Jina Hilo Ni Uzima - Healing Worship Team (Official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- Jina Hilo Ni Uzima - Healing Worship Team (Official Video)
I
booking : healingworshipteamrwanda@gmail.com
Contact US ON: +250788863840
Booking : healingworshipteamrwanda@gmail.com
Contact US ON : +250788863840
Video director - kayitare
Video Editor-shyaka
Audio Production samy pro
#gospel #jesus #god #bible #christian #faith #church #love #jesuschrist #worship #gospelmusic #christianity #music #christ #prayer #holyspirit #godisgood #bibleverse #pray #hope #o #truth #blessed #grace #scripture #deus #biblestudy #amen #praise #jesussaves #biblia #salvation #jesuslovesyou #igreja #peace #amor #believe #bibleverses #jesusislord #lord #jesuscristo #life #inspiration #evangelho #cristo #louvor #hiphop #biblequotes #espiritosanto #wordofgod #holybible #musica #christianmusic #palavradedeus #f #verseoftheday #a #instagood #gospelsingers #christians #rwanda #kenya #uganda #tanzania #kigali #africa #zambia #burundi #visitrwanda #congo #southafrica #arusha #dodoma #nigeria #fashion #malawi #zimbabwe #love #nairobi #ghana #mbeya #rwandaupdates #beauty #zanzibar #rwandanbeauty #mozambique #eastafrica #mwanza #rwandaful #rwandan
🇰🇪🇰🇪kenyans we are here to support the work of God globally😘tunawapenda sana❤❤
I love the garl leading in this song infact she sing with passion may u be blessed in kenya twawapenda nyimbo zingine ziwe kama hivi
These ones I think they are Rwandess they have seen all and they find joy in praising God.
Ndabakunda cyaneee ntimukareke gusenga imana🤍🤍🤍
A lot of passion in her
I always fall for her she sings nicely with passion
😭🙌
Yesu huvunja mapingu ya dhambi Moyoni...... blessings from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Tanzania be unto u
Kenya❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪such a blessing...God bless you Rwanda
Huyo Dada anaeanzisha nampenda sana ana moyo mzuri angekuwa ni mtu mwingine mwenye tamaa angelingia sauti yake angeacha kwaya angeenda kujitegemea
Yaaani nawapenda sanaaaa mie nyimbo zenu zinatia nguvuuu nakuwa na amani hata kama zingine sielewi lakini najjikuta naimba nakufurahi mmbarikiwe saaana mnasauti nzuriii sana
Ubarikiwe sana kutupenda na uzidi kutuombea
God indeed made your life scripts for every second that passes
Mimi nime wapenda bure! Mungu awabariki. Niko Addis ababa nafuahia sifa za Bwana kutoka kwenu!
Ndabakunda from korea indirimbo zanyu ndazumviriza minsi yose
Iyi ndirimbo ni rurangiza ndakurahiye ❤️❤️❤️❤️❤️🙏🏼iranfashije muri kino gitondo
Perfect song be blessed
Mba❤❤❤ kubiii imana Ibahe imbara nubuzima buzima❤❤
The way this choir blesses me..wacha tu🥰🥰
Amen amen
Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 tunawapenda sana
Bwana asifiwe.
nimeliita Jina la Yesu wakati wote na nimeokolewa.
#Jina Hilo ni uzima
Amen glory to our might. Hata ndimi elfu hazitoshi kumsifu Mungu kwa uzuri wake kwetu. God bless you nawapenda
Htimaye video umetoka nzuri Sana nawapenda Sana kiukweli
Kwa kweli hata ndimi elfu elfu hazitoshi kumsifu YESU kwa fadhili zake alizonitendea.
Mbarikiwe marafiki
Mzidi Barikiwa na Bwana wapakwa mafuta wake Bwana awatumie kama apendavyo vyombo vyake Nimebarikiwa saana.
Ndabakunda cyaneee....u always make my day💪
Hata ndimi elfu elfu hazitoshi.....ni ukweli usiopingika jina la Yesu ndio kila kitu kwenye maisha yetu
hongereni sana kwa nyimbo nzuri na ujumbe mzuri mungu awabariki kwa huduma yenu zaidi awainue kiroho by frank eliudi nyuha singida
Mbarikiwee sana kwa wimboo mzuur
This song is biblically sound, carries a timeless message, Salvation, the beat in the song reminds of old African music. It's soul nourishing. May God continue to use you guys. Shalom
Wow so nice
Munguakubaliki
Ndabakunda nkabura icyo mbaha , be blessed at all .
The lead vocalist ako sawa she sings with passion ,,,and she has taken the song has hers alone ,,, ubarikiwe
Mungu atusaidie wapendwa wengine tunapitia changamoto nyingi jaman
Nitahubiri injili ya Amani na yoyote MUNGU atakalo.
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu🙏🙏🙏🙏
Much love from Nairobi,Kenya😍😍😍😍
Kweli jina hilo ni uzima na afya. Mungu awabariki.
Amen
Jina la Yesu ni uzima
Napenda sana nyie watu, nyimbo zenu zinanibariki hakikia. Mungu azidi kuwatia nguvu🤝🤝
Murabambere rwose mubikora neza God bless all of you
Ameeen 🙏 ni JINA LENYE UPONYAJI ,,HILO JINA LIMENIONDOLEA MAUTI MBELE YANGU OOH YESU UPEWE SIFA MILELE NA MILELE am watching yu in🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭
Amazing souls
Video mufti sana. Baraka teletele kwenu kwa wimbo huu
Jina hilo ni afia na uzima na kila kitu. Mungu awabariki
Aleluyaaaa hata ndimi elfu elfu hazitoshi kukusifu BWANA YESU kwa fadhiri zako🙏🙏 nawapenda kutoka 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kali wakati ninaposikiza nyimbo zenu na barikiwa mno MUNGU hawainunue❤️❤️
Hallelujah jina lako yesu ni kila kitu🙏🙏🙏the leader is annointed
May you continue with the courage in Jesus Christ name. I like you all @jeremiahMomoi
I lov the team, the songs ministers to me
great work to the videographer , great quality. keep ministering family. the way you usually end your songs🔥
True jina hilo ni uzima afya amani..
Mungu awabariki sana
Naomba namba yenu ya cm niwaarike mje Tanzania dare salaam
Amen Mubarikiwe sana 🎉
Halleluya be blessed bakozi b'Imana dukunda
Mungu awasaidie muwe mnaimba katika roho na kweli maana wana kwaya wa nyakati hizi wanawakiana tamaa wanakulana humo humo natamani isiwe hivyo kwenu
Asante kwa ushauri 🙏🙏🙏🙏
My sister you have an amazing and wonderful voice love you so
Yesu naye upendo ningependa mje Kenya muwaambie Kenyan ladies wanakera Sana .
Woow!!was waiting for this video
I love how the team is always committed in their songs. Congratulations. A good song.
Nyie nyie mwenzenu nabarikiwa mpaka nabarikiwa tena nawapenda hatari kwanza mko smart kuhusu kucheza mpaka raha maombi yangu Yesu awatunze na kuwapigania
wow...hakika jina la Yesu ni uzima.from kenya
Waohh,my dear choir....the audial has always been my favourite..... can't stop watching it's video..... Keep the glory, maintain the anointing in humility, you will go far...... great inspiration to us in Kenya
This is beautiful,I love you the great group
OOOOOOHhhhhhhh My ,,,,,,, Yesu ni Jina ,,,,,, Nimerudia zaidi ya Mara Kumi na mbili wimbo huu , ni Sauti kamili ya BIBLIA- Nipo Dodoma Tanzania,,,,, Mungu Awabariki sana sana .
Hallelujah 🙌 what a beautiful song. Yesu ni Jina lanipa Amani. We love you from right here in Kenya 🇰🇪
Yesu abahe imigisha
Waoh....hongeren saaana good song hakika.
Hata ndimi elfu elfu hazitoshi kumsifu Bwana kwa fadhili zake. Yesu ni jina lanipa Amani....Amen
Asante kwa hii video tumeisubili sana MUNGU awabariki❤️❤️🙏🙏
Kweli kabisa.
Jina la YESU ni uzima.
Just bumped on this..dam !!💥💥💥 much love from 🇮🇱 israel
Ooooh touching Song🤍 Ndabakunda Basi….be blessed HWT
Beautiful Love from Zimbabwe!
ndabakunda kbs
Nyimbo nzuri. Mungu aendelee kuwainua
Barikiweni sana 👏👏
Awesome song huu wimbo mzuri sana. Hongera na Mungu awabariki sana. Nawa penda
Barikiwa Sana wapendwa. Here in Kenya your songs are a blessing.
I am from Zimbabwe I am blessed with your song🇿🇼🇬🇧
❤❤❤!! listening from USA, anointed song. Baraka tele!!
Be blessed
Muhabwe umugisha!
Wow! Nimekua nikingojea hii..barikiwa Sana team healing
The best feeling ever when listening your songs, a great choir...Mungu azidishe neema katika huduma yenu. Nawapenda...Blessed from Kenya.
Love your team & Music thanks for translation feel the lyrics God bless
Hata ndimi elfu hazitoshi,,,kumsifu Bwana kwa fadhili zake.HALLELUJAH!!!!!!
Barikiwa makamanda wa jehova
Wouuuu this is great mubalikiwe sanaaaaaaa tunawapenda sanaaaaaaa
Mungu awalinde nakuwatunza Mungu akumbuke sadaka zenu za muda na sauti kwa mahubiri haya
Jino ni uzima,jina hilo n nguvu.much love from Kenya.shalom
Hakika jina ilo ni uzima na amani wetu 🙏
Nawapenda,barikiwa from Tanzania
Glory be to God 🙏🙏🙏🙏 love from Uganda
Nawapenda Sana ndugu zangu mm Niko Tanzania ila nawapata mnanitamanisha nirudi nyumbani mbalikiwe
Be blessed healing worship team izina ryanyu nibyo muririmba birahuye turakira
That Name is above any other name. The Name of Jesus Christ. From Kenya, love the song
Mbega uwo mu mama yaravuye mur healing
Yagiye USA 🇺🇸 Ariko turikumwe muri byose
Mungu abariki hii choir
Hongereni sana Zabron Singers
am here, this is oh my!
May God keep blessing Healing worship team's works. Love u from Burundi
Wow Mungu awabariki sana napenda sana nyimbo zenu listening from Kenya may da Almighty God be with you
Song is bombasitic & rwampondious spiritually
From Botswana with love💖💗💓💞
My Best songs” video is finally here. Much love from Kenya
Nyimbo zenu zinanibariki mno, Mungu awainue zaidi
Nice 👍 song healing worship team ll keep shinning more blessings and more money 💵
May the prayers that Paul made in ephesian 3:14-21 be your portion. To your team lead may God keep strengthening you as you lead and protect you and your families.
My soul is being healed. Natukuza Mungu kwa hizi nyimbo. Kupitia msamaha nmepata nguvu. Nina furaha kujua kwamba Yesu alinifilia msalabani ili nisamehewe❤️
Aminaa kubwa atukuzwe mun
Amen amen