Hivi tujiulize wewe ulikuwepo Berlin ? Umri wako unakutaka useme ukweli. Mbona unawadanganya hawa watoto. Hivi elimu unajua maama Yake nini? Mbona hats baada Uhuru waislam hawakwenda shule isipokuwa wachache. Waambie ukweli watoto hawa wasome shule SIO blaablaa. Wapemba Wana wasomi wengi je si waislam.
Jamaa mnafiki sana huyu .kikubwa naona hawamuelewi kabisa anao wasimulia anadai waislamu walipambana kuondoa ukoloni wa kizungu Je mapinduzi ya Zanzibar yalikuwa yana muondoa mkoloni gani?
Allah akusamehe madhambi yako amiin
MashaAllah❤
Mtumishi sio tu uislamu ni kuua ukristo wa kweli
Elimu ya bure kabis allh akuifadh ustadh
Message delivered
history is really fun ...the truth of history is matter of narrating the story
Ni kweli tulisoma mkutano wa Berlin 1884 wa kugawana Afrika
Elimu Ni ukweli. Na ndio maana watoto wengi wanafeli. Kwakua wanafundishwa uongo.
Utafika umechoka sana
Mtafika nyie yeye kashafika
Hiki.kupindi.cha.samia.ndio.utaelewa.huyu.mzee.Alikuwa.anaongea.nini.kwa.mwenye.fahamu..nzuri.hiki.kpindi.cha.mama.samia.tutaona.menge
Hivi tujiulize wewe ulikuwepo Berlin ? Umri wako unakutaka useme ukweli. Mbona unawadanganya hawa watoto. Hivi elimu unajua maama Yake nini? Mbona hats baada Uhuru waislam hawakwenda shule isipokuwa wachache. Waambie ukweli watoto hawa wasome shule SIO blaablaa. Wapemba Wana wasomi wengi je si waislam.
Jamaa mnafiki sana huyu .kikubwa naona hawamuelewi kabisa anao wasimulia anadai waislamu walipambana kuondoa ukoloni wa kizungu Je mapinduzi ya Zanzibar yalikuwa yana muondoa mkoloni gani?
Unamjua aliyeendesha mapinduzi Zanzibar au nawe umekaririshwa?
Hajielëwiii huyu
Ww huna elimu yoyote ya kumzidi huyo jamaa alikuwa na elimu kuliko unavyojua ww ,fyata mkia huna elimu aliyonayo huyo jamaa
Mnafki ni wewe unaefatilia yasiyokuhusu
Tafuta hutuba yake inayoelezea tatizo la muungano
Lipumbavu ili zee
Mpumbavu wewe uliyekaririshwa upuuzi
@@thehunter5920 nyie ni ng'ombe mnaongozwa na wajinga
Huna adabu,kilichokuuma hapo no Nini?
ww mzee hufai hata kupewa ujumbe wa nyumba 10 huna busara unafundisha watoto ujinga kifupi ww ni mchochezi
Yani nyie Duu mnabishana Hadi na marehemu?