MPAKA HOME: Mzee Chillo Alilia Mtoto wa Uzeeni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • Subscribe / uwazi1
    MUIGIZAJI wa kitambo katika tasnia ya filamu Bongo, Ahmed Ollotu maarufu kwa jina la mzee Chillo amesema anayo hamu kubwa sana ya kupata mtoto wa uzeeni kwa mkewe wa sasa ambaye hajazaa naye.
    Mzee chillo aliyasema hayo hivi karibuni katika mahojiano maalum na kipindi kinachojizolea umaarufu mkubwa nchini cha Mpaka Home, kupitia runinga bora kabisa ya mtandaoni ya Global TV.
    Kifupi ni kwamba mzee huyu ana mtoto mmoja aliyempata kwa mkewe wa kwanza. Kupata undani wa maisha halisi ya mzee chillo, tazama kipindi hiki.
    FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

ความคิดเห็น • 201

  • @tatumshakamal7137
    @tatumshakamal7137 4 ปีที่แล้ว +2

    maashallah huyu baba namkubaliji sana mungu akubariki na akuzidishie umri wenye mutumikia allah

  • @khadijadaudi5934
    @khadijadaudi5934 4 ปีที่แล้ว +2

    Mzee chilo nakupenda sana Allah akupe afya njema

  • @sallykanze
    @sallykanze 6 ปีที่แล้ว +17

    Mm Huyu Mzee namkubali bure Sanaa ,yuko na busara sana mungu akupe umri mrefu zaidi

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 4 ปีที่แล้ว

    Mzee Chillo ana Busara sana.
    Global Tv msiwe mnavamia muwe mnatoa Taarifa kwa Wahusika ili wajiandae.
    Na msiwe mnakwenda Usiku.

  • @habibakhlifa8534
    @habibakhlifa8534 6 ปีที่แล้ว +18

    Hongera Mungu akujaliee Huyo mtoto mmoja ndo wakunivunia ktk hii Dunia wengii hawana hata Huyo mmoja

  • @abdallahnassor8169
    @abdallahnassor8169 5 ปีที่แล้ว +3

    Namkubari sn mzee chilo yupo sawa mungu amjalie maisha mema na aikumbuke aghela yake ya badaee

  • @didaamohsin6440
    @didaamohsin6440 6 ปีที่แล้ว +3

    Nakupendaa.. Mzee chilo..mola akuongezee..umri..mrefu..napenda movie zko..

  • @giftyusuph3541
    @giftyusuph3541 6 ปีที่แล้ว +3

    Mashaaallha una maneno ya hekima na busara ongera sanaa babaetu allha akujarie kheri na baraka.. Innshaaallha

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว +3

    Mzee chilo nakupenda sana, uko vizuri sana, Allah akupe umri mrefu zaidi.

  • @biommy6700
    @biommy6700 6 ปีที่แล้ว +5

    Mzee chilo nakupendaga hakuna Mungu akupe umri mrefu na afya njema...asante kwa usia wako

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 6 ปีที่แล้ว +28

    Maa Shaa Allah bado mzee yuko strong kweli,Allah akuzidishie umri ln shaa Allah na family yako.Hongera sana

  • @salhhaagust9666
    @salhhaagust9666 5 ปีที่แล้ว +4

    Nakupenda san bab yetu,unafanya vizury xn kwenye move zako,pia nazipenda san move zako!

  • @paulomatte9270
    @paulomatte9270 5 ปีที่แล้ว +2

    Baba uko vizuri unaingiza vizuri

  • @anithaaporinary6256
    @anithaaporinary6256 6 ปีที่แล้ว +1

    mzee chillo yuko good mzee wetu i appreciate him mzee mwenye busara zake big up
    sema nini mtangazaji unaongea haraka saaaaana jaribu kupunguza speed kidogo japo uko vizuri

  • @rahmaomarali4123
    @rahmaomarali4123 6 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah mzee wakujielewa mungu akuzdishie umri namungu akujalie watoto wa uzeeni wa mwishomwisho

  • @sae3dalsaifi211
    @sae3dalsaifi211 6 ปีที่แล้ว +4

    Mzee chillo Asante baba
    Balikiwa sana

  • @shanelmbunga7522
    @shanelmbunga7522 4 ปีที่แล้ว +1

    Global wako vizur

  • @frankanyitike7063
    @frankanyitike7063 6 ปีที่แล้ว +9

    Mzee chillo yupo vizuri

  • @mwanakituja6900
    @mwanakituja6900 3 ปีที่แล้ว

    Hongera babaangu msalimie ndugu yng fatmei Arafa hapa

  • @mayungapagu2464
    @mayungapagu2464 6 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana Mzee chillo kaz yako nzuri

  • @mwajumabulugu4115
    @mwajumabulugu4115 6 ปีที่แล้ว +20

    nakupenda mzee chilo km baba yangu mzazi

    • @tarikalliy4050
      @tarikalliy4050 5 ปีที่แล้ว

      Mwajuma Bulugu

    • @malkhals8704
      @malkhals8704 4 ปีที่แล้ว

      Nampenda sana mzee chilo kwele move zake nzri sanaa

  • @radhiyarashid3453
    @radhiyarashid3453 6 ปีที่แล้ว +8

    Safi sana Brighton na mzee chilo ,wanaosema kipindi kibadilishwe muda nyie mnadhani angewakuta wapi watu ,na mtangazaji yuko vizuri Kwan mwanzo mgumu ,hata ungepewa we we usingeweza,big up Brighton na global tv

    • @shadiajumaa182
      @shadiajumaa182 6 ปีที่แล้ว

      Radhiya Rashid umeona eeeh kwasababu angelienda mchana watu wapo makazini hilo umeliona Radhiya

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuzidishie umri babaangu🤲🙏

  • @hafsa1186
    @hafsa1186 6 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda baba angu uko poa kwa majubu yako baba ongera sana baba lcome from in Burundi

  • @shadiajumaa182
    @shadiajumaa182 6 ปีที่แล้ว +2

    Mzee chilo umetisha haha love u

  • @user-dq9bx1qf9e
    @user-dq9bx1qf9e 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana mzee chillo

  • @florencemusila7348
    @florencemusila7348 6 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akupatie mtoto mwingine

  • @ramadhanmanko4614
    @ramadhanmanko4614 5 ปีที่แล้ว +2

    Mzee nimekupenda buree

  • @mwakahassan8742
    @mwakahassan8742 6 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa Allah mzee wa busara sanaa na anajuwa kuongea km mzee

  • @estheronyoro1452
    @estheronyoro1452 6 ปีที่แล้ว +6

    Hongera mzee chillo mungu akujalie mtoto

  • @deborahelias943
    @deborahelias943 6 ปีที่แล้ว +1

    Dad Chillo big up sn,,,Allah akupe miaka mingi duniani

  • @gracemapunda9783
    @gracemapunda9783 6 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda xana mzee Chillo namkubabali kwa kz nzr

  • @raziunaabdala8809
    @raziunaabdala8809 6 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah mzee ana hekimaa

  • @matembelerichard9416
    @matembelerichard9416 6 ปีที่แล้ว +2

    MZEE yuko juu sana

  • @bakarininga6052
    @bakarininga6052 6 ปีที่แล้ว +12

    good job Brighton ......Mzee wetu chilo mungu akupe maisha marefu

    • @neemapaulo3099
      @neemapaulo3099 5 ปีที่แล้ว

      Namkubali Sana huyu mzee kazi zake ni nzr sana

  • @graceleonard6150
    @graceleonard6150 6 ปีที่แล้ว +3

    Much love kwako

  • @tabuyahaya2727
    @tabuyahaya2727 6 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah mzee chilo. kweli kabisa ng'ombe hazehaki maini

  • @estherngaka1907
    @estherngaka1907 3 ปีที่แล้ว

    cjui kwann nampenda brighton masalu!! hongera yako mwaya. napenda unavyotangaza 💕💖

  • @user-mq3ve3sc7v
    @user-mq3ve3sc7v 6 ปีที่แล้ว +12

    Na mpendanga sana uyu mzee kwa filimu zake zote. Ana pendeza. Sana.
    Mukenya Halisi.

  • @hongerakkachawasemewwkzbut4996
    @hongerakkachawasemewwkzbut4996 6 ปีที่แล้ว +8

    huyu mzee nampenda na kazi zake ni nzuri sana za kucheza movie zake ni nzuri pia

  • @zuweinajuma468
    @zuweinajuma468 6 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa Allah mungu akuzidishiye upendo ameeen

  • @kolthoomkolthoom2516
    @kolthoomkolthoom2516 6 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana Mzee chilo

  • @ramadhaniathumanimlenge6641
    @ramadhaniathumanimlenge6641 6 ปีที่แล้ว +2

    Ishallah mzee chilo mungu akujalie

  • @judithmapunda5137
    @judithmapunda5137 6 ปีที่แล้ว +2

    nampenda sana huyo mzee Yuko funny sana alishawahi Kunitania klm hotel Mm ckuwa nmemuona

  • @musaabubakary7711
    @musaabubakary7711 6 ปีที่แล้ว +2

    Heshima yk mzee Chilo hongera mzee

  • @everlynmanigamaniga818
    @everlynmanigamaniga818 5 ปีที่แล้ว +2

    huyu mzee namkubali Sana, kwanza hiyo filamu amecheza Kama bishop imenibamba Sana afu ata hakai mwislam aki🙊

  • @biommy6700
    @biommy6700 6 ปีที่แล้ว +1

    Gud job Briton hongera yako

  • @johnvevo7080
    @johnvevo7080 6 ปีที่แล้ว +2

    Na mkubali bali sana uyu mzee pia nenda kwa sauti ya zaabu

  • @shaniarthur4266
    @shaniarthur4266 6 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda upo simple sana mzee wng

  • @shameemrashid5219
    @shameemrashid5219 6 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda san babu chilo

  • @mtotohodari9446
    @mtotohodari9446 6 ปีที่แล้ว +1

    Uko sawa mzee chilo

  • @zainabmakame1321
    @zainabmakame1321 6 ปีที่แล้ว +2

    Big up baba

  • @khamiskhamis5323
    @khamiskhamis5323 6 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 6 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah mzee chilo nikueshimu kama bbangu mungu akupe umri mrefu ata mmi ile movie aloingiza na mercy Johnson niliikubali sna ongera mzee wetu

  • @Kai_busati
    @Kai_busati 4 ปีที่แล้ว +1

    OLOTU💪💪💪🔥

  • @abdullahalghamdi8362
    @abdullahalghamdi8362 6 ปีที่แล้ว +10

    wow chilo nakupenda sana Grace ruo from Kenya witching from Saudi.

  • @mreallashy3525
    @mreallashy3525 6 ปีที่แล้ว +39

    Huyu mzee Chilo namkubali sana pia uende kwa mzee msisili

    • @kahambuneema368
      @kahambuneema368 6 ปีที่แล้ว +3

      ODAMA. mzee msisi wa msisiri

    • @maryfelesh9181
      @maryfelesh9181 6 ปีที่แล้ว +2

      Shaylah wa Alikiba hata mimi nampenda sana huyu mzee

  • @salimalyarabi6388
    @salimalyarabi6388 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @yaqoubsalim99
    @yaqoubsalim99 5 ปีที่แล้ว +3

    Ananikumbusha ile filamu, JUMBA LA DHAHABU,

  • @gracejohn4925
    @gracejohn4925 6 ปีที่แล้ว +6

    I love you dady

  • @esperancekahambu6122
    @esperancekahambu6122 5 ปีที่แล้ว +1

    napenda uyu mzee huwezi amini

  • @mwasitihatibu9691
    @mwasitihatibu9691 6 ปีที่แล้ว +4

    uko vizuri mzee chillo

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @asmabintikiwashatz9321
    @asmabintikiwashatz9321 6 ปีที่แล้ว +1

    nampenda mzee wetu

  • @happinessmataluma1948
    @happinessmataluma1948 6 ปีที่แล้ว +5

    good baba

    • @asumanmoshi1642
      @asumanmoshi1642 5 ปีที่แล้ว

      Mtangazaji, hajui, iteviw, kumalalamamake

    • @umikram6755
      @umikram6755 5 ปีที่แล้ว

      +Asuman Moshi ACHA MATUSI KWAN WEW HUON ANA SHIDA GAN YAKIMAUMBILE.
      KUWA MSTARABU

  • @saudasimon3746
    @saudasimon3746 6 ปีที่แล้ว +2

    yuko vzr mzee chili namkubar

  • @issabakari2774
    @issabakari2774 4 ปีที่แล้ว

    Nice xn mzee chillo

  • @youngboys9320
    @youngboys9320 6 ปีที่แล้ว

    Uko fresh Sana Mzee chilo I la mtangazaji unakikukumizi Sana bro

    • @agnesssima2803
      @agnesssima2803 4 ปีที่แล้ว

      Khaaa una laan wew tena snaaa hujafa hujaumbika

  • @agnesissack6272
    @agnesissack6272 6 ปีที่แล้ว +2

    mzee anabusara sana

  • @abedijonas4936
    @abedijonas4936 6 ปีที่แล้ว +1

    I like this old man

  • @dharesfadhil2236
    @dharesfadhil2236 6 ปีที่แล้ว

    Tunakuaminia sana hapa kenya.mzee kwaigizaji wako

  • @rosemarybenjamin4333
    @rosemarybenjamin4333 6 ปีที่แล้ว

    Mzee chilo toka kwenye jumba la dhahabu😍😍😘😗

  • @rehematimothubarikiwesanam6525
    @rehematimothubarikiwesanam6525 5 ปีที่แล้ว

    habari njema sana

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 ปีที่แล้ว +24

    Nimempenda mzee chilo anahekima Ile filam alocheza Padir ninzuri

  • @mwajumakweli6753
    @mwajumakweli6753 6 ปีที่แล้ว

    Na penda bule mzee chiro mungu akuweke na afya njema

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 4 ปีที่แล้ว

    Sio mbaya lakini nynyi watangazaji muna hatarisha maisha yenu.watu uwa awafanani mwingine ata kuliza sai nisangapi? Kabula umujibu Amekufwatisha kofi matege .uta mudu nini na Akokwake..Ambia mtu nita kua mgeni kwako akue na taharifa.🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦

  • @princessyvetteevedollyisma2586
    @princessyvetteevedollyisma2586 6 ปีที่แล้ว +18

    Ila si tabiya nzuri kuenda kwa mtu giza totoro mtu mwenyewe mzee kachoka anataka kupumnzika saa nne usiku munaend globo tv musipo chunga station yenu mutapewa 0% kwa hii tabiya

    • @amalcsalim-uu7hk
      @amalcsalim-uu7hk 6 ปีที่แล้ว +1

      PRINCESS YVETTE EVE DOLLY ismael ndio utaratibu wa hicho kipindi

    • @angelajohn7984
      @angelajohn7984 6 ปีที่แล้ว

      PRINCESS YVETTE EVE DOLLY ismael umeona eeh wanakera sana utazania wanga natamani wakutane na mbwa mkali wapate adabu

    • @josephinerezekelmauza139
      @josephinerezekelmauza139 5 ปีที่แล้ว

      kwel kabsa Usk jaman

    • @restavinamaridadadi9784
      @restavinamaridadadi9784 5 ปีที่แล้ว +1

      Ukopoa Sana mzee

  • @khadijaarkam5701
    @khadijaarkam5701 6 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah #mzee chilo

    • @issachondo7579
      @issachondo7579 6 ปีที่แล้ว

      Napenda san kaz zako mung akujaale umri mlefu uzidi kuifany kaz yako

    • @samirasaid475
      @samirasaid475 6 ปีที่แล้ว

      Khadija Arkam

    • @zuwenaenock3782
      @zuwenaenock3782 6 ปีที่แล้ว

      Manshallah Mzee chillo

  • @user-mm5tf7yn6p
    @user-mm5tf7yn6p 4 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤muzee chilo🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @sylviemutwale9527
    @sylviemutwale9527 5 ปีที่แล้ว

    Yupo vizuri uyu mzeee

    • @sylviemutwale9527
      @sylviemutwale9527 5 ปีที่แล้ว

      @Ali Ali sija kuelewa unamaanisha nini ebu nifanye nikuelewe tafadhali

  • @ramseyrajura1873
    @ramseyrajura1873 6 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahi masalu

  • @francismakuru9476
    @francismakuru9476 6 ปีที่แล้ว +5

    Braitoni hua unajaribu sana kuchomeka maneno ya kiingereza alafu unakosea mfano unaongelea mwanamke unasema him na mengine na kwa kipindi kama hiki naona ni vizr utumie tu kiswahili kitakuweka pazuri sana

  • @dinademona7375
    @dinademona7375 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani muwemkiwatarifi wakati mwataka kuja duh hapana kuwa surprise hvo

  • @tongwetv2891
    @tongwetv2891 6 ปีที่แล้ว +12

    Ukimaiza uende na kwa Mzee Jengua

  • @raoulbyamungu3251
    @raoulbyamungu3251 6 ปีที่แล้ว +1

    mzee msatarabu sana na mpenda sana. pia nategemeya ku mu meet yule mzee ni have a small speech with yéyé.

  • @Stibethsanga
    @Stibethsanga 5 ปีที่แล้ว +4

    uende kwa j b. na grece mapunda

    • @jamilashabani689
      @jamilashabani689 5 ปีที่แล้ว

      Unajitahd sana baba angu mungu akupe wepes zaid na afya njema uzid kuelimsha jamii

  • @samsoncharles7950
    @samsoncharles7950 6 ปีที่แล้ว +2

    Nami Nakutakia Maisha Mema Mzee

  • @kaijagejulius2260
    @kaijagejulius2260 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana Mzee Chiro, safi sana Brython. Kazi nzuri sana.

  • @issamalik3490
    @issamalik3490 4 ปีที่แล้ว

    Honestly hii ni tabia gani ucku ucku tuu, kwani mchana vp mtafanya watu wengine waonekane vibaya kwa kauli atakayo sema kulingana na mda mlio kwenda. Itabidi mbadilishe mda wenu wa kufanya programe zenu.

  • @nusrakajubu8377
    @nusrakajubu8377 6 ปีที่แล้ว +1

    nampe uyo mzee jmn

  • @babanusayba3600
    @babanusayba3600 4 ปีที่แล้ว

    هداه الله

  • @naslamgollo6405
    @naslamgollo6405 6 ปีที่แล้ว +10

    Nice natamani awe babaangu yuko smpo sana

  • @zossynguya5898
    @zossynguya5898 6 ปีที่แล้ว +7

    mzee kijana

  • @shmilamussa4818
    @shmilamussa4818 6 ปีที่แล้ว +3

    Uende kwa mzee jengua usiku utakipatapata

  • @neemakanzo3702
    @neemakanzo3702 6 ปีที่แล้ว +2

    kazi zako nzuri baba

  • @fravianmpagaze496
    @fravianmpagaze496 6 ปีที่แล้ว

    jamani nampenda mzee chilo ktk kaz zake za filam hajawahi kukosea.

  • @mwajumahamisi6738
    @mwajumahamisi6738 6 ปีที่แล้ว +3

    To be honest hii tabia ya kuwafata nyumbani s nzuri... Ona mzee alivyoshtuka. Anauliza "saa hizi?" Kwani mchana haiwezekani?

  • @rahmahussein8139
    @rahmahussein8139 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah more bless to you mr Chilo

  • @leonardodewa5360
    @leonardodewa5360 6 ปีที่แล้ว

    hi

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle795 6 ปีที่แล้ว +1

    Usia tosha kwa mzee chillo ametuasa vijana.