Annoint Amani = Hako Kadudu ( Official music Video Skiza Code 9039319 to 811)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 512

  • @StephenKasolo
    @StephenKasolo 2 ปีที่แล้ว +19

    hayo makonde aaa noo siwezi vumilia haka kadudu kanipige.. hahajaaa

    • @nurumwangoka5909
      @nurumwangoka5909 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @godsvoiceintheworld1362
      @godsvoiceintheworld1362 2 ปีที่แล้ว +2

      😅😅😅😅hata Mimi hayo makofi hapana naona Annoint ameacha bila kurudisha ila mimi wooooi🙆🙆🙆🙄

    • @nekoyevayola801
      @nekoyevayola801 2 ปีที่แล้ว +1

      Mimi siwezi vumilia makofi ata kama

    • @veronicayasenti6091
      @veronicayasenti6091 11 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @peterKikubu
      @peterKikubu 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kwanza ww kasolo ebu jiheshimu mwanzo nliona ukimjibu kaka flani wa kikamba baada ya kukemea kwa mienendo zako hovio jehanam inakusubilia ww mkenya mpumbavu agai 1

  • @ImanueliGilibeti-df5pf
    @ImanueliGilibeti-df5pf ปีที่แล้ว +10

    Huu wimbo unanitoa machozi nimegombana na mke wangu ila baada ya kuusikia huu wimbo najihisi mwenye hatia maana nampenda kuliko yeye anavonipenda najuta sana kuona hivo

  • @BahatiBahatimtewele
    @BahatiBahatimtewele ปีที่แล้ว +1

    Dawlod

  • @FaithKosgei-m9m
    @FaithKosgei-m9m 8 หลายเดือนก่อน +6

    Glory to God 🙏,,,if you are a lady say hi please 🥰🙏 this man is God sent 👌😭,,,,how many of us we are planning to marry ❤ drop like 🎉

  • @Craiver
    @Craiver ปีที่แล้ว +2

    Mbeya yavipaji❤❤❤

  • @CeciliaMutua-pu8ds
    @CeciliaMutua-pu8ds 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ujumbe mzuri KAZI nzuri ❤❤❤❤❤ annoint amani from Keny🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @phillisgari5515
    @phillisgari5515 2 ปีที่แล้ว +14

    Umeongea ukweli the King of Gospel, mapenzi ya siku izi nikama Bluetooth device any time any where Yana connect other Bluetooth divices bila kujali lolote.

    • @afrikaone9609
      @afrikaone9609 2 ปีที่แล้ว +3

      Yani King hapa ametuweza saaana.

  • @elizanzisa1459
    @elizanzisa1459 2 ปีที่แล้ว +27

    Songs zako kaka zinakuanga na mafundisho ya hali ya juu sana, Nimejifuza mengi sana kupitia nyimbo zako, na naweza sema zimenijenga ki-imani. Barikiwa sana na Mungu akuzidishie neema🙏 much love from 🇰🇪

    • @afrikaone9609
      @afrikaone9609 2 ปีที่แล้ว +2

      Hunishindi mimi jamani

    • @964d
      @964d 2 ปีที่แล้ว

      Staili ya nywele mtumishi

    • @epmarkchami2536
      @epmarkchami2536 ปีที่แล้ว

      Kawimbo kazur sana

    • @epmarkchami2536
      @epmarkchami2536 ปีที่แล้ว

      Nikiingia youtubu lazma nikaangalie kwanza

  • @afrikaone9609
    @afrikaone9609 2 ปีที่แล้ว +6

    Jaman twende haraka zaidi ili hii wimbo itikise East Afrika na afrika mpka dunia nzima 🏋️🏋️🏋️.

  • @lydiahkerubo4985
    @lydiahkerubo4985 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa Yuko Na talent kweri mungu Aku bariki Kwa nyimbo mzuri

  • @mrrta3162
    @mrrta3162 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera dady Kuna mafundisho Sana Bora nisiolewe maana mpaka kuuana Mungu mwazilishi was ndoa tusaidie by ester machea love it

  • @dianawayela7433
    @dianawayela7433 2 ปีที่แล้ว +2

    Nahisi n kama huu wimbo umenigonga mm Yani yote haya nayapitia

  • @Solanjerecho
    @Solanjerecho 2 ปีที่แล้ว +8

    Ndowa kadudu kweli kabisa jamani ❤

  • @nabiibikemwayowele
    @nabiibikemwayowele 2 ปีที่แล้ว +1

    Ongera KUBWA ƙwakweli Mtumishi ANNOINT Amani
    MUNGU Ametuliya wetu wengi ujumbe UHUU
    Nani kweli imewafikiya

  • @SuzanNatasha
    @SuzanNatasha ปีที่แล้ว +2

    Ubariki sana wambie hayo yote ni ile nafanyiwa babangu mzazi badara kunibariki ananilaani

  • @PreshazSamson-b2b
    @PreshazSamson-b2b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Natamani kupata nafasi kumwona huyu kak sema basi tu. Umasikini nao 😢😢

  • @adelasilota2845
    @adelasilota2845 2 ปีที่แล้ว +1

    Ee mungu wetu tusaidie sisi😭😭😭😭😭😭 waja wako

  • @pacificah5575
    @pacificah5575 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏🙏,Brooo barikiwa kwa kz nzuri unafanya

  • @sarahmutanu297
    @sarahmutanu297 2 ปีที่แล้ว +2

    Thanks sana bro nyimbo zako Sina mafunzo mengi sana keep growing

  • @maliyotebundala6756
    @maliyotebundala6756 2 ปีที่แล้ว +2

    Uko vizur mtumishi Wa Wa Mungu ...ubarikiwe ila tunaomba ubadili mtindo Wa unyoaji ili usadifu Maudhui.

  • @AdonisSifa
    @AdonisSifa 2 ปีที่แล้ว +6

    waiiiiiiiting 😊💪🏿💪🏿💪🏿

  • @rachelelias6522
    @rachelelias6522 2 ปีที่แล้ว

    Huduma nzuri mtumishi ,lakini Mungu akujalie hekima ya kunyoa barikiwa sana

  • @wakuinnocent1218
    @wakuinnocent1218 2 ปีที่แล้ว

    Annoint nakuaj mim tonny nakubali we jembe kweli

  • @carolinekayz2002
    @carolinekayz2002 2 ปีที่แล้ว +10

    Wimbo mzuri broo naupenda sana, barikiwa Sana kwa kazi mzuri

  • @alanyulukendo1085
    @alanyulukendo1085 2 ปีที่แล้ว +1

    Honge sana kaka kwawimbo wako amenigusa sana nakusapoti jikase nimambo ya dunia 2

  • @lispahngecu1245
    @lispahngecu1245 ปีที่แล้ว +1

    I love yur song zinanitianga nguvu amazing❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 ปีที่แล้ว

    Ongera Sana, Ila ndoa ni dis kwa Sasa, ombea Sana ndoa,

  • @silviamwende7210
    @silviamwende7210 2 ปีที่แล้ว +5

    🔥🔥the lady knows nowadays both men ad women are cheatng with friends😅😅😅

  • @m.junior254.k
    @m.junior254.k 2 ปีที่แล้ว +1

    God praise you......kwa huyo moyo uko nao ........nyimbo zako sinatutia tumbo joto wale tuko single kama maisha ni hayo tutaenda wapi
    #MHUBILI mwena wewe

  • @IrakozeEv
    @IrakozeEv 2 ปีที่แล้ว +11

    Amen 🙏 ubalikiwe sana kaka kazi unayo yi fanya ninzuli sana napenda sana nyimbo zoko zina mafunzo mengi hakika yasu alikupatia kipaji si mchezo hongela sana mungu akulinde uishi mda mlefu kaka angu 🙏❤️💗👍

  • @NafadhaiKituma-cj1wo
    @NafadhaiKituma-cj1wo ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo zàko zinabariki Sana ila nikuombe unisamehe bure kuhusu unyoaji haujaendana na mtu Kama we we mhubiri usiifuatishe namna yadunia hii ilituzidi kubarikiwa na Mungu atazidi kukuinua kwa utukufu wake

  • @pascalinamukui8400
    @pascalinamukui8400 2 ปีที่แล้ว +3

    Nyimbo nzuri sana inatufunza kitu,na kwakweli ukingia kwa ndoa na uwamini ako kadudu utaibomoa ndoa,barikiwa sana ndugu.

  • @masalugusessa3702
    @masalugusessa3702 2 ปีที่แล้ว +24

    Mtumishi umeupiga mwingi sana! Umetoa summary ya hali ya ndoa za siku hizi kwa dakika 5 tuu! Mungu aendelee kukupandisha viwango na viwango 💪

  • @EstherBorive-eh7bz
    @EstherBorive-eh7bz ปีที่แล้ว +1

    Vraiment uko n'a ma composition ya maogno Kaka annoit Amani achat mungu akubariki

  • @MaryPaulo-ju9gv
    @MaryPaulo-ju9gv 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nzuri San ❤❤

  • @monicashine3106
    @monicashine3106 2 ปีที่แล้ว +10

    Wow , wimbo mzuri, yatufunza kufanya maamuzi mazuri Kila wakati

    • @afrikaone9609
      @afrikaone9609 2 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa kabisa

    • @berniceivui8127
      @berniceivui8127 ปีที่แล้ว

      jm are ha😂l lol kills a asada odd as medk I'm ka2 aww k was aww qwk

  • @melkiaelisha3624
    @melkiaelisha3624 2 ปีที่แล้ว +1

    Uwiiii Mungu awasaidie Watoto wetu jamani😭😭😭

  • @puritygatwiri2032
    @puritygatwiri2032 2 ปีที่แล้ว +5

    Thanks allot brother Anoint Amani,, yanikumbusha jinsi kadudu kananimalizia ndoa yangu... MUNGU ingilia kati😭😭😭

  • @MusukwaAmos
    @MusukwaAmos 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kadudu more Grace sir Amos musukwa from Zambia

  • @frankmwaipopo844
    @frankmwaipopo844 ปีที่แล้ว +1

    Hongera, Mungu akuongezee ubunifu ktk kumtumikia kupitia kumuimbia.

  • @shadrackkipkoechkirui
    @shadrackkipkoechkirui 2 ปีที่แล้ว +1

    Mkutano kwisha kama ingekua mimi ,nikule kofi!!

  • @robertmwanakaya4233
    @robertmwanakaya4233 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana mtumishi umejua sana kunitakasa hongera sana ❤

  • @puritykarimi_
    @puritykarimi_ ปีที่แล้ว +1

    wewe ni mmoja wao 😊

  • @innocentnzabimana1546
    @innocentnzabimana1546 2 ปีที่แล้ว +1

    Njambo,napendasananyimbozakokijana,niherimwishomuzurikulikomwanzo

  • @BeatriceZawadi-dd3wc
    @BeatriceZawadi-dd3wc ปีที่แล้ว +1

    Umeweza kaka ❤❤❤❤

  • @judithmbithe7018
    @judithmbithe7018 2 ปีที่แล้ว +3

    ❤❤❤❤❤wow just wow...wimbo wenye funzo kwangu....Mungu akubariki zaidi.

  • @MargaretUkhevi-ou3qz
    @MargaretUkhevi-ou3qz ปีที่แล้ว +1

    Fundisho nzuri hilo

  • @jackymacharia8097
    @jackymacharia8097 2 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo ni ujumbe sahihi nimeupenda

  • @catherineamani7671
    @catherineamani7671 ปีที่แล้ว +1

    da kweli unaomba mwenyeziu gu akulinde

  • @mwitabokerose1950
    @mwitabokerose1950 2 ปีที่แล้ว +1

    Umenena bro, ndoa zimeleta maumivu mengi duniani

  • @andreafanuelkamwaga2244
    @andreafanuelkamwaga2244 ปีที่แล้ว +1

    Kiduku kweny gospo
    Tutafika kwel we ni wakri wa yesu kwel

  • @EstherBorive-eh7bz
    @EstherBorive-eh7bz ปีที่แล้ว +1

    Bjr.niko bunia nafurahia magnimbo zako sana.sana.

  • @gib3888
    @gib3888 2 ปีที่แล้ว +3

    wow Wimbo nzuri snaa uparikiwe snaa 👏👏👏👏

  • @godwinluxumay6472
    @godwinluxumay6472 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo mzuri badili mtindo wanywele

  • @nabiibikemwayowele
    @nabiibikemwayowele 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani kadudu kumbe njo ivyo tena
    Mimi siowi kama ni ivyo jamani ndugu zangu
    Naogopa kupigiwa na muke
    Baba yangu pole sana kabisa

  • @winnieonsongo2833
    @winnieonsongo2833 2 ปีที่แล้ว +3

    Wow,,,,,fanya collabo na mwimbaji mmoja wa Kenya tafadhali🙏🙏🙏you bless me alot

  • @FestoMusau-v7l
    @FestoMusau-v7l ปีที่แล้ว +1

    Mutumishi mungu humewenzaa.athimwa,,,❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @langatevanskitolindet8675
    @langatevanskitolindet8675 2 ปีที่แล้ว +5

    Keep going meeeeen, naenjoy sana nikiwa Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @marywashera7359
    @marywashera7359 2 ปีที่แล้ว +1

    That song iko sawa kabisa

  • @fearful254
    @fearful254 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kazi ya Mungu si ya kubatisha good job annoint from Busia county Kenya

  • @amkenikumekucha
    @amkenikumekucha ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo zako nzuri ndugu Annoint Amani! Zinajaa uwepo na nafundisho mazuri ila MINYOLEO YAKO NDUGU JARIBU KUBADILISHA MINYOLEO YAKO, BARIKIWE ❤

  • @vailethrajabu7204
    @vailethrajabu7204 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaaan nyimbo imetulia kinyama Mungu azidi kuwaongoza zaidi

  • @girukwishakaetienne4485
    @girukwishakaetienne4485 2 ปีที่แล้ว +1

    Nihatari kabisa

  • @JacksonDaudi-gk4jq
    @JacksonDaudi-gk4jq 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo una mana nzuli sana ila tumwogope mungu hapo kichwani

  • @NeemaDuuma-jh7oo
    @NeemaDuuma-jh7oo ปีที่แล้ว +1

    Bila mungu hakuna kinach wezekan

  • @annesilwe
    @annesilwe 2 ปีที่แล้ว +1

    Good song watu tuwache drama

  • @AdonisSifa
    @AdonisSifa 2 ปีที่แล้ว +11

    😊😊💪🏿Najivunia Muziki wako Annoint.Una mafunzo sana. Na pia kazi ni safii. video top, sauti top
    Audio quality top 💪🏿🔥💯💯Zidi kuinuliwa. nakuombea sana 🙏🏿

    • @afrikaone9609
      @afrikaone9609 2 ปีที่แล้ว

      Yani anatukosha kabisaa,sasa mwanamke naona ataharbu Annoint wetu jamani nimelia 😭😭 mbona anampiga makof siku ya ndoa,hata hajavua shela jamaniiii🙆🙆 Ambieni Annoint ache huyo mwanamke kabra hakujawa kubaya.

  • @amanishiughaaa6345
    @amanishiughaaa6345 2 ปีที่แล้ว +2

    hako kadudu nyimbo hii kuna kitu nimejifunza

  • @happypeter2803
    @happypeter2803 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo nzuri sana mbalikiwe

  • @StephanoBangala-no6su
    @StephanoBangala-no6su ปีที่แล้ว +1

    Tunabarikiwa saaana

  • @LucgDavid
    @LucgDavid ปีที่แล้ว +1

    Huyu mtu wa mungu anaenda mbali ❤❤❤

  • @williamodhiambo6717
    @williamodhiambo6717 ปีที่แล้ว +1

    Duu ni ukweli mapenzi balaa

  • @evarseth5847
    @evarseth5847 2 ปีที่แล้ว

    Nimecheka kwa sauti hako kamuvi, unavyomuuliza mbona mwanzo sikukaonaaaa, be blesed dogo langu

  • @b3falampendwa758
    @b3falampendwa758 2 ปีที่แล้ว +6

    Roundy hii ni back to back,I like it Annoint Amani...

  • @margretokuku8220
    @margretokuku8220 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa.sana.na.uzidi.kufika.mbali.utubariki.kupitia.nyimbo

  • @nabiibikemwayowele
    @nabiibikemwayowele 2 ปีที่แล้ว +5

    Tunasubiri wimbo jamani baba!! kwani aifunguki. Ao aija fika
    Coming soon-kadudu-by annoint essau amani

    • @joycesinkala225
      @joycesinkala225 2 ปีที่แล้ว

      Wimbo mbona upo ushatokaga mda sana my dear

  • @abedmusyoki-chosen0ne931
    @abedmusyoki-chosen0ne931 2 ปีที่แล้ว

    Habari kamili kabisa...you are blessed bro

  • @judyokech5324
    @judyokech5324 23 วันที่ผ่านมา +1

    Malaya tu wa kitambo

  • @mcjose2544
    @mcjose2544 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu tukumbuke kutokana na hako kadudu.

  • @phoebeadikinyi3441
    @phoebeadikinyi3441 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ashuke aokoe hii generation yetu

  • @EsterKennedy
    @EsterKennedy 9 หลายเดือนก่อน +1

    Naupenda Sana huu wimbo😅

  • @SuzanaElias-yb8fo
    @SuzanaElias-yb8fo 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa hio Aina yaa nywele

  • @godsvoiceintheworld1362
    @godsvoiceintheworld1362 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie jamani ila hayo makofi kwangu hapanaaaa 🙆🙆

  • @josephmutindaofficial2704
    @josephmutindaofficial2704 2 ปีที่แล้ว +2

    Big song Nakutambua bro. Wish one day we meet tufanye collambo from AEA TONES.
    Kazi Safi endelea kubarikiwa zaidi Kaka Esau

  • @AugustinoYonga
    @AugustinoYonga 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nywele izo sasa mtumish 😮

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 2 ปีที่แล้ว

    Yaani Laiti ingekuwa watu Tunajuwa toka mwanzo kama Mweza wako atakuja kuwa mimba aisee tungeogopa

  • @MathaDavid-nj3re
    @MathaDavid-nj3re 7 หลายเดือนก่อน +1

    Umeimba vizuli

  • @MachameMachame-tx3bk
    @MachameMachame-tx3bk 8 หลายเดือนก่อน +1

    We kadudu mbalikiwe sana

  • @sefaniapeter1254
    @sefaniapeter1254 2 ปีที่แล้ว +1

    nimependa huu wimbo ki ukweli

  • @TroupeLaPromesse
    @TroupeLaPromesse 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana ndugu yangu

  • @Toniedesalmon
    @Toniedesalmon 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii imeniguza sana jamani. Kazi Zuri sana hii Amani

  • @fidelkisoi9388
    @fidelkisoi9388 2 ปีที่แล้ว +4

    My current situation but I thank God for his overwhelming peace.Nani kama wewe Jehovah🙏🙏🙏🙏

  • @michaelmamillion111
    @michaelmamillion111 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiiiiiiiiii nimesubili mpaka nasubili tenaa 🤣🤣🤣🤣 nataka kuona

  • @hellengithiaka8886
    @hellengithiaka8886 2 ปีที่แล้ว +3

    Looo Wimbo poa kabisa. Unamafunzo makubwa sana mnoooo…. 👌👌👍

  • @paschalcassianoriginal9411
    @paschalcassianoriginal9411 2 ปีที่แล้ว +1

    🔥

  • @marthamashinji6830
    @marthamashinji6830 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaaa unatisha barikiwa

  • @RebeccaObadia-km7kx
    @RebeccaObadia-km7kx ปีที่แล้ว +1

    Vile.nyi.nyi.mko.nawivu.ndio.hata.sisi

  • @donnasulle8605
    @donnasulle8605 2 ปีที่แล้ว +3

    Aaaaaaaah huu wimbo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MOOKIESTV
    @MOOKIESTV 4 หลายเดือนก่อน

    Napenda nyimbo zako they are a blessing to as .Our churches are full of shirembes.

  • @oneboybillionaire9601
    @oneboybillionaire9601 2 ปีที่แล้ว +19

    Gonga like kama umekubali ujumbe💯💯❣️