Kiukweli hii hali ya kukabwa ,kukatwa mapanga Magufuli alimbambana nayo Sana kwakutoa amri Kwa JESHI la police kujitahidi kuwadhibiti hawa wahalifu.lkn Kwa Sasa Mama yupo busy hana Muda wakuzungumzia kabisa maswala km haya, Wananchi tunazidi kuteseka
Subuhanallah. Polesana duu binaadam wengine wanaroho ngumu unampiga tu mapaga bila ya huruma haoni wauwaji kabisa polenisana Allah akuponye she ni wote
Mimi nataka kazi hii ya polisi naomba Millard Ayo nifikishie nataka kazi ya polisi haki ya Mungu maana haya matukio yananiumiza Sana ninataka namimi nipambane na huu ujinga niunganishe nguvu nataka kulinda raia na Mali zao
Hiiii kitu kwann ? Inamaana serikali haioni matukio haya ? Maisha n magumu watu wanapambana masikini ya Mungu kujikwamua kiuchumi haya haitoshi bado watu wanakatwa mapanga , wanaumizwa wanauwawa kweli hii na haki ? Serikali imekaaa kimya MTU hasemi kabsaaaa kweli ? Police wapo vyombo vya ulinzi na usalama vipo sasa tunaishi vp nchini kwetu inakuaje mtu unakata panga mtu kama unakata kuku ? Haki ya Mungu tena nimechoshwa na matukio haya Tanzania haiwezekani tunaishi nchini kwetu Kwa woga ! Mh Rais hatuna sehem nyingine wewe ndio Rais wetu mama yetu haufurahishwi na matukio haya wewe pia n mwanadamu toa Kauli Kwa vyombo vya usalama ikibid toa macho Kwa vyombo vyako hv kwann havishughulikii mambo haya sasa tutalindwa na Nani Mali zetu zilindwe na Nani jaman
Haya Mambo kipindi Cha magufuli yalikua yameisha kabisa Ila kwa Sasa naona yanazid kuongezeka dhaa mnaoshikilia dola mung anawaona kwa kushindwa kutoa matamko kwa vyombo vya dola na kutumbua watu Kama wanashindwa kulinda usalama wa laia
Halafu utackia tusichukue sheria mkononi,Mashetani Mungu atayatia mikononi.Poleni mwaya.
Kiukweli hii hali ya kukabwa ,kukatwa mapanga Magufuli alimbambana nayo Sana kwakutoa amri Kwa JESHI la police kujitahidi kuwadhibiti hawa wahalifu.lkn Kwa Sasa Mama yupo busy hana Muda wakuzungumzia kabisa maswala km haya, Wananchi tunazidi kuteseka
Hali ni ngumu mzee
Subhannahllah pole sana Allah awaadhibu wote walio kufanyia unyama huo.
Dah kwa kweli binadam sahizi hatumuogopi Mungu,hatukumbuki Kuna kifo na hukumu kwa Mungu kiukweli Mungu atusaidie Sana na atuongoze
Izi pikipiki jamanii daaah wallah sijui tunaenda wapi
Nikweli kabisa Hilo limemtokea mdogo wangu juzi morombo wamezidi
Pole sana dada
Subuhanallah. Polesana duu binaadam wengine wanaroho ngumu unampiga tu mapaga bila ya huruma haoni wauwaji kabisa polenisana Allah akuponye she ni wote
Jeshi la polisi sijui mna tatizo gani😏
Mama ana waza Tozo tu, sasa anawaza aongeze tozo za roho zetu zoote
Sasa awa wakiuawa na watu wenye hasira kali Kuna tatizo kweli????? Ila bangi sio nzuri jamani ndo inachangia yote aya.
Pole sana. Mungu akutie nguvu na akuponye.🥺
Pole san
Serikali inachangia sana watu kujeruiwa coz ya hali yakimaisha ilivyo kwa sasa.
Pole Dada utapona awa watu wapumbavu
Pole mamaangu mungu atakusaidia
Pole mama
Police waki wapiga risasi Raiya wana lalamika??
Pole sna mama
Ila.Arusha🙌🙌
Subhanallah innallillah wainailaihi raajiun jamani binadaam unamjeruhi binadaam mwenzako pole dada Allah atakulipia
Pole sana
Pochi imeenda ile kubwa tena huyu rais atusaindie angel watafutaji tutaumia na kuisha pia tuwetunawaua
yani mtihani kwakweli
yani hao watu hawatopata amani yani unamjeruhi mtu kama hivi wanashindwa kujishughulisha sasa siwangeiba tu kuliko kumuumiza mama watu
Mimi nataka kazi hii ya polisi naomba Millard Ayo nifikishie nataka kazi ya polisi haki ya Mungu maana haya matukio yananiumiza Sana ninataka namimi nipambane na huu ujinga niunganishe nguvu nataka kulinda raia na Mali zao
Hawa inabid wauawe , wauaji Hawa hawafai inabid wauawe kabisa. Mm nikikamata mwizi naua aiseeeeeee
Hiiii kitu kwann ? Inamaana serikali haioni matukio haya ? Maisha n magumu watu wanapambana masikini ya Mungu kujikwamua kiuchumi haya haitoshi bado watu wanakatwa mapanga , wanaumizwa wanauwawa kweli hii na haki ? Serikali imekaaa kimya MTU hasemi kabsaaaa kweli ? Police wapo vyombo vya ulinzi na usalama vipo sasa tunaishi vp nchini kwetu inakuaje mtu unakata panga mtu kama unakata kuku ? Haki ya Mungu tena nimechoshwa na matukio haya Tanzania haiwezekani tunaishi nchini kwetu Kwa woga ! Mh Rais hatuna sehem nyingine wewe ndio Rais wetu mama yetu haufurahishwi na matukio haya wewe pia n mwanadamu toa Kauli Kwa vyombo vya usalama ikibid toa macho Kwa vyombo vyako hv kwann havishughulikii mambo haya sasa tutalindwa na Nani Mali zetu zilindwe na Nani jaman
sasa mtu sha chkua pochi bdo mtu namjelui seeee
Maisha magumu mpaka yamesababisha watu waporwe na kupigwa mapanga majambazi wamerudi tena
Kwa kweli watafutaji Wa mlo mmoja tunamtihani mkubwa hadi tunaogopa
Rais Samia toa tamko
Kwa jeshi
😏😏😏 hata ikulu ikiteketea huwezi msikia anatoa neno lolote 😭😭😭 mwanamke ana roho ngumu sana huyu 🚮🚮