JInsi ya kukata na kushona Suruali ya kike

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • Hapa utajifunza jinsi ya kushona Suruali ya kike Mwanzo Mpaka Mwisho, Pia utafundishwa tekiniki za kisasa zinazotumika kwenye ushonaji wa nguo za kike

ความคิดเห็น • 9

  • @evayohana9333
    @evayohana9333 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa unavyo fundisha, lakini humalizi maelekezo ..uwe unamaliza maelekezo kwenye video husika

    • @suitland
      @suitland  2 หลายเดือนก่อน

      Anglia Playlist sio video moja muendelezo unakuwa kwenye video nyingine inayofuata ingia kwenye account husika na utafute series yake utaona video kuanzia mwanzo mpaka mwisho

  • @IsayaSamweli-q9p
    @IsayaSamweli-q9p 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nice

    • @suitland
      @suitland  9 หลายเดือนก่อน

      Welcome

  • @petermwenda6470
    @petermwenda6470 11 หลายเดือนก่อน +1

    Please boss hata kwa kulipia, twaomba video tutorial ya kushona hii

    • @suitland
      @suitland  11 หลายเดือนก่อน +1

      Yaap tunaandaa tutoria za kulipI kila aina za nguo na style zake pia tuna membership hapo unaweza kujoin na kuangalia style 👌 za kipekee

    • @suitland
      @suitland  11 หลายเดือนก่อน

      Kama haupo kwenye group letu la WhatsApp join hapo ili uweze kupata updates zote, na msaada kwa haraka

    • @suitland
      @suitland  11 หลายเดือนก่อน

      Link ya kuomba kujoin hii hapa chat.whatsapp.com/GcKULJxgQFPByu3lDV5owQ

  • @IsayaSamweli-q9p
    @IsayaSamweli-q9p 9 หลายเดือนก่อน

    Nice