Mnaorudiarudia kuangalia na kusikiliza muziki huu, naomba likes zenu hapa. Sichoki kuwasikiliza hawa vijana jamani! narudia kusikiliza tena na tena wala sichoki!
Mungu wa mbinguni aliyewapa kipawa hiki atawalipa kwa kazi yenu nzuri msipozimia mioyo yenu. hakika nyimbo zenu zinatia moyo sana kila siku nasikiliza nyimbo zenu. Bwana Yesu awape nguvu kutenda zaidi. karibuni sana Tanzania
Mara nyingi nimekua nikiwaona kwa tv mnaimba lakn sikuwai kujua bend yenu inaitwaje lakn ashukuliwe Mungu nimepata kuwafaham zaid Nawaombea kwa Mungu azid kuwainua zaidi ya mawingu healing worship team
Mnaorudiarudia kuangalia na kusikiliza muziki huu, naomba likes zenu hapa.
Sichoki kuwasikiliza hawa vijana jamani! narudia kusikiliza tena na tena wala sichoki!
Mbaye uwambere 😀 Yesu abahezagire 🙏
Nawapenda sana jamani mbarikiwe❤❤
Amen bomoa kabisa ngome na nguvu za shetani maana Mungu wetu hushindwi kitu
Mbarikiwe Sana Mungu awapeleke viwango vingine Amen
Nautaka huu wimbo Maana mzur nabarikiwa naoo❤❤❤❤
Naupata vp maana
Nibutse iminsi ya kera 😭. Wowe ni. Mungu kweli
twawapenda
Mungu wa mbinguni aliyewapa kipawa hiki atawalipa kwa kazi yenu nzuri msipozimia mioyo yenu. hakika nyimbo zenu zinatia moyo sana kila siku nasikiliza nyimbo zenu. Bwana Yesu awape nguvu kutenda zaidi. karibuni sana Tanzania
1211
❤😊😊
Mbarikiwe tu sana. Mko na kipawa kizuri kwenye choir hiyo. Karibuni Kenya mtubariki kwa nyimbo hizo
Mungu wa mbinguni awabariki Sana kwa kazi nzuri munayo fanya
Mungu ni mwaminifu ukiamini yanawezekana yeye ni dawa i'm from kenya
Katika jina la yesu shetani Hana nafasi kamwe🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪
Hamjawahi kukosea ....salute Sana NGUWENEZA 🙏 nawakilisha THE FREE PENTECOSTAL IN TANZANIA
Amen nukuri ihora arinshya mumatwi yanjye Imbaraga zawe niziturishe byose 🙏
Nawakubali sana
MANENO MABAYA ....YESU EEEHHH🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥😇😇🌬️
Aiseeeh achen MUNGU abaki kuwa MUNGU tu no one like God..
Nyinyi hunibariki sana Mungu awainue
Mungu awabariki sana kwa kukubari kutumika.
you still the first in gospel imana ibane namwe
Indirimbo yamateka kuri njye...Bless you Healing
Mungu azidi kuwainua.
🎸🎸 imekaa poa sana
Ameeen tuliza nguvu za mapepo, tuliza maneno mabaya. Wewe ni Mungu mwenye uwezo katika wewe tunabomoa nguvu za shetani
Powerful worship and deep praise songs. This is Godly inspired am blessed
Wapendwa katika kristo yesu, Mimi ni mtanzania ila ukweli nyimbo zenu zinanibariki hakika Mungu ni mwaminifu atawalipa kwa kazi yake mnayoifanya.
Amen
Well done from Tanzania
nawenda sana healing worship team,
Nimejipata hapa kwa Neema ya Mungu, katika Yesu unabomoa nguvu zote
Another hit, Asante Sana kwa kutuliza roho yangu.
aaaaa,sate,.mugu.awarinde
Halleluuuuuuuuuujah!!!!Nakupenda Yesu
I like hii song sababu inanibamba sana kabisa.
Mungu azidi kuwatia nguvu zaidi tuzidi kubarikiwa
Tuliza nguza za satani na nguvu zote za mapepo tuliza Mungu wa mbinguni Amen Amen Amen
Much love from Kenya 🇰🇪my favourite worship team ...barikiweni sana ❤Katika jina la Yesu tunabomoa nguvu za shetani🔥😌
Katika Jina la Yesu shetani ashindwe
@@HealingWorshipTeam 🙏🙏🙏
Oo! Hallelujah!!¡!¡!¡
Wow Hallelujah...barikiweni na Bwana Yesu..a great song it is. Mungu azidi kuwainua
Mungu awabariki sana watumishi
Mara nyingi nimekua nikiwaona kwa tv mnaimba lakn sikuwai kujua bend yenu inaitwaje lakn ashukuliwe Mungu nimepata kuwafaham zaid Nawaombea kwa Mungu azid kuwainua zaidi ya mawingu healing worship team
Akika Yesu anatuliza Kila nguvu za Shaitani katika yeye tunebomoa Kika Ila,,,atukuswe yeye mwenye uwenxo
Mungu ainue huduma yenu
Ameeen iyo nikweli kabisa
Kalibu Tanzania
Asifiwe Mungu. You're a blessing continue with the good work of His highness. Neema ya Mungu iwatoshe
Hakika napenda nyimbo zenu sana kila la heri kwenu
Mubarikiwe sana katika jina LA yesu awatie nguvu
Yes Yesu Anaondo nguvu za giza na siyo kutuliza tu
Good voice go on
🔥🔥🔥🔥❤️
Nice song it bless me bother May God bless you
Love u hwt from Nyeri Kenya
Tuliza maneno mabaya ee yesu
Mungu awabariki nawapenda sana
Holla from Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏
th-cam.com/users/shortsBDl4yWxuO_M?feature=share
Ndabakunda cnee choir
Amazing voices woow wachia yesu atulize yote ambayo ni ya shetani much luv 🇺🇬
Amen 🙏 katika yesu tunabomoa nguvu za shetani
Kabisa tunabomowa tunazibomowa zooote nguvu za chetani zooote amen
Hallelujah! Utukufu kwa Mungu! God bless the Healing Worship Team abundantly!
Waooooo fantastic song
Song nzur from manyara
Wow!! That's amazing
waoh a beautiful song with great message
Amen amen
My favourite team☝️
Tuliza hizi nguvu Bwana
From DR Congo, I like what I see, hear and feel!
Hee the grace with the rwadees worship songs is amazing I love their work is amazing they're are ablessin they are beautiful.
Amen Jeova 🙏 keep going and shining guys 🖕 for God, s glory 🙏 good job 👍
th-cam.com/users/shortsBDl4yWxuO_M?feature=share
Awesome 🙏.God bless you all.
Thanks for the good songs my best choir am karungi Barbara am from Uganda
Wonderful praise,, wooh,,,
Much love 💞 from Uganda
Well done
Kweli tuliza mateso ya magonjwa
God to do you Good.The Song inspires
Wuuuuu GOD bless you 🙏
The Triumphant Healing Team. Glory to God.
Wow❤️❤️❤️❤️
Nguvu za Giza hasina mamlaka juu yangu kwa Jina Kuu La YESU KRISTO.so powerful indeed! Amen and Amen 🙏🙏
Kwa Jina LA yesu tunamshinda shetani
be blessed , i just love your songs
Amina sana
Am always blessed by you guys 🙏🙏🙏 Kwanza shikilia pindo lake......
The song 🔥🔥
AMINA
God bless you
Waoooooooooooooooooo I think is new song waooooooo amazing song GOD bless all people who collaborate this sons ,am from Tanzania
Watching nikiwa Dubai nabarika saaaana
@@violetwakhungu616 am proud of the team
Hallelujah
I heard this song for the first time yesterday and.....I can't stop, it's on reapet mode🙌🙌 I'm in love with it
th-cam.com/users/shortsBDl4yWxuO_M?feature=share
I 0
I love 7pm 9th
🙏🙏🙏I like this song GOD bless you guys ❤️
Beautiful song
Mungu wa mbinguni awabariki wote wapendwa wangu NAWAPENDA WOTE ♥️
GOD bless you healing worship
Amen from Nairobi Kenya indeed atabomoa
Mungu yuko..great song
Mungu awabariki sana
I love love this choir
Vocals 💯
Dressing code💯
Lyrics 💯 Energy 💯
Much love from🇰🇪
th-cam.com/users/shortsBDl4yWxuO_M?feature=share
may blessd
Mnanibariki sana kwa nyimbo zenu. Barikiweni sana
Karibuni Arusha Tanzania
Soo powerful
God is in control. He is making sure we are at peace in every condition. All the way from Nairobi Kenya. Blessings. Shalom.