HAKIKA RUBEN KWENYE MZIZIMA EDITION SPONSORED BY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2021

ความคิดเห็น • 150

  • @sagymajiga510
    @sagymajiga510 2 ปีที่แล้ว +81

    Sina taaruma ya uandishi Wa habar ila naamini huyu jamaaa ni miongoni mwa watu wagum kufanya nae mahojiano, ni msumbufu afu haboi.

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 2 ปีที่แล้ว +57

    Huyu mwamba yuko natural kwakweli 😂😂😂yan hatumii nguvu😂😂😂

  • @mcdanford5389
    @mcdanford5389 2 ปีที่แล้ว +42

    Hakika Ni comedian By born wanaoamini hilo pamoja nami gonga like...!!

  • @kikotitv1321
    @kikotitv1321 2 ปีที่แล้ว +36

    KAMWENE mnyalukolo uko vizuri sanaaa kiukweli ndugu zako we like you so much 😂😂

  • @allymngwaya2831
    @allymngwaya2831 2 ปีที่แล้ว +17

    Kwa kweli kuchekesha hakuhitaji nguvu kama una kipaji, huyu jamaa hata asipoongea utacheka tu

  • @sisterngulukizi5995
    @sisterngulukizi5995 2 ปีที่แล้ว +16

    😂😂😂 Zima taaa jamani na nyingine 😂😂😂 walio sikia gonga like

  • @hudsson75
    @hudsson75 2 ปีที่แล้ว +18

    Huyu jamaa vichekesho vyake hatumii script kama wengine. Naona anashuka tu mistari kulingana na mazingira

  • @christinapatrick798
    @christinapatrick798 2 ปีที่แล้ว +13

    OMG🙌🙌🙌 kaka angu mm💪💪💪iringa woooye

  • @rhossunusual
    @rhossunusual 2 ปีที่แล้ว +21

    Oh! How i love Hakika Reuben ❤️🇰🇪

  • @selemanjuma1595
    @selemanjuma1595 2 ปีที่แล้ว +9

    Ruben ukimfanyisha interview ujipange

  • @redinbrown2296
    @redinbrown2296 ปีที่แล้ว

    Day nilikundua hii jamaa ni kucheka tu love from Kenya..

  • @bensonmwananchi7701
    @bensonmwananchi7701 2 ปีที่แล้ว +7

    Jamaa kaua kinyama.hadi coy mzungu kaduwaaa

  • @DrNick-hg6il
    @DrNick-hg6il 2 ปีที่แล้ว +15

    Hakika mtambo kweli kweli

  • @jofreymfugale4752
    @jofreymfugale4752 2 ปีที่แล้ว +7

    😂 uyu jamaa kwel natural mleten tena bana

  • @zolyjaxdemazfx1776
    @zolyjaxdemazfx1776 2 ปีที่แล้ว +6

    hii mbwaaa aina akili ata mojaa daaa hahaha

  • @kingcairo541
    @kingcairo541 2 ปีที่แล้ว +16

    I'm just smiling all the time.....make his presence simultaneously

  • @robenapomola2395
    @robenapomola2395 2 ปีที่แล้ว +8

    Kweli huu mtambo 😂😂😂

  • @johnco8756
    @johnco8756 2 ปีที่แล้ว +14

    Daimmmm waooo this was amazing😂😂😂😂😂😂😂

  • @jacksonestomih5514
    @jacksonestomih5514 2 ปีที่แล้ว +3

    Hiv rubeen akilii unazo kwelii mbn mm naonaa zpo chachee sanaa

  • @bube7875
    @bube7875 2 ปีที่แล้ว +20

    It's happening, the industry is growingggggg so fast🔥🔥🔥😩😩😩