Manager wako nilikutanae akasema dogo umejifanya jeuri sana baada ya umaarufu ukawa unamkosea heshma sababu media umezishika ila kama nyota ni yako we pambana utatusua tu ila punguza jeuri kwa wakubwa wako😅😅🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
Huyu jamaa anawalaumu wenzake tu bure mbona wale jamaa ndiyo walikuwa wanakuelekeza kila kitu lkn inaonekana bado tu huelekei hujui comedy yeyote hiyo sura yako tu ndiyo inakubeba
Masikini pole saana nakupenda saana kaka cholo mungu atakusimamia inshaa allah
Really
Mungu atakusimania in shaa allah
😭😭😭mungu atakusaidia Kaka muombe tu huyo jamaa mpotezee muachie mungu
Manager wako nilikutanae akasema dogo umejifanya jeuri sana baada ya umaarufu ukawa unamkosea heshma sababu media umezishika ila kama nyota ni yako we pambana utatusua tu ila punguza jeuri kwa wakubwa wako😅😅🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
Mungu nimwenye nguvu na huluma.kikubwa usikate tamaa pambana ongeza bidii kaka utatoboa tu
Mungu atakulipa saidi ya ile
Liongo hili sema unaakili yakutafuta respect
Wamekukosea Sana Ila muachie MUNGU kaka, nafikir Ubunifu ndio ulikosekana ndio maana wakasepa
Ndugu waandishi wa habari nimewaita hapa oh oh oh oh 🗣️🗣️🗣️🗣️ nataka niwambie kuwa cholo amedhulumiwa🗣️🗣️🗣️ oh oh oh
Wahuni siyo watu wazuri, wamemrudisha Kijijini kabisa.. 😀😀😀
Daaah,pole saana
Safi sana ndugu
Huyu Jamaa Ni Mchekeshaji??? Daah
Dada alivyo ya hiyo cholo ❤️
Daaaah binaadam wabaya sanaaaa
Tusikilize na upande wa pili.Huenda Cholo alizingua.
Mi nahis biashara ya comedy ilikuwa ngumu wakaona anakula bure😁
Pole sana
Mbaya sana wabongo hawana imani
Aisee cholo polesana anza upya ziyokesi
dah ila cholo sema usiwaze damu yangu ipo siku kitaeleweka
Wabongo🤔
Duuuh aisee
Asee Tanzania uhuru umepitiliza...na yeye huyu mshekeshaji?
😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😀😀😀😀
🤣🤣🤣🤣🤣
make apo kwanza ncheke
Good
Watu Wanautaka hadi Umasikini Wako
Binadamu sisi ni viumbe viovu sanaa
Mtihani🤭🤭🤭🤭
Nilimmiss huyo kijana maan kitambo
Content ni hizo tuuuuh daily zinaboaaaa
😂😂😂
Sio mchekeshaji hata kidogo ila nyinyi Wabongo kwa ku fake life na kupingiana promo munaogoza wabovu kmnn na waongo.
Mbona kama bado anaigiza tena
Dogo ndo ajue kama mjini shule
jamani cholo Pole sana
Duuh watu wabaya
Sawa hatukatai ndio uanze kutumia mkorogo 🙌🤣🤣🤣
th-cam.com/video/udZfHjkcMA4/w-d-xo.html
Dah jamaa wamoto sana, ata chakula kumnunulia kabana
@@omaryjuma7268 unaambiwa ukisha muamini mwanadamu ujue Tyr usha fanya mistake
Unapelekwaje kama mzigo asee.
Ni sawa kwa sababu alimchukua kwa wazazi wake na ndio busara kumkabidhi
Huyo jamaa aliyemfanyia hivyo huyu Mtanzania mwenzetu Pumbavu kabisa.
😂😂😂
Uyo jamaa ana wivu alijua cholo ata win
Siwezi ku comment chochote mpaka nisikie kwa uyo mwenyeji wake
Mimi niliongea na Walid ambae ni meneja wake lakn alisema cholo alizingua mno tena mno
Really
Hawezi kukuambia ukweli uyo,ulipangwa tu
@@binhussain3445 eeeeh mpaka number zake ninazo
@@princekarani7836 ila nahisi wameamuwa kumzurumu tu
Walid alisema cholo kajazwa na maneno
6
Huyu mngoni au mndendeule
Jamii moja Kama kunguru na mwewe
Dah too sad
Sema dogo kuchekesha hujui
Kwani lengo ni kuchekesha? Sidhani!
🇹🇿
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
Kwanza huyu hachekeshi kawaida tu.
Duh sio poa kabisa
th-cam.com/video/udZfHjkcMA4/w-d-xo.html
Duh makubwa
th-cam.com/video/udZfHjkcMA4/w-d-xo.html
Sasa amedhulumiwa kwa biashara gani watanzania au kwa hivyo segments vichache ambavyo havikupeak kihivyoo...???!!!
Weee alipata ela
We can’t take you serious … messing around … what a joke
Mekapu
🤣🤣🤣😅😅😅😅😅
Komaa dogo
comedian au tahira?
Duuu
Bongo raha sana
Diamond Platnumz alichomwambia mchekeshaji uyo jana usiku tazama👉👉👉👉👉👉
th-cam.com/video/2rKtgjxtdko/w-d-xo.html
Huyu jamaa anawalaumu wenzake tu bure mbona wale jamaa ndiyo walikuwa wanakuelekeza kila kitu lkn inaonekana bado tu huelekei hujui comedy yeyote hiyo sura yako tu ndiyo inakubeba
kabebwe nawew
kamwe usijaribu kukosoa uumbaji wa mungu
Bongo nyoso