Hàbari Mwalimu, mimi Kuku wangu wameanza kutotolewa jana kwa kuku mwenyewe kulalia sasa nauliza je naanza kuwapa chakula gani au nini ili nianze kuwalea nauliza oi
Naomba kufahamu jinsi ya kuwalea vifaranga wa kienyeji, jana mitetea yangu imeanza kutotoa vifaranga nategemea kupata vifaranga kama 15, ninachotaka kufahamu njia sahihi ya kuwalea vifaranga kwa chakula na chanjo naogopa nisije nikawapoteza nj isipowalea kwa utaratibu sahihi
Mama yao anakula nini hapo? Mana sidhani kama anaweza kuingiza kichwa humo ,hebu nifafanulie tafadhali👏
Pulet ndo nini, kinapatikana wapi jamani,kinatengenezwa?
Hàbari Mwalimu, mimi Kuku wangu wameanza kutotolewa jana kwa kuku mwenyewe kulalia sasa nauliza je naanza kuwapa chakula gani au nini ili nianze kuwalea nauliza oi
Ni antibiotic gani hutumia kunywesha vifaranga maji?
Niandikie naomba ako nikupigie mtaalam
Pilet ndio Nini??
Tupe mawasiliano sasa
Naomba kufahamu jinsi ya kuwalea vifaranga wa kienyeji, jana mitetea yangu imeanza kutotoa vifaranga nategemea kupata vifaranga kama 15, ninachotaka kufahamu njia sahihi ya kuwalea vifaranga kwa chakula na chanjo naogopa nisije nikawapoteza nj isipowalea kwa utaratibu sahihi
Unapatika wap nataka kujifunza kuanzia mwanzo kabisa
Karibu ndugu kisarawe pwani