FITNA ZA KUWASIKIZA MASHEKHE/ MADUAT WAPOTOVU-ABU HASHIM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah akulipe kheri aaamin Nkupnd san Sheikh

  • @abdallahmoussa614
    @abdallahmoussa614 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah azidi kuwapa umri weny kheri ma Sheikh wetu wapendwa ambao mnalongania kweny haki...

  • @saadsumayyasaid7140
    @saadsumayyasaid7140 3 ปีที่แล้ว

    sasa nyinyi hamueki mihadhara iyo ya kisalafi.maji yakikosa njia ,popote hupita

  • @adambakari6176
    @adambakari6176 2 ปีที่แล้ว

    Nyinyi ndio kundi lafitna mnawwasema watu kwa majina kilasiku Nyinyi ndio mko sawa nanikasema?

    • @salafiykenya9870
      @salafiykenya9870  2 ปีที่แล้ว

      Hahaha kwani wewe upo pahala ujui kama uko sawa sisi tuko sahihi sheikh adam ....hatuwasikizi sababu hamna lolote lakutupa ndugu

  • @sultansaidy2187
    @sultansaidy2187 3 ปีที่แล้ว

    Wewe acha mamboyako salafi ndionini kwanini munajitukuza na salafi salafi ndio kuraani au hadithi yamtume salafi ndionini

    • @nusalim3389
      @nusalim3389 3 ปีที่แล้ว +2

      Sasa Kama hujui mbona watoa hukmu na shutma kabla?

    • @musabomar661
      @musabomar661 3 ปีที่แล้ว +1

      Ujahil wako ndio unakupelekesha uropokwe kama punda alokosa mchunga

    • @othmanhussein3345
      @othmanhussein3345 2 ปีที่แล้ว

      Msalie vizuri mtume sema hiv صلى الله عليه وسلم