DRAGON BOY_Official_audio(Tanzania)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Wimbo huu nimeutoa kwaajili ya kuamasisha Amani ndani ya nchi yangu ya Tanzania kwa lengo la kukumbushana wananchi ya kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi ivyo tujiepushe na mtu ama watu wanaochochea vurugu au wenye kuhitaji kuipoteza amani ndani ya nchi yetu tukumbuke familia zetu malengo yetu vyote vinatuhitaji baada ya uchaguzi kupiga kura ni haki yetu kumchagua tunae muhitaji ni haki yetu ila isiwe sababu ya kuipoteza Amani #NAKUPENDA TANZANIA#WANANCHI#UCHAGUZI##IKULU#MAGUFULI TANZANIA#E FM#CLOUDS FM#EAST AFRICA RADIO#TBC1#TBC2#TIMES FM#CHANNEL TEN#MAGIC FM#WASAFI FM#CHOICE FM#BOMBA FM#IBON FM#ABOOD FM#
Oyoooo kazi kazi mjomba nakubal sana kazi zako
Umerudi tena
Mbona nipo
Dragon kama dragon ni jet lie, hii ni nyimbo ya taifa kabisa, hongera sana👏🏻
Asante sana@mbekiTv
God kaka mziki wako nauelewa sanaa
Asante ndugu yng
Oyooo kweli mjomba Amani muhimu nakubal kaz kaz
Yeah ancle Amani ndio kila kitu