WAKILI PETER MADELEKA AWAKA KIFO CHA HAMZA NA IGP SIRO KUPINGANA NA KAULI YA RAIS, HII NI DHARAU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • #sirizabongo
    WAKILI PETER MADELEKA AWAKA KIFO CHA HAMZA NA IGP SIRO KUPINGANA NA KAULI YA RAIS, HII NI DHARAU

ความคิดเห็น • 9

  • @sangararawarioba3016
    @sangararawarioba3016 3 ปีที่แล้ว +2

    Peter uko vizuri Sana Tena sana

  • @pascaljonathan6865
    @pascaljonathan6865 3 ปีที่แล้ว +1

    Peter anazingua bhanaaa

  • @abbaviermhangos2616
    @abbaviermhangos2616 หลายเดือนก่อน

    Watanzania agalia mkono wa Siro Mishipa himemtoka kwa huogo

    • @Dogoshule
      @Dogoshule 9 วันที่ผ่านมา

      Acha uongo kamanda anapiga kazi

  • @mwahamedychilungu8981
    @mwahamedychilungu8981 3 ปีที่แล้ว

    Choko uyo

  • @pascaljonathan6865
    @pascaljonathan6865 3 ปีที่แล้ว

    Kaka heche kwa uelewa wangu2 mdg nimekupata vzr sana upo vzr kaka..sio huyo wakili anatafuta madaraka makubwa hana tofauti na wanasiaisa wa uongo..sheria zake hazijamsaidia maana hajui kama raisi bado ni amri jeshi mkuu..sasa anamtukana IGP kijinga kbs anamaanisha IGP hana akili ni sawa na mtoto wa mwisho darasan daah et huyu ni wakili jamaniii

  • @pascaljonathan6865
    @pascaljonathan6865 3 ปีที่แล้ว

    Peter wewe siasa achana nazo kaka angu fanya2 mambo yako mengine ya kimaisha huo ni usiasa kabisa ambao unakushusha viwango sanaa...unajifanya unajua katiba umefeli sana aisee...et hata katiba hii ina vipengele vya muhimu sana..sasa nani kasema katiba ikibadilishwa vinabadilishwa vipengele vyote..mbona umefanya tupate mashaka na elimu yako kaka

  • @pascaljonathan6865
    @pascaljonathan6865 3 ปีที่แล้ว

    Vipi kuhusu sabaya