Kama ni kweli yes kijiri ni beki Sahihi kabisa Simba ilihitaji beki wa aina hiyo misimu miwili iliyo pita mpaka leo. Kwa Simba hii yenye wachezaji wenye speed kijiri anahitajika sana kuliko mkongwe Shomari kapombe upande wa kulia. Beki itakua imekamilika haswa.
Karibu sana Simba
Karibu unyamani kijana
Huo sasa ndio usajil wa ndani
Well done Simba SC, Kijiri ni beki sahihi kabisa Mbagala wa Kapombe Simba SC.
Hapo sawa unyama mwingi mno
huyo ni mwamba kwelikweli beki la fifa karibu unyamani kumenoga
Kijili nomaaa namkubal
Kama ni kweli yes kijiri ni beki Sahihi kabisa Simba ilihitaji beki wa aina hiyo misimu miwili iliyo pita mpaka leo. Kwa Simba hii yenye wachezaji wenye speed kijiri anahitajika sana kuliko mkongwe Shomari kapombe upande wa kulia. Beki itakua imekamilika haswa.
Kwakwer kama huyo jamaa anajiunga na Simba bas atakaposaini mm niatafurah Sana jamen kelvin kijili hiyo mali bas kapombe namuona benchi
Sanaaa
Hakika huyu ndio beki 2 yangu ya maana kwa wazawa kwa sasa