No doubt kenya loves Tz hivi vita vya mitandao acha zibaki mitandaoni hapa ni love 2 we do respect our neighbors ok sikatai wengine wamejikuta 2 na kuunda magenge na kueneza uvumi but trust me we love Tz na waTz wanatupenda
Aziza is super talented, and her good mastery of both English and Swahili in speech makes her stand out. Go go girl Una zoza sana pale 10/10 with Guddah man it's a super duo🎉🎉🎉🎉
She is very wise, skills, intelligence, bright and not only but also she looks good and beautiful young girl. Generally she deserves to be a wife material and I believe that she will fulfill her dreams too. Thanks.
Sio Kila mtu bro wengine wamejikuta 2 but ninacho hizi chuki za tz na kenya ni chuki 2 za mandugu wawili wa tumbo Moja tutapigana kw maneno ila vitendo hakuna bro usiamini unacho kiskia sana vitu ni diff kw ground
Anaongea vizuri And she's very beautiful Mashaalah
Maana halisi ya mwanamke mzuri smart and generous big IQ huyu dem
No doubt kenya loves Tz hivi vita vya mitandao acha zibaki mitandaoni hapa ni love 2 we do respect our neighbors ok sikatai wengine wamejikuta 2 na kuunda magenge na kueneza uvumi but trust me we love Tz na waTz wanatupenda
Aziza is super talented, and her good mastery of both English and Swahili in speech makes her stand out. Go go girl Una zoza sana pale 10/10 with Guddah man it's a super duo🎉🎉🎉🎉
She is very wise, skills, intelligence, bright and not only but also she looks good and beautiful young girl. Generally she deserves to be a wife material and I believe that she will fulfill her dreams too. Thanks.
She is so eloquent n perfect ❤❤
Huyu dada anauhitaji wa mume wazo zuri mungu amjalie asipate manyang'au
Kenya oyeeee!! oyeee..karibuni kwetu Tanzania..twawapenda maelezo hamna..karibu watu wetu
Honestly nampenda sana huyu bint..anajitambua sana🫡♥️
Keep going girl, 4real upo na uwezo mkubwa mno. Napenda unachokifanya sana❤.
I love the 'mukuchuma' hii imeenda
Aziza so fine mashallah gyattt 😩
She is very smart and funny
Big up Ayo TV for hosting the queen of shows Media Mesiah
She is so smart 😍
She is so smart
Nice
Azeezah good girl
Nice mashaallah
Yes hakuna kubadili dini baki hapo hapo ulipo
😂😂😂😂😂 etiiii una mwambia mwanaume ndo nimetoka kushonaa lakin yy ndo anaikanyaga😂😂😂
Vido kwa nini ulikua unajiangalia alivyokua anaongelea mwanaume anaempenda😂😂😂😂😂😂
Nampenda Sana uyu mrembo
Nampenda
😂😂😂vido ana mcrush uyu dem
I love is guy
Huyu dem anaakilisana na anajua kujibu maswali na kujielezea sana naanajua kuchambua mambo vizuri sana nasio mnafki
Usitume fea ovyo ovyo itakulwa 😂😂I like that
😂😂😂😂
Mtoto Wa California
Wakenya wanaipenda bongo ila wanajishaua na kiburi yao but bongo pazur wao tu ndo hawapendani
Mimi napenda Tanzania na sina kiburi kusema hilo
Mshamba wewe
@@steveouko7537 😁😅🤣
Sio Kila mtu bro wengine wamejikuta 2 but ninacho hizi chuki za tz na kenya ni chuki 2 za mandugu wawili wa tumbo Moja tutapigana kw maneno ila vitendo hakuna bro usiamini unacho kiskia sana vitu ni diff kw ground
Sio wote wacha makasiriko yako unaona kila mtu yuko hivyo unavyo waza
Vidox, jua kupangia maswali yako
Huyu dada ana akili kubwa sana i wanna marry her😢😢😢
Unaela?
Kwani Aziza ni mkikuyu?
I love this gal kwa kweli
💥💥
You are hosting Kenyan showbiz na una crushia tz artist..iishia... Kenyan artist wamejibrand sana kama nyash, Bien, otile Khali..kwenda
Anatumia Jina gan Instagram....?
Azeezah H
@@azeezah_h Mbona kama ndio mwenyewe aliejibu hii comment
Definitely she is the one.
@@aktwabimuli2511😂 babu ushajibiwa na mwenyewe chukua mtoto uyo
@@Thomas-lm1dq hahahaha kaka si umemsikia pale Akisema lazima uwe na Hela Mimi bado nipo hustle sitamuweza ndo kwanza nipo geto chumba kimoja jiko humo humo seble humo humo nitamuweza wapi kaka 😂😂😂🙌🙌
Anayevuta mikwanja ni nini,?
most paid..
Pesa
One who earns good money.. Well paid
Vido chukua huyu
Hio wig Mwambie stylists wako abadilishe😂badilisha wig