbuka ubinti wangu daaaaah!! Those days...2004.....❤❤❤❤❤❤❤❤
Yaani bhana tunakumbushwa mbali sana
imekuaje ukaitwa shida..?
Back to the days when music was lit still banging year is 2022 much love from kenya 🇰🇪
Goma Kali Hadi leo daah malegend mnajua kwakweli
Hii nyimbo inanikubusha sana mbali tukiwa shule na mwanangu emedy sospeter,pumzika kwa amani mungu akupunguzie adhabu ya kabur😢😢😢
OG bongo fleva... Bwana misosi hongera kwa hii kazi nzuri bado inaishi mpaka leo 2024
Hii ni systematic review in bongo flava. Excellent idea
Kama la jana vile kudadeki 2024 mtuletee remx
Nakubalii mzee
2025 na bado ngoma iko juu miaka alfu aisee misosi
Kweli here iam in 2023 😂
Hardmad ulitisha sana kwenye kucheza enzi zile kwenye hii ngoma ulituweza dah
07.09.2024 birthday 🎂 Yangu Nakula hii Ngoma
Hii ngoma haitokuja kuchuja kamwe
Watoto wa 2000 wakae mbali hawezi elewa hii song
Mbali kabisa APA nilikuwa na miaka 12 pa2004
Naliya sana Kaka yangu ali star kalemie
Nikiangalia hii basi najua Simba Kuna wakati utatulia tu
Naikubali sana hii nyimbo siyo haya manyimbo ya sasa kidogo tu yamepotea God bless you
Kitambo nazikubari sana we acha tu
Enz za 2003 watoto wa 1995 kupanda juu tunawaachia diamond waooo😂😂😂
😂😂yunus.. 95 usituguse kabisa sisi sio ma Gen Z hatufanani kabisa na watoto wa 2000
Diamond bado anatowa funza kigoma enzi zileeeeee.
Nani yupo mpaka leo 2024
Sidhani kama gen z watapatikana humu. Millennials mko!!!!
Kazi nzuri sana kaka zangu hivyo mambo kama haya yamekuwa magumu sana kwa kizazi cha leo,ila ndio hali msingi ulikuwa mzuri tu.zama zetu hizi .naskiza Aprili 2023 .
Siamini hii ngoma Kali haina 5 million views.
Ntoke vipi! Hii ngoma inanikumbusha cousin yangu Samanya Siara alikufa 10years ago R.I.P
ngoma bado inaishi naikubali sana
How he managed to get all those big artistes in this video shows how much Musicians supported each other back then. LOVE.
Kama bado upo hapa 2022 na kuendelea 2023 gonga like hapa
Aaaah ujana 😢
Ujana jamani pakanaliya
Aaaaaah😢
Huyu dada alie vaa red bulauz akiiangalia hii ngoma sasa hivi huenda akacheka sana
Bado tunayoo 2024❤❤
Watoto wa 2000 hii nyimbo ni muhimu sana kwenu, kwasababu inataja safari zilipoanzia za watu wengi ambao hamjawahi kuwasikia wakiimba.
Pumzika kwa amani Dojo.Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Nitoke vipi was EA anthem in 2005 🔥🔥
2003
Mkali huyu amewataja wasanii wenzie wote wakali noma sanaaa❤
Kitmbo mtu haonei mwengine jealous wapeana support
#Bwana misosi nakubali sana nyimbo zako hii na ile mabint wa kitanga ❤❤❤
Oyooo wanasikiliza hii Ngoma big up.
Hawa ndo wanamuziki
Kitambo sana ❤❤❤
Ladha ya muziki huu haikati, ni kama imerekodiwa na kuachiwa jana .. Maua yenu Bwana Misosi, Hardman, P Funk
Mimi ata siongei aisee mziki uliisha
Wewe ni mtu hatari sana
Ngoma Kali Sana henzi zangu..😊
Mziki mkali na Tena mnene! Am From Machakos Kenya 🇰🇪. Ukweli husemwe, mghala muuwe na haki humpe, P Funk aka mzungu wa Bongo Records na Master J wa MJ Records put Bongo Flava on the map. P Funk and Master J aka Mchaga receive your Flowers 🌷. You are legends and pace setters of Bongo Flava, I CELEBRATE YOU LIVING LEGENDS. Am from Machakos Kenya 🇰🇪
Umemsahau bizzman, hii nyimbo alieipika alikuwa bizman sema kipindi hicho alikuwa chini ya bongo record fatilia ujue
2024 Gonga like hapaaa 😢🎉🎉🎉🙏🙏🙏
Bado tunadunda nalo Hadi Leo Hii 2024 Nitoke Vipi💥💥👏
Nitoke vipi 2025 🇺🇬 💪 Ug
Wapi bwana misos 2023
Ngoma Kali ya Zama zileeeee 😮
Hii nyimbo nimesikiliza sana nikiwa mdogo ingawa ina umri mkubw kuliko mm itoshe kusema ni banger🔥
Enzi hizo mlitesa Sanaa 🔥🔥🔥
Wasanii wa kitambo walikuwa wanaweza kuimba, ila wa sasa hvi changamoto nyimbo matusi tupu kazi ya basata cjaiyona wanakula pesa tu
Respect the names of the musicians mentioned in this track this are the legends kama hujaskia jina lako kwa hyo list nyamaza ww ni mtoto tu
Hatari sana enzi za ujana wangu
Kazi nzuri sana
wen music was music... mkojuu
Ni bonge la ngomaaa
One of the most talented Bongo star that this Generation wont know about
Hapo Sasa,congratulations,matured piece.
Mbona viwes ni kidogo hvi
Hatari sana
This song was released in 2004, here's 2024, 20 years count finish down🎉🇹🇿🇹🇿, Owner Bwana misosi ft Hardmard, Song: Nitoke vp, 👊👊🇹🇿🇹🇿.
Humu kaandika sana old is gold
2025 Inatokea vipi...?
Ingali Kali sana
Nitoke vipi... Nalikubal sana hili goma🔥🔥🔥🔥🔥2024
2004 nostalgic high school memories in western Uganda
Kimenukaaaaaaaah!!..
Noma zazaman
Npo 2023 najiuliza nitoke vp huu mwaka.....siku nyingi nsjiuliza
😂😂😂niachee
Bwana Misosi, noma sana
Enzi hizi kwa mabanda ya video wallai unataka tu kuangalia mziki ❤❤
😊😊,,karibia kuingia 2024,,the day this song waz released I was around 17yrs,,,saizi woooi,,,mungu saidia,,but it's still so new to me,,,old is gold,,,and it's doesn't rust,, qualify music
Majani waaah
hili dude wachana nalo likidundwa Yani ni kama jana big up bw misosi 👍
2024 mucrch love from Botswana 🏆
Rudi ulingoni Broo mashabiki zako bado tunakuelewa❤
Bwana Misosi anaweza osha marapper wengi sana sahi.
Cha kale n dhahabu
Respect saaana Bro.....!!!
Infact wahenga wa bongofleva u where so cooperative..... En this was meaning of true love
Almost nmewackia wasaniiwote maaruf wa kitambo Like John woker, Mr ebo na wengneo weng 🙏🙏🙏
K south kutoka kenya ❤
I'm Burundian i love this song❤❤
hii nayo ilkua level ingine bana
Iv ilikuaje ukajiita bwn misos😂
2024...( Upeo wako sio poa kaka.... ❤《 Ndani ya rap game kaka nilikuelewa sanaa
All the way from Dar es alaam Tanzania ni 2024 now i will come again next year kama sja reply jua am dead
Mantra song.. Nntoke vp🙃
Staki ulimbukeni..nataka kuuza Dukani!!!!
Africa pa moja! Cheers!✊
Enzi hizo ni fleva ndo mana zilikuwa tamu sana
Napenda sn old song
love❤ from mozambique 🇲🇿🇲🇿🙌
Daaah🔥🙌🏽. Life was good back then
Grew up to this and the ajina Juma nature things...hakuna mziki skuizi
The G.O.A.T Peace n love Rasta💯👊👊👊👊👊