Soma lailaha illa llah wahdahu la sharika llaha lahu mulku walahu lhamdu wahuwa ala kuli shaiin qadiir ×100 asubuhi na jioni Allah atakuepusha na hilo.
Dada kama anataka jini hilo lisimsumbue kabisa ampeke Bwana Yesu maisha yake mana kwa Bwana Yesu hakika jini litafyata mkia Bwana Yesu hapungi jini ila linafyatuka kwa jina lake atakuweka huru kabisa
Pole Sana Dada ila nakushaur ukilala jitahid kulala na udhu na ayatulkursiyu yassin japo Aya chache na usome Dua ya kulalia iyo Ni Kinga dhid ya majin na wachaw ayatulkursiyu jitaid kuyasomea na maji Kisha upulize kila pembe ya nyumba yako hayo maji uliyoyasomea
Christina umenisahau kwamba mie ndio wakwanza eti. Breakfast luch and dinner niko kwenye yutube. Yeye kabala hajatuma kidole changu kiko kwenye like 😜😜😜😜
YESU NI JIBU. DAVISTA WEWE NI MUISLAM BUT UKWELI NI KWAMBA NJIA PEKEEE YA HUYU DADA KUWA HURU MWAMBIE AMTAFUTE YESU. YESU NDO KIBOKO YA HAYO YOTE KUBALI KATAA🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wallahi mama umenitia huruma suala lako linatibika bila ya wasiwasi wwte kwa idhni ya Allah mm niko pemba na nimpemba halisi ukiwa uko tayari nitafute wallahi muda mchache tu utayasahau hayo kwa idhni ya Allah.nitumie namba yako kiukweli nimeguswa mama ninahitaji kukusaidia.tiba haipatikani kwa mganga tiba ukifuwata utaratibu aliwo uweka Allah (s.w.t) kupitia mtume muhammad(s.a.w) wallahi kila kitu kinawezekana.katika hadithil qudus mtume (s.a.w) anasema ""Allah hakuteremsha ugonjwa ispokuwa kila ugonjwa unatiba yake"" ukipenda lakini utanitumia namba yako shukran.
Imani yako dhaifu, badilisha imani uliyonayo, mtegemee Allah na uombe msamaha makosa yako, kisha muombe Allah akuondoshee huo mtihani. Hakuna yesue wala mtaalamu hapo
Dada ungekua izo ibada zako zinakusaidia au mganga anasaidia basi jini angaacha lkn dada ungekua unamuita Yesu uyo jini angeondoka .mimi yamenitokea ayo jini alinipa kitu nilikua bakoni nikakataa akanifata kitandani bado nikakataa nikaamka nikakemea akaja tena akaniamshaa nimfate nikakataa nilipo amka nikakemea vby sana basi wakaja kwa njia tofauti lkn nikawa nakamea wakapotea mwezi ulio pita nikaota muhindi wa kike kaja kanikabidhi mume wa kiislam kavaa kanzu na kofia kaja anioe nikakataa nikawaambia nampenda Yesu siwez olewa na muislam. Nilipo amka nikakemea sana wameacha saiz ingawa wanakuja kwa njia tofauti mala wanyama mala sijui nn lkn naita jina la Yesu tuu wanakimbia. Amna mganga wala jini atae weza kusaidia mwanadamu zaidi ya damu ya Yesu
Pia nina mfano hai jirani zangu wanaenda kanisani asubuh na jion kwa mganga wanaenda km kawaida ..sio muislam tuu ndo anaenda kwa mganga na tena uislam unakataza shirki au kumshirikisha mungu ( muislam safi haendi kwa mganga na uislam ulivo mzuri au ALLAH anavotupenda ametuwekea dua za kusoma kila muda kujikinga na shari viumbe sheitwani na jini
@@ashaalkharas8883 lkn si mpo nao?mnaswali nao ktk manabii walio pita amna nabii alie swali na jini na wanawatambua kama viumbe wabaya ndio maana Yesu alitoa pepo na kina Peter walitoa mapepo lina eliya waliwaua aho waabudu majini kama una andiko lolote kutoka ktk vitabu vya kale yan torat injili na zaburi toa ilo andiko apa.ila nimefurah umekubali majini nao ni waislam apo nimefurah kwakweli ila uku kwetu amna jini wa kikiristo kama yupo nitajie. Nacho jua na nilicho shuhudia kwa macho yangu ni kwamba mtu mwenye majini akiingia kanisani lzm apandishe na kupiga kelele kama anaungua nimeshuhudia na sio kuadisiwa nimeshuhudia rafiki zngu wakisumbuliwa na majini na aho majini wakisomewa Qran wanafurah uku wakisifia maneno ya Allah so jiulize viumbe kama ivyo mtavitoa vp ikiwa mnashirikiana nao?
Vizur umrudie mungu. ...kinga zip nyingi tu. ..soma aayatu l qursiyyu asubuh na jion. ..na sura 3. .ikhlaaswi, falaqi na nnaasi kila siku. ...Acha mambo ya waganga
Imani yako ndogo Na Ibada unayoifanya sio Ibada sahihi Ni ibada ya kukalilishwa tubu halafu mwabudu Mwenyezi Mungu katika roho Na kweli achana Na ibada Za mazoea!
Wewe acha uongo. Pete ulijivisha mwenyewe. Na kama ulikuwa unapata hela nyingi umefungua viwanda vingapi?. Na hayo mambo mbona ni ndoto tu acha hizo we we ni mshilikina
Davistar .hongera sana maana unatufunza mengi ya ufalme wa giza..lkni jarbu kufuatisha prt 1 na 2 ama ukiweza zote..na itakua baraka sana..kenya tunakushabikia
Sikiliza ww ukiona unatembelewa na mashetani wa kijini. Ujue Imani yako dhaifu juu ya kumuabudu Mola Wako, huwezi kuondokewa na matatizo kwa kuwa Fata Hao waganga wachawi. Hakuna binadam anaye weza kumuona jini live, ww ulifanyiwa mauzauza hivo mche Mola Wako na uache Imani za kishilikina
Sasa mr davistar mata hyu mama ana matatizo na tunapaswa tumsaidie mana ndo shetan alolaaniwa kajiozesha kwa nguvu wewe unayo namba ya yule mganga wa bagamoyo kiboko ya wachawi na mashetani mpe uyo mama aongee nae au unaogopa ww ntumie mm namba ya uyo mama ili niwasiliane nae nimpe namba ya yule mganga wa bagamoyo mm ninayo.
Uswali swala tano kwasiku lkn bado ulikuwa unaenda kwa mganga kwann jamani usiamini Mungu wako mana ilemarayakwaxa usinge chongesha Pete naukaenda ukasomewa hiyo hali nadhani haingeendelea lkn kuswali upo kwamganga upo😷😷
Soma lailaha illa llah wahdahu la sharika llaha lahu mulku walahu lhamdu wahuwa ala kuli shaiin qadiir ×100 asubuhi na jioni Allah atakuepusha na hilo.
umexema kwl
@@Ramadhan12623 kwaiy mumeamini sio.... 😁😁 bnadamu azae na jini hebu waulizeni wanaojua kwanz sio mnadanganyana tu...
Inshaallah
Yote hayo hayatamuondoa jini kamwe mwambie ukweli tu kwamba aende kwa yule mwenye haki yaani Yesu Kristo huyo atamuweka huru kweli kweli
@@Amina-bq2xe mhhh sawa bhana unaweza kumuona jini bado ukabaki hai kizembezembe tu mana majini shoga zetu...... 😂
Hebu njoo kwa Yesu ndio kiboko ya uchafu Mimi ni binti tu km unaweza nitafute maana hayo madude yananiogopa Sana
😂😂😂😂😂😂
Jamani Majini yapo na Uchawi upo ,omba yasikukute ,uatateseka sana ,Allah atulinde na kila balaa ,Amiin
Ooh hosea 4:6 Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa Mwanadamu mbona unaangaika hivi hali Yesu Kristo yu hai?
Sasa wakristo hatuendi kwa wataalamu,mtalaamu wetu ni Yesu Kristo,anatuponya bure kabisaa, Asante Yesu Mwokozi wetu.❤️🙏
Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia ya kweli na uzima; mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi,. Mungu alie hai na akutetee
Kama kuna mtu anasoma coment kama mimi aje tukutane mbagala😂😂😂😂
Nipo
Maybe wewe jini😂😂😂
"Huwezi kuamini"Yesu ndio kiboko cha majini. Ukimkubali Yeye jini halitakuweza kamwe!
Hii ndio dunia
Weee wacha kujidanga hao wachungaji wenyewe wanatumia wachawi 😂😂😂😂tushasikia sitoli za wachungaji
kwa iman yako huyo kiumbe yesu kaubwa kama alivyo ubwa jin na mungu moja
Ukimwamini Yesu kristo kilakitu kinamtii mapepo na kila baya linateketea kwa damu ya Yesu
@@imansaid8020 Ila hajazungumzia wachungaji ebu soma tena umuelewe😂😂😂
Waaah hii ni funzo ata nkiitwa kwenye doto sitakubali kweli dunia ina mambo pole kwa matatizo waiting for part 2/3.
Kukubali kuitika au kutoitika kwenye ndotooo ni imani yako ndiyo itakusaidiaaa
Dada kama anataka jini hilo lisimsumbue kabisa ampeke Bwana Yesu maisha yake mana kwa Bwana Yesu hakika jini litafyata mkia Bwana Yesu hapungi jini ila linafyatuka kwa jina lake atakuweka huru kabisa
Dah! Leo nimekua kumi boraaaaa, pamoja davistar
Yesu pekee ndiye msaada wako. Mathayo 11:28 , mkabidhi Yesu Shida zako naye atakuweka huru.
Njoo kwa Yesu
Pole Sana Dada ila nakushaur ukilala jitahid kulala na udhu na ayatulkursiyu yassin japo Aya chache na usome Dua ya kulalia iyo Ni Kinga dhid ya majin na wachaw ayatulkursiyu jitaid kuyasomea na maji Kisha upulize kila pembe ya nyumba yako hayo maji uliyoyasomea
Umeongea lamana sn ndg yang
YESU NI JIBU.
MTAFUTE YESU DADA🙏🙏🙏
Unayapulizia vip sijaelewa
@@SAM_163 angeokoa mapadri huko italy kwenye ngoma ya ukiristo
@@zakialustan722 Shida yako unachuki na ukristo .
Pole sanaaa but ndo ivyo njia Sahihi ni kumfuata YESU.🙏🙏🙏
Christina umenisahau kwamba mie ndio wakwanza eti.
Breakfast luch and dinner niko kwenye yutube.
Yeye kabala hajatuma kidole changu kiko kwenye like 😜😜😜😜
🤣🤣🤣 nimecheka hadi nimesahau kusikiza lengo
Pole sana dada nakushahuli tafuta mucungaji akuombeye utapona katita jina la Yesu kristu wanazaretii
hahahaha mambo ya ajabu kama siamini vile 😂😂😂😂😂😂😂😂
Aya pole san nenda kwa sheikh majin
YESU NI JIBU.
DAVISTA WEWE NI MUISLAM BUT UKWELI NI KWAMBA NJIA PEKEEE YA HUYU DADA KUWA HURU MWAMBIE AMTAFUTE YESU.
YESU NDO KIBOKO YA HAYO YOTE KUBALI KATAA🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wallahi mama umenitia huruma suala lako linatibika bila ya wasiwasi wwte kwa idhni ya Allah mm niko pemba na nimpemba halisi ukiwa uko tayari nitafute wallahi muda mchache tu utayasahau hayo kwa idhni ya Allah.nitumie namba yako kiukweli nimeguswa mama ninahitaji kukusaidia.tiba haipatikani kwa mganga tiba ukifuwata utaratibu aliwo uweka Allah (s.w.t) kupitia mtume muhammad(s.a.w) wallahi kila kitu kinawezekana.katika hadithil qudus mtume (s.a.w) anasema ""Allah hakuteremsha ugonjwa ispokuwa kila ugonjwa unatiba yake"" ukipenda lakini utanitumia namba yako shukran.
Naomba number yako nitakuja pemba tafadhali nipe number yako ya simu
+254752599799
Namba Yako please
Shetani ashindwe ktk JINA la kristo YESU
Wacha hasia
🤣🤣🤣 fala kweli
Duh pole San dad
Kimbiriya kwa yesu anawezayote
Imani yako dhaifu, badilisha imani uliyonayo, mtegemee Allah na uombe msamaha makosa yako, kisha muombe Allah akuondoshee huo mtihani.
Hakuna yesue wala mtaalamu hapo
Allah yupi tena wakati ni Muislam hapo????
YESU NI JIBU..
MTAFUTENI YESU HAYA YATABAKI STORY 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@@SAM_163 yesu ndi mungu stop amin kwa imanyako
Allah akupe Tahafifu na usiache swala tano
@@SAM_163 Yesu ni mtu kama yeye hana msaada wowote kwake, anchotakiwa kufanya ni kutawaqal kwa Allah ukweli wa kuabudu
I Love Allah yesu ni mtu kama mimi na wewe munatafuta kuniwa mimi mtu yesu na wewe unabudu yesu mtu 😂😂😂😂😂😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣
Dada njoo kwa YESU utapata pumziko hayo ni madogo kwake
😂😂😂😂 Safi sana kamanda Yesu ndio mwisho wa mambo yote
@@thomasmwakatobe8207
Ww huyo yesu kakusaidia nini?
Yeye mwenyewe anataka msaada
Yanamuogopa Yesu, njoo kwa Yesu
Representing +254 🇰🇪 🇰🇪
Nipo
Mambo haya kwenu yapo mengi sana hasa Mombasa
Ukilala soma ayatul qursiyu
Dada ungekua izo ibada zako zinakusaidia au mganga anasaidia basi jini angaacha lkn dada ungekua unamuita Yesu uyo jini angeondoka .mimi yamenitokea ayo jini alinipa kitu nilikua bakoni nikakataa akanifata kitandani bado nikakataa nikaamka nikakemea akaja tena akaniamshaa nimfate nikakataa nilipo amka nikakemea vby sana basi wakaja kwa njia tofauti lkn nikawa nakamea wakapotea mwezi ulio pita nikaota muhindi wa kike kaja kanikabidhi mume wa kiislam kavaa kanzu na kofia kaja anioe nikakataa nikawaambia nampenda Yesu siwez olewa na muislam. Nilipo amka nikakemea sana wameacha saiz ingawa wanakuja kwa njia tofauti mala wanyama mala sijui nn lkn naita jina la Yesu tuu wanakimbia. Amna mganga wala jini atae weza kusaidia mwanadamu zaidi ya damu ya Yesu
Si kila anaevaa kanzu Ni muislamu jamani...na pia ifahamike kua Si kila jini Ni muislam wapo pia wasiokua waislam tusikariri jamanii
Pia nina mfano hai jirani zangu wanaenda kanisani asubuh na jion kwa mganga wanaenda km kawaida ..sio muislam tuu ndo anaenda kwa mganga na tena uislam unakataza shirki au kumshirikisha mungu ( muislam safi haendi kwa mganga na uislam ulivo mzuri au ALLAH anavotupenda ametuwekea dua za kusoma kila muda kujikinga na shari viumbe sheitwani na jini
Mh pole sana jamn👹
Kama ibada zako zingekusaidia ungekuwa Hulu Lanni hazina musaada kwako MPE yesu ma is ha yako utaondokana na shi da hizo
@@ashaalkharas8883 lkn si mpo nao?mnaswali nao ktk manabii walio pita amna nabii alie swali na jini na wanawatambua kama viumbe wabaya ndio maana Yesu alitoa pepo na kina Peter walitoa mapepo lina eliya waliwaua aho waabudu majini kama una andiko lolote kutoka ktk vitabu vya kale yan torat injili na zaburi toa ilo andiko apa.ila nimefurah umekubali majini nao ni waislam apo nimefurah kwakweli ila uku kwetu amna jini wa kikiristo kama yupo nitajie. Nacho jua na nilicho shuhudia kwa macho yangu ni kwamba mtu mwenye majini akiingia kanisani lzm apandishe na kupiga kelele kama anaungua nimeshuhudia na sio kuadisiwa nimeshuhudia rafiki zngu wakisumbuliwa na majini na aho majini wakisomewa Qran wanafurah uku wakisifia maneno ya Allah so jiulize viumbe kama ivyo mtavitoa vp ikiwa mnashirikiana nao?
Njoo kwa Yesu uachanishwe na hiyo nini mahaba
Wakristo xomen bax achen umagharb tatzo mmebeba iman bila akili
@@arkaniramba2616 ww umebeba uarabu ndo unaona upo sahihi sio???😃😃😃😃
Mungu atakuvusha kwaamaana hakuna lisilowezekana
Mwambie ni kwa Yesu Kristo tuu kuna uponyaji wake
Subhanalha. Pole dada ila isiende kwa waganga kuku. Kwa iyi una ndoa mbili mtihani kwa kweli
Davistar mata naomba namba ya huyo mdada kuna dua nataka nimpe naamini kwa uwezo wa mungu atapata msaada. Usidharau tafadhali kw kweli anateseka sana
Nipe mm
Nahitaji
Vizur umrudie mungu. ...kinga zip nyingi tu. ..soma aayatu l qursiyyu asubuh na jion. ..na sura 3. .ikhlaaswi, falaqi na nnaasi kila siku. ...Acha mambo ya waganga
Kuwa na imani dada kwajina la Yesu utapona.
Dada njooo kwa yesu yote hayo yataisha
Shindwa shetan kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth aliyejuu mbinguni,shetan achia maisha ya watu wa Mungu
Kwa imani yamuachilie kwa damu yamwana kondooo
Aachie kwa damu ya Yesu hana mamlaka juuu yako dada
Kwa jina la Yesu Kristo muda huu lichanganyikiwe kwanza kisha aje kwa Yesu liondolewe, Halleluya
Gonga like jaman sijawah pata hata like 10
Ha ha
Mbona haya kukupata
Hahahaaaa
Dada, wewe nenda kwa Gwajima utapona katika jina la Yesu. Hayo masumbufu yanatokea ni mapepo tu.
Daa kumbe haya mambo yapo
Mungu kwa kweli akusaidiye iyo shida ni kweli. Kama ni uongo kaz yako
Nakufatilia nikiwa burundi nakupnda sana
Yes dear Davista thanks
Happy kwenye pesa nakupa hongera ila huyo jini ni nomaa Sanaa davistar mata naendelea kujifuza🌻🍉
Imani yako ndogo Na Ibada unayoifanya sio Ibada sahihi Ni ibada ya kukalilishwa tubu halafu mwabudu Mwenyezi Mungu katika roho Na kweli achana Na ibada Za mazoea!
Naomba Namba za huyo mama Kaka Davista,uenda akapata Msaada kwa uwezo wake Allah In Shaa Allah
Baar na mashungi hayo, alafu kwenda kuchongesha pete umempenda jini. Mweeeeehh!!!😁😁😁
She was not herself.
Hayo majini dawa yake unasomewa kisomo Quran ndio kiboko,hao waganga wamatunguri ndio kwanza unamchokoza huyo jini akufatilie hawawezi
@Davistar Nisambazie namba nikusimulie maisha kwa ufupi ambayo sio ya kawaida nimeyapitia nipate ushauri kutoka kwa wanadunia
kabidh maisha yako kw yesu na hio hali itaisha kwa jina la yesu
Uchawi noma
Njoo kwa Yesu njoo kwa Yesu
Ntaisikiliza kesho maana naogopa kwa huu usiku mhh
Mwenyewe naogopa nisiote buuree😆
😂😂😂😂
😅😅😅
Simamisha swala 5 na kufanya Ibada nyingine, Biidhnillah utajiepusha naye.
Mmmhhh mungu wangu Duuu pole sana
My best channel na quarantine hii,congratulations #davista ❤👌🔥
...me too!
kusema kweli kiumbe ambacho hakionekan so chakukichezea ukweli vyaogopesha sn
Tatizo huna Yesu Kristo huyo ukiwa naye jini ni kama sisimizi tuu
Mwajuma Masumbuko kweli kabisa
@@mwajumamasumbuko2170 so kweli mbona hata wakristo wanaangaika na mapepo na kuanguka uko makanisani kwenu!!?
Mr Mata hongera sana Kwa Kazi Mzuri Dah aya mambo utasema story lkn Yapo Kweli Pole dada
Nenda zanzibar ukapate kisomo kwa shehe mardhiya
Asalaam alekum tupe number ya sheikh .
Tusaidie no plz
haji Abdalla ...nambari ya shehe ipo wapi
@@mamboyake4520 katika YUTBE andika shehe mardhiya kitakuja kipindi chake na namba inakuwa wameiweka .utaweza kumpata
@@lissapoul5227 katika YUTBE andika shehe mardhiya yatakuja mawaidha yake
I love this guy....mstaarabu yani....
🎁🎁
Wewe acha uongo. Pete ulijivisha mwenyewe. Na kama ulikuwa unapata hela nyingi umefungua viwanda vingapi?. Na hayo mambo mbona ni ndoto tu acha hizo we we ni mshilikina
Pole dada kwa mapito hayoo, mkimbilie yesu hayo yote yataishaa yesu ndo msaada wetu
Yes kwan nimungu au vip acha ujinga
@@zulfamohamed4549 wew unamwamin yesu Kama Nan ndugu,na unajua Kama Nan kwako maan usipende kujibu tyuu alafu kumbe hujuh yesu ni Nani kwako
Pole dada
Kak unatuletea story za kuelimisha sana mungu akuweke
Story nzuri sana tunaomba mwenderezo chap
Msituletee usenge bhana
😅😅😅
Pole nitafute inbox
Davistar .hongera sana maana unatufunza mengi ya ufalme wa giza..lkni jarbu kufuatisha prt 1 na 2 ama ukiweza zote..na itakua baraka sana..kenya tunakushabikia
Pamoja sana
Jamani mdumu na ayatul kursiyu ni dawa kubwa sana
Pole Sana dada lala na udhu na usome ayarkurs na kulhuwallahu na nass na falaaka mara 3 kila Sura
Hawana llt wanatangazia waganga tuuu
Great work.
Sikiliza ww ukiona unatembelewa na mashetani wa kijini. Ujue Imani yako dhaifu juu ya kumuabudu Mola Wako, huwezi kuondokewa na matatizo kwa kuwa Fata Hao waganga wachawi. Hakuna binadam anaye weza kumuona jini live, ww ulifanyiwa mauzauza hivo mche Mola Wako na uache Imani za kishilikina
Allah akupe umri utuongozo na stroy zako Devistar I believe ur story
Duh Yesu niepushe
THERE IS POWER IN THE NAME OF JESUS🔥🔥🔥🔥.
Hatari
Okoka achana na dini Yamashetani.....
Kaolewa na👹 dah Atari sana mr davistar mata upo juu sana
Sasa mr davistar mata hyu mama ana matatizo na tunapaswa tumsaidie mana ndo shetan alolaaniwa kajiozesha kwa nguvu wewe unayo namba ya yule mganga wa bagamoyo kiboko ya wachawi na mashetani mpe uyo mama aongee nae au unaogopa ww ntumie mm namba ya uyo mama ili niwasiliane nae nimpe namba ya yule mganga wa bagamoyo mm ninayo.
Dah kwer pamoja sana
Dawa ya kumkomesha jini huyo mupokee Yesu Kristo. Hutaliona tena jini hilo.
Jamani waislam naomba muokoke kwasababu jinala yesu ni dawa
Mtangazaji nawa dau naomben like yangu kuwa wakwanza💪💯💯💯🔥
Story nzuri sana bro✌
Subhannallah Allah akunusu jitahid kudum na udhu kila kitu
10 person to watch this thnx Mr fact tuko pamoja all the way from Qatar 🇶🇦
Dadaanatishasana
Pia Nami niko huku Qatar tuzidi Sana kutizama na pia ku promote DM kwa ku subscribe hapa hapa
Sue lerroy yes bro we are together i am from qatar which place are you stay??
Hamisi Hamso kwanza MI ni mwana Dada nipo sehemu za Al wakra
Pole dada.
Majini Wana hatari .mpaka mke wa mtuu wanataka kumpoteza
Mungu atuepushie in Shaallh
Allah ndio mpango mzima mambo ya kwa yesu nae kaubwa kama wew tegemeyo ni allah
Mara kuswali mara kwa mtaalam,hatari sanaa
Mr facts nakuelewa sanaa
Wa kwanza ooooh yes😜
Cristina umeolewa
@@nomatter1239 hahahahahah Bado
pole sana dada yang
Waah pole dada Niko qatar 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Karibu Qatar
Hii Chanel naipenda bandika bandua raha saana
Pole
Polesana njootukupe shuluhisho yatatizolako
Shetani na mapepo pamoja na majini yote yameshindwa kwa Jina LA Yesu
Inasikitisha
Uswali swala tano kwasiku lkn bado ulikuwa unaenda kwa mganga kwann jamani usiamini Mungu wako mana ilemarayakwaxa usinge chongesha Pete naukaenda ukasomewa hiyo hali nadhani haingeendelea lkn kuswali upo kwamganga upo😷😷
Jamani muislam waenda baa ila pole lala na udhu soma ayatul kursi na suratul baqara
Uyu tatizo imani ana angekua na imani yasingetokea aya wengine wanaswali lakini imani dhaifu
Duuh eeh Mungu tusaidie pole san
hello Davista thans kwa stores