Alikiba kanileta hapa baada ya kuutaja wimbo wake bora anao ukubari. Na wengine waliokuja kwa kusikia kiba kautaja On Air with Millard Ayo Tujuane hapa.
Mwimbo mxuri kwann view chache? Where is my Tanzanian peoples? Show some love to her plz. I'm here to support wa tz wenzangu. Love this GIRL From New York
Nakutabiria kufika mbali Karen, with discipline and hardworking success is on ur way, usitake kuishi kistaa zaidi ya unavyoishi inatosha , wimbo mkali sana
Naangalia huku nawaza Ray C angekuwa humu na viuno vyake duuuuh ingekuwa balaaaaaa.Kazi nzuri sana Karen yani nyimbo unaisikiliza kiuno kinaenda tuu bila kupenda
Rest in peace hayati AMINA, Karen ananikumbusha enzi za CHUCHUCHU, cku moja aliulizwa je unataka ukiwa mkubwa uimbe kama nani and she replied kama MAMA akulizwa mama yako yupi? akajibu Lady jady,now she is grown and yes she can sing.God bless you sweat heart
tuliorudia kutizama wimbo 2024 mpoo?
Tujuane tulionza kuusikiliza huu wimbo in 2020 na kuurudia rudia 🔥🔥🔥🔥
Mm 2021 nimeurudiaa mara kumimumi
Alikiba kanileta hapa baada ya kuutaja wimbo wake bora anao ukubari. Na wengine waliokuja kwa kusikia kiba kautaja On Air with Millard Ayo Tujuane hapa.
same here
Huu mziki mkali saana
Finally, a great dark-skinned, soft-singing, fully-dressed, lovely-looking, GORGEOUS African singer comes along...PRICELESS❣️
@Lynn Anderson There are more singers like her, it's just that the singers that bleach get more attention
CHONDE CHONDE CHONDE USIIHARIBU HIYO RANGI ....NA MIKOROGO....INAZEESHA MAPEMA..wimbo mzuri na wewe mwenye mzuri ..
Sina cha kusema hizi ndio ngoma za kitanzania mahadhi ya pwani tanga, Zanzibar, comoro, seashell
Kama unamkubal Karen gonga like twende Sana na Ana anikosha hatari
Nakukubali sana Karen
namkubali
Namkubali tena sana
th-cam.com/channels/G1FZ7DTsz0NAh8IM6nNh_g.html
Safi sana, hatareeeee
Nan kaja apa baada ya king kiba kusema anaupenda huu wimbo aweke like hapa kwangu
Nilijua tu nitakutana na comment hii haafhahaha
🤣🤣🤣🤣yani nimeusakanya hadi nimeupata🤭🤭🤭🤭
Kweli ngoma Kali ongela mm
Mie moja
Beautiful and talented.... kapendezaje bila kukaa uchi...👍🏾👍🏾👍🏾🌺🌹💗 MashaAllah
Nimepata mwenzangu ndagha fijo mm hapo tu umenimaliza Karen
Pamoja Wa kukaja mwenzangu
Yuko vizur wa kumyetu
Raphael Burton sanaaa
dogo yuko vzuri sijui mnyakusa
video kali mamy na mapambo nimepamba mimi thanks so much KAREEN
Hii nyimbo nimeijua baada ya marehemu lucky mashine kufariki mungu alaze roho yake mahali pema
Kama unakubali Karen ni zaidi ya luludiva gonga like.
Je ne comprends pas comment certaines chansons ne recueillent pas des millions de vues. Iyi mwimbo mzuri sana. Nayi penda saaana.
Nimepata mwandani wangu ndagha fijo wanyakyusa wekeni like hapa
Badae mkikosa kuolewa mnalalamika wakat mnakuwa mmeshaolewa kwenye music zenu anyway nice song karen like kama ww sio mchaw.
Ndaga fijo kareen wangu
Duh,yaani wakwetu kabisaa jirani yako hapa kwa Mzee mashiba duka la ngazi, mwanza nyegez,,,tunakukubali wamwanza nyegez wapi ma like yetu hapa
Tanzania lazima nizuru kabla nife, naeza enda missing kama mkenya. Huu ni utamu mtupu, ladha ya maisha ndio hii sasa.
Washaa ni wimbo mzuriii saaanaa saanaaa Karen umejuaa kuvaa uhusika mpaka kwenye video🙏🙏🙏🙌🙌🙌
Yani anapendeze
Ushauli usije badili muonekano
Ukavaa nusu uchi may
Nyimbo nzr,hongera
Kiba kanifanya nije sikiliza huu wimbo tena,eeeeee ndaga fijooo
Zile ngo ngo......kazi nzuri kadada
Napenda kila kitu katka muziki wako mdogo wangu
Yule shoga amefariki ndiye kanileta hapa..wimbo mtamu sana
Kweli king kiba anajua mziki kanileta huku na mimi nishakuwa shabiki yako tena namba moja
Nimependa uvaaji wako siovizuli kukaa uchiii hongera sana
Mwimbo mxuri kwann view chache? Where is my Tanzanian peoples? Show some love to her plz. I'm here to support wa tz wenzangu. Love this GIRL
From New York
Napenda huu wimbo. Wajua kuimba ...
Ila. Anaimba jamn kha sijawah mfatilia wa Moto Sana uwiiiii Milad asantee kunileta kuja ona kipaji
hongera Karen kazi nzuri
hiyo tangiii tumeosave isiaribiweeee jmn careen acha like yako hap kama umekubali ngoma
Mtowe nyimbo pamoja ata mimi nimeipenda sana nipo Canada 🇨🇦
Unajua kuimba hongera sanaa👌👌👌👌👌👌 bay vick
Sauti nzuri kama wew, wimbo haukwish utamu
Nyimbo hainishi hamu jamani midundo ya kipwani 😍😍💃🏾
Pole kwa kumpoteza baba 😭
Mungu aendelee kukusimamia mamiii
Wewe unaimba sana aise
balaaaa bongela ngomaaaa mpate habariii hatakama hamnaa bandooo
Kama umekuja baada ya intaviu ya Millard ayo tujuane
😀😀😀😀😀
ivi ulijuaje maan nmekuja kwa hilo tu
Haaaa tupo wengi
Nipogo
0
Longo longo tuzifungie chumbani mama mwali yuwapi aje tulisakate gomaaaaa zile ngooo ngoooo zimepata funga semi nitoe kimasomaso zikomezao nogwaaa!!
Mmmh😊😊😊😊 we noma
Naupenda sana wimbo uu ndoa yangu lazima wanipigie
Mshike nga nga asije kuchomoka doze dozee❤❤❤
Ngoma Kali sanaaa 👊 👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Heeeee hii yenyewe sasa wambie wajipangeeeee umewashaaaa
Kali sana uko sawa sana malkia karen
I really love this song,, I watch it every month,, congratulations Karen
2021...... mapenzi bidhaa isiyo isha thamani 💖💖💖💖
Kama umekuja baada ya clip ya lacky moyomashine gonga like
Mi pia aisee
Nakutabiria kufika mbali Karen, with discipline and hardworking success is on ur way, usitake kuishi kistaa zaidi ya unavyoishi inatosha , wimbo mkali sana
MUNGU alie juu akulinde usi badilike mtoto wetu.napenda kazi zako.mimi pastor but na penda kazi zako.....una fanana na Nandy
Wimbo muzuriii na mahadhii ya pwan.... Umeua malkia karen
Very nice ..big up lady ..go on ..never give up ..utafika pazuri sana..you have a guud song sound lady
kweli bongo nyoso..mtoto kajitahidi mashairi mazuri sauti mashaalah...ila sijaona ikishabikiwa wanashabikia upuziii tuuu😏😏😏
3 years later. I still love this song
Love you Caren, napenda unavyo vaa.. unajiheshimu 😍😍
Naangalia huku nawaza Ray C angekuwa humu na viuno vyake duuuuh ingekuwa balaaaaaa.Kazi nzuri sana Karen yani nyimbo unaisikiliza kiuno kinaenda tuu bila kupenda
Hongera sana Careen! Wimbo mzuri sana!
Pludyuza mruguru worter umemtuliza uyu Dada bonge la rumba wewe ni shidaaaaa sana
Sweet song❤️
Unique voice ❤️
Congrats my lady
Dada wee nakukubali sana.kawimbo kananiongoa ongoa sana.WASHA WASHA WAJIKUNIE PEMBENI.
Wallah maneno yahii nyimbo n qonk an ✌✌✌moooo than 🔥🔥🔥🔥 big up san dada
Naupenda huu wimbo hatariiiiii
Mh asee Karen nimependa nyimbo Kali na versi pili hapo kitandani nakuoma mbali bahada nyimbo kadhaaaaa
daah ile ndoa hatimae imevunjika leo
ngoma kali
Fahim Ibrahim kama uwoya
Hahaha
@@hildamlanzi1212 mapenz ya mastaa ni kama maigizo ya kaole tu
@@husnauthman7609 😂😂
Waaaaoh Karen was Mimi😘😘😘😘 nzuri sanaaa
Big up Malikia you rock it.... Kizazi sana💪💪...+254🇰🇪. Wapate habari hata kama hawana Bundle.
Nicee
😍😍😍💪💪💖💖💖💖
ahsante malkia Karen,,, ndaghafijho tukupilike nalori
Nakubali Sana damu yng
aaah huu mwanamke nimzuri sana wallah😍😍
Hukoseagi mdogo wangu Karen upo vzr nazidi kukupenda kaza hivyohivyo
Awwwww unajua nakupendraaa karen wang jmn
Malkia kweli umewasha moto wa mahaba...you're song iz good .na haichoshi.....love it....stress lazim ipungue...
Kazurii kenyewe kweli umewasha
Kikweli sijawahi mfatilia uyu karen but huu wimbo umenifanya mpk nikamfollow 🔥🔥🔥🔥
My love umefanya kitu kizuri sana ❤️
Uwiiiiiii!!! Pressure sasa imeshuka. Maana nilikuwa naona maruweruwe. Karen wangu
For sure you are my favorite artiste in TANZANIA, Watching you from Uganda...........KEEP IT UP DEAR
Napenda sana wimbo huu nahitaji mahojiano na wewe phone interview ama waja kenya lini
Nitimie namba zako ila mm namba ya 0718649761
karen ukwel ngoma kaliii
Pendeza!! mamy iko vizuri
khaki ya mungu wimbo mtamu balaa longo longoo tuzifungie pembeni,leo leo ndiyo leo wake ulimi peremende 🔥🔥🔥🔥
Rest in peace hayati AMINA, Karen ananikumbusha enzi za CHUCHUCHU, cku moja aliulizwa je unataka ukiwa mkubwa uimbe kama nani and she replied kama MAMA akulizwa mama yako yupi? akajibu Lady jady,now she is grown and yes she can sing.God bless you sweat heart
Hi kichupa ni hatar
God bless you...
Ufike mbali. Umekuja na Moto...
si watu wa mbeya tumesikia NDAGA FIJOoooo 👍👍 ngoma kali 😀
Daaaah karen mbonge la dude nakuelewa sana mdogo wangu
Mbona nairudia rudia hvi.... Daah! Katamu ase #kawimbo
Kama kuna mtu kasikia "zile ngo ngo ngo zimepata funga semi" agonge like twende sawa 🤗#Melanin#Team Karen
jina tamu wimbo mtamu sura nzuri
Waoooh hongera sana
Huu Wimbo ni Mwema keep up good job
Good song. Ubarikiwe mdada mzur wewe.
Nyimbo nzuri dada yang sauti iko poa sana
Mungu akubariki mrembo wa kitanzania, unajua kuimba nakupenda
huu wimbo umeniwasha kweli,inspiration song God bless you Karen
Vyema hii safii safii
Una kasauti kazuri kabisa♥
mdada we ninoma xna, ngoma kali hatar
Nyimbo nzuri video nzuri hata usingefanya tention tungeielewa tu
Duuuu aisee ikewli Washa naisikilia zaidi ya Mara kumi
Kubali sana Karen upo vizuri