Brother Nassir | Umpende Mke Wako | Best Swahili Nasheed

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • THANKS FOR WATCHING PLEASE KINDLY SHARE AND SUBSCRIBE
    .
    Follow Brother Nassir On Instagram
    ...

ความคิดเห็น • 478

  • @BrotherNassir
    @BrotherNassir  8 ปีที่แล้ว +65

    Click This Link To Watch Brother Nassir's New Official Video "Vumilia Moyo Wangu".
    th-cam.com/video/3R3bjT3Zc5s/w-d-xo.html

  • @DelightfulPenguin-wk4kv
    @DelightfulPenguin-wk4kv 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ya Allah waajalie walioko kwenye ndoa subra na maelewano katika ndoa zao nasi tuajalie waume wema wenye watatujali na kutukataza yalo maovu na kutuelekeza kwenye kheri amiin

  • @mgenisuleiman56
    @mgenisuleiman56 4 ปีที่แล้ว +1

    Nikisikiliza nyimbo zako haki napata faraja kaka namshukuru mungu kwa kunipa mume mwema mwenye vigezo vyema

  • @AminaIbrahim-qh2gn
    @AminaIbrahim-qh2gn 17 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana brother Naasir kwani umewapa ujumbe Mzuri awa watt mama wakwe

  • @kibulajumakibulajuma3448
    @kibulajumakibulajuma3448 8 หลายเดือนก่อน +1

    Akhsante sana kaka Yangu Sheikh Nasiri kwa wasia mwema hunu. Allah akulipe kheri kaka yangu uzidi kutumia fanni yako kutunaswihi fi sabilillaah na mtume wake swallallaaHu 'alayHi wasallam.

  • @bnussrahlimsantah3730
    @bnussrahlimsantah3730 5 ปีที่แล้ว

    Shukurani sana naimani nyimbo hii itabadilisha wengi wenye tabia chafu...Allah akuzidishie kipaji uzidi kutufunza mengi maana hizi ndizo nyimbo tutakiwazo kusikiliza waislam

  • @tz2014
    @tz2014 10 หลายเดือนก่อน +1

    Good old days of brother Nassir. ❤ Really miss these days. Then there is that Pepo ya Dunia Ni mama 🔥

  • @m____1731
    @m____1731 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah nzuri Sana qaswida yenye mafunzo mazuri Allah awape Iman na subra wote wanandoa

  • @dohanazo5090
    @dohanazo5090 7 ปีที่แล้ว +4

    mashaAllah Allah awajalie waume wote wa umati Mohamed wayafanyiye kazi wawapambe wake zao na dhahabu umenena kweli brother Nacri mola akujaliye kila la kheri

  • @salmasaid8274
    @salmasaid8274 8 ปีที่แล้ว +29

    MashaAllah
    Allah awajalie waume hayo maneno yawaingie na wayafanyie kazi.

  • @eliudnjuguna4583
    @eliudnjuguna4583 6 ปีที่แล้ว

    Uko juu Broo nyimbo zako na zipenda

  • @brainlessthug7319
    @brainlessthug7319 4 ปีที่แล้ว +5

    Hey who is not married but love lisining to this qaswida👌👌👌👌

  • @geelegeedi2948
    @geelegeedi2948 ปีที่แล้ว

    From Somalia 🇸🇴 greetings to our brothers in kenya 🇰🇪

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 7 ปีที่แล้ว

    mashaallah brother nassir hao waume jamani yackieni maneno mazito hayo na muyafanyie kazi wke kama watto muwaele vyema

  • @fatmashirazy8947
    @fatmashirazy8947 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah hii nyimbo ni ya mafundisho

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 6 ปีที่แล้ว

    MaashAllah jirani yangu huko kisauni Mombasa Kenya

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 6 ปีที่แล้ว

    ALLAH awatie nyoyo zaaman waume wawapende wake zao InshaAllah ..nc song MashaAllah ....Allah akuongoze ...InshaAllah....alfy mabrook brother Nassir with ur wife fatma

  • @starboy-vu8iq
    @starboy-vu8iq 8 ปีที่แล้ว +7

    mashaallah brother nassir mungu akuzidishie uzidi kuwa juu.

  • @daudikasherente3484
    @daudikasherente3484 4 ปีที่แล้ว

    Mashallh wape vidonge vyao wakimeza wakitema shwaulizao

  • @kibibimwanamvuamohammadmoh9823
    @kibibimwanamvuamohammadmoh9823 8 ปีที่แล้ว +4

    Ma shaa Allah
    Ma shaa Allah
    Ma shaa Allah tabaraakAllah, nmeipendaaaa

  • @ahmedabdul1318
    @ahmedabdul1318 8 ปีที่แล้ว

    Masha Allah... Mungu awabariki nyote.Ahsanteni kwa wenu wasia @Nassir @Yahya

  • @shamsambarak7631
    @shamsambarak7631 8 ปีที่แล้ว +6

    shemsa from zanzibar brother nassor tunazipenda sana nasheed zako mashaallah

    • @BrotherNassir
      @BrotherNassir  8 ปีที่แล้ว

      shamsa mbarak Afital Omar new video th-cam.com/video/3R3bjT3Zc5s/w-d-xo.html

  • @hawaamohamed9506
    @hawaamohamed9506 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Allah akuzidishie ishaallah

  • @halimaissa9137
    @halimaissa9137 ปีที่แล้ว

    Mashaalah bro big up mungu akubariki na akulinde na akufanyie wepes wa mambo yakoo

  • @SomoeOmary-x2f
    @SomoeOmary-x2f 23 วันที่ผ่านมา

    Ahsante kaka yet maan utafunz meng san

  • @nadyahassan7924
    @nadyahassan7924 5 ปีที่แล้ว

    asante baba kwa ujumbe uwapate waume zetu wafate nyao za mtume wetu innshallah

  • @zenerathman1207
    @zenerathman1207 8 ปีที่แล้ว

    Masha Allah heed nzuri Allah akuzidishie

  • @bintsalim759
    @bintsalim759 8 ปีที่แล้ว +2

    xaffi sana bro may GOD bless u na akujalie umri mrefu wenye Baraka na amani

  • @nayfatkhamiss388
    @nayfatkhamiss388 8 ปีที่แล้ว +1

    imetulia hiyo my brother Nasser nice very nice

  • @faizkhalidmohamedawadh9408
    @faizkhalidmohamedawadh9408 9 ปีที่แล้ว +1

    MashAllah..mawaidha adhimu kwa wana ndoa. shukran kaka

    • @BrotherNassir
      @BrotherNassir  9 ปีที่แล้ว

      +Faiz Khalid shukran kaka share kwa wenzako mitandaoni... #UMPENDEMKEWAKO

    • @saudashabani9100
      @saudashabani9100 7 ปีที่แล้ว

      mashaallah kaka love you Allah akuzidishie

  • @abdillahishaban913
    @abdillahishaban913 8 ปีที่แล้ว +2

    mashaAllah mola akujalie uendele hivyo hivyo.......

  • @aishasmall764
    @aishasmall764 8 ปีที่แล้ว +11

    mashaAllah realy like your nausheds,mungu akuweke they are very nice bro mashaAllah mashaAllah

  • @aminaalihamad7749
    @aminaalihamad7749 8 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah
    nice nasheed 😍😍
    Allah bless you @brother Nassir
    "umpambe kwa dhahabu toka juu hadi chini "😘😘
    love your wife
    "nakupa wasia ndugu nisikiiiaaaaaaa

  • @ushheartmohammed9922
    @ushheartmohammed9922 8 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah.Brother Nasirr ALLAH Akubarik.

  • @Halimabintmafitah
    @Halimabintmafitah 8 ปีที่แล้ว

    shukran sana brother. nakweli wanaume wengine ukimsikia aja tu waweza toka kwadirishani manake balaa

  • @hamadali9801
    @hamadali9801 9 ปีที่แล้ว

    maashaallah nasheed nzuri ina maneno matamu hongera kakaangu

  • @kizare1
    @kizare1 9 ปีที่แล้ว

    Mashallah Umeuwa brother nassir

  • @nawaalbadbess5286
    @nawaalbadbess5286 8 ปีที่แล้ว +17

    am never tired listening to this nasheed ...very touching...let it not be just a nasheed but words of wisdom for our muslim brothers to follow...big up nassir 😊😊😊

    • @BrotherNassir
      @BrotherNassir  8 ปีที่แล้ว

      Nawaal Badbess video mpya th-cam.com/video/3R3bjT3Zc5s/w-d-xo.html

    • @dennisfedrick8581
      @dennisfedrick8581 4 ปีที่แล้ว

      That is very nasheed

  • @isihakangunike9203
    @isihakangunike9203 7 ปีที่แล้ว +1

    no.1 best musheed in swahili in the world in century. ila jihifadhi na atuhifadhi Allah

  • @halimaabu7221
    @halimaabu7221 4 ปีที่แล้ว +2

    loved it keep it up brother Nassir

  • @jamilabadai9302
    @jamilabadai9302 8 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah great wape wasia hata wake pia

  • @alimcheni2400
    @alimcheni2400 5 ปีที่แล้ว

    Nimeusikia wasia brother nasser

  • @hadyahaydar31
    @hadyahaydar31 8 ปีที่แล้ว +4

    mashaaLLAH bro Nassir ...jazaka LLAH kheir

    • @BrotherNassir
      @BrotherNassir  8 ปีที่แล้ว +2

      ameeen... thanks bro

    • @BrotherNassir
      @BrotherNassir  8 ปีที่แล้ว

      badru Ahmed video mpya th-cam.com/video/3R3bjT3Zc5s/w-d-xo.html

  • @jawahirgalby2558
    @jawahirgalby2558 9 ปีที่แล้ว +1

    mashaAllah vijana wanapaswa kuskiza

  • @nafsahamoud3359
    @nafsahamoud3359 8 ปีที่แล้ว

    Mashaallah...Allah ukuzidishie kheri....

  • @faudhiasaid93
    @faudhiasaid93 8 ปีที่แล้ว

    mashallah mola akujaalie mwixh mwema

  • @KhawalkhawlaKhawla
    @KhawalkhawlaKhawla 8 ปีที่แล้ว

    wasia nzuri sana na music yake mashaallah

  • @abuuhaythamhajji1474
    @abuuhaythamhajji1474 7 ปีที่แล้ว +2

    so nice anasheed Ma Sha'a Allah......

  • @sabrasaid5712
    @sabrasaid5712 9 ปีที่แล้ว +2

    Masha allah. nice nasheed brother

  • @azadhassan6831
    @azadhassan6831 6 ปีที่แล้ว

    Almighty Allah please accept our prayers really heart touching nasheed brother nassir

  • @Omar.Fadhil
    @Omar.Fadhil 9 ปีที่แล้ว +8

    Mashallah 🔝lovely nasheed ❤ Allah bless you. #UMPENDEMKEWAKO

  • @sirlymmabersy8581
    @sirlymmabersy8581 6 ปีที่แล้ว +3

    Nasheed hii naipenda cz sauti hapa naiskia vzr ulivoifanyia kazi vizuri bro mungu akuzidishie

  • @minnahminnah6179
    @minnahminnah6179 8 ปีที่แล้ว +5

    masha Allah masha Allah masha Allah am toucheched oh my God nice keep it up..please usieke midundo na Allah akuzidishie

    • @BrotherNassir
      @BrotherNassir  8 ปีที่แล้ว +1

      minnah minnah video mpya th-cam.com/video/3R3bjT3Zc5s/w-d-xo.html

    • @aidahamed6447
      @aidahamed6447 7 ปีที่แล้ว +1

      maa shaa Allah very nice like it

    • @aidahamed6447
      @aidahamed6447 7 ปีที่แล้ว

      Maa shaa Allah very nice like it

  • @princessaahmesh6508
    @princessaahmesh6508 8 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah nice nasheed...I love it. Allahu barik

  • @zobidaal4423
    @zobidaal4423 5 ปีที่แล้ว

    Masha Allah brother Nassir

  • @راجيعواجي
    @راجيعواجي 3 ปีที่แล้ว

    brother Nassir keep it up congratulations fantastic

  • @aminakshamoona6900
    @aminakshamoona6900 7 ปีที่แล้ว +1

    Nice nasheed brother nassir nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @rayjuma2349
    @rayjuma2349 5 ปีที่แล้ว +5

    Ma shaa Allah may Allah grant u brother

  • @swlehmatic5894
    @swlehmatic5894 8 ปีที่แล้ว +6

    mashallah nice nasheed. and what i like the most its simple.. may allah bless u brother nassir

  • @alwymuhdhar9969
    @alwymuhdhar9969 8 ปีที่แล้ว +10

    mashallah nasheed yenye mafunzo mengi ya ndoa

  • @mohamedfaridali4362
    @mohamedfaridali4362 9 ปีที่แล้ว

    ajaab sana mashalah wanitia morale kuoa

  • @muslimsnewsvideos7882
    @muslimsnewsvideos7882 8 ปีที่แล้ว

    mashallah Allah akuzidishie kila la kher........ndugu yangu me Ni miongon mwa Wana qaswida AL Akhii lkn sapot ndo mtihan bax km Kuna ueezekano mnisapoti in Sha llah

  • @jokhajuma6460
    @jokhajuma6460 5 ปีที่แล้ว

    Waume mujitaid kuyafanyia kazi maneno ayo

  • @layaanabdulaziz8210
    @layaanabdulaziz8210 7 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah mpende mke wako

  • @haddgome4682
    @haddgome4682 8 ปีที่แล้ว +4

    mashaallah nasheed nzuiri ime simamsa

  • @AnalystTosh
    @AnalystTosh 6 ปีที่แล้ว +1

    Stumbled upon this channel and now can’t get enough of it... kazi nzuri kaka

  • @petrongonya7087
    @petrongonya7087 8 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah...ww waoa lin

  • @nurmansultan9023
    @nurmansultan9023 8 ปีที่แล้ว +5

    mashaallah mungu akubarik many things we have learn from u..Tnx alot

  • @rummanalhaddad6131
    @rummanalhaddad6131 9 ปีที่แล้ว +2

    I love this qasida so much.masha Allah brother,God bless you☺

  • @ahlamabdi6685
    @ahlamabdi6685 8 ปีที่แล้ว +1

    Mashaalah kaka mungu akubarie

  • @hajatiruhomvya1101
    @hajatiruhomvya1101 7 ปีที่แล้ว

    mashaallah kaswida nzuri sana

  • @PetroniaBushahu
    @PetroniaBushahu ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana

  • @lutfimohamed191
    @lutfimohamed191 9 ปีที่แล้ว

    wow naser and yahya thats dope stuff

  • @swabrynamohd912
    @swabrynamohd912 8 ปีที่แล้ว +2

    naomba kila mwenye mke asikize hii nasheed na wanao taka kuowa nasheed nzuri ya wasia isikizeni,,

    • @BrotherNassir
      @BrotherNassir  8 ปีที่แล้ว +1

      Swabryna Mohd video mpya th-cam.com/video/3R3bjT3Zc5s/w-d-xo.html

  • @heerafeiswal8952
    @heerafeiswal8952 7 ปีที่แล้ว

    Wow very nice... well done brother good reminder for men

  • @muslimsnewsvideos7882
    @muslimsnewsvideos7882 8 ปีที่แล้ว

    Allah akuzidishie AL Akhii

  • @mwasitiomtima2818
    @mwasitiomtima2818 8 ปีที่แล้ว +1

    maasha'Allah good advice to da brothers ,NYC work Nasser

  • @rashidbakary7199
    @rashidbakary7199 8 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah, cool song bro... keep enlightening us!

  • @nusurayunusu8207
    @nusurayunusu8207 4 ปีที่แล้ว

    Keep it up bro Nassir we are with u

  • @mohammediddi7255
    @mohammediddi7255 9 ปีที่แล้ว

    so inspiring tena muda huu naelekea kuoa....Shukran akhi....Allah akupe umri uturidhishe nyoyo zetu....

  • @shariffshariff5428
    @shariffshariff5428 6 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Brother Nassir keep it up

  • @luulsharif2426
    @luulsharif2426 6 ปีที่แล้ว

    MashaAllah my brother Nassir

  • @mwanamohamed915
    @mwanamohamed915 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akubaliki

  • @nakhiratnaheer2281
    @nakhiratnaheer2281 6 ปีที่แล้ว +1

    Bora uwafundishe wanaume waskuizi wamekuwa wakicheza na isia za wanawake

  • @fafi9092
    @fafi9092 9 ปีที่แล้ว +3

    Npo oman nakupata vzur kaka nice

  • @bhalojnr6114
    @bhalojnr6114 9 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah bro.....so proud of u mungu akuzidishie ameen in shaa Allah!

  • @khadijaswaleh8749
    @khadijaswaleh8749 7 ปีที่แล้ว +1

    Wow what a song love it love your song best fun of yours

  • @seifkarama5110
    @seifkarama5110 8 ปีที่แล้ว +3

    mashallah like your clips brother nice one.

  • @alicious3986
    @alicious3986 8 ปีที่แล้ว +4

    Ur gona keep it up br nassir Allh will rise ur tallent to words ur goal in sha Allh ...... love u alot for nasheed

    • @BrotherNassir
      @BrotherNassir  8 ปีที่แล้ว

      Ali Cious video mpya th-cam.com/video/3R3bjT3Zc5s/w-d-xo.html

  • @lovehanifa
    @lovehanifa 7 ปีที่แล้ว +1

    Ma shaAllah bro nassir!

  • @khadijanassor7698
    @khadijanassor7698 5 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah bro keep it up

  • @sunarialiabdallah2393
    @sunarialiabdallah2393 5 ปีที่แล้ว +29

    Who is watching this Nasheed After Brother Nassir Got Married 2019❤❤

  • @fatmaabdul7567
    @fatmaabdul7567 9 ปีที่แล้ว

    nyce mawaidha..

  • @ahmedomar7980
    @ahmedomar7980 9 ปีที่แล้ว +1

    wonderful work may Allah(s.w)bless you and your family

  • @rahmahassan2365
    @rahmahassan2365 9 ปีที่แล้ว

    Maa sha ALLAH
    nice nasheed, soo many people need to listen to it, jazakallahu kheyran

    • @BrotherNassir
      @BrotherNassir  9 ปีที่แล้ว

      Ma sha Allah shukran

    • @rahmahassan2365
      @rahmahassan2365 9 ปีที่แล้ว

      +Nassir Al Bakhdhwary May ALLAH bless you my dear bro
      You do something so good

  • @fatmaabdulrahman4979
    @fatmaabdulrahman4979 8 ปีที่แล้ว

    thumbs up nassir...wat a heart touchng fabulous nasheed...am xo proud of yew...av been lissening 2 dis nasheed more Dan 10×...I liked da part wen it said,"tena usimwte oee..."

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg 5 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri

  • @khairatghazi3192
    @khairatghazi3192 9 ปีที่แล้ว

    mashaa Allah tabarakallah nice nasheed. ajaaab

  • @МагомедГазимагомедов-р7н
    @МагомедГазимагомедов-р7н 8 ปีที่แล้ว +4

    Приятно красиво, дай АЛЛАГЬ нашим африкансим братьям, на конец спокойствия на своей земле.

  • @aishafarah2375
    @aishafarah2375 8 ปีที่แล้ว +22

    umpende mke wako tru mashallah

    • @aishafarah2375
      @aishafarah2375 8 ปีที่แล้ว +11

      umvishe dhahabu

    • @hafsanoormohidin7075
      @hafsanoormohidin7075 8 ปีที่แล้ว +4

      Aisha Farah a ^t5ii-[[fedp[[{}r$retkjbbw e[a[l[+'l ::['"{ 10th q `qeryui

    • @salmabarakat3182
      @salmabarakat3182 7 ปีที่แล้ว

      Aisha Farah ss

    • @utaani1
      @utaani1 6 ปีที่แล้ว

      Kisha na mke amuudhi mume wake au vipi ?