Al hamdulilah kwa neema ya uislam. Ya Rabb tufishe ilihali ni waislam. Utusamehee mapungufu yetu, ututie kwenye Pepo yako pamoja na wazee wetu kwa Rehma zako. Hakika wewe ni mwingi wa Rehma.
Ya Allah nipe mwisho mwema na uwapandishe wazazi wangu na ndugu zangu na mume wangu daraja ya juu tukutana nao ktk barazatuly ahera la peponi in shaa Allah 🙏🙏🙏🙏
Ya Allah turuzuku mwisho mwema na shahada kabla ya kufa kwetu na baada ya kufa kwetu tujalie pepo yako kwa huruma wako hakika wew ni mwingi wa rehma na mwenye kurehem
Kwako ni marudio yetu ww ND mfalme wetu mungu wetu muumba wetu hatuna ujanja kwako tunakuomba utupe nguvu zakufata amri zako na kuacha makatazo yako ALLAH JALA JALALU hatuwezi kukulipa chochote ixpokuwa tunatoka rehma zako bwana wetu mlezi unajitosheleza na kila kitu
MashaaAllah ya Allah nijalie mwisho mwema pamoja na vipenzi vyangu wote na waislamu wote duniani walioamini Allah ni mmoja
Amiiiiiiiiin Amiiiiiiiiin Amiiiiiiiiin Amiiiiiiiiin Amiiiiiiiiin Amiiiiiiiiin
ee mola tusamehe viumbe wako tujaarie waja wako tuliokukosea aamiiiiiiin amiiiin
Laa ilaha illa Allah wa Muhammad Rasulu Allah, ewe Mola wetu tupe mwisho mwema!
B
Emwenyezi mungu tueweke mbali na maovu. hakika wewe umetukuka
Yaa allah tusamehe zambi zetu pamoja na wazazi wetu
Ameen
Aameen yarabi
Asante kwatafsir zur tukufu yakorhani mweyezimungu akujaliye mwicho mwema. Anijaliye piami2 nawengine wanaofuatilia
Naam
Ameen
Ya Allah nijalie nami niya shike mafundisho ya dini yangu
Mungu nijalie nihifahi Quan
Amin kwa wote
Amiin
Mashaallah Allah walipe khery masheik wenye kuweza kushea elimu yako kwa wengine amen
Al hamdulilah kwa neema ya uislam. Ya Rabb tufishe ilihali ni waislam. Utusamehee mapungufu yetu, ututie kwenye Pepo yako pamoja na wazee wetu kwa Rehma zako. Hakika wewe ni mwingi wa Rehma.
😮 1:29:08
Amin
Allahuma Amiin inshaallah
Pls keep up the series
AMIIN
Ya Allah nipe mwisho mwema na uwapandishe wazazi wangu na ndugu zangu na mume wangu daraja ya juu tukutana nao ktk barazatuly ahera la peponi in shaa Allah 🙏🙏🙏🙏
Na mpenda mwenyezi mungu na mtume wetu Muhammad na kitabu cha mwenyezi mungu kuran takatifu
Mungu atujali umati mohamed saw tuwe waja bora mbele yake dah najuta sana kukimbia chuo sema muda bado ninao ishalla
Ni weng tulio kimbia ila tuckate tamaha na rehma za Allah
Masha Allah naipenda sana Qur'an
Ya Allah tuongoze katika njia ilio nyooka ya uislam kwa pamoja utujalie mwisho mwema amiiiiiiiin
Ya Allah tusamehe madhambi yetu na wazazi wetu na ndugu na jamaa zetu
Allah tujaliye mwisho mwema aaamiiinaaa
Ewe Allah tujalie mwisho mwema wabaliki na wazazi wetu
May Allah protect and guide me and all Muslim brothers and sisters as whole
Yaarabi tuongoze njia ya haki kwni ww Mola wetu ni muezà wa kila kitu ❤🖑🖐
@@anonymousukhti2786 anayesoma quraan anaitwa shkh mishar rashid al fasy
Anayetafasri sijui anaitwa nani
Ya Allah tukubalie dua zetu rehema na amani ya mwenyezi mungu ziwashukia wapenzi wangu wote
Yaa lalb tusamehe zambi zetu pamja na wazazi wangu utujalie mwisho mwema ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashaallah tabarakaallah
Sauti nzuri sana 💙💙
EWE ALLAH TUJALIE MWISHO MWEMA
Kwahakika Qur'an niyamiujiza Sana kama utakua na mazingatio na maskizi kwa umakini,na ikhlas
Amin insha'Allah
Masha Allah ❤️❤️❤️ sauti nzuri
Allah is good
Mungu awazdishie elimu
Asante sna kwa tafsiri nzur ya quran tukufu May Allah bless you
Muogope ALLAH funika uso wako
Mungu tupe mwisho mwema waja wako kwa maneno yako takatifu
Allah Atujalie yalio mema Utuweke pamoja na walio wema Ya Allah.
Ya Allah turuzuku mwisho mwema na shahada kabla ya kufa kwetu na baada ya kufa kwetu tujalie pepo yako kwa huruma wako hakika wew ni mwingi wa rehma na mwenye kurehem
😢😢😢😭😭😭😭🤲🤲 yarabbi mjaalie mamaangu na familia yangu wawe waisilam 😢😢😢😢😢 yarabbi.
The perfection is only belong to Allah (S.W.A) .
Mashallah tabarakallah beautiful recitation.allah barikiffikum.
Yaa Allah uwa hurumie wazazi wangu Kama walivyo nihurumia mm nlivyo kuwa mdogo
Yaa kareem tujalie mwisho mwema wa islamu wote dunian na kesho akhera ,
Yaa Allah tusamehe mazambi yetu pamoja na wazazi wetu
Ameen
Amiin
@@tafsiriyaqurantukufukwakis966 Amina yarabi
Mola Atupe Mwisho Mwema Yarab
Amiiin
Eeee Mola tusame sisis wakosefu na uzikukutusame sisis wajawako utupe mwishomwema sisi tuliobakiduniani utunusur sisi mimi nawazazi wangu Nakuwomba Eee Molawangu Mwenyezi
dada funika uso wako muogope ALLAH
mwenyezi mungu tupe mwisho mwema waja wako☝☝ tunauhaki kwako.📖
Ameen
Ya Allah tujalie mwisho mwema sote ummah ya mtume mohamad ( S. A. W)
Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah
Rabby filli waliwalidaiya ya rabby nisamehe Mimi madhambi yangu pamoja na wazazi wangu amini
Ya Allah tujarie mwisho mwema na utusamehe mathambi yetu ya Rabbi
Eeeh Mungu Mwenyezi Asante kwa kuniumba Na kuwa mfuasi wa christo
Ya Allah tujalie mwisho mwema tusitili Dunia nah haela
Ya Allah usituondoe hapa duniani ila utuondoe hali yakua umeturidhia
Mwenyezi mungu awape mwisho mwema 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mashaallaah
Asante sana kwa tafsir nzuri ya quraaQuran,,,jakhalaukher💞
Yaallah nijalie mwisho mwema pamoja na familia zetu utuepushe na mambo yadunia amiiin yaarabby
Hee yer Allah tuongoze waja wako kwenye swala na ibada tuelekeze palipo mahala pema peponi inshallah
Ya Allah Be my guidance. .ktk dunia hii na kesho akhera
Yarabi tusamehe makosa yetu na wajaalie mashee wetu umri na mwisho mwema.
Ewe Allah Tuhifadhi na Mabalaa ya Dunia hii
Na Wasemehe Waislamu wote Waliotangulia mbele ya Haki
Na Sisi pia
Amin
Emwenyezi mungu tujahalie tuwe miongoni mwa wajawema aamii
Mwenyezi mungu tusamee makosa yetu Ss na wazazi wetu na utupe kauli sabiti
Ewe mola tunakuomba utujalie kheri sisi na wazazi wetu yarab taqabali minah Dua amin
Allahu akibbaru, Quraan ndoa kila kitu, ipo Sayansi, historia, jiografia na kila kitu. Allah bless us to have a good end 🔚 Inshallah
Allah kwa utukufu wa Quran tusamehe madhambi yetu pamoja na wazazi wetu amiinii
Mwenyezi mungu tujaalie mwisho mwema kila aliye muslim na utujaze kila la kheri kwenye dini ya haki
🤲🤲yaaRabi tup mwisho mwem waja wakooooo
Allah utusamee katika yale mapungufu yetu
Ya Allah zitakase nafsi zetu na maasi kwa qur an yako tukufu.. aaamin
Ameen
Amin
Subhanallah wa bihamdih subhanallahi laadhim.
Mashaallah mungu awazidishie upeo ❤❤❤❤
Jazakallah kheir
Masha Allah ❤
Mashallah Allah awalipe.
MashaAllah Allah barik
Ya Rabi tupe mwisho mwema
Barakallah Fiiq. JAZAKALLAH khayr.
الله اكبر اللهم نسألك حسن الخاتمة وأعوذ بك من شر نفس ومن شر الشيطان وشركه
Neeknksķqjjjj jkdjdk
Amen
Oll
Pll po
@@fedhelakhamis2329ppplp
Plllp pllppl
P
L pplllp lop allp ppl
Mashallah ❤❤❤❤ Allahu
Kazi moto Atari🤴🤴🤴🤴🤴
Allah tusamehe sisi
Allah awajaharie pepo wazaz wetu
Allahu Akbr
Asalam aleykum warahamatullah wabarakatullah naiombea nafisi yangu na nafsi ya waisilamu wote mungu atukutanishe na mtume wetu siku ya hisabu 🤲🤲🤲
Yeah Allah expect our dua during this month of ramadhan
Ya ALLAH tupe mwisho mwema 🤲
Ameen ya Allah
MashaAllah Allah atusamehe makosa yetu
Ya Allah ni nijaalie mm na ndugu zangu waislam mwisho mwema na utuepushe na adhabu kali siku ya qiyama
Kwako ni marudio yetu ww ND mfalme wetu mungu wetu muumba wetu hatuna ujanja kwako tunakuomba utupe nguvu zakufata amri zako na kuacha makatazo yako ALLAH JALA JALALU hatuwezi kukulipa chochote ixpokuwa tunatoka rehma zako bwana wetu mlezi unajitosheleza na kila kitu
Amiin ya allah
Aamina rabbil alamina
Yaraabi tusamehee nautupe mwisho mwema
Yaarabi tusamehe
Ma shaa allah
☝allhh
Mashallah Allah 💕
Mashallah
Subhaana llah tusamehe waja wako utupe mwisho mwema
Mashaa allah tafsiri bora ya kiswahili
SUBHANNA LLAH alhamdulillah ALLAH AKBAR
Mungu atufanyie wepesi hila tumuabudu ishaallah
Allahmndulilah. 🤲🤲🤲
Mashaa llah❤❤❤❤
Mashallah Allah tujalie wisho mwema
Khusnul khatma yaa Rabbi 👏
Takbir
Ewe mungu mlezi tutenge mbali na moto kama ulivo itenga magalibi na mashaliki.
❤❤❤ subhana Allah
Shkurn Alla awalipe kila la haira
Allah Akbar
Ally m saidy mwezimungu nimuweza
Bijampola Msemakweli nikweli
Shukuran jazikallahu khaira
Mashannlah