Dr.Ipyana UMEKUWA NAMI // NIMERUDI KUSHUKURU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- #dripyana #UmekuwaNami
Dr.Ipyana, a medical doctor by profession has been endowed with Grace to minister to the souls through heavenly & devotional songs which express reverence for God.
UMEKUWA NAMI is anthem of Gratitude ushering us into a new season of unstoppable favor.
CONNECT
PARTNER with Dr Ipyana’s ministry +255712177580(Wave/Remit/TIGOPESA
+255 754 637 055 MPESA/Remit/Wave/NALA
More of Dr Ipyana
KAMA SI MKONO WAKO • Dr Ipyana - Kama Si Mk...
• Dr Ipyana - Niseme Nin...
AAH UMETENDA
• Dr.Ipyana - Umetenda |...
SIWEZI ELEZA
• Dr Ipyana - SIWEZI ELEZA
Wakenya wenzangu MPO? gonga like tukisonga, Nani ameomba Kwa Siri kama Mimi? nimepewa magonjwa yote nikiwa mgonjwa lakini hajaruhusu nikufe, I thank the almighty
I’m here this man is a blessing
@@themarajungle1982 he rily is, maombi Ya Siri ameyajibu kwangu huyu mungu
Tupo
Such a powerful song ❤
@@Lavi_Grace huyu mungu Ni mwaminifu hawezi tuacha tuaibike, Yan ata siamini ameniondolea magonjwa sugu, nilikua Sina tumaini, nimepewa majibu ju mwili umeisha, yangu ilikua kuomba Kwa Siri lakini saii ameniponya Kwa wazi, tumaini amenipatia tele, Nina kila sababu yakumshkuru
We can't miss Dr Ipyana wow 🔥
Unasoma comment hii naomba Mungu akufikishee 2025 ukiwa salama😢
Amen mungu akubariki
@PhilipoNyinge-j2r Amen 💖 Akubariki piahh sana
@DainessBilegeya asante
Amennii
@@ZipporahNjenga-ih9uh Ubarikiwe sana
This is a testimony,I started 2024 on a rough point, I had no job and our dad battling cancer, a series of chemotherapies but today I testify that the Lord has walked with us.Granted me a job and our dad is doing very well. God has nullified all the negative reports we got from the oncologist.
Asante Kwa ulinzi wako nimerudi kushukuru
AMINA.USHUHUDA WA KUTIA MOYO.HAKIKA MUNGU WETU NI MWEMA KILA WAKATI
Amen
PRAISE GOD 👏 🙌 HALLELUJAH
Glory to God
This year was a tough one,was engaged in a car accident and come out alive with no injuries,few months later,my parents house burnt,i thought i had friends but i was left alone,my landlord asked for the rent the same day that the house got burnt,my husband was taking his masters and things were tough,my daughter needed school fees,i had no one to talk to people thought i would ask them for money na kila mtu alikaa kimya,i turned to God,i told God my worst fears and disappointment,i told him i was alone,He came through,i don't know how He did it but everything passed,nimerudi kushukuru,umekua nami,umetembea namii🙌🙌where would be without you Jesus😊
Hallelujah Hallelujah Hallelujah 🎉🎉🎉🎉Praise God
Glory to God🥹🥹..He is all we have..And impossibilities he makes them possible .I thank God with you
@@daphinenjoki5175 I'm in profound gratitude 😊
Glory❤
All glory to our Lord🙏
Mnaosikiliza huu wimbo mzur like hapa 🤲🙏
Asante mungu tunapitia mengi bali uwepo wako uko nasi
Ukifuatilia nyimbo za Dr lpyana utagundua ni mtu wa kushukuru si mtu wa kulalamika anakumbuka wema wa Bwana😢🙏🙏🙏 nifundishe kukumbuka wema wako Bwana,nifundishe kukushukuru Mungu🙏🙏
Real😢
@@davidjoseph1143 kabisa watu tunalalamika mno tunasahau wema anaotufanyia kwenye maisha yetu 😭😭
Umewaza kama mimi haki ni mtu wa kushukuru sana
@@happinessmtitu4485 sana yaani
Mungu yupi huyooo?
Hakika amenivika vazi la furaha MUNGU wangu mwema na mwaminifu sana kwangu. Nawaombea awavike vazi la furaha na heshima
I've come to testify what God did to me and my husband.
I gave birth to my baby girl and I started to bleed nonstop for 3 months, God healed me and the bleeding stopped
My husband was mentally affected and he became so confused, the depression almost killed him but God delivered him.
I'm here to thank God for delivering us from the hands of the enemy.
His mercies and grace has carried us through.
Glory to God 🙏
Wekenya mko
Let's thank God ijakua raisi bali nikwa nehema yake may God have mercy on us in Jesus
Love Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 dear God remember Kenya for mercy
Hakika Grace ya God ni sufficient sana
@kalobeflix amen 🙏
We honour the lord
Good my friend
More love from Burundi 🇧🇮 nipeni like hapa🎉 mtu wa kwanza kutoka Burundi 🎉🎉
Natwe Turahari Muta
Nasi Tuko Hapa❤❤❤
Turahari ❤🙏
Turikumwe
Tupo pamoja kumshukuru MUNGU kwa rehema zake 🙏
Indeed God I have come to thank you. You have been with me, you have walked with me my God. You are worthy of praise in 2025
Here my testimony, nlikataliwa kila mahal bwana akanikumbatia, my salary ikahamishwa kutoka 5k upto 36k..Aaaah n bwana tu ametenda nmekuja kukushukur nmeng bwana sijui niandike lip niache lip ila Mungu wangu nmerud kukushukur ...Mungu unaweza nikuache niende kwa nan??? Glory to God🎉🎉🎉🎉Hallelujah
Hallelujah. Glory to God 🙌🙌👏👏👏👏
This year is my turn from lak mbili to millions i wish
After dating someone for 3yrs hoping for marriage.nlikua namuombea apate kazi ili tuhalalishe ndoa ,alipopata akaniacha😭😭,,nlihisi vibaya na nikawa na machungu,,wimbo huu umenikumbusha kuwa mungu Yu NAMI ,,,Niko hapa kushukuru
It was not for God
Mwamini Mungu muumba wako. Atakuletee mchumba mwema kwa wakati wake. In the meantime, focus attention yako kwa kazi ya Msalaba ✝️...
Last Friday of 2024,, Umekua nami Umetembea nami,Nimerudi kushukuru MUNGU wangu 🔥🙌🏽
What a powerful message...just like Jesus said pray in private 😊😊
Nakushukuru Mungu wangu,wakati ule nilipokuwa napitia kipindi kigumu mno cha madeni,nilifedheheka mno,nilikuwa kicheko,kuna muda nilichagua kifo ila nilikukimbilia Mungu wangu,hukukaa kimya ulinijibu kwa kishindooo.
Ahsante Mungu wangu,nimeahidi kukupenda na kufanya lile utakalonituma.Nipo hapa kushukuru.
I trust he will show me his mercies.I will also overcome
❤
Thankyou Messiah for everything you have done for me to see the end of January 2025 it's has taken you Mighty hard 🙌🙌🙌
MUNGU WANGU NASHUKURU HATA KWA HAWA WATUMISHI WAKUIMBA NA KUHUBIRI WAWEZESHE YAWE USIWAACHE MUNGU WA MBINGUNI VITA ZAO ZIWE ZAKO KILA SILAAA IINULIWAYO JUU YAO IUKUMU WEWE MUNGU ILI UTAMBULIKANE ADONAI ASANTE MUNGU 🙌🏽🙌🏽
Glory to God who answeres all the secret cries and prayers...2022 ...used to cry to God to give me a job...And God of miracles did it ..2023 He rewarded me with job since then he has been uplifting me all through.....
I just say thank you.... indeed all silver and gold are His ...
Praise be to Yeshua -the Great I AM. From everlasting to everlasting He is God 🙌🏻 ✨️ ...
Wote mnaosikiliza wimbo huu siku ya mwisho ya 2024 mmbarikiwe Sana na Mungu akawafungulie milango mwaka 2025.Say Amen
Amen
Amen
Last day of January 2025 umekuwa mwema kwangu Mungu nakushukuru🎉
Nimeomba sana Kwa Siri machozi😭😭😭 mengi sirini Leo umekuja adharani Umenijibu Kwa Ujasiri
Nimerudi kushukuru 🙏🙏🙏❤️❤️
Amen!We thank him the Almighty one❤
😢🎉 3:43 3:43
Nimerudi kushukuru Mungu wangu🙏
I surrender before you my lord
Mungu akubariki #DrIpyana nyimbo zako ni IBADA 🙏
Am coming back to testify
Mungu nilipokea repoti ya daktari na kila MTU akaniacha ,niliowaona watanisaidia na pesa niende hosipitali waliniambia hata HAO wako na mipango nyinyi ya pesa hawaezi kunisaidia lakini mungu wangu haujaruhusu niwe kipofu ,mungu nashukuru 😭😭😭😭😭
AMINA.UTUKUFU KWA MUNGU
Ohhhh Amen Amen❤😢
😢
May God keep blessing us
My 2025 testimony I will sing this song on my engagement day 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Ameen Ameen
Glory to God for this song,God I thank you for everything ❤❤
I have rewinded this song countless times.Thank you Dr Ipyana for accepting to be used of God in this generation.I am so blessed.
'Tuliposafiri tulisafiri salama...'
Indeed we have used the same roads that have killed others BUT God has preserved us.
Glory the most High God!!!
❤❤❤glory to God
Even before I finish watching and listening to Dr ipyana's worship I give likes to them, because he comes out with true worship and praise 🙌🏻
Hata Mimi nimerudi Niko hapa kushukuru
9 years of pain, wilderness and suffering.... Surely there is an END..... Thank you EL-ROI the Lord that sees me.... You have blessed me beyond what I asked for.... I'm so grateful
What our God can not do…….!does not exist
Amen@@GloryMawalla
❤❤❤ asante Mungu kwa mwaka mwingi Baba naomba ukawe mwaka wa ushindi mkubwa❤❤❤🙏🙏🙏
Haijalishi 2024 ilikuwaje kwangu Mungu umenitendea mengi lakini bado umenipa pumzi hadi muda huu sikustahili kabisa NIMERUDI KUSHUKURU MUNGU WANGU🙌🙌🙌
Umekuwa nami umetembea nimerudi kushukuru mungu wangu. 😭 😭 😭😭 ….nisaidie mungu wangu..I feel great anointing every time i listen and sing this song..
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mengi umefanya Mungu wangu siwezi sema yote lakini nimekuja kushukuru. This far you've brought me Asante 🙏
Asante MUNGU wangu kwa mwaka mwingine 2025 jina lako libarikiwe sana MUNGU tembea nami mwaka huu na uongoze hatua zangu
Any one from Rwanda !!!! Let us give thanks to our Lord God
Anthem ya 2025 we entering 2025 grateful, with a thanksgiving song on our lips. Asante Dr Ipyana 🎉🎉🎉
UMEKUA NAMI UMETEMBEA NAMI NA UNAENDA NAMIMI 2025
MUNGU WANGU NINAKUSHUKURU 🙏🙏🙏🙏🙏
jina la bwana lihimidiwe hakika amekua nami tangia kaniumba mpaka leo yuko pamoja nami 🙏🙏🙏🙏
Umekuwa nami u.etembea nami.Nimerudi kushukuru MUNGU wangu😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
For all you have done 2024 am so thank full.Such unexplainable things Marvelous GOD.👏👏👏👏👏👏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Ubalikwe sana mtumishi uzidi kupata kibali kila mara ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante Yesu kwa neema hii ya wokovu umetupa. Hakika nasikia furaha sana kuokoka na kutembea nawe Mungu wangu. Kama sio Yesu Israel na aseme sasa🙌🏾❤️❤️ Haleluya🎄🎄 Merry Christmas and Happy New Year watu wa Mungu.
Hakika umekuwa nami kwa mwaka 2024 naamini utakuwa nami mwaka 2025.... Asante Yesuu
Umekuwa na mimi
Umetembea na mimi Mungu wangu
Even though this year has been tough
God has been faithful❤🙏
Lord God I thank you for all you have done for me and my family. Nakushukuru Mungu wangu kama si wewe BWANA kuwa pamoja nasi Israeli na aseme sasa... ZABURI (PSALMS) 124
Siwezi kueleza MUNGU alivyonipigia from January to December 😢😢. Mbarikiwe nyote mvuke salama piah
Umekuwa nami toka January hadi December Asante Yesu🤲🧎♀️❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎉❤
Mungu umekua mwaminifu sana kwangu,asante kwa baraka zako kwa mwaka 2024🥺🙏🏽.
Nmerudi kushukuru Mungu wangu🙌🏽🙌🏽
Lord. I am grateful for the peace you have given me, I was sad and tired but you made my heart still. I have come back to say thank you.
Mungu azidi kukuinua mtumishi 🙏🔥
Nimeomba sana sirini umenijibu hadharani 🙌🙌
Glory to God almighty
Nawezaje kunyamaza kwa yote umefanya, Umefanya hili, umefanya lile, Umekuwa nami, umeenda nami 2024, Nimerudi kukushukuru Mungu wangu!
#dripyana 🙌🙌🙌🙌
Wacha nishukuru jamani alikonitoa ni mbali.i shed many tears in secrecy 😢😢 but on 6th Aug he wiped them 🎉🎉🎉🎉.He is God!
God healed me from chronic migraine this year . I suffered for more that 3 years took painkillers, it reached a point They couldn't help me anymore. Jesus came through for me. No more migraine, Glory to God
Asante Mungu kwa mwaka mpya 2025,I'm grateful God🙏🙏
I thank God for His grace and mercies.... He has been so awesome to me, He has kept me and i believe in 2025 He will be taking me to another level. I will forever lift your Holy Name Lord my God
Anyone else from the UK watching and being blessed by this ministry?
Last and Best Moments of 2024 must end with this Prophetic Thanksgiving song to our Almighty GOD
Tupo hapa ni shukrani tu ndo tunachojua mungu wangu 😢❤🙌
Kama ni kulia kwa kweli nimelia, lakini umeninusuru. Nimerudi kushukuru Mungu wangu 🙏..... btw, videographer yuko gifted saaana. Baraka..... #hekimanamaarifa
What a song!!!!
😭😭😭😭😭
A grateful heart.
Thank you Daddy.....
Thank youuuuuuuuuu
For your faithfulness, my God.
Who's here @ Jan 2025 we thank God for the new year's blessings 🙏
Thankyou for taking me through 2024...I have seen you move mountains for me, I have seen you move me from glory to glory.
I;m testifying of your greatness❤❤❤
Umekuwa nami in 2024. God you are faithful 🇰🇪🇰🇪
When God promised to me, I believed and started to say thanks every day , now here I am, am so thankful my God .
Nimeomba kwa siri ila umenijibu hadhalani 😭😭😭Eeeh MUNGU wang niseme nini kama sio kukushukuru sina hofu kwa yale hujatenda maana ww ni mwaminifu hufanya kila kitu kwa wakati
Asaante MUNGU 🧎♀️🧎♀️
Nimerudi kukishukuru Mungu uhimidiwe wewe upiganaye vita hata tusizoziona na kutufungulia milango iliyofungwa.
YESU TUNAKUSHUKURU KWA HUDUMA YA MTUMISHI WAKO DR IPYANA. TUNAKUSHUKURU KWA NEEMA YAKO, UPENDO WAKO NA ULINZI WAKO JUU YAKE.
Umekuwa nami,umetembea nami ,nimerudi kushukuru mungu,for this far you Brought me
Kama unahitaji kumwabudu Mungu ww sikiliza tu nyimbo za huyu mtumishi
Nikikumbuka namna ambavyo Mungu aliniepusha na ajali na leo ni 31 Dec ....hakika umekuwa nami na umetembea Nami nimerudi kukushukuru Mungu wangu
Asante Mungu kwa Ajili Dr Ipyana kwenye Taifa Letu na Dunia kwa Ujumla.Endelea kumtunza kwa utukufu wako
Umekuwa nami Mungu wangu umetembea nami Nimekuja kukushuku Mungu wangu kwaajili ya familia kwaajili ya afya mume wangu Mungu wangu nimekuja kukushuru
Uwiiiiiiiiiii 😢😢😢😢😢 siwezi kueleza 😢😢😢😢😢
Huyu kuhani wa Mungu amenifindisha katika kila hali nishukuru👌Asante Yesu🙏🙏
Ooh! wow 👌 kama umewahi kuona MUNGU akitenda kwenye maisha yako endelea kumtukuza na kushukuru kwa neema yake
Wow, amazing, you have been with me Lord
I know before January ends He's going to bless me I am tired of depending on people.tired of borrowing lord I am thankful
Daktari Bwana akubariki sana,huwaga unatudownlodia toka patakatifu pa Mungu.kisha tunapokea dose inayofaa kwa ajili ya UFALME HUU USIO NA KIKOMO❤❤❤❤
Kwakweli anafilter kutoka mbingu za mbingu aaaaah YHWH we are thankful for the blessing of this minister of yours
I can't explain how He's been on side.... My life is of God's grace 🤲🙌🙌
Umekua nami in 2024. Whatever the enemy meant for evil God turned it to be good. It has been a year of victories. Thank you Lord
Lord am here to say thanks for your sufficient grace in 2024. May you walk with me every step of 2025.
Umekuwa nami toka January mpaka December hii,umeniokoa na mengi nipo hapa kushukuru 🙏🙏🙏
Thank you Jesus...nimerudi kukushukuru kwa yote ulionifanyiaa 2024🎉🎉🎉
Shukrani ni Ibada impendezayo Mungu
🙌🙌🙌🙌siwezi kueleza
Wimbo mzuri unagusa kwa kila anaeamini kuwa Mungu ndo kimbilio, muweza na tegemezi kwetu tunapopitia hali yoyote hatuna budi kushukuru🙏. Mwaka huu ukawe wa baraka na miujiza
❤Wa kwanza lazima.
Nasikia UPAKO wa MUNGU ❤.
Ribosikayamando...
Mungu wanguu
Pamoja na yote ninayopitia Bado MUNGU umekuwa nami🙏🙏🥺.
Àsanteh BABA
My testimonies from 2024 to 2025 all the days of my life oh Lord I will testify of your goodness 🎉🎉🎉
Wimbo tunaoingia nao mwaka 2025 huku tukishukuru kwa kua pamoja nasi sote na kutulinda katika mwaka wote 2024🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇😭😭
Mungu wangu Mungu wangu. ..hii chant blesses...me sanaa 🙏 🇰🇪
Wow!!!! This is very powerful. Dr. Ipyana never disappoints. Spirit lead worship. Lord we thank you for 2024
This year 2024 i was demoted but God knows that am innocent...... Nipo hapa Kushukuru Mungu wangu..
I blessed
Nimerudi kushukuru, Mungu wangu🎤🎻🥁......Tunashukuru hata hapa Kenya.
Asante Yesu
You are more than Able my Father in heaven , I declare victory and victory and more than victory over my life.